Assalam alaikum warrahmatullahinwabarakatuh. Jazaaka Allah sheikh mawaidha yako yamenibadilisha Allah akulipe akupe pepo daraja ya juu kabisa akuweke mbali na moto
Wallh shekh lao mashekhe wote wangeliguwa wanatowa hutba zao mfano wako wallhi ingelikuwa mwatupa faida kubwa sana jazakallahu kheri watu liza sana kwa kutupa faida kubwa sana juu ya khutba zako alfa wa alfeen jazakallahu kheiran na allah azidi kukuenuwa kwa killa kitu
Allah akuzidishie manufaa katik maish yako akujalie kizaz chenye kheri na baraka in shaa Allah 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 shukuran
mashallah unatoa mawaidha vzr allah akuzidishie
Amiiin
Sheikh Yusuf tuandikie hio Dua baada kutawadha, shukran
Sheikh Yussuf Abdi Allah akulipe kheri kwa kweli mchango wako ni mkubwa katika dini yetu ya kiislamu. Allah akupe nguvu na ujasiri kuendeleza hili
Allah akuzidishie Elim upate kutifikishia da'waa tupate kuukaambali na maaswia
Shukran Allah akuzidishiye heri sheikh wetu
Shukran kwaukumbusho,Allah akujalie mwisho mwema
yaan ww sheikh nlkuona ktk kongamano LA miski ya roho daah Allah akulpe kla lakheri inshaallah pia atufshe halykuwa muislam
Allah akulipe kheri nyingi sheikh wetu,.
Nimekuelewa sana sheikh,, Allah akulipe kila lenye kheri nawe
Insha'Allah Mola akuzidishie elmu na ufasaha wa kufikisha.
Assalam alaikum warrahmatullahinwabarakatuh. Jazaaka Allah sheikh mawaidha yako yamenibadilisha Allah akulipe akupe pepo daraja ya juu kabisa akuweke mbali na moto
Amiin yarabb
amin
sheikh yussuf masha allah napenda kazi yako ya da,awah. na allah akulipe
Shekh Yusuf, ulio sema kuhusu kufutiwa madhambi umetufundisha. Tuombee tuyatekeleze
Mashallahhh Allah akulipe kher. Kwa darsa zuri. Shukran
Shukran sheikh tunajifunza mengi kupitia wewe Allah akubarik .
Mashaallah shukran saana shekhewetu tutayafanyia kazi
maa shaa Allah unatufundisha vyema Allah akulipe ujira mwema
Al-Hamdulillah Kwa Alietupa Afya Hadiss Tunaendelea Kupumua Bila Ya Kodiyoyote ile Naswahazangu Kwako Nakusihi kitu1 Napia Hainamaana Nimekuzidi UTAMBUZ Laa!!! Sheikh~Yousuph~Abdiy Usikatetamaa Nawala Usichoke Kwa Kazikubwa Unayo ifanya ya {Da3wa} Allah Akulipe Kwa Kuendelea Kutulingania Juu Yakilakitu Basi tuwe Niwenye Kuongoka!! Nasiepia Allah Atulipe Kwaumbali Tulionao{Frm Tz 2 Kny}Bas Tuendelea Kuskiliza Mawaidha yako Tusikate Tamaa Nawala Tusikuchoke!
Yaa Ilaahiy Taqabal Haadhihi Ddu3aa!!!
Wallh shekh lao mashekhe wote wangeliguwa wanatowa hutba zao mfano wako wallhi ingelikuwa mwatupa faida kubwa sana jazakallahu kheri watu liza sana kwa kutupa faida kubwa sana juu ya khutba zako alfa wa alfeen jazakallahu kheiran na allah azidi kukuenuwa kwa killa kitu
Masharllah alhamdulillah . Allah akulipe kwa ukumbusho
Mashaalah sheikh yousuf Mungu akuhifadhi na akupe umri mrefu ili kuendeleza dini yetu ya kislamu. Nimebadilika tangu kusikiza mawaidha yako.
ALLAH Akuhifadhi...amin
Mashaaallah ya allah walinde mashehe wetu ututunzie watufunue vichwa vetu
جزاك الله خير شيخ
Mashaallah Allah akupe maisha malefu
Mashaalah...allah akulipe inshaalah
masha allah shekhe wewe kwenye dini utuongoze inshaallah
ALLAH AWE PAMOJA NAWE
mashallahu allahu atulipe pepo ya darja ya juu inshallahi
Mungu akuzidishie
mashaAllah, shukran
Shukran JazakaAllahu kheir
Subhanallah
Mashallah
Mashaallah wa baaraka llahu fiik. Amiiin.
Allah akulipe kher
Amin
Shkrn shehe na mashaallah
Mashaallah shukran
Mashallah walakuwwata ila billahi...
Alha atukubalie toba zetu
mashallah shekhe
MashAllah...
Mubanda Wa Kabaka
Send more videos please
Yes
MASHAALLAH TABARAKALLAH, TABARAKALLAH, TABARAKALLAH, JAZAKALLAHU KHAIR
MaashaAllah Allah akulipe
masha allah shekhe allah bareek
Masha Allah sheikh
Masha Allah
MashaAallh sheikh
Allah akubariki kwa elim hii akupeleke peponi bila hesab
Aamiyn Aamiyn Aamiyn
wa jazzakAllahu khery
Ahsante Sheikhe
Allah S.W akujaalie kila la kheri
🤝
m.a
Mashallah
Mashallah
Mashaallah