MWANAMKE NA MITANDAO | SHK YUSUF ABDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 95

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 2 ปีที่แล้ว

    Allah amuongoze mwanamke yoyote anae kwenda kinyume na dini na awape haya madada zetu na mama zetu na jamii islamu...Allah atujaalie tuione haki na tuweze kuifuata na atuoneshe batil na tuweze kuiepuka.....amiin

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 ปีที่แล้ว +9

    Inna lillah wa inna ilaihi radjiun, Cheikh wetu Allah akupe umri mrefu wenye kheri na bakara uzidi kutuelimisha , Allah atupe husnal khatimah🤲

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran shk yusuf nikweli hayo simaneno yakusikiya nitujikane watuabisha sana kweye mitadao atuogoze allah piya hawana hishima❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @albertdoherty9394
    @albertdoherty9394 3 ปีที่แล้ว +10

    Subhanallah Allah atustiri navizazi vyetu wanawake

  • @HusseinMusa-b1x
    @HusseinMusa-b1x 8 หลายเดือนก่อน

    Maasha Allah kheir iloje kupata mafunzo kama hayo wakti huu mgumu . Kila mtu yuko mbioni. Allah akupe umri na afya umjie nyanya yangu anakusikiza usiku na mtana.maasha ALLAH

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 3 ปีที่แล้ว +25

    LailahaillaAllah Muhammada Rasuulullah ..tupo kwenye mtihani mzito wallah Allah atusaide

  • @albusayyd219
    @albusayyd219 3 ปีที่แล้ว +10

    Subhannallah Allah atujaalie husnul khatimah yaarabby

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 3 ปีที่แล้ว +5

    Swadact sheikh Yusuf, ukweli mtupu Allah akulipe kila la kher

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 ปีที่แล้ว +9

    Wallah sheikh wetu unaujua mujtamaa yote ni kweli
    Ummah tunaangamia na Kwa utandawazi na usasa tuna copy maisha ya kimagharibi

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 ปีที่แล้ว +2

    Allhamdullaah Allaah atuongoze ktk mambo yakheli dunian na akhera inshaallaah mungu akuzidishie mema

  • @fatumafatuma1459
    @fatumafatuma1459 3 ปีที่แล้ว

    MASHALLA Allah UBARIKIWE ww na KIZAZI CHAKO unafahamisha uzuri

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 ปีที่แล้ว +4

    Inna lirahi innalillah wajiun mungu atukinge namaasi. atujalie na mema amina

  • @movekwakiswahili535
    @movekwakiswahili535 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah nijaàliye niwe mke mwema kwa mumemewangu na mama bora kwa kizazichangu

  • @gamalashur5412
    @gamalashur5412 3 ปีที่แล้ว +7

    ALLAH ATAWAZIDISHIA ILMU NA KUWAPA SUBRA ZAIDI MUTUPE FAIDA ZAIDI INSHA ALLAH.

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 3 ปีที่แล้ว

    SubhaAllah Allah atunusuru wallah ni mtihan sn hasa ss wanawake mtihan i imekuwa waz waz nandyo sababu hata wanaume weng hawaowi maana kila kitu wanaviona hata kabla hajaowa

  • @naswiharashid7166
    @naswiharashid7166 2 ปีที่แล้ว

    Inna Lilahi Wainna Ilayhi Rajiun ni kweli sheikh uloyasema hz social median zawazuzuwa wanadamu na hio tiktok Allahu Akbar yaskitisha sn utaona mwanamke mwenye watto afanya mambo ya kipuuzi ktk hio tiktok hujibadilisha sura zake akajifanya mwanamume huku atekesha watu Subhana Allah yaskitisha sn Masheikh wetu zidini kuwanaswihi watu kuhusu hz social medium
    Allah akuzidishiye ilmu yako Amin

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 3 ปีที่แล้ว +3

    Alla akuhifadhi yaa Sheykh

  • @fatmayusuf1656
    @fatmayusuf1656 3 ปีที่แล้ว +3

    Hili gonjwa sana wanawake huoni wanaume Allah atuongoze ugonjwa mkubwa sana shukraan sheikh

  • @muhammedasaa4486
    @muhammedasaa4486 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa kuelimisha jamii Allah akuzidishie elimu

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 3 ปีที่แล้ว +1

    Walykumsalam warhmatullah wabarakatuh🙈 Sheikh leo umenichekesha kitovu kibovu kimefua.Subhnallah Mungu atuhidi katika njia iliyonjooka

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 2 ปีที่แล้ว

    mawaidha safi na hekima ya hali ya juu na lugha safi pia.shalom

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 2 ปีที่แล้ว +1

    Swadakta sheikh, wanawake wakiislam tumekuwa kama atuna kiongozi na muongozo wa dini yetu, inaskitisha sheikh

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujaze kila la kheri Sheikh Yusuf.shukrani kwa kutuelimisha

