Sheikh Othman Michael, waalahi wabillahi Mimi nakupenda kwaajili ya ALLAH S.W. Namumba sana ALLAH kareem akupe kher ktk harajati zako hizo za kutoa da'awah na akifungue kifua chako kitoe yaliyo na faida kwa waumini na wasiokua waumini. ALLAH AKULINDE SHEIHK
MashaAllah,,,Allah azidi kukupa afiyah n siha njma sheikh wangu uzidi kutuelimisha ,,wallahy swalah ya mtume upande Wangu imenipa natija ambazo sijawahi zitarajia ktk Maisha yangu ,,,nawashauri ummat Muhammad tukithirishe kuswalia mtume Kwa wingi
Masha Allah tabaraqa llah shehk wetu umetutoa mbali Allah akutangulie kwa kila jambo la kheri uzidi kutuelimisha.nakupenda sana kwa ajili ya Allah natamani sana siku moja nikuone mubaashara
Sheikh assalam aleykum kama utaona hii coment nakuomba nijibu. Mi nina kiwanja nakiuza huu ni mwaka wa7 hakiuziki majirani zangu wameshauza vyakwai vyte lkn cha kwangu wateja wanakuna na hawarudi naomba nisaidie nifanyeje
Sheikh Othman Michael, waalahi wabillahi Mimi nakupenda kwaajili ya ALLAH S.W.
Namumba sana ALLAH kareem akupe kher ktk harajati zako hizo za kutoa da'awah na akifungue kifua chako kitoe yaliyo na faida kwa waumini na wasiokua waumini.
ALLAH AKULINDE SHEIHK
Allah amlipe shekhe wetu kwa elimu Bora kweli tumeona miujiza kupitia swala hii ya mtume
MashaAllah,,,Allah azidi kukupa afiyah n siha njma sheikh wangu uzidi kutuelimisha ,,wallahy swalah ya mtume upande Wangu imenipa natija ambazo sijawahi zitarajia ktk Maisha yangu ,,,nawashauri ummat Muhammad tukithirishe kuswalia mtume Kwa wingi
Mashaallah, inshaallah 2tajitaidi
Masha Allah tabaraqa llah shehk wetu umetutoa mbali Allah akutangulie kwa kila jambo la kheri uzidi kutuelimisha.nakupenda sana kwa ajili ya Allah natamani sana siku moja nikuone mubaashara
Barakallahufika sheikh
Allah atujalie mwisho mwema
Mashallah barakallahu fiikii ya akhii
Allah akujalie khery inshallah
Allah akulipe inshallah
Masha Allah great lecture, BarakAllah feek sheikh 🙏🙏🙏
Nice
Mashaallah ❤
Mashsllah❤❤❤❤❤❤
Asalam alykum shekh kweli kabisa Allah akujaalie afya in sha allah
Ally 🌟 bilali mandwanga nikiwa msumbiji niombee Dua shehe othman Tanzania
Allah khairi
Sheikh assalam aleykum kama utaona hii coment nakuomba nijibu.
Mi nina kiwanja nakiuza huu ni mwaka wa7 hakiuziki majirani zangu wameshauza vyakwai vyte lkn cha kwangu wateja wanakuna na hawarudi naomba nisaidie nifanyeje
Chukua namba za sheikh kwenye video apo umpigie simu , ndo utapata huduma haraka zaidi.
Muelekee sana ALLAH KWAKUAMKA UCKU HAKIKA LITAFAULU JAMBO LAKO HILO NA JENGINE
@@othmanmichaelonline2866 Ameen shukran