KIJANA ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA ASIMULIA MAZITO YALIYOMKUTA - MALIMWENGU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
Huyu bwana mchezo kauchora vizurii na hao wengine wamepanga vizuri, angeenda polisi kueleza kama angekuwa mwema na simu alikuwa nayo kwanini asimpigie boss wake wakiume akamjulisha kilicho toke. Huyu kausika💯👆
Kiwewe cha kushuhudia kifo na vitisho.Usiombe yakukute mjomba
Kiwewe na mshtuko pamoja na udogo!🙏
Mtazamo wako ila kila binadamu anaufahamu wake wa kutatua matatizo hajausika angekua kahusika angewataja wale wenzake
@ mmmmm! Ongeza na zakwako basiii
Kama angekua ajaucheza kwanza angewaambia mpigie I boss kwanza nikiki Kisha twende I we utamu amini vp mtu umjui Ata ndani kwako unaweza kumuinhiza mtu tu kiolela kwali pia angewaabdika kwenye daftal hapo getini wakati yanatoka Sasa kufika getini Asingekubari kuondoka naho pale pale angepita kelele Ata kama wangeempiga lkn angejiami wenzi aho wangeempiga risasi lkn angekua Makini kua hapa lazima napigwa lkn kakubari kaondoka naho da mbele uko si wamemgaeia mouga 😂😂😂😂muhaminifu ni kitu kizuri Sasa amekosa mengi kama ivyo walitaka kumoeka Dubai watu tupo nje lkn tu alienda Mali za maboss atari maana tamaa mbaya alafu mrugulu Wa kwetu Kabisa 😂😂😂😂😊
Pole sana kijana mitihani ya maisha ni migumu ila kwa msaada wa Mungu alikuokoa❤
Pole sana kwa kupata somo gumu maishani mwako ,ongeza jitihada utakua na mwisho mwema sana endelea kumtanguliza Mungu maishani mwako
Kwa mazingira hayo kweli mshukuru Mungu kuachiwa salama
Hakika kwa hayo mazingira mmmhhh amshukuru Mungu kuchomoka hapo
Pole sana ndugu yangu,changamoto kwenye maisha ni kawaida
Tammaaa mbaya ungekuwa mbali saivu
Nimemshangaa sana mbona kabla ajaru kutoka dukani mbona hawakuingia? Mpaka uje ndy waingie?
Pole sana mzee baba
Pole sana bro
Tuuubu dhambi zako kwa kumaanisha kuziacha ikiwa na hiyo ya kuua au kutoa mchongo yakaatokea maauji niomaana wenzake walikuwa wanamfatia cm mipango ya kukaaa keko bila kusumbbuliwa wamfatilie sana huyu kijana anavitu vingi anahua
Sahihi kabisaa 💯👍 good point big up!
Pole sana bwana
Pole sana ila ulihusika jambo zito kama hilo ulishindwa hata kuwaambia wazazi wako mpaka unakamatwa ndy wanajua mmmm!
Kiukweli anaonekana ana Akili nyingi sana alafu mjanja wa kugeuka na kusema Uongo mtupu kiukweli jamaa anaonekana mengi anaonesha Muhusika Mkuu na apo anaonekana yy mwenyewe kachora Mchoro kiukweli yupo Vizuri na Kazi yake!
Mwisho anasema alipotoka Maisha sio mabaya na jamaa kamwita kampoza kwa izo ni Pesa zake mwenyewe na haitakikani kwa sasa gafla aonekane ana Ela jamaa watamnyaka mara moja tu!😂😂😂
Mjombaaa na wewe umehusikaa% shukuru mungu kwa kuachiwaaa salamaaaa
Do you know what I like it the way he talk is he like comedian? I wish I could see him thank you bye.
Jamaa inaonesha kahusika
Mtangazaji ni tatizo sana
Master planner.I don't know why he's here telling lies. 😎🇺🇲
Definitely 💯 right truly lies!!!
Pole Sana kaka Allah anaweza kukupitisha sehem anamakusudio yake naamini umejifunza na Kisha na ss tumejifunza kwako hakuna kubwa kwa Allah yy tu ndio kilakitu
We jamaa Huna akili kbsa
Waliokua hawana akili ndio wanamuamini Comedy show zake Uyo!! Pesa anazo uyo alipotoka kapewa za kutia Voucher na Kutulia Kwanza asubiri asiwe na Pupa maana jamaa watamnyaka!
