MWAGALA AVURUGWA TABORA KUPIGWA NA SIMBASC 3 BILA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 79

  • @absm8084
    @absm8084 6 วันที่ผ่านมา +7

    Kachanganyikiwa😂😂😂😂😂 ulisema wanaume wote wa dar hawana nguvu sasa humufafanua ni nguvu gani😅😅😅😅😅😅

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mashabilki hawakuwa wa tabora United,walikuwa WA Simba,mama chunga mdomo

  • @MrDi3-hy9kx
    @MrDi3-hy9kx 6 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏ongera dada umeongea vzr

  • @JacobMihama
    @JacobMihama 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mshangazi na wigie la 1000 mnadani kuma kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nunua nywele yenye muonekano kuma weee

  • @samueldavid8853
    @samueldavid8853 6 วันที่ผ่านมา +2

    Leo mmecheza na moshi wa magunzi. Trip ijayo mtacheza na simba yenyewe. 😊😊

    • @edwardezekiel9719
      @edwardezekiel9719 6 วันที่ผ่านมา

      Unamsanisha Tabora United inashuka daraja sasa itakutana na Simba wpi.

  • @johnsongerald9660
    @johnsongerald9660 5 วันที่ผ่านมา

    Tumekushe nyenta😂😂😂😂😂

  • @KondoFundi-fl5td
    @KondoFundi-fl5td 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tinaaa hauna jipya wewe kamdomo kamekuponza hahaahaaaa😊😊😊

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kamdomoooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona dada mshangazi unataka kulia?

  • @bahatimashauri3945
    @bahatimashauri3945 5 วันที่ผ่านมา

    Anachonishangaza ni kusema et Simba Leo wataota hawakuamni Kama watamfunga Tabora nimebaki nacheka tu anaongea vitu vya ovyo Sana Yan kila Simba akikutana na Tabora anashinda Gori Tena nying Yan tangu apande ligi kuu Tabora hajaqai ata kutikisa wavu wa Simba anapgwa zote bila majib afu Leo hii msemaje wao anasema simba hawakuamni Kama watamfunga Tabora jmn uyo kavirugwa kwakwel

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine 6 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe waliojaza uwanja ni mashabiki wa simba tu sio wa Tabora

  • @johnsongerald9660
    @johnsongerald9660 5 วันที่ผ่านมา

    Kamdomo kamekuponza😂😂😂😂

  • @ramadhanrajab4502
    @ramadhanrajab4502 5 วันที่ผ่านมา

    Mwagama. Nilikwembia usimalize maneno Sasa we maliza tu.

  • @NicodemasChondo
    @NicodemasChondo 6 วันที่ผ่านมา

    Umetoa utamu tena kwa mnyama😅😅😂😂😂

  • @HemediAbdullah
    @HemediAbdullah 5 วันที่ผ่านมา

    Kaishiwa na maneno hana lakuongea

  • @richardmasonga9041
    @richardmasonga9041 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tabora washamba tu

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 5 วันที่ผ่านมา

    Kwan makambo ndio nan Kwan mechi ya kwanza walikuwa hawapo kamdooooo mamaaaaaa!

  • @ramadhanrajab4502
    @ramadhanrajab4502 5 วันที่ผ่านมา

    Auja malizana na yanga. We tamba tu.

  • @IsayaJonas-ov7hk
    @IsayaJonas-ov7hk 6 วันที่ผ่านมา

    Kaone hata kanacho kiongea hakikielewi kanalopoka tu 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @WinfridaMsigwa-x8v
    @WinfridaMsigwa-x8v 6 วันที่ผ่านมา

    we mashabik wa tabora walikaa upande gan

  • @anordsalvatory-w9u
    @anordsalvatory-w9u 5 วันที่ผ่านมา

    Ooooo my god mnejaza ueabja 😮🙄

  • @IgnazioAbatte
    @IgnazioAbatte 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tunakusubili yanga kenge ww

