Al Ma'arif Online Tv
Al Ma'arif Online Tv
  • 61
  • 224 270
ALLAH ANAWAPENDA WENYE KUTUBIA - SHEIKH OTHMAN MAALIM
==================================
Agiza Tshirt za Al maarif hapa 👇
forms.gle/KRivgBUTdPjMPdgk7
==================================
Tazama Video nyingine kwenye channel yetu
1. Video Title: USIKU WA NUSU YA MWEZI WA SHABANI WATU HUSAMEHEWA DHAMBI ZAO
▶ th-cam.com/video/3ebX-rLO0MQ/w-d-xo.htmlsi=Y7g_WMbPrDtksnPx
2. Video Title: KUSHUKURU NEEMA YA ALLAH NAYO NI NEEMA || WAFUNDISHENI WATOTO WENU
▶ th-cam.com/video/PoApBMAzl74/w-d-xo.htmlsi=K6gJ_zPAX2jfjGvh
3. Video Title: UKITAKA KUMJUA MTU BASI TAZAMA VITU HIVI VIWILI || MWENYE HEKIMA YUPOJE?
▶ th-cam.com/video/MzGcnv8aXPg/w-d-xo.htmlsi=TlKbhDXAhG9nWQO6
*******************************************
Our Social Media:
🟥 Instagram 👇
almaarifmedia
🟦 Facebook 👇
almaarifonlinetv
⬛ Tiktok 👇
www.tiktok.com/@almaarifmedia
*******************************************
Channel yetu nyengine 👇
www.youtube.com/@almaarifmedia
www.youtube.com/@TheFikra
_________________________________________
Produced by: 𝗔𝗹 𝗠𝗮'𝗮𝗿𝗶𝗳 𝗠𝗲𝗱𝗶𝗮 𝗣𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻 𝗶𝗻 𝟮𝟬𝟮𝟰
*******************************************
#bofyahapa🔴 #mawaidha #sheikh #maarif #ma'arif #darsa #kishki #othmanmaalim #sheikhkishki #mufti #bakwata #tanzania #hijja #ramadhanimawaidha #ramadhani #sabahalupdates #shamsualmaarif #muhadhara #mazinge #taqwa #samiasuluhu #joti #mkojanigang #mkojani #bunge #wasafi #milardayo #ihsan #zanzibar #mombasamawaidha #kenya #uislamu #listenable #trends #viral #islamic #muslims #kiswahili #arabic #ulimwengu #makka #ijumaa #swala #sunnah #islam #sheikhothmanmaalim #mawaidhamapya #mawaiza #mawaidha2024 #mawaidha2025 #mawaidha2026 #mawaidha2027 #ramadhani2025
*******************************************
⚠ 𝑨𝒏𝒚 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 𝒄𝒐𝒏𝒄𝒆𝒓𝒏𝒔, 𝒑𝒍𝒆𝒂𝒔𝒆 𝒄𝒐𝒏𝒕𝒂𝒄𝒕 𝒖𝒔 𝒔𝒐 𝒕𝒉𝒂𝒕 𝒘𝒆 𝒄𝒂𝒏 𝒈𝒊𝒗𝒆 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒇𝒖𝒍 𝒄𝒓𝒆𝒅𝒊𝒕 𝒕𝒐 𝒕𝒉𝒆 𝒔𝒐𝒖𝒓𝒄𝒆. ⚠
𝗧𝗵𝗮𝗻𝗸𝘀 👌💕
มุมมอง: 101

