Tunakuombea sheikh Allah akuwezeshe tuwe tukipata darsa kama hivi,nadra sana kupata msemaji mzuri kama hivi,kutufundisha waume na wake,Alhamdulillah Allah atupe mwisho mwema
Mashaallah sheikh Allah ibarik, mada hizi ziwe Mara kwa Mara coz siku hizi hamna mapenzi ya kweli(true love) imani hamna tena. Mateso ni mengi mno wengi wamenyamaza si wake si waume. Hafadhaka allah
mashaallah,sheikh hujawahi kukosa kutuelekeza kulingania, watoa mafundisho ya ndoa na kijamii kama hivi,huwa ni adimu nadra sana kuyapata haya kwa viongozi wetu,watu tunapotea katika dini na maadili mema siku hizi hakuna,Allah atuhifadhi na atupe mwisho mwema
Wanaume ambao wakali nje wengi ni ma dhayuth ndani majumbani na ambao ni wakali nyumbani Basi wengi ni wanyonge nje. Alafu wanaume wengine kabla ya kumuoa make hua anajipendekeza kwa yule mke lakini baada ya kumuoa basi hamwangali tena mke. Wengi ambao hufanya hivi ni wale ambao wana date badala ya kuposa
Mimi binafsi shekh ni mmoja ambaye nimedhulumiwa na nduguyangu wa kiume mkubwa ambae ndie aliniozesha mume mbaya,kisha akasaidia mume mbaya nikaatwa kwajili nduguyangu ajali maslahi ya kupewa msaada na watu wa mume wangu,na nduguyangu huyo ni shekh mkubwa kwenye jamii ni msomi wa Quran,ni daaiya katika TH-cam na kila mahali,hii ndio Hali ya waisilamu
Mayatima pia wapo wengi ambao ni watoto wadogo ambao hawawezi kujitetea wanapoteswa kimawazo au kwa udhalilishaji nk. Natoa Mwito Ma imaam wafanye iwezekanavyo kuwasajili watoto wote wa karibu na msikiti ili kuwawezesha kujua maendeleo yao ya kielimu na kimaslahi na kiafya nk. Tukumbuke Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, amesema, كلكم راع وكلكم مسؤول عن رعيته Kwamba, Nyote ni (kama vile) mchungaji wa mifugo na (kila) Mchungaji (ajue) ni mwenye kuulizwa kuhusu Raiyah wake.
Kuna wanaume walaji marungi huwa wakorofi sana akeshe barazani usiku kucha akirudi usiku wa manane ataka mke aamke ampe mke akikataa kutoa labda kwa hasira anapigwa mpaka asubuhi afunika uso watoto wasimuone alivyotolewa manundu
Shukran sheikh,lakini wajuwa kama sisi wanawake was kiisilamu twaumizwa kisaikolojiya kwasababu wanaume wa kiisilamu wamepewa khatamu ya kudhulumi wanawake Kwa kisingizio dini imewapa rukhsa,kwahiyo hakuna mjadala hapa ,hapa ni hivi uislamu umempa rights mume,na mke Hana rights huu ndio uwadilifu wa hukumi ya dini, tushkuru tuu na tukubali tumeumbwa kuteswa Wala sio lengine
mashallah shehk mwenyezimungu ambariki kinywa chako kwakunifikisha kwenye njia hii kuongoza njia ilionyooka🙏🙏
MashaAllah sheikh, Maneno swadakta.
maashallah nimejifunza Allah akujaze Kheri inshaallah
Tunakuombea sheikh Allah akuwezeshe tuwe tukipata darsa kama hivi,nadra sana kupata msemaji mzuri kama hivi,kutufundisha waume na wake,Alhamdulillah Allah atupe mwisho mwema
Mashaallah sheikh Allah ibarik, mada hizi ziwe Mara kwa Mara coz siku hizi hamna mapenzi ya kweli(true love) imani hamna tena. Mateso ni mengi mno wengi wamenyamaza si wake si waume. Hafadhaka allah
Mtihan
th-cam.com/video/0TtuuMjFvNo/w-d-xo.html
Mashallah hii darsa iko sawia sheikh Yusuf abdi,matatizo yawanadoa kila uchao yazidi Allah atuongoze na atufahamishe
Masha Allah....totally truth ..many women suffer in bad marriages...
POLE SANA
MashaAllah Ukweli unauma.
Hilo wazo la kusomesha ndoa ni zuri sana. huenda likapunguza matatizo ya ndoa kwa percentage kubwa.