  • @khalidmgonja
    @khalidmgonja 6 วันที่ผ่านมา +1

    Nilimsubr san uyu kumbe shujaa bhn ila pole kwake

  • @asiarehani7379
    @asiarehani7379 5 วันที่ผ่านมา

    Labda utembee na Kichwa ila Simba ukikutana nayo utapigwa nje ndani😊

  • @AlfaniMichael
    @AlfaniMichael 6 วันที่ผ่านมา +1

    Una kamdomo sana wewe ndo maana huolewi wewe😅😅

  • @RoseManyama-j5u
    @RoseManyama-j5u 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kamdomo😂😂

  • @CatherineJohn-u1q
    @CatherineJohn-u1q 5 วันที่ผ่านมา

    Kumbe huyu mama nitaila yanga haujamlizana nao kama siyo kumi nibahati yako

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 5 วันที่ผ่านมา

    HALAFU UTASIKIA UTOPOLO
    WANASEMA SIMBA IMEBEBWAAA😂😂😂

  • @AminaIgnas
    @AminaIgnas 5 วันที่ผ่านมา

    Mwagala mmeuza mechi Hilo tunalijua na mkuja ndege Moja ujinga hamna akili

  • @Oroshbare
    @Oroshbare 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe piga mdomo kwa hao yebo na wengine...Mnyama sio class yenu

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo ni kamdomo karefu na kamekatwa pyuuuuuuuuuuu👆👆

    • @SafinaHemed
      @SafinaHemed 6 วันที่ผ่านมา

      Hahahaaaaa,kamdomo kamdomo

  • @agnesswai7174
    @agnesswai7174 6 วันที่ผ่านมา

    Huna lolote weye mshangazi,Tumewakumbatia nyuki mpaka makali Yao kwishnei 👌 pita hivi unayeongea hovyo bila maana

  • @AminaFadhili-qe3et
    @AminaFadhili-qe3et 5 วันที่ผ่านมา

    Pole 😂😂😂😂

  • @asiarehani7379
    @asiarehani7379 5 วันที่ผ่านมา

    Dada hujui unachokiongea kamdomo kamekuponza😏😏

  • @IreneProsperkibena
    @IreneProsperkibena 5 วันที่ผ่านมา

    maneno ya mkosaji ayo bao 3 umeotewa

  • @IgnazioAbatte
    @IgnazioAbatte 6 วันที่ผ่านมา

    Dada mdomoooooooooooooo

  • @DavisRuiz-ut4wr
    @DavisRuiz-ut4wr 6 วันที่ผ่านมา

    Mmmh mashabk walioja uwanja ni wa simba

  • @elikanabugumba4552
    @elikanabugumba4552 5 วันที่ผ่านมา

    Mwagara tema mate chini hii ndio simba mama weka akiba ya maneno

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe simba dada

  • @charlesmboje5413
    @charlesmboje5413 5 วันที่ผ่านมา

    Punguza mdomo Dada yangu utakuja siku moja uaibike!, na Jana uliaibika kisa mdomo wako umeuzoeasha kuongea utumbo mtupu!, 😂😂😂😂😂punguza mdomo

  • @IgnazioAbatte
    @IgnazioAbatte 6 วันที่ผ่านมา +1

    Huna jipya ww

  • @IgnazioAbatte
    @IgnazioAbatte 6 วันที่ผ่านมา +1

    Ww ndio utaota www

  • @charlesnzenga4681
    @charlesnzenga4681 6 วันที่ผ่านมา +1

    We Kama shetan was yangatu unaweka ahadi ambazo hazitekelezeki

  • @OmaryMwigula
    @OmaryMwigula 5 วันที่ผ่านมา

    Ni washabiki wa simba waliojaza uwanja

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 5 วันที่ผ่านมา

    Tatizo Lako kamdomo punguza kamdomo

  • @juvenalschristopherkalewa1819
    @juvenalschristopherkalewa1819 5 วันที่ผ่านมา