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuzidishie umri mrefu na afya njema na elmu manufaa ili tuzidi kueleimika

  • @ZuwainaAbbyz
    @ZuwainaAbbyz 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Allah akulipe kheri

  • @halimmnav9458
    @halimmnav9458 3 ปีที่แล้ว +4

    Eeeh Mungu wangu nipe mwisho mwema. Huu ni msiba kwetu

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhannallah Allah atujalie mwisho atujalie husnul khatim yaarabil mtihani mzito huu

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว +9

    Kiufupi wanawake ni mtihani sana...!...Na wanawake Ndio huona haki yao kwenye mambo kama Hayo yasiyofaa....wanasahau kwamba mwanamke ni kiumbe bora sana’ Na ni kiumbe ambacho kina uwezo wa kuharibu kizazi Kwa asilimia kubwa...!
    leo mwanamke huona fahari mitandaoni Kukaa utupu’ kutingisha makalio.’ Yaani kila aina ya Aibu mwanamke anaifanya mtandaoni...hii ni khatari sana’ ni lazma TUWATETEE WANAWAKE Kwa kuwaambia adui yake mkubwa ni NAFSI yake mwenyewe kuiingiza kwenye UPOTOVU na kuweka mambo yao ya AIBU mitandaoni...!...ALLAHU AKBAR....!

    • @fatumamuya2139
      @fatumamuya2139 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli Kaka Allah atupe mwisho mwema

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Ukichunguza kwa undani zaidi unakuta mattzo mengi sana yanasababishwa na wanaume. M'me km kakosea kuoa au hajui majukumu yake vizazi vinapotea. Na vile vizazi vinavyopotea ndio unakuta asilimia kubwa ndio vinavyopotosha wale walioongoka.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Baadhi ya masheikh huruhusu mpaka m'me kuoa m'ke wa kikiristo (mshirikina) wakidai ni ahlul kitabu. Hamsomeshi wala hamsilimi halafu tunategemea kizazi kitakuaje? Kinaeza kupotea/kupoteza.
      Na hio mitandao ndio imekuja tena unakuta ni mitihani mengine mikubwa zaidi lkn unakuta waloipokea mwanzo ni watu wasiopata malezi ya kiisilam na wao wakitenda na wengine hata wenye malezi nao hufuatia.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      katika upande wa mtandao ni kila sampo ipo kwa mtandao waume ni balaa kwawake zao yaan c mwanaume c mwanamke kwa dunia yann ni mtihan wanaume dini hakuna wanawake dini hakuna

  • @asyaasya3766
    @asyaasya3766 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran skeikh wetu mpendwa kwa kutuelimisha

  • @aboukarlee6474
    @aboukarlee6474 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atuongoze👏🏻

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu tusaidiyee wanawake jamaniii 🙏🤲🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲☹️☹️☹️

  • @aydaawadh388
    @aydaawadh388 3 ปีที่แล้ว

    Subhallah Allah atuongoze

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe mcheshi Mungu akujaalie kheri Afia njema INSHALLAH uzidi kutuelimisha.

  • @marinamooh4055
    @marinamooh4055 3 ปีที่แล้ว

    SubhanaAllah, 😭Allah tupe mwisho mwema🤲🏿

  • @maryamfaraj7498
    @maryamfaraj7498 3 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdillah...ukweli...Allah atuhifadhi atupe rehma yake kesho InshaAllah.

  • @ukhtyhumairah73
    @ukhtyhumairah73 3 ปีที่แล้ว

    Allah atupe mwisho mwema tufe khali yakuwa tuko waislam ya Allah

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran shekhe wetu. Kweli kabisa yani. Simu zinatupeleka motoni.Allah atuifazi.watoto ndokabisa wa nazipenda kuliko wazazi wao😓waweza kumuuliza mtoto wa ss mama na simu unapenda nn akakujibu na penda simu tena i phone 😭

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      kwa upande wa sim kila mtu ako nayo isipokuwa asiyekuwa na uwezo wa kununua sim

  • @lelashaibu8829
    @lelashaibu8829 3 ปีที่แล้ว

    Subhanallah Allah atupe mwisho mwema

  • @nasradada7050
    @nasradada7050 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atujalie. Na atu ongoze waja wake

  • @ahmedsukeyna8034
    @ahmedsukeyna8034 3 ปีที่แล้ว

    Jazakalahu khail Sheik

  • @habibamkuzi1820
    @habibamkuzi1820 2 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah

  • @leilahassan6157
    @leilahassan6157 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah.kweli kabisa.

