Hii ndio hadithi ya Malkia wa Sheba na alivyomchanganya Mfalme Solomon/Suleiman

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 156

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 5 ปีที่แล้ว +3

    Unakipaji bro allah akupe maisha marefu insha allah

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 5 ปีที่แล้ว +6

    Good job brother Fredrick I appreciate...
    Nawwpa changamoto wasomi wa biblia kuwa huyu ndo chanzo za utajiri mkubwa wa Mfalme Suleimani...na malkia huyu alikuwa Ni muafrika ...
    Ingawa waafrika tumedhaurilwa Sana, ukiangalia historia wa Africa waafrika wamemezwa na waandishi wengi wa karne ya kumi na Saba, kumi na nane ,kumi na tisa Hadi 20...
    Lakini still hiyo haifichi ukweli kuwa waafrika ni matajiri na utajiri wetu Ni chanzo Cha maendeleo ya mataifa makubwa

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 4 ปีที่แล้ว

      Hakua mwafrica alikua myemen na jina lake bilgis na ndege alie muona anaitwa hudhud soma quruaani ndio hihi zilizo bakii zote wamechovya huku na wakaongezea ila quuruan haijawahii kubadilishwa hata kidogo ni maneno ya ukwelii

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Nenda kasome historia vizuri,ndo utajua Sheba IPO wapi.queen of Sheba hiyo ni Yemen na inajulikana na yeye kiti chake kilikuwepo huko huko Sheba in Yemen,huyo alikuwa ni mwarabu wa Yemen na alitawala eneo la bara la Arab na eneo kubwa la bara la Africa

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      ​@@eastafrica6858 hata kwenye bible pia haijasema ni kutoka Africa imeeleza queen of sheba.hiyo Sheba inajulikana kama ni Yemen.

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 5 ปีที่แล้ว +2

    Wow wow Mr. Pastor You have a great voice

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 5 ปีที่แล้ว +1

    Wow wow Mr. Pastor You great voice

  • @a.y.a.kmwamba26
    @a.y.a.kmwamba26 5 ปีที่แล้ว +6

    NDUGU ZA..
    Niegeme kweny qur an,hao wote ndege na wanyama ni Lugha za kimajaz yan mifano au tuseme kwamb zaman wat walipend kujiita kw majin ya vituwanyam flan hali hiyo ata sasa ipo mfan mtu huitwa mwamba mjusi n.k nitoe dogo kuhusu ndege hudhud uyo alikua ni askari wa nabii suleiman na si ndege km ilivy uyo illa ni askar tena komandoo alimtum kumchunguz malkia bilqis/wa sheba na alipochelew mfalme/nabii suleiman alihamak na kudhani uyo hudhud/askari amesalit lakin kumbe alijiongeza kuchunguza zaid (km ulivyo mdom wa hudhud kwa kuchimbua) ndio mana akachelew ilikua kawaid kwa sbb alikua askar komando na mjuvi hii inayumkinika pale alipompelekea mfalme suleiman habar kubwa na mzur zaid ndy mana suleiman akapoa na kutambua uhodar wake uyo ndiye hudhud si ndege hasa km idhanivy itakua ni jambo ambalo haliingi akilin na huu si uislam manabii hawakuja kuongea na ndege bali watu(mina nnas) na kuna mifan mingi ya vitu ikiashiria wanadam ndivyo lugha za kimbingu hii ieleweke vzr.pia pengin hajaelez lakin kuna kisa cha mchwa kuongea pale jesh la suleiman likipokaribia makaz yao jamn wale si mchwa wadudu bali ni watu ambao walikua ktk mji flani ambao suleiman akiw umbali mkubwa akiukaribia mnadi katika mchwa hao akasema jificheni asije suleiman akawapond na jesh lake hii ni jamii ambayo ililihofia jesh la suleiman.haya ndio yanaingia akilin kudhan walikua ndege au mchwa kweli hayo yatafaa sn kweny hadith km za halfu lela uleila na abunuasi chura akasema hiyo si qur an,qur an inatutak ttmie akili inasema afaala taakirun hamtumi akili(15:88) Tazamen aya asante (ahmadiya knowledge)

  • @hassanmkotya8167
    @hassanmkotya8167 5 ปีที่แล้ว +25

    hadithi nzurii mzee tulimisi vitu hivi ninaimani watu wanapenda sana maana hat story book ya wasafi inavuta watu wengi uzuri wako wewe unasifa za ziada unasauti nzuri na yakuvutia hasa kwenye makala ninaimani kama utarudisha hadizi na makala hizi basi followers wako watapanda haraka kutoka laki 4 na kukua kwakasi mimi binafsi napenda sikumoja nione unazaidi ya waffjasi m1 kwani nitafurahi sana ila inshaalah utafika

