Mwanaume Anayejitambua Aje Anioe - K Mziwanda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 521

  • @hasiramasige6225
    @hasiramasige6225 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Kay Mziwanda,,huyo muandishi umemuacha mbali sana,,ana maswali ya nyajinga sana ,,umemjibu sahihi na yeye kaonekana hajasoma !!,muandishi arudi darasani

  • @godfreyelkarim2586
    @godfreyelkarim2586 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi napenda kufuatilia kipindi chako tu(goma la uswazi),,hayo mengine ya bikra,kuolewa,sijui wanaume nini!! hayo yote ni faragha zako za ndani utajua mwenyewe!!!

  • @OmarMohamed-tp4uf
    @OmarMohamed-tp4uf 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu bint mm namfagilia sana tu ana hiikima ya kuzungu mza

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc 7 หลายเดือนก่อน

    Usanii usikupelekee kwenda kinyume na makatazo ya Mungu ikiwa hayo mavazi unakatazwa usivae dada.
    Na namna unavyojichanganya na vijana wa kiume dini ya kiislam inakataza

  • @charlescharles8267
    @charlescharles8267 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mwenyewe anae kuhoji mchek sura nyusi kachonga mkorogo umemkubali

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji wew nimwehu unamlazimisha mtu akazini unajielewa kweli umeniuzi kweli Muache afanye moyo wake unavomtuma

  • @leahkabura4271
    @leahkabura4271 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji umekalia kuuliza mapenzi tu wakat huyu dada anamambo meng sana! Umefeli mtangazaji

  • @RashidiPembe
    @RashidiPembe 7 หลายเดือนก่อน

    K nampenda sana, natamani nikutane nae siku live nimsalimie

  • @abdallahmohamedysaiddy7472
    @abdallahmohamedysaiddy7472 3 ปีที่แล้ว +1

    K me nimekwelewa Sana so Kama upo tauari be free

  • @erickambakisye112
    @erickambakisye112 3 ปีที่แล้ว +1

    Yeye anajitambua maan shetan hawakai na maraika chumba kmj

  • @winniemwasenga
    @winniemwasenga 6 ปีที่แล้ว +6

    Wasikutishe k mziwanda binadam hawana jipya. Mi nimekupenda bureeeeeee kabisaaaa

  • @Chaotic-c2p
    @Chaotic-c2p 7 หลายเดือนก่อน

    Hormone za kiume ndio zimemzidi kwahiyo sishangai .niliona mama zangu wadogo wanafanya kazi kwenye sécurité compagnie

  • @suleimanalgharibi8196
    @suleimanalgharibi8196 2 ปีที่แล้ว +2

    Mziwanda,Mimi shabiki wako endeleza hizo beat za mswazi, nipotayari kukutumia shairi Moja na wewe Fanya ukarabati wako karibu Oman

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 6 ปีที่แล้ว +3

    duuu...! mtangazaji umezidisha carolite mzeee...
    punguza sasa tutakuoa...

  • @rayman111
    @rayman111 3 ปีที่แล้ว

    Nafikiri mwenendo wa mtangazaji anafikiri tendo la ngono kabla ya ndoa ni
    lazima na watu wengi wanajua hivyo, mi namuheshimu sana huyu binti, kwa kuwa anajiheshimu. Mziwanda upo classic, yupo ambaye Mwenye enzi Mungu amekuandalia.

  • @zakiamohamed845
    @zakiamohamed845 6 ปีที่แล้ว +5

    Chefu kweliii yaan,yaan nataman hata msiwe mnajitambulisha ni waisilamu,maana kwakweli mnatuzalilisha

  • @mathalaishamsi5830
    @mathalaishamsi5830 6 ปีที่แล้ว +8

    We ni mrembo sana na ukiwa una imani ya kua Mola yupo basi hta ipo siku utabadili hta mavazi na In sha Allah nakuombea Mungu upate Mume bora....tuitikieni Amiin

  • @marwasibena7590
    @marwasibena7590 3 ปีที่แล้ว +7

    She's beautiful and an outgoing gal, give her love and respect folks

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaji punguza kipodozi buana umezidisha sana

    • @Chaotic-c2p
      @Chaotic-c2p 7 หลายเดือนก่อน

      Well said

  • @nickomlumbetz9355
    @nickomlumbetz9355 6 ปีที่แล้ว +8

    Mtangazaji usha kua choko duuuuuuuh!!!!!ulivo mlembo unajichumbua unataka kuolewa au

