KWA kweli maisha ya mtu ni mtandao mpana! Interview ya Shomari inafurahisha! Na kweli unajituma kumbe uliobarikiwa na Akina Nyoso,kaseja walikuambukiza!
Alichokuwa Anakosea Alikuwa Hataji Miaka Ya Matukio Yaan Mwaka Gani Kasajiliwa Simba Na Kuendelea Hizo Mechi za Simba Day Arusha,Simba Day Dar Na Kuendelea
Kapombe Kwa beki wa kulia Kwa hapa nyumbani hata wageni wanaokuja hakuna Alie kuzidi wewe wanakufananisha na wapumbavu kwasabu sio watanzania wao wakiona tu mgeni wanajuwa anauwezo kukuzid wewe
Pole Kapombe🇹🇿. Mwenyezi Mungu ana kusudi lake na siri kubwa.
Hongera na asante kwa kipaji chako we proud becoz of you
Pol kijana wetu umekosa wazazi ukiwa mdogo na ongera Mungu kawa nawewe saizi wewe unatunza familiy Mungu awe na wewe kwa kipaji unacho👍🤲❤️
Jamaa noma sana! Yani zile Cross zake kama anazitumaga moja kwa moja👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Asante Sana kapombe mtengemee mungu kwenye Safali yako ya maisha❤❤❤❤❤❤❤❤
Kapombe Mungu akubariki sana na akupe afya njema 👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
Hongera sanan ndugu yang kapombe yaan maisha ni kupambana
Umenifulahisha kumbe maisha ni kupambana 2ilakama huwezi kupamban ndo itakua hivyo tena asante sana kapombe umejieleza vizur sana
👊👊👊👊👊👊👊 Simba nguvu moja Beg up sana broo
full back....maestro
mzee unajua hadi unajua tena👍👍💪♥️
Interview nzuri sanaaa. Tunavyowapenda ila sometimes mwatuudhi nyinyi hadi kupelekea tuwatukane!!!
Amazing sana
KWA kweli maisha ya mtu ni mtandao mpana! Interview ya Shomari inafurahisha! Na kweli unajituma kumbe uliobarikiwa na Akina Nyoso,kaseja walikuambukiza!
Nimeipenda hii interview ... keep on going Up kapombe!!!One love simba
Sure haiboi cause, yup very direct anajibu Kila kitu
Kapombe uwe na amani tu kk upo vizuri endelea kusonga mbele
Very humble👊👊and talented
Very good
Interesting interview 🙏
Hongera kwaupambanaji
Kapombe mwenye Tim yake🎉🎉🎉
Kujituma na kujitambua kwake ndo mafanikio yake ❤
Nguvumoja 🦁💪
Una contents nyingi mno sema ahamed hajui kukuhoj
shommy the way🎉🎉🎉🎉maua yako
Safi sna❤
Good
MY FAV PLAYER
Pole kapombe, kwa kupoteza wazazi wako
Huyo jamaa ni mwamba xanaa na tunamwombeaa mungu apone SIMBA nguvu mojaaa🙏🙏🙏🙏 by OLONING'O KATENDE kutoka ARUSHA njiro
Stori ya kapombe inaweza kukutoa machozi kwa hatua aliyopo sasa, hakika mungu ana siri sana na mafanikio ya wapambanaji
🦁🦁🦁
Kumbi cha mwisho kuzaliwa ❤
Hii interview kapombe anaongea peke yake tuu tunataka kujua ufaransa ilikuaje na kasajiliwaje na azam na hadi sasa malengo yake
We unashinda wewe Chukua dk Moja jitafakar
🔥🦁👏❤️
Mwenye cross za maelekezo 😂😂😂😂
😂😂 my best player of all time
😭😭😭pole bro....faraja ya mzazi ukiikosa ni maumivu
Shomy tumemaliza shule 2006 km mimi🦁♥️
wote mwanangu, 2006
The amazing full bck
Nashauri videos Hizi mngekua mnazikata na kuzipa sehem mfano mahojiano sehem ya kwanza nk. Ziwe fupi fupo walau dkk hata 19-30 hv
Hata hivo imekatwa hujaona wameandika sehemu ya kwanza
Hongera shomii the way
Tatzo una vocha za mawazo
kumbe mwanangu kabisaaa
Pole mwamba
🔥🔥🔴⚪
👍👍👍👍👍👍
Mwamba wa Santos fc sio powa
Jamani fanyeni Chini juu tuleteeni Jonas mkude nazani anamengi Sana anayoyafahamu kuhusu Simba
Unyama
Ila kila mtu anapitia mapito sana hadi kufanikiwa!
Saaaf
Baba ester og
Baba Ester
SK12 Fullback wa mpira
❤❤❤❤
chama langu
Kapombe nimwamba sana
Juzi ulitetemeka na widad
Class 2006 kujeni Hapa
👊
Kumbe mdogo huyu? Duh 2006 anamaliza primary school? Namzaa kabisa😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nani ameelewa vikao vya ndani
shomiiii
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏
Hapa kapombe sijui alikuwa anatoka kulala 😅
Kwenda azamu ilikuaje ajaongea
nilijuwa ni phiri
Vijana wajifunze kwako ili wafike mbali
Million 5 alipata nyingii
Kapombe kuna kipindi alienda French apa hajazungumzia ilikuaje
Alichokuwa Anakosea Alikuwa Hataji Miaka Ya Matukio Yaan Mwaka Gani Kasajiliwa Simba Na Kuendelea Hizo Mechi za Simba Day Arusha,Simba Day Dar Na Kuendelea
We usha skia ndio tamasha lake la kwanza unataka miaka gani tena bro be carefully with the speech
Mtu mwenyewe anaonekana sio muongeaji kabisa😅
kaongee wew
Kuna muda kapombe akiwa anacheka waweza ni phiri
Kapombe Kwa beki wa kulia Kwa hapa nyumbani hata wageni wanaokuja hakuna Alie kuzidi wewe wanakufananisha na wapumbavu kwasabu sio watanzania wao wakiona tu mgeni wanajuwa anauwezo kukuzid wewe
Ximb nguvu moj
Tunamtaka nyoni
P
mungu akubariki sana
Beki la mpira