EL-SHADAI CHOIR (KWAYA)FPCT MAJENGO MOSHI
EL-SHADAI CHOIR (KWAYA)FPCT MAJENGO MOSHI
  • 492
  • 137 358
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI,(🎼 TUNAKUMBUKA FADHILI ZAKO)18/08/2024.
(📖 Zaburi 106:1-5 BHN)
Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele! Ni nani awezaye kutaja matendo ya Mwenyezi-Mungu? Ni nani awezaye kumsifu kama anavyostahili? Heri wale wanaotekeleza haki, wanaotenda daima mambo yaliyo sawa. Unikumbuke ee Mwenyezi-Mungu unapowafadhili watu wako; unisaidie wakati unapowaokoa; ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako.
มุมมอง: 174

วีดีโอ

UJUMBE: FURAHA YA YESU KUELEKEA MSALABANI;MR ENOCK BENSON KAYANGE; 11/08/2024.
มุมมอง 16812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
( ISAYA 53:1-5 BHN) Nani aliyeamini mambo tuliyosikia? Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika? Maana, mbele yake Mwenyezi-Mungu, mtumishi wake alikua kama mti mchanga, kama mzizi katika nchi kavu. Hakuwa na umbo wala sura ya kutupendeza, wala hakuwa na uzuri wowote wa kutuvutia. Alidharauliwa na kukataliwa na watu, alikuwa mtu wa uchungu na huzuni. Alikuwa kama mtu kinyaa kwa w...
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI, (🎼 NIMEMWONA BWANA & HAKUNA WA KUFANANA)11/08/2024.
มุมมอง 18216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
(📖Yohana 20:18SRUV) Kwa hiyo Maria Magdalene akaenda kuwatangazia wanafunzi wa Yesu, akisema, “Nimemwona Bwana!” Naye akawaambia kwamba Yesu alikuwa amemweleza mambo hayo yote.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI: (🎼 BWANA MUNGU NASHANGAA)04/08/2024.
มุมมอง 116วันที่ผ่านมา
(📖KUMBUKUMBU LA TORATI 16 : 15 SUV) Siku saba mfanyie sikukuu BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua BWANA; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, atakubariki katika mavuno yako yote, na katika kazi zote za mikono yako, nawe uwe katika kufurahi kabisa.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.( 🎼 MUNGU WETU NI MWEMA& HUKU NA HUKU WEEE) 04/08/2024
มุมมอง 49414 วันที่ผ่านมา
( WAEFESO 1: 4-6 SNT) 4.Mungu alituchagua sisi tuwe ndani ya Kristo hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na lawama mbele zake. 5Kwa upendo wake, alipanga kabla ya mambo yote, kutufanya sisi kuwa watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo kwa mapenzi yake mwenyewe; 6.Na hivyo apewe sifa kwa ajili ya neema yake tukufu ambayo tumepewa bure katika Mpendwa.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI, (🎼 WAMWENDEA YESU)28/07/2024.
มุมมอง 18314 วันที่ผ่านมา
(📖Yohana 3 :1-4 SNT) Kiongozi mmoja wa Wayahudi wa kundi la Mafarisayo aitwaye Nikodemo, 2 alimjia Yesu usiku akamwambia, “Rabi, tunafahamu kuwa wewe ni mwalimu uliyetumwa na Mungu; kwa maana hakuna mtu awezaye kufanya miujiza hii uifanyayo, kama Mungu hayupo pamoja naye.” 3 Yesu akamjibu, “Ninakwambia hakika, mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona Ufalme wa Mungu.” 4 Nikodemo akasema, “In...
UJUMBE:UTAKASO: PASTOR JOSEPH MWANG'INDE: KATIBU WA FPCT JIMBO LA KILIMANJARO;28/07/2024.
มุมมอง 17714 วันที่ผ่านมา
( 1YOHANA 1:9) Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote ." Hivi ndivyo tunapaswa kufanya kama wana wa Mungu. Hii inapaswa kuwa asili kwetu.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼SIFA ZA BWANA ZIVUME& MUNGU NI YULE YULE).28/07)2024.
มุมมอง 23421 วันที่ผ่านมา
( ZABURI 97 : 1 -3) Bwana ametamalaki,nchi na imshangilie,visiwa vingi na vifurahi. mawingu na giza vya mzunguka,Haki na msingi ndio msingi wa kiti chake. Moto hutangulia mbele zake,Nao huwateketeza watesi wake pande zote.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼 JUU YA MLIMA & KWA BWANA YESU.21/07/2024.
มุมมอง 16021 วันที่ผ่านมา
( ISAYA 51: 11 SUV) Nao waliokombolewa na BWANA watarejea, Watafika Sayuni, wakiimba; Furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao; Watapata shangwe na furaha; Huzuni na kuugua zitakimbia.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼EE BABA)21/07/2024.
มุมมอง 47828 วันที่ผ่านมา
( ISAYA 64 : 8 BHN) Hata hivyo, ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni Baba yetu. Sisi ni kama udongo, wewe ni mfinyanzi. Sisi sote ni kazi ya mikono yako.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼 MUNGU NI PENDO)14/07/2024.
มุมมอง 480หลายเดือนก่อน
