BAADA YA MAZOEZI WACHEZAJI WETU HUWA WANAFANYA NINI?/MPANZU AGEUKA KIPA WA MCHONGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Ukwli inafurahisha sna kuona hii kitu wachezaji wetu wanajenga ukaribu zaidi..gonga like mwna simba❤❤❤
Kila la khery mnyama Simba sports club hapo kesho Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
Amina
Kweli
Nimezaliwa kuipenda Simba maisha yangu yote iwe kweny shida au raha mm ni Simba 🦁🦁🦁🦁🎉🎉
Naungan naww ..naipenda simba mno ikishinda hua nafurah mno yaan kila ikichez sitamn kukosa kuiona
tu pamojaa
Damu ya YESU iwafunike wachezaji wetu wote na Benchi lote la ufundi Bwana MUNGU awalinde awafiche kwenye uvuli wa mbawa zake adui asipate kuwaona na siku ya kesho wachezaji watakaopata nafasi ya kucheza mucheze kwa umoja ,mukawe juu ya wapinzani wene mukapate macho ya kuliona goli nimeomba hayo ktk jina la MUNGU
BABA
,
MWANA na ROHO MTAKATIFU Amina na mukapate ushindi mnzuri.
Ameen 🙏🙏
Mungu ibariki simba bariki na wachezaji wote kesho uwepo ushindi wa kishindo. Amen
Naipenda ii tim jaman qdi naumwaaaa kama ww mwana simba kwer naumependa Diarra alivo halibut clean shit leo gonna like apa zakutosha
Great team, great club..
Mungu awabarik kesho ushindi mnon
Mungu awafanyie wepesi wachezaji wetu kupata ushindi inshallah🙏❤🎉
Daaah ,,mpka rahaa..simba nguvu mojaaa💪💪
All the best my team
simba nguvu mojaaa❤❤❤
Love you simba yangu
Haaaaaalaaaah 5 simba
Wachezaji wanapendana sana tunakushuru mungu Amani na upendo vidum
Timu inaonekana Ina furaha akuna makundi Wala wadalaja Fulani inatia Imani ila bado tunajenga timu na kila mchezo kwetu fainali
Kila la heri mnyama simba
Kesho uhakika Simba nguvu moja 🦁🦁🦁.
MUNGU AJALIE KESHO ATEBA GOL 3 AHOUA GOLI3..NA MPANZU GOLI3..AMEN
Amiina
Kwa maana hiyo tisa
@@maalimumasoudy6746😂😂😂ndio tisa, ila jaman mm ni simba but tisa are we sure?😂
@@commonsense5617mimi niliote kuwa simba imefunga goli kumi siutaniona jau sana😂😂😂😂ila mpira jaman
@@AbigaelEmanuel 😂😂😂mimi leo nimeota kabisa tunaenda half time tuna nne bila, goli la pili kafunga Awesu awesu😂 ndoto hizi shikamoo🙌
Simba nguvu moja 💪💪 ushindi n halali yetu leo
Ubaya ubwela simba na mpanzu
Mungu ibark.simba ktk mechi ya Leo ❤mnyama
Aisee naipenda simba iwe kwenye shida na raha ❤❤
wana jeshi wetu tuko nyuma yenu kwa kila jambo mungu awatie kuvu katika mchezo wa leo
Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
All the best my team🦁🙏❤️❤️
Inshallah tutashinda kwa uwezo wa allah🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu ibaliki simba yangu
All the best my club❤❤❤🦁🦁👌🏼
Nice..