วีดีโอ

USIOMBE DUA HIZI ZA KUMJARIBU ALLAH || TUMIA RAMADHANI KUOMBA DUA NJEMA || DUA ZISIZOFAA KUJIOMBEA
มุมมอง 685 หลายเดือนก่อน
Sheikh Othman Maalim akizungumza juu ya umuhimu wa kujiombea dua nzuri na kuzungumza mambo mazuri na kuacha kujiapiza kwa mambo mabaya ama kujiombea mabalaa, na badala yake tuombe dua hiyo. Mawaidha mazuri sana. Agiza Tshirt za Al maarif hapa 👇 forms.gle/KRivgBUTdPjMPdgk7 Yaliyomo kwenye video hii (Chapters): 0:00 - Kisa cha aliyeomba kupewa adhabu zake duniani 2:25 - Al Ma'arif Media Intro 2:3...
KISA CHA TAJIRI WA SAUDIA ALIYEKUFA AKIWA HANA MTU HATA MMOJA WA KUMRITHI - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 865 หลายเดือนก่อน
Agiza Tshirt za Al maarif hapa 👇 forms.gle/KRivgBUTdPjMPdgk7 Our Social Media: 🟥 Instagram 👇 almaarifmedia 🟦 Facebook 👇 almaarifonlinetv ⬛ Tiktok 👇 www.tiktok.com/@almaarifmedia Channel yetu nyengine 👇 www.youtube.com/@almaarifmedia www.youtube.com/@TheFikra Produced by: 𝗔𝗹 𝗠𝗮'𝗮𝗿𝗶𝗳 𝗠𝗲𝗱𝗶𝗮 𝗣𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻 𝗶𝗻 𝟮𝟬𝟮𝟰 #bofyahapa🔴 #mawaidha #sheikh #maarif #ma'arif #darsa #kishki...
HISTORIA YA SHEIKH NURDIN KISHKI - UKUAJI WAKE, KUSOMA NA KUTAFUTA ELIMU YAKE, KUANZA KWAKE DAAWA
มุมมอง 8555 หลายเดือนก่อน
SHEIKH KISHK AFUNGUKA HISTORIA YAKE YA DAAWA: Sheikh Kishk ameelezea namna alivyoanza Daawa yake akiwa Nchini Kenya katika kaunti ya Kilifi alipofanya mahojiano maalum na Mtangazaji wa Kishk Tv Abdillahi Mashi Agiza Tshirt za Al maarif hapa 👇 forms.gle/KRivgBUTdPjMPdgk7 Our Social Media: 🟥 Instagram 👇 almaarifmedia 🟦 Facebook 👇 almaarifonlinetv ⬛ Tiktok 👇 www.tiktok....
UKIWEZA KUFANYA MAMBO HAYA MANNE UTASAMEHEWA DHAMBI ZAKO ZOTE | RAMADHANI 2024- SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 1415 หลายเดือนก่อน
Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: USIKU WA NUSU YA MWEZI WA SHABANI WATU HUSAMEHEWA DHAMBI ZAO ▶ th-cam.com/video/3ebX-rLO0MQ/w-d-xo.htmlsi=Y7g_WMbPrDtksnPx 2. Video Title: KUSHUKURU NEEMA YA ALLAH NAYO NI NEEMA || WAFUNDISHENI WATOTO WENU ▶ th-cam.com/video/PoApBMAzl74/w-d-xo.htmlsi=K6gJ_zPAX2jfjGvh 3. Video Title: UKITAKA KUMJUA MTU BASI TAZAMA VITU HIVI VIWILI || MWEN...
HEKIMA NI MALI YA MUISLAMU POPOTE UNAPOIKUTA ICHUKUE ITUMIE - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 3315 หลายเดือนก่อน
Imemesisitizwa kuwa na hekima. Tumefundishwa mengi juu ya umuhimu wa hekma. Lakini hekima maana yake ni nini? Tazama mawaidha mazuri sana ya Sheikh Othman Maalim. Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: KISA CHA MZAZI KUKATAA POSA YA MWANAMFALME | WANAUME HAWAFUNDWI KABLA YA NDOA ▶ th-cam.com/video/PLT3SbJP-q8/w-d-xo.html&ab_channel=AlMa'arifOnlineTv 2. Video Title: KUSHUKURU ...
