RC CHALAMILA ATINGA KITUO CHA POLISI MABWEPANDE USIKU "TUSIJE TUKAMCHEKEA AMBAYE ATA HARIBU AMANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ukiangalia sura za watu zimechokaaa lakini Mr masifa anawapelekesha watu kuzurura usiku

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuna baadhi ya watu dumiani hawana shukran kama baadhi ya Watanzania wenzangu wewe ukiww mmoja wapo leo watu.wanafanya kazi.tunaehitaji watu wa Serekali leo wewe unamkosoa RC na yote ni nyie baadhi yenu wadini mnaemchukia Rais Samia Suluhu Hassan kwa Uongozi wake bora haijawahi tokea ni Kiongozi bora kabisa katika hii Dunia kwa sasa mtaumia sana mpk 2030 mtakuwa unahali mbaya sana kwa.chuki zenu labda mukubali ukweli

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@abuumuhammad7133 ujinga tu kwani muda wa asubuh mpk jion hautoshi na hapo nashukuru nn na wapo kwa mujibu wa mishahara ambao ni kodi nayokatwa mm kwan umeskia wanatoa msaada Acha ukenge wewe

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@abuumuhammad7133 kiongoz bora alikua magufuli Fala wewe

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vihoja, nahama chadema nahamia ccm kwa usalama wng

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂 huyu jamaa duh! 😂😂😂😂😂

  • @ronhersi7177
    @ronhersi7177 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huo msafara una magari mangapi yaani ni convoy mzima kuna umuhimu gani kutumia magari yote hayo kodi zitumike vizuri

  • @byabatotv3283
    @byabatotv3283 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani lazima uende usiku ndo uonekane mtendaji mzuri...yani mimi usingeniona hapo labda niwe duty

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chawa

  • @titolyanga9131
    @titolyanga9131 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tafadhari muwe mnatazama mlivyoandika kabla ya kutuma,ushauri tu

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uongozi na utawala kuna tofauti gani

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuleteeniwakina sports msijifanye mko siliazi

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakina ball wakowapi usiituekiteie

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sioni jipya Mm hapo

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna lolote ni kuchoshana tu watu wameingia asubuh kazini unawaweka mpk Usk sijui ni uchawi au uchawa

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww fisadi na mtekaji acha kutuzubaisha tukuone mwema

  • @blackyoungmaestro
    @blackyoungmaestro 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mitano tena kwa mama ! Uongozi makini na wenye tija kwa nchi