ASKOFU BAGONZA ATAKA MWABUKUSI NA MBOWE KUKAMATWA SAKATA LA UTEKAJI LINALOENDELEA NCHINI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    MWABUKUSI NA MBOWE WAKAMATWE WANALETA TAHARUKI ASKOFU BAGONZA ATETA SAKATA LA UTEKAJI..''NILIAMBIWA NIONDOKE NCHINI AU NIKAE KIMYA NISIONGEE''
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 55

  • @jordanmwamlima7579
    @jordanmwamlima7579 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna vichwa humu vinaelewa kama vilivyosikia, havina hata tafakuli, Askofu Bagonza ni msomi sio mjinga, unapomsikiliza usipotumia akili kubwa utaishia kumtusi...lkn welevu wanamuelewa vizuri sana.

    • @idiphoncekiimbi2021
      @idiphoncekiimbi2021 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli wenye akili ndogo awezi kumuelewa ila tuliosoma cuba tunamwelewa

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 หลายเดือนก่อน +4

    Askofu hakumaanisha hvy Kama mnavyoelewa! Anasema Kama Hawa watu wametoa data za uwongo wakamatwe Kama hawakamatwi Basi jeshi la polisi either likanushe taarifa hiyo au liwajibike kwa kujua Hawa watu wako wapi! Please be reasonable when you comment something you know!

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +7

    Nawapa ushauri wa bure km hamjui siasa acheni kucoments ujinga endeleeni kucoments za kina mwijaku na baba levo kwa baba bagonza tuachieni wenye tafsida za kisiasa tunamwelewa

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน

      @@PrinceHendry-hp8vv Anachokitaka Askofu ni kwamba Serikali na Polisi wake wafanye kazi ipasavyo na bila upendeleo na watu wanaotajwa kuhusika na matukio hayo hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao.Kuhusu akina Mbowe kama wameongea uongo wachukuliwe hatua zinazo stahili na Polisi lkn kama hawachukuliwi hatua basi walichokisema ni cha kweli

  • @hisexcellencyhon.dandabeni84
    @hisexcellencyhon.dandabeni84 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh, hatari sana

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +5

    Nimegundua watu wengi mna smart fone mnaangalia matukio lakini kichwani hewa tupu laiti mngejua bagonza anaongea nn mngemsifu kwa fumbo la serekali kutenda hayo

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 หลายเดือนก่อน

      Serikali hapa haina pa kukwepea ! Kuna kupoteza imani kwa waliopewa mamlaka !! Hapo umuhimu wa kupatikana Katiba mbadala unadhihiri.

  • @justinebalaguyu7769
    @justinebalaguyu7769 หลายเดือนก่อน +3

    Askofu ameeleza vzr na amejibu maswali kwa mafumbo msimtukane sikilizeni tena na tena sikiliza hata zaidi ya mara 2 anaposema wakamatwe hana maana mbaya ana maanisha kama serikali imekaa kimya maana yake ni kweli walichosema akina Mbowe na Mwabukusi. Tumieni akili.

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 หลายเดือนก่อน +8

    mwandishi hacha kumsumbua askofu, mwulize hamad masaun, msemaji wa jeshi la police Tz, na kama wanashindwa kutoa majibu sahihi bila shaka ni wao

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 หลายเดือนก่อน

      askofu anakwambia iulize serikali, serikali ijibu

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

      hivi mbona waziri wa ulinzi na usalama haulizwi? anajua mengi mnoo

  • @HassanWasiwasi-lq1kh
    @HassanWasiwasi-lq1kh หลายเดือนก่อน +2

    Jamani jitahidini kucomenti mkiwa na akili timamu hiyo itasaidia sana

  • @ezekielmwakajila3790
    @ezekielmwakajila3790 หลายเดือนก่อน

    Kwani wao kama serikali hawajui wanajua vizuri kabisa kama kukamatwa wangekamatwa mapema sana.

  • @HassanWasiwasi-lq1kh
    @HassanWasiwasi-lq1kh หลายเดือนก่อน +2

    Nilichogundua ni kwamba watu wengi humu hawajamuelewa mh: bagonza, kinacho sikitisha ni kuwa mtu hajaelewa kisha anaropoka kwa kumkashifu,
    Ushauri:
    Tujitahidi kuchangia lolote popote tukiwa na akili timamu.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 หลายเดือนก่อน

      Usemalo ndilo linalotukwamisha kupiga hatua !!

  • @DianaKalinga-ho1cy
    @DianaKalinga-ho1cy หลายเดือนก่อน

    Askofu nimekuelewa sana maana wangekuwa wanaongea uongo wangewakamata sasa wanaelewa kinachoendeles

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot หลายเดือนก่อน

    Kashalamba asali

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 หลายเดือนก่อน

    Uko Sahihi Mtumishi;Nilikua Sijakusikiliza Kwa Umakini.Appology.Uko Sahihi.

  • @kristiankitali5505
    @kristiankitali5505 หลายเดือนก่อน +3

    Vyombo vya nabari vya Tanzania hovyo sana

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie หลายเดือนก่อน +2

    Huyo kenge kipindi cha magufuri alikuwa upande wa kuipinga serikali kwa sasa amekuwa CCM makubwa heti naye askofu ovyo

    • @chescokagali5962
      @chescokagali5962 หลายเดือนก่อน +1

      Umemuelewa Askofu au umecoment Kwa mihemko

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 หลายเดือนก่อน

      Kweli una akili kaungana na wanao sema utekaji umekuwa tishio kama akili hauna kaa kushoto

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi หลายเดือนก่อน

      Hiv umeelewa anachoongea au unakulupuka tu

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh หลายเดือนก่อน +1

    Ikabodi

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi hakuna muchungaji wala nini watu.