SIFA ZA WAJA WA ALLAH | VAA TABIA HIZI UWE KWENYE KUNDI SPESHO LA WAJA WAKE - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 1025 หลายเดือนก่อน
Sheikh Othman Maalim akiwa ziarani Burundi akitoa Mawaidha kwa waumini juu ya kuwafahamu waja wa Allah. Watu ambao Allah amesema kuwa hawa ni wangu, sote tunajua ni viumbe vyake, lakini je ni waja wake? Allaha anatupenda? Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: KISA CHA MZAZI KUKATAA POSA YA MWANAMFALME | WANAUME HAWAFUNDWI KABLA YA NDOA ▶ th-cam.com/video/PLT3SbJP-q8/w-d-xo.h...
SHEIKH OTHMAN MAALIM HATAKAMA UTAISHI MIAKA 1000 BASI IPO SIKU TAMBUA UTAKUFA | MSIBA WA MZEE MWINYI
มุมมอง 606 หลายเดือนก่อน
Maneno ya Sheikh Othman Maalim kwenye Msiba wa Mzee. Ali Hassan Mwinyi Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: FAHAMU HAYA LEO KABLA YA KUINGIA RAMADHANI HII YA 2024 ▶ th-cam.com/video/MGCj24PF57E/w-d-xo.htmlsi=I8qMHNpRyTiJzSmR 2. Video Title: FANYA HAYA KWA MZAZI WAKO 2024 KABLA HAUJAISHA MUDA WAKO ▶ th-cam.com/video/EP5JCZxBbRg/w-d-xo.htmlsi=Rbk53dDtLw-4YzQa Our Social Media...
FAHAMU HAYA LEO KABLA YA KUINGIA RAMADHANI HII YA 2024 || SHEIKH OTHMAN MAALIM || UKUMBUSHO MAWAIDHA
มุมมอง 9276 หลายเดือนก่อน
Ukumbusho muhimu kwa waumini katika kuelekea kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani. Fahamu fadhila na lengo haswa la wewe kupewa fursa nyengine ya kuupata mwezi huu wa kukithiri ibada. Mawaidha ya Sheikh Othman Maalim Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: MAMBO YA KUWA NAYO MUISLAMU ILI KUIPATA PEPO || SIFA ZA WATU WA PEPONI ▶ th-cam.com/video/mptKeES4sA8/w-d-xo.htmlsi=iq1tHahJ6...
FANYA HAYA KWA MZAZI WAKO 2024 KABLA HAUJAISHA MUDA WAKO - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 1536 หลายเดือนก่อน
Ukitaka Radhi za Mola wako basi kwanza tafuta Radhi za wazazi wako. Wazazi wawili wanayo haki kubwa kutoka kwa watoto wao, kama walivyo na haki watoto kutoka kwa wazazi wao. Mwenyezi Mungu ﷻ Ameweka wazi kabisa haki za Pande zote mbili. Mwenyezi Mungu hakuwaachia wanadamu wajipangie wenyewe haki zao, bali Yeye Mwenyewe Amechukua jukumu la kuwapangia kila moja haki yake ili asipatikane na upungu...
USIKU WA NUSU YA MWEZI WA SHABANI WATU HUSAMEHEWA DHAMBI ZAO ISIPOKUWA WATU HAWA - SH. NURDIN KISHKI
มุมมอง 1326 หลายเดือนก่อน
Sheikh Nurdin Kishki akizungumza na waumini wa Msikiti wa Manyema katika Khutba ya wala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti wa Manyema Dar es salaam. Tarehe 16 - February - 2024. Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: SISI SOTE NI VIONGOZI || SIFA YA KIONGOZI || KILA MTU NI MCHUNGA ▶ th-cam.com/video/YERp_9TAi-8/w-d-xo.html 2. Video Title: KUSHUKURU NEEMA YA ALLAH NAYO NI N...
