BARAKA MPENJA MTOTO ANATISHA MWANZA YATIKISIKA | UTAMPENDA KWENYE SOKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • BARAKA MPENJA MPYA HUYU HAPA, BWANA MDOGO MWENYE KIPAJI CHA SOKA MWANZA ROBERT SAMSON "MWAKALOBO"
    #trending #mpenja #simbasc

ความคิดเห็น • 418

  • @07_jeffmiami
    @07_jeffmiami 17 วันที่ผ่านมา +9

    We katoto umegusa moyo wangu...hongera sana na Mungu akutangulie...SEE YOU AT THE TOP

  • @FrankMashoto
    @FrankMashoto หลายเดือนก่อน +22

    Vipaji tunavyo, huyu mtoto atafika mbali, atawasaidia wazazi wake. Mungu akushike mkono. Amen

  • @RaphaelMsakila
    @RaphaelMsakila 2 หลายเดือนก่อน +39

    Hongera sana mwanafunzi wangu mungu akutangulie nipo nyuma yako

  • @MRMRSMCHAIDANKINGMARK
    @MRMRSMCHAIDANKINGMARK 2 หลายเดือนก่อน +15

    Mjukuu wa Kashanabo uko vzr sana, endelea kujifunza zaidi.

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 2 หลายเดือนก่อน +19

    Mashaallah ❤❤ kanda ya ziwa tupo vzuri watoto chipukizi

  • @user-rr6lu6bw4f
    @user-rr6lu6bw4f หลายเดือนก่อน +8

    Hongera mdogo wangu mwenyezi Mungu akusaidie sana

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 2 หลายเดือนก่อน +10

    Hongera sana mdogo wangu mungu akubariki sana akuongesee kipaji chako ❤❤❤

  • @MohdAli-fl2ef
    @MohdAli-fl2ef 2 หลายเดือนก่อน +15

    Dah mashallah hii ni dhahabu inabidi itunzwe next Baraka Mpenja

  • @user-zs4mo4ts1h
    @user-zs4mo4ts1h 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    uyu mtoto mwenyezimungu azidi kukupa mambo mazuri zaidi allah akuzidishie💚💚💚💚💚💚💚

  • @GASTONBUZEBA
    @GASTONBUZEBA 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sana dogo utafika mbali: baraka mbenja kutana na uyo dogo

  • @TamashaOmar
    @TamashaOmar หลายเดือนก่อน +7

    Duuuuuuuu! Huyu kasshaingia Duniani. Hongera mtoto mzuri Mungu akupe maisha marefu

  • @HOLINESSPIUSE-gv8ud
    @HOLINESSPIUSE-gv8ud 2 หลายเดือนก่อน +12

    Katoto kanajibu kikofidence saaaanaa BIG UP KATOTO siku moja mkutanishee na Baracka Mpenjaaa Huyo dogo ni simba damu damu kusoma sijui ila picha nimeonaa

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 2 หลายเดือนก่อน +19

    Hongera mjku wng,unaweza/umeweza kweli kweli,jitahidi kwa ELIMU BORA ZAIDI ya fani ya hbr ili nawe uje utimize azma yk ya utangazaji,bila kusahau LUGHA YA BIASHARA(ENGLISH),c wamsikia Hashim Ibwe anavyotema lugha kwa ufasaha/kujiamini+ kujidai.Kila la heri Mlay.

  • @user-zs4mo4ts1h
    @user-zs4mo4ts1h 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana dogo nimependa sana utangazaji wako allah akuzidishie🙏🙏🙏

  • @HusnaOmarry
    @HusnaOmarry 2 หลายเดือนก่อน +5

    Salute dogo unakipaji tatizo hiyo jeziii tu,,,,

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 หลายเดือนก่อน +9

    Dogo una kipaji kikubwa sana mashallah❤🎉

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 2 หลายเดือนก่อน +7

    Haaaaa dogo katisha sanaaa tumpe maua yake 🔥🔥🔥🔥🔥💐💐💐

  • @ErickEzekiel-lj8mu
    @ErickEzekiel-lj8mu 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ndogo wetu yupo vizur sana akipew sapoti atafik mbali inshallaaah 🔥👍⚽

  • @LUKASNGOMBANIZA
    @LUKASNGOMBANIZA หลายเดือนก่อน +1

    Hongera bwana mdogo mungu atakusaidia pambana.

