Baba Mungu akubariki,naona kama huu ufunuo umekuja kwa ajili yangu,kwa maombi ya Jana usiku nimeota natoka kwenye kichaka sijui hata ni CA namna Gani nikiwa nipo na boss lady wangu pamoja na rafiki yangu mwingine ambae Huwa tunashauriana mambo ya maombi. Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu baba
Amen amen amen 🙌🙌🙌
Amen 🙇♀️ 🤲 🙏
Mungu akubariki mtumish I Amina
Amen.Ahsante YESU
Mungu.
Akubariki.
Mutuwa
Mungu.mimi.naitwa.
Mariserine.toka.kongo.uvira.nimara.yakwaza.kukusikia.namushukuru.
Mungu.sana.kwakunikutanisha.nawewe.katika.maombi.haya 22:02
Amina
Ameen mungu mwema
Amen 🙏🏽
❤❤❤❤❤❤Ameeen
Thank you Jesus
Amen
Amena
Ameen, Ameen hakika rehema za bwana zipo pamoja nami,na damu ya Yesu inanena mema kwenye malango🙏
Amen and amen
Woohooh so powerful AMEN
Amen!! Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu! Damu ya Yesu inene rehema kwa ajili yetu sote!
Hunaweza bwana
Amen
Ameewn
Baba Mungu akubariki,naona kama huu ufunuo umekuja kwa ajili yangu,kwa maombi ya Jana usiku nimeota natoka kwenye kichaka sijui hata ni CA namna Gani nikiwa nipo na boss lady wangu pamoja na rafiki yangu mwingine ambae Huwa tunashauriana mambo ya maombi.
Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu baba
Amen mwanangu jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa milele yote. Mungu akubariki na kukutunza na kukushindia daima
Ameen Ameen baba barkiwa kwa somo na maombi
Amen Amen mwanangu zidi kubarikiwa sana kwa baraka za milele yote
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu ninabarikiwa sana 🙏
Ameen MUNGU wa Mbinguni akubariki
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen Baba Mungu akubariki Sana
Amen mwanangu zidi kubarikiwa pia kwa baraka za milele yote
Mungu akubariki sana Masihi wa bwana
🙏🙏🙏
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Barikiwa sana mwana wa Mungu
Barikiwa mtu wamungu
Shalom.samahan sijaona ya j2 na wala leo j3.tar 18
Amen 🙏🙏🙏
Amen
Amen amen amen ❤