SISI SOTE NI VIONGOZI || SIFA YA KIONGOZI || KILA MTU NI MCHUNGA
มุมมอง 19111 หลายเดือนก่อน
#mawaidha #sheikh Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: MAWAIDHA MANNE SHEIKH NURDIN KISHKI ALIMWAGA MACHOZI || KUNA MAZINGATIO MAKUBWA KWA WAISLAMU WOTE ▶ th-cam.com/video/BGseKVX2Rqc/w-d-xo.html 2. Video Title: SHEIKH NURDIN KISHKI AWARUDIA WAISLAMU JUU YA TAQWA || KUMCHA MWENYEZI MUNGU || UKIKUMBUSHWA USINUNE ▶ th-cam.com/video/wiHO3QikI-Q/w-d-xo.html 3. Video Title: KISA...
KUSHUKURU NEEMA YA ALLAH NAYO NI NEEMA || WAFUNDISHENI WATOTO WENU TABIA HIZI - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 26411 หลายเดือนก่อน
Sheikh Othman Maalim akizungumza juu ya umuhimu wa kushukuru na faida ya kuwafundisha watu haswa watoto tabia ya kushukuru katika maisha yao. Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: IMAMU LAZIMA UPENDEZE || MAIMAMU WENU HAWANA HATA BAISKELI ▶ th-cam.com/video/If nMgPgEE/w-d-xo.html 2. Video Title: WAISLAMU WATOA TAMKO || JUU YA SERIKALI KUCHUKUA SOMO LA DINI ▶ th-cam.com/video...
KISA CHA IBILISI NA SWAHABA || SHETANI ALIMFUNDISHA DUA YA KUJILINDA SWAHABA - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 74711 หลายเดือนก่อน
Sheikh othman Maalim akizungumza na waumini wa kiislamu katika khutba ya ijumaa juu ya kujilinda na masheitwan na umuhimu wa kuomba dua katika kila jambo unalokuwa unalifanya. Tazama Video nyingine kwenye channel yetu 1. Video Title: MAWAIDHA MANNE SHEIKH NURDIN KISHKI ALIMWAGA MACHOZI || KUNA MAZINGATIO MAKUBWA KWA WAISLAMU WOTE ▶ th-cam.com/video/BGseKVX2Rqc/w-d-xo.html 2. Video Title: SHEIKH...
KISA CHA MUME NA VITIMBI VYA WAKE ZAKE WAWILI || NI ZIPI AKIBA ZETU MBELE YA ALLAH - OTHMAN MAALIM
มุมมอง 78711 หลายเดือนก่อน
KISA CHA MUME NA VITIMBI VYA WAKE ZAKE WAWILI || NI ZIPI AKIBA ZETU MBELE YA ALLAH - OTHMAN MAALIM
KISA CHA SWAHABA 'UMAR KUTAKA KUMUUA MTUME MUHAMMAD || SIFA ZA KUWA RIJALI || UMUHIMU WA KUWA RIJALI
มุมมอง 19511 หลายเดือนก่อน
KISA CHA SWAHABA 'UMAR KUTAKA KUMUUA MTUME MUHAMMAD || SIFA ZA KUWA RIJALI || UMUHIMU WA KUWA RIJALI
UKITAKA KUMJUA MTU BASI TAZAMA VITU HIVI VIWILI || MWENYE HEKIMA YUPOJE? - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 558ปีที่แล้ว
UKITAKA KUMJUA MTU BASI TAZAMA VITU HIVI VIWILI || MWENYE HEKIMA YUPOJE? - SHEIKH OTHMAN MAALIM
FUNZO KWA WENYE KUWAPA MAJINA YAO WATOTO WASIOKUWA WAO || KISA CHA ZAID BIN HARITH - OTHMAN MAALIM
มุมมอง 223ปีที่แล้ว
FUNZO KWA WENYE KUWAPA MAJINA YAO WATOTO WASIOKUWA WAO || KISA CHA ZAID BIN HARITH - OTHMAN MAALIM
KISA CHA MCHAMUNGU ALIYEMJARIBU ALLAH | USIJIOMBEE DUA MBAYA | DUA HII ALITUPA MTUME - OTHMAN MAALIM
