MAFUNZO YA KIJESHI NI MAGUMU, UJASIRI MLIONAO MNAWEZA KUINGIA KWENYE MOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @shukurkatembo2807
    @shukurkatembo2807 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni kwa kuhitimu. Ni kweli kuna ugumu kwendana na majukumu mnayokwenda kuyafanya ila kuna shule za mafunzo za maeneo fulani hivi hazipimiki..

  • @kelvine6167
    @kelvine6167 4 ปีที่แล้ว +3

    Nin tena mmshaaza millard kwan kuna tatizo

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 4 ปีที่แล้ว +3

    Hamna lolote vitumbo juu vidume wawili tu wanawamaliza wote hao 😂😂🤣

    • @kelvinjonathan4772
      @kelvinjonathan4772 4 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga. Aliye ukoa Ule moto usitokee Kigamboni aliingia Jeshi la Zimamoto akiwa na umri wa miaka 30 tokea Kampuni ya Ulinzi binafsi. Ameokoa na kukutana na mengi mfn:- Kigamboni amenusuru hasara ya Takribani Trillion 4 za Tshs, hasara ya Roho za Watu zaidi ya Milioni 5 alafu kirahisi unadharau mtu atakaye shuhulika na majanga kama hayo. Kuwa mzalendo wa nchi yako na fikiri kabda ya kunena hasa kwa sekta kama hizi.

  • @aishanabarikiwasana3552
    @aishanabarikiwasana3552 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli mafunzo hayo ni magumu sana kama una afya mgogoro huwezi kufanya mafunzo hayo hongereni sana.

  • @jaypiarro3518
    @jaypiarro3518 4 ปีที่แล้ว +1

    💪❤

  • @gabrieldenicc4502
    @gabrieldenicc4502 4 ปีที่แล้ว

    Subili tu moto utokeehee ndio mpongezane sio utokee mchelewe kufika sehemu ya tukio vvifaavyenu nishida atakuzima moto mpaka jengo linamalizwa na moto nanyie ndio mnaonekana alafu mmeshibaa

  • @amaniramadhani1942
    @amaniramadhani1942 4 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏

  • @michaellorry3448
    @michaellorry3448 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ni jeshi la zimamoto ila mafunzo yao wameyafanya kwenye Jeshi la magereza

    • @ramadhanisuru1822
      @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว

      Hata mkuu wazima moto ni Asikari Magereza chezea magufuli

  • @amanibwire4423
    @amanibwire4423 4 ปีที่แล้ว

    Hichi kiapo nakisikiliza mara mbimbili🤔🤔

  • @kabamedestrong3917
    @kabamedestrong3917 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole na majukumu nakuomba walau dakika chache utazame video yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu Ahsanteni🙏

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 4 ปีที่แล้ว

    Una deal na watu mbalimbali

  • @jacksonpaulo887
    @jacksonpaulo887 4 ปีที่แล้ว

    hamna kitu yeyote hapo

  • @barketfaisal3299
    @barketfaisal3299 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa updates zote za polisi Tanzania football club ni follow mm Instagram @polisi Tanzania fanpage

  • @kingombeefamily2204
    @kingombeefamily2204 4 ปีที่แล้ว

    Moooo

  • @ajoomusic3860
    @ajoomusic3860 4 ปีที่แล้ว +1

    Policeccm

    • @mussajoseph3949
      @mussajoseph3949 4 ปีที่แล้ว +1

      Ao ni zimamoto babu acha wenge mzee au kombati zinakuchanganya

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

      Ujinga huo!

    • @amirithabit5802
      @amirithabit5802 4 ปีที่แล้ว +1

      Umezeeka bro pole

    • @yasiralkindi5332
      @yasiralkindi5332 4 ปีที่แล้ว

      @@amirithabit5802 Hata ww utazeeka tu bro labda ufe kabla ya miaka hiyo

    • @amirithabit5802
      @amirithabit5802 4 ปีที่แล้ว

      @@yasiralkindi5332 lakini mungu anisaidie nizeeke nikiwa na busara si kama yeye

  • @lukaliwakukodiwa1617
    @lukaliwakukodiwa1617 4 ปีที่แล้ว +1

    Ggg

  • @dangomc_niger
    @dangomc_niger 4 ปีที่แล้ว +1

    Mafunzo ya magereza simple mbn

    • @hassana.bahebe4216
      @hassana.bahebe4216 4 ปีที่แล้ว

      Unayajua viwangimo vyake

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Umeshawahi kuyafanya ukayajua yako simple?

    • @dangomc_niger
      @dangomc_niger 4 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 mii nilifanya ya JW kabisa ndon nasema magereza cha mtoto

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@dangomc_niger hujajibu swali, ulishayafanya ukayaona simple?

    • @josephlombweti8803
      @josephlombweti8803 4 ปีที่แล้ว

      @@dangomc_niger ajuaye kuwa mafunzo ni magumu au marahisi ni yeye afanyaye hayo mafunzo