Ustadhi wetu Allah akulinde na kila shari ya dunia na akhera Pia akukunjie jamii ako kwa kila unachokizungumza kiwe cheny kusikika na kukubarika ##amin##
I like the last few words before dua, about kids love and how we react upon that, as well kids have many ways of expressing their love and seeking for the parents attention but poor us who value other things even not valuable than your kids! Like games, movies and so on and hesitating the kids nowadays, less family Bond because everyone has phone on their hands and that is what is more valuable.
Mashaa Allah, ni ya ukweli hayo kwenye jamii, je sasa kwa upande wa mashekhe mutayarekebisha vipi? Maana kwenye mimbar kuzungumziwa vile mashekhe walivyo wao kwa wao kutiyana iila tume sikiya wengi sasa twataka harakati za nyinyi kuja pamoja na kurekebisha. Wala sisemi muna makosa kusema au kutowa khutba juu ya hayo. Bali nasema, kila shekhe kusema kwenye mimbar tuu hayi saidi saana twataka najuhudi harakati kurekebisha hayo na nyinyi kuja pamoja pia zifanyike.
Maashaallah shekhe yusufu mungu akuzidishie uzid kutuelewesha
Shukran kutupaa akili Sana mungu akuzidishie
Yani mm nikiskiza Sheikh wangu hata kma niko n mawazo Alhamdulillah nafurahi.Mungu akupe umri
Subhanallah 😭😭😭 wallah shekh Yusuf umeongea kweli kabisa, allah akuhifadhi na akuzidishie umri mrefu wenye matendo mema, ameeen
Ustadhi wetu Allah akulinde na kila shari ya dunia na akhera
Pia akukunjie jamii ako kwa kila unachokizungumza kiwe cheny kusikika na kukubarika ##amin##
Ameen
Sheikh Yousuf , umeongea point sana. Allah akulipe kher
Umeongea point nzuri
🔥🔥🔥Nafikiria hii ni Miongoni mwa hutba bora.Allah akuhifadhi na atupe mwisho mwema sote...Aaamin
Amiin
Amiin yarab
Ameen
Amin
Mashaallah mashaallah mashaallah ni kweli kabisa allah akujaalie umri mrefu uzidi kuwafahamisha binaadamu wote
Shukraan sana sheikh nimejifunza kitu
Subhanallah Allah anusulu waisilamu tumefika mbali sheilh Allah akupe mwisho mwema unasema ukweli kabisa tunafikabali
Nikweli kabisa allah akupe fikra njema nakauli thabiti kilaa siku kwakweli umenenaa mzuri mungu akulipe
Subhaana Allah kweli ust Allah atuhidi sote imekuwa wanatuogopa kutuface kutupa matatizo yao
Masha Allah.
Allah akupe umri mrefu ili uendelee kutuelimisha
Amiin
@@sakinat2527 kipenzi
@@zayyatiyussuf9566 kipenzi
Ameen
Mashaallah allah akujalie khery shekh nataman wazazi wetu waya sikie haya
Mashaa Allah shelkh Allah akujalie mema kweli kabisa napenda sana mawaidha yakwako mashaa Allah
Mshallah sheykh
Allakuhifadhi unkuwa na maneno ya hekima kilasiku
Unasema kweli
Allha akuongezee ufasaha kwenye kawli zako
MashaAllAh umeongea kweli shekh wangu AllAh akujaalie mwisho mwema
Shukraan sheikh wetu jazakallah kher
Sheikh umegusa mada Allah akuifadhi sheikh yusuf abdu
Subhana Allah hapo sheikh umesema kweli kabisaa
MaashaAllah shekh wetu Allah akilinde na kila shari,tunazidi kijifunza njia za malezi.
Mashallah Tabraqallah...Best mawaida ever, اللة برك
😭😭😭😭😭😭subhallah kwelikabisaa sheikh shukrani
Shk mm nakupenda sana ww kwa ajili ya Allah mm npo Zanzibar unguja siku yoyot utayokuja nataman japo nikushike. Mkono wako
Leo alikuepo ZANZIBAR
Kwa Rehma za Allah mtakutana Inn Shaa Allah.
MashaaAllah Allah akuweke sheikh maneno ya kweli.
Jazakallahu khayran !!
Subhanallah 😭😭😭Hayo ndo tulokua nayo kwenye Jamiiii yetu
Masha Allah
لله درك يا شيخ يوسف
I like the last few words before dua, about kids love and how we react upon that, as well kids have many ways of expressing their love and seeking for the parents attention but poor us who value other things even not valuable than your kids! Like games, movies and so on and hesitating the kids nowadays, less family Bond because everyone has phone on their hands and that is what is more valuable.
¹wqwwwwwwwwwwwww
Wazaz nimasuulia wengi wanachangia zina kueka vikwazo vingi 😢😭😭😢😢
Mashaallah Rehema kila Kona 😇
@@latifamkulazi8378 😄😄
My fav youtuber
Allah akuhifadhi
Naaaam sheikh
Wallah tungepata mzazi kama wewe hakuna mtoto angae haribikiwa
Allaahu akbar ni hakika
Subhanallah
Mashaa Allah, ni ya ukweli hayo kwenye jamii, je sasa kwa upande wa mashekhe mutayarekebisha vipi? Maana kwenye mimbar kuzungumziwa vile mashekhe walivyo wao kwa wao kutiyana iila tume sikiya wengi sasa twataka harakati za nyinyi kuja pamoja na kurekebisha. Wala sisemi muna makosa kusema au kutowa khutba juu ya hayo. Bali nasema, kila shekhe kusema kwenye mimbar tuu hayi saidi saana twataka najuhudi harakati kurekebisha hayo na nyinyi kuja pamoja pia zifanyike.
Wallahi sheikh umesema kweli shukrani
Allah akuzidishie umrlefu uzidikuierimisha jamii ya kislamu.
Kusema ukweli ni furaha na kwetu pia, tuwaonapo mashekhe kupendana na kuheshimiyana. Mubaki salama nyote ndugu zanguuu.
First