  • @user-ts4zn1sx7h
    @user-ts4zn1sx7h หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana kijana unastail kupewa na fac popot pal lkn soma kwa1 ❤❤❤❤

  • @markojoseph8091
    @markojoseph8091 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mdogo mungu akujalie ufike mbali sana

  • @garinchamkobe4582
    @garinchamkobe4582 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU ambariki sana kijana wetu huyo japo ulitakiwa utupe Kionjo dakika 05

  • @user-oq1dc2zd2n
    @user-oq1dc2zd2n หลายเดือนก่อน +1

    hongera sana mwanangu mwenyezi mungu akufanyie wepesi ufanikiwe katika maisha yako

  • @RashidiShabani-d1c
    @RashidiShabani-d1c 18 วันที่ผ่านมา

    Upo vzr dogo❤❤mungu akufanikishe ufik mbali

  • @KametaMkobo-l8m
    @KametaMkobo-l8m หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutangulie 2 dg tuko pamoja sana wa Tanzania wak

  • @hassanntankwa4156
    @hassanntankwa4156 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah tetea ulichonacho na ishi katika ndoto zakoo usikubali changamoto zikurudishe nyumaa

    • @HasnaSawaid
      @HasnaSawaid 4 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 2 หลายเดือนก่อน +4

    Dogo uko vizuri endelea kupambana

  • @dwldgospelorgenes3202
    @dwldgospelorgenes3202 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sanaaaaaaa, dogo,
    Hicho ndo kipaji

  • @IssaIssa-f6n
    @IssaIssa-f6n 2 หลายเดือนก่อน +3

    Upo safi dogo
    Lkn tatizo la kwetu hakuna muendelezo

  • @Csavera
    @Csavera 8 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mtoto mungu akutangulie katika maisha yako ili uwasaidie wazazii wako

  • @user-tt7nc6on3c
    @user-tt7nc6on3c 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nakukubalisana mdongo wangu

  • @MathiasMathias-cg4nf
    @MathiasMathias-cg4nf 2 หลายเดือนก่อน +3

    Big up sana Dogo unatisha

  • @MachiyaAmos
    @MachiyaAmos หลายเดือนก่อน +1

    Big,up dogo mnyama unakipaji sana

  • @hdchidif8789
    @hdchidif8789 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana dogo yupo powa

  • @MartinNdalo
    @MartinNdalo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akusaidie bwana mdogo ndoto zako zitimie

  • @user-ol1zi7kj4p
    @user-ol1zi7kj4p หลายเดือนก่อน +2

    Kijana hongera sana maisha ni maeneo ya mzungumko wa mtu jitahid.

  • @BakariHamis-bp7ez
    @BakariHamis-bp7ez 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yupo vizuri apatiwe muongozo asomee utangazaji

  • @jacobnghwani1891
    @jacobnghwani1891 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi Mungu aendelee kumtunza kijana huyu afikie ndogo zake

  • @franklusato4026
    @franklusato4026 11 วันที่ผ่านมา

    Hongera xn kijana mungu akutangulie katika kipaji chako

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 2 หลายเดือนก่อน +7

    Dogo unajua me ni shabiki wako namba moja ushanichukua Soma mdogo wangu ukiingia ktk tasnia ujue unamshabiki wako namba moja apa!❤❤

  • @evaristgamba4204
    @evaristgamba4204 8 วันที่ผ่านมา

    Safi sana Mjukuu wa kashanabo

  • @jamesjohnas2022
    @jamesjohnas2022 หลายเดือนก่อน

    Dah! Safi sana dogo upo vizuri sana, Mungu akutanguliye

  • @NchiluSeme
    @NchiluSeme 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kwamm mpenja unyama sana

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 2 หลายเดือนก่อน

    Good fantastic, waooo kijana soma Mungu ameshakubariki na kipaji hicho.