Kiukweli huyu kijana ili tukio alihusika kabisaa, wale wenzake walimsaidia kesi yaani walifaiti
💯👍
Pole kaka mungu atakulipia kwa magumu uliyo pitia
Uyu mwizi
Wewe mwezi shezi
Pole Sana Ndg.
Anaehukumu ni Mungu ila kupitia changamoto zote usitafute boss umweeleze kilichoendelea kila mwanadamu anaekua na hisia anaweza asikuchukulie sawa kama hujihukumu na hujui kinachoendelea kwa nini na wewe hawakukuuwa wakatoka na wewe kisha unaachiwa usitoe taarifa hii story ngumu kuelewa..😢😢
Ukisikia neno kumfata mtu ndo ii,dunia ina mambo.
Huyu arudishwe jena ni mtuhumiwa namba 1 kutokana na maelezo yake nashangaa ameachiwa huru. Shukuru hao sio watanzania ingekuwa wabongo ndugu wangedili na wewe hadi pumzi yako ya mwisho.
Chunga sana maneno yako kama bado upo kwenye hii dunia maana hata wewe hujui siku gani jumba bovu litakuangukia.
😂😂😂
Kijana alihusika kwenye tukio ukifuatilia maongezi yake pamoja na matendo yake gerezani, alihusika ila wenzake aliogopa kuwataja
Asili 💯👍
Pole sana
Ww mwizi tuu
Cjui uwa wanaangalia vigezo gan kwa awa watangazaji,yan jamaa kimeo kabisa ana uliza maswali ya kiwaki
Gwe mkude ishu nzakuimanya bwana 🤣🤣🤣🤣🤣uhamifu nza kukushinda kumuua boss wako maana usingekubari kumbeba izo pesa imepanda Gari laho mweeee pale getini ukasema wasiandike Jina wakati uwajui hapo ndo ulipokosea
Huyu ndiye jambazi no 1
uyo bosi anakusikiliza tu ujue we
𝙆𝙒𝘼 𝙈𝘼𝙀𝙇𝙀𝙕𝙊 𝙔𝘼𝙆𝙍 𝙃𝙐𝙔𝙐 𝙉𝘿𝙄𝙊 𝙈𝙐𝙃𝙐𝙎𝙄𝙆𝘼 𝙈𝙆𝙐𝙐,
Toka niwah kusikilixa hzi tv hii story ni kubwa na inafumdisha na inahuzumisha kuwah tokea dah nimelia ila ulipohukumuwa kufungwa ukacheka na ulipoachiwa ukalia umenichekesha mnooo
Unaskiliza tv sio😅😅😅 ila sawa tu mi pia hutizama radio yutub humu
kuna kilio cha furaha na kicheko cha huzuni
huyu jamaa hakua na akili nzuri, niamini mimi, tukio limetokea kwa nini usingrudi kutoa taarifa?
Huyu braza Kwa maelezo yake mchongo mzima Anajua kbsa alipaswa apige kell Kwa waliz bdo haitosh hakwenda police
Ivyo ivyo aliwavusha Watu wake nae akajifanya Mbabaifu haelewi kajifanya Mjinga Mjinga hayo yote ni katika Hesabu zake na katoka jela kapewa laki tano kaambiwa tulia utajuaje nani atampatia akitoka tu alafu anaulizwa Maisha ya Uraiani vipi anajibu yapo Vizuri wakati Watu wanasaga Rumba apo ata Pesa ya Voucher inawashinda!
Uyu mchezo kaucheza bna aimeki sensi ata kitu kimoja anacho sema
Pale getin angesema hawa wezi angesaidia
Ivyo ivyo 💯 tu👍
Kwa nini hukumpigia bosi wako simu
Baada ya wale majambazi
Kukimbia?
Iyo ndio point hakuonesha km alihuzunika na alikimbia kabisaa
Kama inawezekana akamatwe tena kabsaa
Inawezekana yumo ktk Uchunguzi bado maana anajifanya mjanja mjanja Sana na Comedian mpaka kucheka sana alipohukumiwa Kifo ni Mchongo aonekana hayupo Sawa Kiufupi jamaa anajua Kupanga Uongo yupo Sharp kwa ilo!
Pole Mr mkude ndo maisha ya uwanaume kaka
Kiukweli mwenye Akili haambiwi lkn Uyo ni muhusika yy Kachora Mchoro wotee!😅
Unaume na Wizi?? Ww vipi huna akili
Pole sana mkude
Bro muongo anaungaunga ni mwizi,hakuna watu wanaibaga ivo uyo ndo alikuwa master mind
Muongo mlikua naye kwenye mchongo?hivi unalijua jumba bovu likikuangukia wewe?usiombe yakukute.
