PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI,(🎼 TUNAKUMBUKA FADHILI ZAKO)18/08/2024.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • (📖 Zaburi 106:1-5 BHN)
    Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele! Ni nani awezaye kutaja matendo ya Mwenyezi-Mungu? Ni nani awezaye kumsifu kama anavyostahili? Heri wale wanaotekeleza haki, wanaotenda daima mambo yaliyo sawa. Unikumbuke ee Mwenyezi-Mungu unapowafadhili watu wako; unisaidie wakati unapowaokoa; ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako.

ความคิดเห็น •