  • @meshackjackson2838
    @meshackjackson2838 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dah dogo yupo vizuri🎉🎉🎉🎉

  • @mitoteceboy8780
    @mitoteceboy8780 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu akufanyie wepes mdogo wetu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @wilsonmtomo3280
    @wilsonmtomo3280 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh kijana yuko vizuri sana

  • @lusajomwangosi2280
    @lusajomwangosi2280 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi dogo Mungu akusaidie

  • @AminaDudu
    @AminaDudu หลายเดือนก่อน

    Daaah hongera sana mtot Mungu akutangulie inshaallah❤❤❤

  • @RaphaelAnthony-pt7vg
    @RaphaelAnthony-pt7vg 2 หลายเดือนก่อน +4

    Dah! Nimependa San dogo hatr pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-ek6on1rh9x
    @user-ek6on1rh9x 9 วันที่ผ่านมา

    Dg unajua usikate tamaa God bless u

  • @MASHAULISABUYA
    @MASHAULISABUYA 11 วันที่ผ่านมา

    Dah watu tunakipaji jamn horgera sana mwenzi mungu akutaguli sana I love you ndog

  • @user-nx1ml8ti4n
    @user-nx1ml8ti4n 2 หลายเดือนก่อน +4

    Naomba atangaze kama mpenja

  • @yunuskavishe6932
    @yunuskavishe6932 หลายเดือนก่อน +1

    God be with u na akuepushe na hasadi

  • @mohamedikassimu7016
    @mohamedikassimu7016 หลายเดือนก่อน +5

    Anajuwa sana dogo jaman mpeni sapota hii ni Adhina

  • @user-kb3kb5mn3s
    @user-kb3kb5mn3s หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akujaliye

  • @FausitnePonera-fq9pj
    @FausitnePonera-fq9pj หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atumzie kipaji chake

  • @RamadhaniMhandeni
    @RamadhaniMhandeni 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki 7:49

  • @MustafaMnyengema
    @MustafaMnyengema หลายเดือนก่อน

    da mdowangu mungu akuongoze utafika mbali sana pambana nasi tunakuombea sana

  • @ibrahimhamad6556
    @ibrahimhamad6556 27 วันที่ผ่านมา

    Nice dogo

  • @Ashilafumbomoke
    @Ashilafumbomoke วันที่ผ่านมา +1

    Dogo anaweza sana tu family imsapoti na iwekeze juu yake

  • @JoshuaKadege
    @JoshuaKadege หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dogo mungu akutie nguvu

  • @user-zs4mo4ts1h
    @user-zs4mo4ts1h 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna adil saad yanga na kuna huyu dogo safi sana💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @BennyKhane-c7c
    @BennyKhane-c7c 29 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉dogo anajua apewe support

    • @Anchida-k6h
      @Anchida-k6h 19 วันที่ผ่านมา

      hv uyo mpenja anqga timu

  • @user-cm1if5qw1k
    @user-cm1if5qw1k 28 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mungu akutangulie dogo na kwenye masomo

  • @SikuJuma
    @SikuJuma 19 วันที่ผ่านมา

    Ongera sana mtoto mungu akuongoze ufike mbali

  • @mayagilokasuka6045
    @mayagilokasuka6045 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi Sana mtoto anakipaji safi sana

  • @user-lo9kv9vv3n
    @user-lo9kv9vv3n หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto anatumia nguvu kwelikweli kuongea, ila uko vzr😂😂😂😂

  • @HashimuTwalibu
    @HashimuTwalibu 7 วันที่ผ่านมา

    Good job

  • @costantineMazoya
    @costantineMazoya 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana home boy ukihitaji namna yoyote tujulishe kijana wetu tuko na ww Kanda ya ziwa kayenze moja