Mungu atulinde na atupe ushindi hapo kesho
Inshaallah ❤
Inshaallah ❤
Mungu ni mwemaa maana sala kwanza🎉🎉🎉🎉🎉
Nakubali jeshi langu
Dua ni muhimu sana kwa wachezaji jamani ❤❤❤❤❤
Leo mpanzu anafunga
Simba WACHEZAJI wanaishi kama ndugu wa dam, Wana enjoy kuwepo Simba
Chama langu ❤
God bless simba sc 🎉
Kila la kheir timu ya maisha yngu
Mungu awajalie wachezaji wetu mshinde kesho kwa magoli mengi
Allah atubariki tushinde mechi zote za mashindano ya msimu huu
Mungu iyongoze timu yetu katika mikono yako takatifu
Nawapenda sana mungu awape nguvu zaidi🙏
Kweli hivi sasa wazee hakuna ni rimu ya vijana wengi wenye kasi . Nguvu na kutaka mafanikio
Mungu yupo pamoja nanyi wachezaji wetu
Simba nguvu moja kila la kheri
Daima benders ya simba lizima ipepeee
My team❤
yan wamejitenga mafundi tu like zao apa
Ateba, mpanzu, ngoma na ahoua hapo ni French kwa kwenda mbele
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤️ INSHALLAH❤kila lakheir mechi nimeichungulia ngumu kidogo tarehe 6 dhidi ya hao wapinzani Mollah awafanyie wepesi UBAYAAA UBWELAAA 🇹🇿 🇦🇪
Safi
Mtandaoni mnagombqnq huku mipango inapqgwa na wapo happy
MUNGU AWALINDE WACHEZAJI WETU WA SIMBA. NA MKAPATE USHINDI. MUNGU TUNAOMBA NA IKAWE HIVYO.
Ubaya ubwela 🦁🦁🦁 utopolo vyura 🐸🐸 watulize mishono mamae.
Bonju come saiv tu
❤
SIMBA 1 NGUVU 1 ( UBAYA UBWELA ) ..
GUY'S WE NEED 3 POINTS TODAY... INSH'ALLAH
Nguvu Moja
Chama la wana
Kila la lakheri inshallah
Familia
Jaman chemalon hapo mkumbushen asifanye makosa maan tuwe tunakumbusha
Yaan kwel 😢
👏👏👏👏👏👏🦁❤️❤️❤️💪💪💪🙏🙏
🎉🎉🎉
Yan wachezaj wa simba ni kama watoto wa mama mmoja
Mungu wape nguvu wachezaji wetu katika pambano ili na uwalinde namacho👁️👁️ yausuda yawatu
Naomba leo mtare aanze kocha
😂😂😂hiv vibali vya uraia vimefikia wapi
Matakoni kwako😅😅
Janalangu shabalala niko palma nsumbiji simba nguvu moja
So sad for Deborah can't gether stories together ..only him self knows Portuguese
nimemfatilia sana mpanzu anampenda chasambi ata ukiangalia ndan ya mech apo kamuona kaj kaacha story kanyanyuk apigiwe mipila
Namani kuskiliza wanachoongea😂😂
Awesu nd ana jeraha bado😢
Oy shabalala msaidieni charles ahoua na che malone kuwatafutia watoto wazuri mbona vitoto vikali vya 2000 vipo tu mtaani vinazagaa zagaa ........wasaidieni watoe upwiru na wao jaman
Nyie mbona kibu atacheza au ndo kaumia kbs 😢😢
Nilichogundua hapa wachezaji pamojq na bench la ufund wanaongeaga lugha moja tu alafu kingine wachezaji wnampe da kocha snaa
Tyuachen utani Bana hii timu yetu tunawacheji wazuri
Ushindi
Manula yuko wapi? Au ashaondoka simba kimyakimya
UBAYA UBWELAA rahaa
Leo tunataka mnara wa 5G
Kila la kheri chama langu SSC point 3 muhimu kesho
kila la khel chama langu ubaya ubwela .
Happ sjui wanaongea lugha gan
Kifaransa(French)
Ubaya ubwela ndio kauli yetu msimu huuu
Kila la kheri hapo kesho kwechi yenu na Prison
Hv chasambi Yuko wap
ubaya ubwela ss ndo walewale muliotukataa atali
Ubaya ubwela
hapo mbon kam ni arusha
Karatu Manyara
🤍🔥
Ngoma pipi camala niha Tali kaka
All the best my team