    Hyu akili zake hazipo sawa anajichekesha tu kma mchawi alie nasa kanisani

  • @DavisRuiz-ut4wr
    @DavisRuiz-ut4wr 6 วันที่ผ่านมา

    Tahira wew 😂😂

  • @KaizaSimeo
    @KaizaSimeo 5 วันที่ผ่านมา

    Sema mweusi ila mlembo mmewake anafaidi ila apunguze kamdomo

  • @IgnazioAbatte
    @IgnazioAbatte 6 วันที่ผ่านมา

    Mpaka😂umekua mweusi kwa aibu acha mdomo

  • @faustinemsanguli1055
    @faustinemsanguli1055 6 วันที่ผ่านมา

    Yaan kumbe huna tofaut na shetani wa YANGA

  • @AllyKibembi
    @AllyKibembi 5 วันที่ผ่านมา

    Kamdomo kamekuponza,n uwanja wamejaza simba

  • @HamiduBomeka
    @HamiduBomeka 6 วันที่ผ่านมา

    Usibishane na wanaume we ni mama.tu

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe dada kamdomo acha uongo

  • @StephanoKimweri
    @StephanoKimweri 6 วันที่ผ่านมา

    Rabda muwe vijana wa gsm

  • @NashonMbwilo
    @NashonMbwilo 6 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 aliye wazuia kucheza mechi za kirafiki ni naniiiiii.... Ni ushamba wenu wa maandalizi

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 5 วันที่ผ่านมา

    SI.mliahidiwa.pesa.ndio.maana.mlikamia

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 5 วันที่ผ่านมา

    Huna lolote mdomo umekuponza

  • @IgnazioAbatte
    @IgnazioAbatte 6 วันที่ผ่านมา +1

    Leo unaongea hivyo ukome umekonda uso kwa ibu punguza mdomoo

  • @faithmwailunga6954
    @faithmwailunga6954 6 วันที่ผ่านมา

    Mdomo uliponza kichwa

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil 6 วันที่ผ่านมา +1

    Turie ujaza uwanja nisisi simba

  • @stanleykiwonde7454
    @stanleykiwonde7454 6 วันที่ผ่านมา

    Simba siyo levo zenu

  • @Joyce-l7s
    @Joyce-l7s 5 วันที่ผ่านมา

    Kamdomo.mama.chunga mdomo wako

  • @RayMyonga
    @RayMyonga 5 วันที่ผ่านมา +1

    Takataka wewe kolo wewe

  • @GraceMhoja-bu3ce
    @GraceMhoja-bu3ce 6 วันที่ผ่านมา

    Hapo unatamn uwe unacheza na simba tu Leo mmeingiza pesa

  • @Veronica-z6b4t
    @Veronica-z6b4t 6 วันที่ผ่านมา

    Aolewe huyo tumpe mzalamo

  • @sarahmtuka2292
    @sarahmtuka2292 6 วันที่ผ่านมา

    Kmc hawakukosea kukufukuza

  • @marcomabawa7738
    @marcomabawa7738 6 วันที่ผ่านมา

    Kamudomo mama

  • @AyubJuma-f6s
    @AyubJuma-f6s 5 วันที่ผ่านมา

    ndoupunguze mdomo hio ndotim kubwa afrika masharki ..... .

  • @IbraIbra-d1x
    @IbraIbra-d1x 5 วันที่ผ่านมา

    Leo ndo umetambua kuwa kufungwa ni sehem ya mchezo bado dar yanga Africa watakuja apo wawapige tano bira ikibidi saba kenge nyie

  • @lenziangowoko9325
    @lenziangowoko9325 6 วันที่ผ่านมา

    Umebaki kujichekesha tu wakati havichekeshi

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 6 วันที่ผ่านมา

    Unaumwa ww

  • @RichardFrancis-e5t
    @RichardFrancis-e5t 6 วันที่ผ่านมา

    Kamdomo fyuuuuu

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 6 วันที่ผ่านมา

    Nishapata namba yako tayali sisi simba hatujawahi kosea tena rangi yangu kabisa umeisha

  • @PROFESSIONAL792
    @PROFESSIONAL792 5 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/s-Io7YBTdTg/w-d-xo.htmlsi=52oxndlhiYGNyMXQ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MwitaPetro-e9z
    @MwitaPetro-e9z 6 วันที่ผ่านมา +1

    @kamudomo

  • @Oroshbare
    @Oroshbare 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe piga mdomo kwa hao yebo na wengine...Mnyama sio class yenu