  • @user-gj4ru4kh9n
    @user-gj4ru4kh9n หลายเดือนก่อน +1

    Baraka mpenja jamani khaaa Hadi raha

  • @OscarTalawani
    @OscarTalawani 13 วันที่ผ่านมา

    Dogo uko vzr chamsingi jipe moyo utafika hatuwa unayo itaman mungu akubariki

  • @FilibertShabani
    @FilibertShabani หลายเดือนก่อน

    Nmependa sana ❤❤dogo atafika mbali

  • @AmusedAlligator-dp9gz
    @AmusedAlligator-dp9gz หลายเดือนก่อน

    Congratulations infact you've made me happy

  • @RashidHamisiMkomweke
    @RashidHamisiMkomweke 13 วันที่ผ่านมา

    Hongela sana kija

  • @MariamMasasi-l4g
    @MariamMasasi-l4g 21 วันที่ผ่านมา

    Hongera mdogo ang unajua👏

  • @user-pi8vf2vp3i
    @user-pi8vf2vp3i หลายเดือนก่อน +1

    Ni hatari🔥🔥

  • @westserengeti5608
    @westserengeti5608 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nice, very nice

  • @asmaraentertainment668
    @asmaraentertainment668 21 วันที่ผ่านมา

    Hongera dogo uko vizury sana Linda kipaji yako sana coz utafika mbaly

  • @BarakaNestory-x7z
    @BarakaNestory-x7z 21 วันที่ผ่านมา

    Waooooh my friend ❤❤

  • @matronmkenda3510
    @matronmkenda3510 หลายเดือนก่อน

    Atafika mbali huyu mtoto Mungu akuinue zaid

  • @RAYMON-pv1gd
    @RAYMON-pv1gd หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana yupo vizuri sana akipata menegement nzuri

  • @solodaniel9364
    @solodaniel9364 12 วันที่ผ่านมา

    Aisee dogo yupo vizuuuuuuuri sana

  • @stevenchawala5316
    @stevenchawala5316 หลายเดือนก่อน

    Dogo yuko safi sana Hongera yake na Mungu amsaidie sana.

  • @user-pv2eu3rb7x
    @user-pv2eu3rb7x 2 หลายเดือนก่อน

    Yaaani nimecheka tu yaani nimecheeka saaana ❤❤❤❤

  • @M_boy_classc
    @M_boy_classc หลายเดือนก่อน

    Huyo dogo anaweza sana hongera ziende kwake🎉

  • @AmburitaSaidi
    @AmburitaSaidi 19 วันที่ผ่านมา

    Oyaa dg noma

  • @PowerMwakambonja
    @PowerMwakambonja 11 วันที่ผ่านมา

    Da hakika hiki ni. Kipaji kikubwa mtangulize Mungu atakuwezesha ufike mbali

  • @user-zf8ie4sj3s
    @user-zf8ie4sj3s 13 วันที่ผ่านมา

    mtoto huyu Mungu ambariki kwa kipaji hii

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 หลายเดือนก่อน

    BIG UP 👏👏👏🥰👊💪

  • @user-zr8lq9lo8y
    @user-zr8lq9lo8y 2 หลายเดือนก่อน

    Umetisha kinyama mdodgo Wangu hongere sana

  • @ZAINABUMWINYI-go3cg
    @ZAINABUMWINYI-go3cg 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sanaa upo Moto. mungu akubark ktk ndoto zako ❤

  • @MaigeNgasa
    @MaigeNgasa หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ongera sana mtoto 💪🦁🦁🦁🦁🦁

  • @juliethhenrymasanja940
    @juliethhenrymasanja940 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutinze mwanangu❤❤❤

  • @JosephOmbay
    @JosephOmbay 2 หลายเดือนก่อน

    hongera sanaa mungu akuongoze❤❤

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dogo Anajieleza Kikubwa Baraaaaah

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 2 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa kijana. Azam medium wakuone dgo janja wakupe shavu. ✍️ Mabetu &Co

  • @UBORA97
    @UBORA97 หลายเดือนก่อน

    Ndog nimwebo kwerikweri kirarahri kwake❤❤🎉

  • @user-bf4sr9cm5d
    @user-bf4sr9cm5d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana❤❤

  • @HassaniSudi
    @HassaniSudi 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana dogo unaweza