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 หลายเดือนก่อน +1

    Wana habari wa Tz bhana ni hatari sana

  • @cletkwai4228
    @cletkwai4228 หลายเดือนก่อน

    Jambo Tv. Scooping so low also. Either/Or nyie mnafanya ni statement.

  • @malundaamani.gmai.
    @malundaamani.gmai. หลายเดือนก่อน +2

    basi uyo soka Anza kuesabu ni mmoja ili usisahau niajabu kweli

  • @Mwitabenson_tz
    @Mwitabenson_tz หลายเดือนก่อน

    Wandishi kama Hawa chawa Tanzania tuna kazi kiukwel

  • @renatusrevocatus3895
    @renatusrevocatus3895 หลายเดือนก่อน

    Sasa bwana bangoza mbona wewe hukuwahi kusema ukweli wako wakati unatishiwa. Ukweli unaouhubili uko wapi sasa? Harafu unatwambia kijijini huko hakuna mwenye mpango na vijijini, wakati unaaambiwa uhame ulikuwa unaishi wapi mchungaji?

  • @lgf7297
    @lgf7297 หลายเดือนก่อน

    La hawla bin qwatar!!

  • @christinainnocent3184
    @christinainnocent3184 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji alichokosea ni kutangaza kuwa akina Mbowe wakamatwe yeye anajua maana ya hukumu asitoe kauli ya kuhukumu mtu ashikwe sababu tz nzima inaongelea hii washikwe wangapi??

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 หลายเดือนก่อน

      Uko na akili kweli wewe ufahamu wako ni mdogo sana umeelewa au kakosoa serikali kushindwa kukanusha tuuma zinazolielemea jeshi na kukaa kmya bc watakuwa wameshiriki kama ni uongo wajitokeze waseme shida ni nini

    • @jaspertito5343
      @jaspertito5343 หลายเดือนก่อน

      JIFUNZE KUSIKILIZA NA SIO KUSIKIA.

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa หลายเดือนก่อน

    Wewe ni askofu au unhwala Wewe iv unaona haya matukio WE unaona ni yakawaida?nakuchukia hufai kuwa askofu

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 หลายเดือนก่อน

    Wewe mchungaji mtu vipi

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni🌈

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh หลายเดือนก่อน

    Ikabodi hakuna mchungajibhapa

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 หลายเดือนก่อน

      Uko na akili kaungana na wanao lituumu jeshi kutekwa kwa watu

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe หลายเดือนก่อน

    Ambao hamjamuelewa asikofu poleni na hiii nchii tuna raia ambao vichwa vyao vimejaa ushabiki wa kijinga.

  • @amosmasenha1121
    @amosmasenha1121 หลายเดือนก่อน

    Kuna kuulizwa na kukamatwa

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน

    Askofu wa hovyo
    Hawa wame kwenye mfuko wa Iddi Amini mama samia

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 หลายเดือนก่อน

      Askofu kasema ukweli make wanasema hakuna utekaji wakati watu wanapokea ila kasema kwa fumbo linimsikiliza maojiano yake paka mwisho

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Askofu unaishi ulimwengu gani matukio yote hayo huyaoni unatumika wewe Du!

    • @fadhilimsafiri216
      @fadhilimsafiri216 หลายเดือนก่อน

      Huo ni mtego, wakikamatwa tu ushahidi utawekwa wazi wataumbuka.

    • @ezekielshija9251
      @ezekielshija9251 หลายเดือนก่อน +1

      Huwezi kuelewa akili kubwa hiyo

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule หลายเดือนก่อน +2

      Kama huna D mbili huwez elewa

    • @danielkanso
      @danielkanso หลายเดือนก่อน +1

      Askofu bagonza akili kubwa amejibu Maswali kiakili sana siyo rahisi kumwelewa

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 หลายเดือนก่อน

    Askofu ni muelewa ata Mimi naungana nae mbowe ni mtu mbaya na ni yeye anaifanya hayo yote kuipaka matope serekali na hasa kwa ajili uchahuzi unakaribia ili watu wasiielewe serekali yao

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน +1

      Ebu tuambie;Ni kwa nini Mbowe asikamatwe na vyombo vya Dola na kupelekwa mahakamani ili akajibu hizo tuhuma zake?Kwa akili yako unaona Serikali inaweza kushindwa kumkamata Mbowe anapoichafua na kuiogombanisha Serikali na Wananchi wake?

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule หลายเดือนก่อน +1

      We shule ulikimbia 😂,hujamuelewa askofu kabiisa

    • @Landisy
      @Landisy หลายเดือนก่อน

      nikwamba serikali ikanushe hayo tuhuma na sio kukamatwa akina mbowe wasinyamase kimya maana sisi wananchi tutaamini.​@@tumlakimwaitumule

    • @HassanWasiwasi-lq1kh
      @HassanWasiwasi-lq1kh หลายเดือนก่อน

      Msikilize tena ukiwa na akili timamu utaelewa

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 หลายเดือนก่อน

      Hauna akili askofu kaungana na wanao sema utekaji ukomeshwe kina mbowe sema akili hauna unacomment bila kuelewa