( 1YOHANA 4 : 8 -12 SUV) Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo. Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye. Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu. Wapenzi ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi, imetupasa na...
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼NAKUAMINI)14/07/2024.
มุมมอง 380หลายเดือนก่อน
(📖WAEBRANIA 11 : 6 SNT) Na pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu kwa maana kila mtu anayemjia ni lazima aamini kuwa yupo na kwamba yeye huwapa tuzo wale wanaomtafuta kwa bidii ( MARKO 9 : 23 SUV) Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI;(🎼 NIMEONA WEMA WAKO) 07/07/2024.
มุมมอง 262หลายเดือนก่อน
. ( ZABURI 23:6 SUV) Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI,(🎼 UNAYESEMA)30/06/2024.
มุมมอง 211หลายเดือนก่อน
( WAAMUZI 6 : 17 BHN) Gideoni akamwambia, “Basi, ikiwa nimepata fadhili kwako, nioneshe ishara ili nijue kuwa ni wewe kweli uliyezungumza nami.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI,( 🎼 MIMI NIKURUDISHIE NINI & KWA BWANA YESU,23/06/2024.
มุมมอง 202หลายเดือนก่อน
( ZABURI 116 : 12 - 14 SUV,) Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la BWANA; Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA, Naam, mbele ya watu wake wote.
UJUMBE:KUMTEGEMEA MUNGU;MR DAVID JOHN MGOGWE; HITIMISHO JUMA LA VIJANA FPCT MAJENGO MOSHI, 23/6/024.
มุมมอง 94หลายเดือนก่อน
UJUMBE:KUMTEGEMEA MUNGU;MR DAVID JOHN MGOGWE; HITIMISHO JUMA LA VIJANA FPCT MAJENGO MOSHI, 23/6/024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI:(🎼 EBENEZER,AMEJIBU & UBARIKIWE) 23/06/2024.
มุมมอง 505หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI:(🎼 EBENEZER,AMEJIBU & UBARIKIWE) 23/06/2024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼YESU NAKUPENDA, NO 41 NYIMBO YA INJILI) 16/06/2024.
มุมมอง 105หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼YESU NAKUPENDA, NO 41 NYIMBO YA INJILI) 16/06/2024.
SOMO: MAAJABU YA MOYO WA SHUKRANI: PASTOR & DOCTOR JOHN MGOGWE;16/06/2024.
มุมมอง 562 หลายเดือนก่อน
SOMO: MAAJABU YA MOYO WA SHUKRANI: PASTOR & DOCTOR JOHN MGOGWE;16/06/2024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼NIMEMWONA BWANA & HALELUYA HOSANA)16/06/2024.
มุมมอง 1712 หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI.(🎼NIMEMWONA BWANA & HALELUYA HOSANA)16/06/2024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI (🎼AMENIHUISHA,SITAKUFA LA! NO 307 NYIMBO YA WOKOVU)
มุมมอง 2372 หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI (🎼AMENIHUISHA,SITAKUFA LA! NO 307 NYIMBO YA WOKOVU)
SOMO: SISI TUNASHIRIKIANA KWA SABABU TUNA ASILI MOJA; PASTOR JOHN TUU 09/06/2024.
มุมมอง 652 หลายเดือนก่อน
SOMO: SISI TUNASHIRIKIANA KWA SABABU TUNA ASILI MOJA; PASTOR JOHN TUU 09/06/2024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI,(🎼ACHA NIKUBARIKI) 09/06/2024.
มุมมอง 2512 หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI,(🎼ACHA NIKUBARIKI) 09/06/2024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI,(🎼YESU NINAKUTOLEA - NO 56 NYIMBO YA WOKOVU, 02/06/2024.
มุมมอง 1172 หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI,(🎼YESU NINAKUTOLEA - NO 56 NYIMBO YA WOKOVU, 02/06/2024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI MJINI KILIMANJARO TANZANIA.(🎼 BWANA EE BWANA)02/06/2024.
มุมมอง 1152 หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI MJINI KILIMANJARO TANZANIA.(🎼 BWANA EE BWANA)02/06/2024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI (🎼NINAPENDA NIKUABUDU BWANA)26/05/2024.
มุมมอง 1482 หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI (🎼NINAPENDA NIKUABUDU BWANA)26/05/2024.
SOMO: MAISHA YA USHIRIKA NA USHIRIKI; PASTOR JOHN TUU 26/05/2024
มุมมอง 622 หลายเดือนก่อน
SOMO: MAISHA YA USHIRIKA NA USHIRIKI; PASTOR JOHN TUU 26/05/2024
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI (🎼 BWANA WEE UU MWEMA)26/05/2024.
มุมมอง 2362 หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI (🎼 BWANA WEE UU MWEMA)26/05/2024.
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI (🎼KWA BWANA YESU ) NO 141 NYIMBO YA WOKOVU,19/05/2024.
มุมมอง 1492 หลายเดือนก่อน
PRAISE & WORSHIP TEAM FPCT MAJENGO MOSHI (🎼KWA BWANA YESU ) NO 141 NYIMBO YA WOKOVU,19/05/2024.
UJUMBE:UTAPOKEA NGUVU; PASTOR GEOFREY MORIS-KUTOKA FPCT AIRPORT DAR ES SALAAM 19/05/2024.
มุมมอง 1032 หลายเดือนก่อน
UJUMBE:UTAPOKEA NGUVU; PASTOR GEOFREY MORIS-KUTOKA FPCT AIRPORT DAR ES SALAAM 19/05/2024.

ความคิดเห็น