มุมมอง 636ปีที่แล้ว
KISA CHA MCHAMUNGU ALIYEMJARIBU ALLAH | USIJIOMBEE DUA MBAYA | DUA HII ALITUPA MTUME - OTHMAN MAALIM
KISA CHA SWAHABA KUPELEKWA MAHAKAMANI | HUKUMU YA KUDHULUMU ARDHI - SHEIKH NURDIN KISHKI: KENYA 2023
มุมมอง 363ปีที่แล้ว
KISA CHA SWAHABA KUPELEKWA MAHAKAMANI | HUKUMU YA KUDHULUMU ARDHI - SHEIKH NURDIN KISHKI: KENYA 2023
KISA CHA MBWA WA TAJIRI || ASIYEKUWA NA ELIMU NI KAMA MAITI | ELIMU NI MUHIMU - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 211ปีที่แล้ว
KISA CHA MBWA WA TAJIRI || ASIYEKUWA NA ELIMU NI KAMA MAITI | ELIMU NI MUHIMU - SHEIKH OTHMAN MAALIM
KUUA KULIKOJIFICHA || KUMWAGA MBEGU NJE WAKATI WA TENDO LA NDOA || HUKUMU - SHEIKH WALID BIN ALHAD
มุมมอง 668ปีที่แล้ว
KUUA KULIKOJIFICHA || KUMWAGA MBEGU NJE WAKATI WA TENDO LA NDOA || HUKUMU - SHEIKH WALID BIN ALHAD
KISA CHA MZAZI KUKATAA POSA YA MWANAMFALME | WANAUME HAWAFUNDWI KABLA YA NDOA - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 77Kปีที่แล้ว
KISA CHA MZAZI KUKATAA POSA YA MWANAMFALME | WANAUME HAWAFUNDWI KABLA YA NDOA - SHEIKH OTHMAN MAALIM
WAISLAMU MTUME WETU HATUMJUI || SIRA YA MTUME || UKARIMU WA ANSWAR KWA MUHAJI - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
WAISLAMU MTUME WETU HATUMJUI || SIRA YA MTUME || UKARIMU WA ANSWAR KWA MUHAJI - SHEIKH OTHMAN MAALIM
KISA CHA ALIYESAIDIWA NA SHETANI || IBILISI ANA MBINU NYINGI || NI MUONGO - SHEIKH OTHMAN MAALIM
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
KISA CHA ALIYESAIDIWA NA SHETANI || IBILISI ANA MBINU NYINGI || NI MUONGO - SHEIKH OTHMAN MAALIM
SHEIKH NURDIN KISHKI AWARUDIA WAISLAMU JUU YA TAQWA || KUMCHA MWENYEZI MUNGU || UKIKUMBUSHWA USINUNE
มุมมอง 663ปีที่แล้ว
SHEIKH NURDIN KISHKI AWARUDIA WAISLAMU JUU YA TAQWA || KUMCHA MWENYEZI MUNGU || UKIKUMBUSHWA USINUNE
MAANDAMANO YA VURUGU | MPANGO WA KUVURUGA AMANI YA NCHI | KAMATI YA AMANI YATOA TAMKO DAR ES SALAAM
มุมมอง 455ปีที่แล้ว
MAANDAMANO YA VURUGU | MPANGO WA KUVURUGA AMANI YA NCHI | KAMATI YA AMANI YATOA TAMKO DAR ES SALAAM
WAISLAMU WAKUTANA NA WAZIRI WA ELIMU JUU YA SOMO LA DINI || SERIKALI KUFUNDISHA DINI BILA IMANI
มุมมอง 246ปีที่แล้ว
WAISLAMU WAKUTANA NA WAZIRI WA ELIMU JUU YA SOMO LA DINI || SERIKALI KUFUNDISHA DINI BILA IMANI
IMAMU LAZIMA UPENDEZE || MAIMAMU WENU HAWANA HATA BAISKELI || MAASHAALLAH - SHEIKH WALID BIN ALHADI
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
IMAMU LAZIMA UPENDEZE || MAIMAMU WENU HAWANA HATA BAISKELI || MAASHAALLAH - SHEIKH WALID BIN ALHADI
Alhamdu lillahi nahmaduhu wa nasta 'inuhu || JUMAA KHUTBAH ❤ THE BEAUTY OF ISLAM AND MUSLIMS
มุมมอง 509ปีที่แล้ว
Alhamdu lillahi nahmaduhu wa nasta 'inuhu || JUMAA KHUTBAH ❤ THE BEAUTY OF ISLAM AND MUSLIMS