@@Nickbrown127
Ivyo ni kwa nini mnajaribu kutetea Mhalifu?
Uyu alikuwa jambazi maelezo yake tu n mwizi alienda ifakala kuifadhi pesa mpuuzi sn kumtaja n kumuingiza mtu asie kuwepi
Na Michongo ya Simu akiwa Jela alafu Watu wanajitia Kumpa Pole na hakuonesha Huruma kwa Bosi ata kdg wala Masikitiko ata kdg daaah!
Huyu kijana alipangana nao simulizi lake halieleweki
Et me bado mtoto mdogo bhn mungu fundi kwa maelezo yako umehusika asilimia zote nawe ipo ck yako
Muhusika Mkuu no 1 ni yy aliechora Mchoro wote hawa watu km hawa wapo wengi tu wanajifanya fanya Sana tu lkn hatoishi kwa Amani Uyo kiukweli!
Ukimsikiliza vizuri huyu jamaa kichwa chake sio kizima kabisa.
😂😂😂😂
Kwani aseme siwafahamu ?
Alihusika. Kwa nini asingewambia walinzi?
Sasa ulipofika getini ulishindwa nn kuwaambia walinzi kuwa hao ni majambazi?
Walinzi wangekusaidia
Huyu jamaaa ata kama ameachiwa huru awe makini aache kuwa anasimlia kwenye midia atajichanganya tena kesi itaanza upya
Sababu hawezi kujielezea
Tayari kashajipaka mavi tu njia ya muongo ni fupi tu!
Huyu anahitajika Tena polisi kwa maelezo yake na kutokuwapigia sim boss wake na ku report polisi Kama alihusika na katoka lazima atakutana na janga la kumrudisha ndani
Ata mie naona ni ivyo ivyo ana Vitu anavyovifanya sio vya kawaida inaonekana ana usaidizi kutokana na maelezo yake yakiwemo mambo ya Simu kuwasiliana na Uraiani kwa hali iyo tayari apo kashaizaraulisha na kuzalilisha Usalama mzima wa Taifa la Tanzania kuanzia Polisi, Upelelezi, Magereza pamoja na Mahakama na Uongozi mzima wa Usalama wa Taifa la Tanzania
Polesana nimekusikiliza vizuri wewe huwezi kujielezea vizuri inaonekana hukufanya ivo ila uvo jielezea watu lazima wakushutumu ivo
Sure
Kijana ww ni mshenz sana unampa mtu kesi c,o yake acha izo kama ni ivo mbona ulivofika kwa walinz mbona ukusema?
Hii stor ni ya kutengeneza upelelezi umechukua miaka 12 na ilo tukio limefanyika 2007 kuingia 2008 na 2008 hiyo hiyo ndo umeingia jela haya iyo kes vp ichukue ipelelez miaka 12 unatufunga tu hapa na uwongo wako ni stor tu
😂😂😂 yeah!
pole sana kaka ang....😢😢😢😢😢😢😢😢😢 nmejickia vibaya dunia hii inamambo sana 😢😢😢😢😢😢😢
Kumbe we kweli jambazi
We umeponea tu ila mchongo umeuchonga Bwana wewe mihela
Huyu angepata Mtanazaji mzuri hii ni bonge la stor
POLE KWA MAUMIVU MAKALI..MIAKA MINGI SANAA
Uyu bwana atari mbegu ya morogoro
Sema uligawana nao pesa wewe watu tulio soma ngumbalo tumeelewa
Mtangazaji unazingua sana eb jifunze jinsi ya kuhoji mtu vzur
Anajuwa mchongo mzima
Nawe nimuongo kwanini ume pitagetini kuna walizi wana silaa kwann huku wambia ww uli usika
Huyu alihusika alafu alikuwa mwanafunzi wa wizi, Kwa Nini hajaenda polisi
Huyu ni mzoefu
Yani umefika mbele ya walinzi alafu Bado unawoga!!!!!!!huu mchezo ww ndo ulikua master
We jamaa bhana khaa
Kachomesha huyo maku
Mtangazi jifunze kwa wenzako unamkatisha sana
Hii ni simulizi za kuhadithia, siyo story ya ukweli,
Mjadala wa simu umetoka wapi sasa ndugu mwandishi. Yaani unakera weww
Na kwa nini asimuulizie inaonekana na ww unahusika na mambo haya Uongo??
