Hans unaongea kama unofficial partner wa matahira fc (🐸) 1. Unaongea kuwa wana viburi vya kukataa offer hemu lete ushahidi wa offer zilokuja na sio kusema matahira wamesema wamepokea offer matahira fc ni watu qa siasa tuu 2. Kuhusu mambo ya mikataba hapa tz hakuna team ipo hovyo kwenye masula ya mikaba kuliko matahira fc (🐸)
Kiburi inawezekana ikawa ubabe ni siyo uwezo wa kuwalipa vizuri, usisahau Raphael ni kiburi cha yanga kilimfanya Feitoto aondoke! Kwenye kulipa vizuri wachezaji nchi hii hakuna club inayoifikia Simba SC. Hans Acha kudanganya watu kisa Tu ushabiki na unazi na utopolo yako.
Mimi naona wamefeli waliomleta , na hata huyu aliyetoka singida msimu ukiisha bye bye
Ingekuwa kweli Yanga wangekuwa wanalipa vizuri,bac wacngekuwa wanalipa vizur bac wacngekuwa wanapelekwa Fifa kisa madeni.
Ila hii radio daah
Nyinyi ni mafara mmetumwa kuichafua yanga tupo imara aliyewambia wanaondoka ninani mafara nyinyi
Njaa inawasumbua kenge nyinyi
HICHO CY KIBURI BALI NI KUWABANIA WACHEZAJI
Hans unaweza sana,ila huyo Geofrey ni snitch sana kwako kaka
Achani uchoko yaani kipindi kizima ni yanga yanga yanga
HI RADIO SIKU YANGA IKWALIPSHA MABILIONI YA FIDIA YA PESA ,NDIYO WATAJUA KUNYAMAZA KIMYA,CHUNGU IKO JIKONI WEWE NGOJEA TU
HAYO NI MANENO YA MKOSAJI. MBONA NA WAO WACHEZAJI WANAOONDOKA TIMU NYINGINE MBONA WANAWACHUKUA? INA MAANA HUWA MAISHA YAO YAMEFELI?
Hans unaongea kama unofficial partner wa matahira fc (🐸)
1. Unaongea kuwa wana viburi vya kukataa offer hemu lete ushahidi wa offer zilokuja na sio kusema matahira wamesema wamepokea offer matahira fc ni watu qa siasa tuu
2. Kuhusu mambo ya mikataba hapa tz hakuna team ipo hovyo kwenye masula ya mikaba kuliko matahira fc (🐸)
Hans much know sana na to to to much talking na zaidi kujiona na kwann useme kitu cha viongozi acha kuongea sana kma dada zako
Taila mama ako unafilwa
Taila mama ako dunduka we
@SimonMabigi Hahaha dawa imeenza kufanya kazi
Hivi mayele anacheza ndani ya Tanzania?
Kiburi inawezekana ikawa ubabe ni siyo uwezo wa kuwalipa vizuri, usisahau Raphael ni kiburi cha yanga kilimfanya Feitoto aondoke! Kwenye kulipa vizuri wachezaji nchi hii hakuna club inayoifikia Simba SC. Hans Acha kudanganya watu kisa Tu ushabiki na unazi na utopolo yako.
Kafa.....la sana haka katotoooo. Akili kisoda