ความคิดเห็น

  • @LuqmanKawela-qf8ny
    @LuqmanKawela-qf8ny 6 วันที่ผ่านมา

    Kuna shekhe mwenye elimu kubwa na ajulikani sn na kuna shekhe mwenye umaarufu mkubwa na elimu yake anaweza kua nayo shekhe yoyote,mf amekalili Quran,anajua Hadith,kiarabu,Sheria nk lakini yote uislamu bila kufata Quran na kumfata mtume Muhhamad(s.a.w.w) pamoja na familia yake Yani ahlal baiti,iyo ndo nukta.

  • @user-zb4py9rl9c
    @user-zb4py9rl9c 17 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @patimazaid1801
    @patimazaid1801 19 วันที่ผ่านมา

    Kwanza katulia Hana papara kalafu mada zake zote zina kiwango ,Allah akuhifadhi shekhe duniani na akhera amiin

  • @RehemaYusuph-px8qy
    @RehemaYusuph-px8qy หลายเดือนก่อน

    Mashaalla

  • @djumbesaide2169
    @djumbesaide2169 หลายเดือนก่อน

    Alana sheik Mimi unitoshi wewe no mahalimu muimu Kwa família yote duniani

  • @AthumanAmiri-t7u
    @AthumanAmiri-t7u หลายเดือนก่อน

    Mashallh

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah kisa adhim jamani Uislam ni tamu una furaha ndani yake. Kila kitu na mtindo wake bila hivo tutateseka kihisia na maisha. ALLAH SUBHANALLAH WATAALAH atuongoze SEMA Ameen. Allah ukimueka moyoni nae ukuongoza ukimtoa moyoni nawe utateseka na duniani hadaa.

  • @bakarimponda6206
    @bakarimponda6206 หลายเดือนก่อน

    Tufungee😊

  • @ZainababdulhassanalZubeidah
    @ZainababdulhassanalZubeidah 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleykum VP haliako

  • @user-ey9vf2xo6l
    @user-ey9vf2xo6l 2 หลายเดือนก่อน

    Inamaana gan sheikh tupatie jiji la dar halikosi lawama tupe sir yake

  • @user-ey9vf2xo6l
    @user-ey9vf2xo6l 2 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah 😅😅mchuz na marangwe

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SuleimaniEstikama
    @SuleimaniEstikama 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @user-wj7do9vw3s
    @user-wj7do9vw3s 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusamehe makosa yetu .mungu atujaaliye tuwe nimiongoni mwawatu wapeponi

  • @passysaida8446
    @passysaida8446 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @user-xo6wy2cx2x
    @user-xo6wy2cx2x 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh jazakum llah🥰

  • @user-eo1gq9jq4e
    @user-eo1gq9jq4e 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallwh ya maalim

  • @user-bm8wd3sk7i
    @user-bm8wd3sk7i 4 หลายเดือนก่อน

    ماشاءاللہ

  • @Nelsonsongela
    @Nelsonsongela 4 หลายเดือนก่อน

  • @Nelsonsongela
    @Nelsonsongela 4 หลายเดือนก่อน

    Nime

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 4 หลายเดือนก่อน

    Anaongea vitu halisi ambavyo vinatokea katika jamii

  • @RamadanRasheed
    @RamadanRasheed 4 หลายเดือนก่อน

    Shekhe mungu akuweke maisha marefu

  • @RamadanRasheed
    @RamadanRasheed 4 หลายเดือนก่อน

    Mawaidha yake huaga nayaelewa sana

  • @hadidhamad762
    @hadidhamad762 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @Abuubeyda_7.
    @Abuubeyda_7. 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @user-sn9yy5by8i
    @user-sn9yy5by8i 5 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar

  • @user-sn9yy5by8i
    @user-sn9yy5by8i 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ shuklani 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @saidmusa8008
    @saidmusa8008 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah MUNGU akuzidishie inshallah 🤲🤲🤲

  • @swalehtv
    @swalehtv 5 หลายเดือนก่อน

    Othman maalim.anafanya research vizuri. Mawaidha yake ni elimu kwa Past + Present + Future. Allah amzidishie kheri 🙏🏽

  • @user-tn5nk2jd3x
    @user-tn5nk2jd3x 5 หลายเดือนก่อน

    mashallah

  • @abdulrahmanomar5676
    @abdulrahmanomar5676 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Mashallah hapendi kutetanisha waislamu kwa migawanyo ya fikraisiyo na faida. Daima mawaidha yake yanafaa binadamu wote.

  • @abdulrahmanomar5676
    @abdulrahmanomar5676 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi natoka Kenya natamani sana kuwa ninaishi kwa Mchina Zanzibar ni enjoy na kufaidika zaidi na Mawaidha ya Sheikh. Kwakweli kabisa mawaidha yake yanagusa umma khaswa tabiya. Ufasaha na kina Cha mawaidha Mungu ampe umri tuzidi kufaidika.

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k 5 หลายเดือนก่อน

    Mansha allah napenda anavyo elimisha

  • @user-ki5jr2ti1u
    @user-ki5jr2ti1u 5 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum! Sheikh Othman,vipi mtu anaweza ongea na wewe kwenye WhatsApp,Kuna kitu nataka nikueleze iliuaelimishe waislam na wengine,hichi kisa kimenihuzunisha sana haswa Kwa wailam,na pia lingine ni kuaelimisha Hawa ladyboss ambao wanawafanya wasichana wa nyumba kua si viumbe 😭😭😭😭

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW 5 หลายเดือนก่อน

    MANSHALLAH ❤️❤️

  • @salumfumo
    @salumfumo 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @shariffsalimibnmajah1004
    @shariffsalimibnmajah1004 5 หลายเดือนก่อน

    MaaShaAllah ❤

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv 5 หลายเดือนก่อน

    Usisahau kuSubscribe...

  • @IbrahimMambo-wo2jw
    @IbrahimMambo-wo2jw 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @damussa6688
    @damussa6688 5 หลายเดือนก่อน

    Allah atusamehe dhambi zetu Amiyn

  • @salumfumo
    @salumfumo 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran kwa mawaidha mazuri

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv 5 หลายเดือนก่อน

    Usisahau kuSubscribe ❤

  • @damussa6688
    @damussa6688 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika Hekima ni kitu cha thamani sana.

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv 5 หลายเดือนก่อน

      Usisahau kuSubscribe ❤

  • @salumfumo
    @salumfumo 5 หลายเดือนก่อน

    Mawaidha mazuri MaaShaaAllah ❤🎉

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv 5 หลายเดือนก่อน

      Usisahau kuSubscribe ❤

  • @shariffsalimibnmajah1004
    @shariffsalimibnmajah1004 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran ❤

  • @TheFikra
    @TheFikra 5 หลายเดือนก่อน

    MaaShaAllah 🎉❤

  • @polyclinicroyal
    @polyclinicroyal 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv 5 หลายเดือนก่อน

      Usisahau kuSubscribe ❤

  • @aqonlinetv
    @aqonlinetv 5 หลายเดือนก่อน

    MaaShaAllah ❤

  • @user-ji5iv4lv7y
    @user-ji5iv4lv7y 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe Manisha marefu❤

  • @ZuwenaAlhabsi-ic5rv
    @ZuwenaAlhabsi-ic5rv 5 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Mada ambayo anaitowa Shekh Othman,ikakosa wasikilizaji wengi,hiki ni kipaji alichopewa na ALLAH,Mada zote unazotowa zinatufundisha kwa undani zaidi.ALLAH AKUPE AFYA NA UZIMA, akulinde na Kila BAYA.UZIDI KUTUELIMISHA KATIKA DINI.AMEEN