  • @mamamuu8217
    @mamamuu8217 3 ปีที่แล้ว

    Subhana llah , we dada we Acha hizo umrudie mola wetu dunia ni njia Tu🙄🙄🙄🙄🙄

  • @masoudseif3515
    @masoudseif3515 6 ปีที่แล้ว +5

    Innalillah wainnailah rajiuun ww hujafunzwa katika maadili bali ww umefunzwa uswahilini

  • @leahkabura4271
    @leahkabura4271 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji hana adabu...
    Lipuuzi sana

  • @shanimwakilima968
    @shanimwakilima968 3 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bureeeeeeeeee!!!!!!! Mwanangu Kessi kaza utakuja kupata mume bora

  • @alhadjmugisha5216
    @alhadjmugisha5216 3 ปีที่แล้ว

    Kma wew n muislam kwel kumbuka kuwa amelaaniwa mwanamume kujifananisha na mwanamke pia vile vile amelaaniwa mwanamke anaejifanansha na mwnamume

  • @bahatimwamrima2383
    @bahatimwamrima2383 3 ปีที่แล้ว

    Ahsant kwa kukujua maana nlikua nachanganyikiwa cjui km ni mke ama ni mume, nakupenda bure dadangu

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 3 ปีที่แล้ว +6

    Niachieni demu wangu janani❤️

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 3 ปีที่แล้ว

    Allah akufanyie wepes ktk maisha yako.

  • @mpmp3195
    @mpmp3195 3 ปีที่แล้ว

    Asante sanakbsa. Ivinahaminika ukomwana mke wow😂😂🔥🔥

  • @johnmtweve3883
    @johnmtweve3883 3 ปีที่แล้ว

    K mziwanda namwelewa sana hasa sana speech zake anajiamini

  • @kagarukifred7372
    @kagarukifred7372 3 ปีที่แล้ว

    Mwanamme Kama mwana mke na mwana mke Kama mwana umme

  • @HajimasoudAli-i5y
    @HajimasoudAli-i5y 25 วันที่ผ่านมา

    K, Nakusapoti Na Karibu ZNZ Makinduchi

  • @rubeyasalim3658
    @rubeyasalim3658 3 ปีที่แล้ว +5

    Jitambue ww kwanza, ukishajitambua ukavaa, na kumuabudu Allah utatolewa, ila kwa hali hio, labda upate hao wasojitambua wenzio

    • @arafakiloli749
      @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว

      Allah amfanyie wepesi abadilike

    • @gregymhadze880
      @gregymhadze880 3 ปีที่แล้ว +1

      Anajitambua .tofauti na wale nyatu nyatu hawajitambui.Ni mkweli kupitia maelezo.Anaweza kufaa Sana kwa waoaji

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada mimi hua sipendi kuongelea wanawake vby kisura mzuri sana ila changamoto kubwa kumpata mwanaume anaejielewa vigumu sana kutokana na maisha uliejiwekea unavaa kiume badilika kwanza wewe mwenyewe utampata halaka sana haijalishi dini gan

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว

    Wasanii ndugu zangu,kuzimu ipooo. Kwa mavazi yenu siku moja mtajuta,dah!! Poleni sana

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

      Sana hawajistili kabisa hawajui iposiku watakufa

  • @Tam_media2548
    @Tam_media2548 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtangazaji fala sanaaaaa....
    Anaacha kuuliza kazi... Anakazia mambo ya mapenzi shenzzzz

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 3 ปีที่แล้ว

    Naomba Friendly Match Kwanza

  • @chieframso3600
    @chieframso3600 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mwenyewe hujitambui harafu unataka mwanaume anaejitambua

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji wewe sura ndo Kama Mwanamke na Kay mziwanda Kama mwanauume

  • @neemamkosa9484
    @neemamkosa9484 3 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji VP unakazia sana mapenzi na kiss afu uache kujichubua ww boy hy mamb ya wadd

  • @fatmajuma8763
    @fatmajuma8763 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe we mwanamke kweli uxikihukumu kitabu kwagamba la nje,

  • @nassralmaawali9163
    @nassralmaawali9163 6 ปีที่แล้ว +14

    Aaa Mim nimekukubali mpenzi k mziwanda aacha tuu waseme wenye roho zao penda Sana wewe ❤️