th-cam.com/video/0TtuuMjFvNo/w-d-xo.html
ماشاءالله شكرن خزك الله لخير
Somo limeeleweka
Allah akuzidishiye ufasaha
Mashallh sheikh yusuf abdu Allah akubarik Inshaallah
mashaallah,sheikh hujawahi kukosa kutuelekeza kulingania, watoa mafundisho ya ndoa na kijamii kama hivi,huwa ni adimu nadra sana kuyapata haya kwa viongozi wetu,watu tunapotea katika dini na maadili mema siku hizi hakuna,Allah atuhifadhi na atupe mwisho mwema
Allahumma amin
Subhanallah swadakta sheikh
Wallah huyu Shekh sijaskia hata siku moja akiongea upuuzi kila ninapomsikiliza huwa anaongea point zakunigusa zinazoleta hisia.Poleni sana wanandoa
Alla akulip Kila la kheir
Allah atuonqozee tuwe wnye kuskia na kutwii inshllah🙏
mashaAllah mashaAllah Allah akuzidishie ilmu yaarab nimefurahi moyo wangu kwa mawaidha mazuri sana
SubhanaAllah
Allah awaongoze waume zetu
th-cam.com/video/0TtuuMjFvNo/w-d-xo.html
Tena twalia sanaa
Jazakallah khayran
Mashallah sheikh Yusuf mungu akupe umri refu
Mashallah shekhe ,Yani umegusa penyewe shekhe likawe funzo kwa Wana ndoa wote
Mashaallah shekhe
Nimejifunza shukran
Allah akulipe kheri
MashaAllah
Maa shaa ALLAH. Allah akujaz
Jazakumu Llaahu khairan
Wanaume ambao wakali nje wengi ni ma dhayuth ndani majumbani na ambao ni wakali nyumbani Basi wengi ni wanyonge nje. Alafu wanaume wengine kabla ya kumuoa make hua anajipendekeza kwa yule mke lakini baada ya kumuoa basi hamwangali tena mke. Wengi ambao hufanya hivi ni wale ambao wana date badala ya kuposa
mashaallah sheikh wetu
MashaAllah ❤️🌹❤️ALLAH barik
Mashaallah ustadh mm ndio wa kwanza kucomment
Shukran
A.alkm.naomba no ya shk yusuf abdi ya wasap au yakumpigia direct nina maswali nataka ushauri na naswaha
Masha Allah
Mashallah Allah kulipe kheri akupe umri na afya njema na furaha daima ameeen shekh wetu uzidi kitufaidisha ameen ameen
Masha Allah ❤❤❤
Mimbar aliyosimama mwanaume ..shujaa .. 🦁 🦁 simba wa kenya Sheikh aboud rogo rahimahullah نحسبه شهيد والله حسيب
Mjuwe Kwanza historia ya sheikh rogo then msifu. Bali amepeleka vijana njia potevu .sasa ndio wenyeji wa Mombasa Wanavuna.
Mimi binafsi shekh ni mmoja ambaye nimedhulumiwa na nduguyangu wa kiume mkubwa ambae ndie aliniozesha mume mbaya,kisha akasaidia mume mbaya nikaatwa kwajili nduguyangu ajali maslahi ya kupewa msaada na watu wa mume wangu,na nduguyangu huyo ni shekh mkubwa kwenye jamii ni msomi wa Quran,ni daaiya katika TH-cam na kila mahali,hii ndio Hali ya waisilamu
Mashallah ❤❤❤👍
Wasichana , watoto, vijana wa kiume, waume na wake wotee wanalia ila kilio cha wake au Wanawake kwa ujumla ni kilio kikubwa mnooo
Kwakweli nimtihan
Shukran kw kuleta mada hii wanaume wanatesa wanawake walia sijui ni iblis or hasada or or nini jamani? Watto ndipo wana potea
Shukran
Na nikimkataza zinaa anambia yy sishoga,nikimuelekeza mambo ya dini anambia najifanya mm najua dini sana
Wengi wao wakielekezwa utaambiwa wajifanya wajua dini
Mashallah mawaidha mazuri lakini fupi sana sheikh shuraim twataka clips nyengi kuhusu ndoa kama itaezekana
InshaAllah
Mashallah
Sheikh mm nilipigwa kisa nilikataa kununua hometheater na yy hanihudumii kw chochote
Wanaume achen ubahir
Mayatima pia wapo wengi ambao ni watoto wadogo ambao hawawezi kujitetea wanapoteswa kimawazo au kwa udhalilishaji nk. Natoa Mwito Ma imaam wafanye iwezekanavyo kuwasajili watoto wote wa karibu na msikiti ili kuwawezesha kujua maendeleo yao ya kielimu na kimaslahi na kiafya nk. Tukumbuke Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, amesema, كلكم راع وكلكم مسؤول عن رعيته
Kwamba, Nyote ni (kama vile) mchungaji wa mifugo na (kila) Mchungaji (ajue) ni mwenye kuulizwa kuhusu Raiyah wake.
Kuna wanaume walaji marungi huwa wakorofi sana akeshe barazani usiku kucha akirudi usiku wa manane ataka mke aamke ampe mke akikataa kutoa labda kwa hasira anapigwa mpaka asubuhi afunika uso watoto wasimuone alivyotolewa manundu
Shukran sheikh,lakini wajuwa kama sisi wanawake was kiisilamu twaumizwa kisaikolojiya kwasababu wanaume wa kiisilamu wamepewa khatamu ya kudhulumi wanawake Kwa kisingizio dini imewapa rukhsa,kwahiyo hakuna mjadala hapa ,hapa ni hivi uislamu umempa rights mume,na mke Hana rights huu ndio uwadilifu wa hukumi ya dini, tushkuru tuu na tukubali tumeumbwa kuteswa Wala sio lengine
Ndiyo
Maa shaa ALLAH. Allah akujaz
Mashaallah
Mashallah