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH atusamehe kwa makosa tunayofanya

  • @aqmmsm55
    @aqmmsm55 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa maoni yangu suluhisho tujitahidikuitumia mitandao kwa yale yanayomndezesha ALLAH

  • @salmakayanda8126
    @salmakayanda8126 3 ปีที่แล้ว +2

    Subuhannallah Allah tusamehe na utunusuru

  • @nadhramuhammad7604
    @nadhramuhammad7604 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว +1

    Swadakta shekhe binafsi alhamdulillah nimekuwa nikifaidika kupitia simu

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 3 ปีที่แล้ว

    JazaakAllah shiekh

  • @aminakawir174
    @aminakawir174 3 ปีที่แล้ว +1

    ManshaAllah

  • @faridamohammed3964
    @faridamohammed3964 3 ปีที่แล้ว +1

    Innaa lillahi wainna ilayhi raajiuun. Msiba mzito .

  • @zamzamahmedmohamed8330
    @zamzamahmedmohamed8330 2 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi waina ileyhi rajicuun😢

  • @hawaahamis6179
    @hawaahamis6179 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh umegusa ndipo yaani hio tiktok mpaka imesinya wallahi

  • @sahromohamed4375
    @sahromohamed4375 3 ปีที่แล้ว

    Allaah atustiri

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +1

    Mjomba maneno mazito ukweli mtupu mashallah suluhisho kwa watoto ni simu kuzitis lock ili wasiweze kucheza gemu mana zinawapumbaza kwa watu wazima na vijana ni simu kuwacha kutizama habari mbaya au kununua simu si za smart phone

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika huu mtihani mkubwaa
    Jangaa la dunia

  • @saabafaraji7781
    @saabafaraji7781 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaarab tusamehe waja wako..yote ulio yazungumza shekh wetu ndio yaliop ssa..nimsib.mzito kw waislamu 🥺😭😭

  • @a.856
    @a.856 3 ปีที่แล้ว +4

    Jazakallah khayran

  • @amnahnyangasi8330
    @amnahnyangasi8330 3 ปีที่แล้ว +3

    Simu mtihani kubwa

  • @ummuabdsheikh9581
    @ummuabdsheikh9581 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaani hii mada naisubiri Kwa hamu wallah nijue suluhisho

  • @shamimnassor6192
    @shamimnassor6192 3 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯📌

  • @hawaaaidarus7046
    @hawaaaidarus7046 3 ปีที่แล้ว

    Swadakta 👌

  • @ZuwainaAbbyz
    @ZuwainaAbbyz 2 หลายเดือนก่อน

    Inatakiwa ninyi wanaume ndo viongozi ktk familia mnatakiwa muwadhibiti wake zenu na watoto wenu Tena Kwa nguvu enu zote na ujasiri mkubwa Allah ataleta kheri.

  • @zeitunadabaso7197
    @zeitunadabaso7197 3 ปีที่แล้ว

    Asc

  • @gshdhvdhf8283
    @gshdhvdhf8283 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh uthman maalimu alisema simu yako uisilimishe na mimi nakubaliana wewe kama ni muislam basi simu itasilimu.

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    kuna mwanaume kakatwa uume kwa sababu ya sim kapigiwa sim mda wa kulala haitoshi sim haikupokewa katuma sms laa mke kaona bora kuikata 😁😁😁🤸🤸

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 ปีที่แล้ว

    Sheh tujue tu matumiz yale mabaya tuyaache

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @minakhamiskhamisi6193
    @minakhamiskhamisi6193 3 ปีที่แล้ว

    Mm ningeomb hii kitu kinatwa tiktok jmn subhhanalh wanawk ambao wako tiktok jmn jmn wanachez uchi mtu amevaa hijab unakut akata mauno wanavaa nguo z ajb ajb hazin madili kun watu wazim mtu amevaa kazu n anachez nae music yn mungu atustiri walhi moton tutaend walh mtandao wa sim unaharib watu jmn

  • @babymuniral6840
    @babymuniral6840 3 ปีที่แล้ว

    👍

  • @halemahalema7266
    @halemahalema7266 3 ปีที่แล้ว

    Ahsantu

  • @fatumafatuma1459
    @fatumafatuma1459 3 ปีที่แล้ว

    Una wake wangapi km hjakamilisha na mm uje uniowe

  • @shanelloyd1278
    @shanelloyd1278 3 ปีที่แล้ว +1

    John 3:16 For God so loved the world that He gave His only begotten Son, that whoever believes in Him should not perish but have everlasting life.
    John 14:6
    Jesus said to him, “I am the way, the truth, and the life. No one comes to the Father except through Me.

  • @الحقيقال-ع2ض
    @الحقيقال-ع2ض 3 ปีที่แล้ว

    Hukum ya talaka tatu
    th-cam.com/video/dwxR9uBDFq8/w-d-xo.html

  • @arthamsharibbya9778
    @arthamsharibbya9778 3 ปีที่แล้ว

    Nimtihan kwakweli. wanawake tumekosa haya kabisa wala hofu ya allah

  • @saabafaraji7781
    @saabafaraji7781 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaarab tusamehe waja wako..yote ulio yazungumza shekh wetu ndio yaliop ssa..nimsib.mzito kw waislamu 🥺😭😭