  • @salummuhsyn6148
    @salummuhsyn6148 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuongoze ktkt njia ilonyooka

  • @lukanavaya8050
    @lukanavaya8050 3 ปีที่แล้ว

    We dada k mbona unaniogopesha sana

  • @saitotimeshilieki1217
    @saitotimeshilieki1217 3 ปีที่แล้ว

    mdada mzuri kweli hata sura ni laini tofauti ni ongea yake na mavazi

  • @happyshirima1598
    @happyshirima1598 3 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu mi nilijua ni mwanaume ety skuzote najua ivo

  • @merrymakuli7132
    @merrymakuli7132 6 ปีที่แล้ว +1

    duuuu kaka veep mbona ckuelewi unajichubua au cjakielewa wanaume wa dar

  • @nyikaboychannel7089
    @nyikaboychannel7089 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyo si mwanaume

  • @fredyemmanuel4303
    @fredyemmanuel4303 3 ปีที่แล้ว

    Yani mimi nikikuoa wew nikikupeleka tu kukutambulisha kwa wazazi nafukuzwa na ukoo mzima unanitenga

  • @zunaydaabdallah7644
    @zunaydaabdallah7644 6 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh mungu atustir na kizazi chetu balaa hili😏😏😏😏

  • @eugenetv6881
    @eugenetv6881 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nko apa Kenya 🇰🇪

  • @mankamukure2992
    @mankamukure2992 3 ปีที่แล้ว

    naku appreciate sana kessy hassan

  • @winniedaudi4670
    @winniedaudi4670 6 ปีที่แล้ว +2

    Sio kwa kijichubua uko huna haya mwanaum mzimaa

  • @nasrahamisi9266
    @nasrahamisi9266 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nampenda sana k mziwanda 🔥🔥

  • @pira7439
    @pira7439 3 ปีที่แล้ว

    tatizo balaa hili la uhuni wa nyimbo ni waislamu bado mnasema mmekulia katika uislam, mnawatia aibu wazee wenu na uislam kwa jumla

  • @robertyose4804
    @robertyose4804 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwako k Mziwanda nakukubl sana mtt jitahidi utatoboa tu

  • @khalfaniissa2212
    @khalfaniissa2212 3 ปีที่แล้ว

    Nitumieni no za k mziwanda

  • @isayangwahi9251
    @isayangwahi9251 6 ปีที่แล้ว +5

    HUYU DADA MZURI SANA BHASI TU....

  • @asnatiasnati2367
    @asnatiasnati2367 6 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀nakupenda sana eti sijui kis

  • @vincentmizengo1504
    @vincentmizengo1504 3 ปีที่แล้ว

    Hutakaa uolewe hata siku moja kwa shep gan uyo akikuoa siatakua kaoa mwanaum mwenzak kwendaaaaa huolew Kwanza unavyo oneka hun mbegu za kuzaaa weee dum jike

  • @samsonmakungu2811
    @samsonmakungu2811 3 ปีที่แล้ว

    Saw Dada yangu ulipo npo nakukubali sana

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah umelelewa kidini ndiyo unajiweka hivyo ss unajua kama vibaya kwanini una hofu na MUNGU wako na unajua kwamba utakufa hata uwetajili vipi utaacha kilakitu

    • @anniebenjamini7739
      @anniebenjamini7739 3 ปีที่แล้ว

      Mbona kuna watu wanavaaa mahijabu na wanafanya mambo ya hovyooo

  • @ramabwagizo3974
    @ramabwagizo3974 3 ปีที่แล้ว

    Mh!! Nilikua najua huyu ni mwanaume

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 3 ปีที่แล้ว

    Mwanasimba mwenzangu!upo juu

  • @nengwakanoni6913
    @nengwakanoni6913 3 ปีที่แล้ว

    Niko tayari nikuoe k mziwanda

  • @samwelileonadiayubu3909
    @samwelileonadiayubu3909 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali ssna k mziwand

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 3 ปีที่แล้ว +1

    Me ninamtaca uyo bint kziii

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jibadilishe kidogo basi coz unatia uoga

  • @magwaza8904
    @magwaza8904 2 ปีที่แล้ว

    Hii ndo Dunia duuuuh.🤔 Bora nikae kimya nisije nikakosea

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali sana K- Mziwanda

  • @josephmallya5525
    @josephmallya5525 6 ปีที่แล้ว +11

    Napenda unajua kujieleza

  • @abdulrakibabdul4787
    @abdulrakibabdul4787 3 ปีที่แล้ว

    K Umemaliza sema mahari kiasi gn ?