Mbona hukuenda polish?ujifunze kuwa muwazi
Sasa mda wote huo wa mahojiano hata kupiga kelele ishahara kwa walinzi kama kuna hatari
mtangazaji lina mapepe kichiz.. mwache mtu aongee
Jamaa mwizi alipata h aki yake .Kwanini hakupiga simu polisi
Umepata dhambi sana kumtuhumu mwenzio bure
Unajua nini?? Ikiwa ulimsikia Vizuri au laa lkn kiuhalisia yy ndio alieanza kumchoma uyo mama wa Kihindi maskini ya Mungu na aliewapeleka hao jamaa akijifanya hajui Kitu akapita kwa Walinzi ili kujulikana km hana Shida wakati anajua uko Juu au Ndani kuna Pesa nyingi tu ilo la (1) .
(2). Moja kwa moja akawapeleka mpaka kwa Mama uyo jamaa Muhusika na Kayapanga na isitoshe hakuonesha Utetezi wowote Ule ikiwa km hakuhusika na Kumkandamiza Mama km yy ndie Bosi mwenye Pesa.
(3). Ni yy alizibeba kuzichukua Pesa kwa Mkono wake na kuwababaisha Walinzi km ni nguo za Bosi kwa nini hakutoa ishara yy'te ile??
Ukiambiwa na ww Jiulize!
Huyo alihusika mojakwa Moja ndyo maana alikataa kuwataja au hata kutoa ushirikiano kwa polis
Uyu jamaa alikua mpgaji alishiliki
Samu singi aina ya simu😅😅😅
Kwa jinsi alivyojieleza alikuwa pamoja nawo alipanga dili
Kabisaa! Tena yeye ndio alio chora mchezo, na chake kapewa vizuri akapeleka ifakara kwa mama yake. Angekuwa mwema angeenda polisi baada ya kushushwa kigogo. Huyu ninmmoja ktk wao.😢
Hakika alinyimwa mgao
Ulihusika ndugu
Akianza tu kueleza unajua kuwa so Muhusika ila kilimponza ni uoga..mtu aliyefanya asingeeleza chochote
@@angellomarcel5677
Woga gani huo ata hisia ya huruma hakuonesha kwa Bosi wake na yy akabeba mihela na kupita kwa Walinzi pale akiwapanga km ni nguo tu za Bosi wakati sio Kazi zake na mwanzo aliingia nao akisema ni Mafundi bomba aliwalinda na kuwasindikiza mwanzo Mwisho tu!
Polisi inamaana walikuwa hawana gari mpka wanambeba mualifu na baiskeli
Ila mbona amekaa kiujanja ujanja ile dili akuusika kweli????
LAKINI KUNA BUDGET YA MAGEREZA,MA MILIONI KWA KILA MWEZI, ANAKULA NANI HIZO BUDGET ZOTE?
KWA NINI HIZO GHARAMA ZISIINGIZWE AFYA WANANCHI WAPATE MATIBABU BURE JAMANII??
You are stupid
Mtangazaji unatangulis mbele sana
Wee Usingimzie mtu jambo
UMEFIKA GETINI NA UKAULIZWA NA MABEGI YANANINI BADO UKAOGOPA BASTOLA ILIYOKO MFUKONI MWA MWANAUME MWENZAKO .
..HUYU MSENGE NI MWIZI KWELI,,,,ALIINGIA TAMAA BAADA YA KUONA ANAAMINIWA KULETA PESA NYUMBANI...HUYU ALISHIRIKI KILA KITU...
Huyu alihusika na mchongo mzima!
Yani ukimsikiliza kwa makini kweli uondoke na wezi wakushushe na wanakuaga alitoa mchongo aseme ukweli atubu !Boda boda njiapanda ya kigogo kama wote ulishindwa kupiga yowe wakawafukuzia?
Namjua huyo mtt
Tupe habari zake ikiwa unamjua?
daaaah adi nimelia mimi uwiii ee Mungu
Mama wa watu kuuawa kizembe kbs
Chumvi mboga 😅😅😅 kuna watu wanamteso jamaniii
Alihusika kivyote huyu
Unaonekana huna uoga wowote ndio mana uliweza kuwa na cm gerezani jambaz wewe
Yes 💯✋ good point uyu ni Master Mind anajua anachokifanya!
Huyu mwizi
KKK. Huyu jamaa ni.jambazi mchezo aliuchora yeye muongo eti. Mafundi Bomba kwenn wakusubiri WEWE. Sema ulichore read
Mwizi tu ww
alikuwa bado mdogo bana
Kwa nini baada ya wezi kuondoka
Musingempigia bosi wako simu?
Kukimbia ndo kulikuletea doa