  • @paulkaruma8480
    @paulkaruma8480 3 ปีที่แล้ว

    Mziwanda uko sawa. mademu mzuri mchangamfu kiviyake. kila mtu afanye mambo ya kwake. Bora uskiye raha duniyani. Heno kingwendu 😃🤣👍

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    mtangazaji mwenyewe ana heren nusu jike nusu dume

  • @abdulrahman282
    @abdulrahman282 6 ปีที่แล้ว +4

    waislamu tumepoteza nguvu,Hakika mali na watoto ni fitna!!

    • @fadhilinduza3443
      @fadhilinduza3443 6 ปีที่แล้ว

      duh

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

      Sana yani mtoto kaelewa kwenye dini alafu yupo hivyo mama na baba wanalizika kweri mtihani hu

  • @lucky0867
    @lucky0867 3 ปีที่แล้ว

    Aki smile ndo anakaa dem

  • @HajimasoudAli-i5y
    @HajimasoudAli-i5y 25 วันที่ผ่านมา

    K, Nakusapoti Na ZNZ Makunduchi

  • @nashondaniel3592
    @nashondaniel3592 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubal mkuu

  • @mumyally5901
    @mumyally5901 3 ปีที่แล้ว

    mwenyezi mungu amemlaan mwanamke anae jifananisha na wanaume

  • @peterclavery9989
    @peterclavery9989 6 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmh huyu dem mdwanzi hawezikusema hata busu halijui. Anatulisha maneno tu.

  • @salehisangile6258
    @salehisangile6258 6 ปีที่แล้ว +1

    Acha kuzipoteza dada nizambi kujifananisha na mwanaume ukifa ivyo wewe motoni tu

  • @marryjackson9723
    @marryjackson9723 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nakupenda dada

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mtaani💞😘

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 ปีที่แล้ว

    Minlijua mwanaume

  • @sharashoka5260
    @sharashoka5260 3 ปีที่แล้ว

    Subir ufe utaona kma suruali na nywele zako kma zitakusaidia

    • @amockkalinga1520
      @amockkalinga1520 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂hatar

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    Atiii umelelewa kwenye misingi ya kiislam wacha uongo

  • @rightnesskasanga9855
    @rightnesskasanga9855 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji Amna kitu uyooooo

  • @rebeccamtambobwalya7316
    @rebeccamtambobwalya7316 3 ปีที่แล้ว +3

    She's beautiful

  • @sagessegabriel149
    @sagessegabriel149 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali miurembo

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 6 ปีที่แล้ว +7

    Hongera mwenyezi atakusaidia utapata mme bora

  • @zawadikilua8816
    @zawadikilua8816 3 ปีที่แล้ว +3

    Umri huo kama hataki mwanaume ujue anatamani wenzie hofu ya mungu imemlinda angekuwa msagaji mkubwa

  • @iam__kizzo7942
    @iam__kizzo7942 3 ปีที่แล้ว

    K ni mrembo ile ile

  • @munnaadam5443
    @munnaadam5443 6 ปีที่แล้ว +1

    zidisha vipodozi bro umekuwa mweusi sn

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @lelasalum555
    @lelasalum555 3 ปีที่แล้ว

    Huy mwanamke am mwanamme

  • @eddiebilly3475
    @eddiebilly3475 6 ปีที่แล้ว +1

    dah mtangazaji huo weupe dah ...shikamoo carolight

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

  • @NgomwaACNTV
    @NgomwaACNTV 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana mtangazaji

  • @khalidkulanga7007
    @khalidkulanga7007 2 ปีที่แล้ว

    Kuolewa mchezoooo

  • @emmanuelchaula6682
    @emmanuelchaula6682 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha yy hajitambua atapataje mwanaume wa kujitambua 😂 ndoto uyo kupata mwanaume

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 6 ปีที่แล้ว +3

    Nmependa hii dada ako na sauti kama ya yule tajili mfupi kwa dunia

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 3 ปีที่แล้ว

    Naomba nimuowe