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 3 ปีที่แล้ว

    Mashalla,kumbe wacristo wanujuwa kuwa minabiy wakale warikuwa wanamwahabudo alla(awakuwa wacristo)warikuwa wahislamo kwelli kwelli 👐👐👐👐

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 5 ปีที่แล้ว +7

    Waow, Simulizi ya kibambe sana

  • @othmanmgongo8850
    @othmanmgongo8850 5 ปีที่แล้ว +3

    Mm napenda sana jinsi unavyo tupa hadithi,

  • @stansmorland5072
    @stansmorland5072 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sanaaa sky, amazing story 😒

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante tunasubiria muendelezo🔥🔥

  • @hervemani9600
    @hervemani9600 5 ปีที่แล้ว +2

    Umetisha sana

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 5 ปีที่แล้ว +1

    amazing. ila umesema kwa ufupi. nataman uendeleze story maana ina mambo mengi

  • @stephanieeunice8572
    @stephanieeunice8572 5 ปีที่แล้ว

    Wow Asante,nimejifunzaa

  • @swaleheathumani4184
    @swaleheathumani4184 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana ila ndege wa Suleyman anaitwa hud hud

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo ya kuwa jini ndio alieleta kiti hebu soma vizuri hiyo quran imesimulia vizuri sana kisa cha barkis

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 5 ปีที่แล้ว

    imeeanza vizuri sana hongera

  • @mytelecom2019
    @mytelecom2019 5 ปีที่แล้ว +1

    formidable big up sky

  • @fredricknkole5481
    @fredricknkole5481 5 ปีที่แล้ว +1

    Bro nimekubali nipo number two 🧢💪💪

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 5 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli brother sky kwahadithi kwaupande wangu aupo freshi,,,,..,, hiyo seemu niya pesa mane mapenechenji,... ausio wadau wa sns,,,,,........

  • @rukusanmanase1175
    @rukusanmanase1175 5 ปีที่แล้ว +1

    Adithi nzur sana jamani

  • @dottocharles1636
    @dottocharles1636 3 ปีที่แล้ว

    Sauti nzuri sana

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 5 ปีที่แล้ว +1

    Iko pw sana bro be blessed.

  • @habibhamza9766
    @habibhamza9766 2 ปีที่แล้ว

    nimeshasema sana ila narudia, Skywalker ni mkali sana aisee, ila nirekebishe hapo kwenye kiti cha enzi, aliyelileta sio jini bali mcha Mungu.

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaan sikutamn ht hadithi ihiishe dah ikifika kipengele cha hadithi napenda sana sky umetisha htr

    • @mytelecom2019
      @mytelecom2019 5 ปีที่แล้ว

      nakuona nakuona unavo enjoy

    • @lilianjeremia1024
      @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว

      @@mytelecom2019 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 wew tena

    • @mytelecom2019
      @mytelecom2019 5 ปีที่แล้ว +1

      @@lilianjeremia1024 sky ni fire uyo jama namkubali adi mwisho aendeleye kutupa mambo na Mungu ampe umri mrefu

    • @lilianjeremia1024
      @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว

      @@mytelecom2019 amen

  • @uwitekamimy3431
    @uwitekamimy3431 5 ปีที่แล้ว

    Nimekubali 😍 tuko pamoja

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka sky

  • @starboytv5293
    @starboytv5293 5 ปีที่แล้ว +4

    First one to View

  • @stevenkigoda6879
    @stevenkigoda6879 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwendelezo

  • @sadikimohamedmangasala7245
    @sadikimohamedmangasala7245 5 ปีที่แล้ว +1

    Ulichoeleza kina mapungufu au makosa kidogo. Aliyeleta kiti cha malkia hakuwa jinni Kama ulivyosema. Alikuwa ni mwanadamu mwenye elimu ya juu. Rudia tena kuisoma hiyo kwenye suratl Nnaml utaona vizuri. Aliyeleta kiti mbele ya Mfalme Suleiman hakuwa jini bali mwanaadam aliyeitwa A'sif

  • @shakira1301
    @shakira1301 5 ปีที่แล้ว

    Naomba iendelee

  • @mzeemzee2467
    @mzeemzee2467 5 ปีที่แล้ว +2

    simulizi nzuri. ila kuna kasoro kdg ni kuwa alieleta kiti cha enzi cha malkia alikua ni mtu mwenye elimu na wala sio jini.

  • @victormneney1475
    @victormneney1475 ปีที่แล้ว +1

    Nisawa ndiyo maana kanisa la kwanza Africa ni orthodox na kalenda yao ya Gregorian calendar 📅 Ethiopia 🇪🇹
    Na mpakq leo kuna wayahudi weusi Ethiopia 🇪🇹

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Unamaana gani? Huyo queen hakuwa hakuwa wa Ethiopia mbona IPO wazi queen of Sheba hiyo Sheba ni Yemen na kiti chake Cha utawala kulikuwa huko huko Sheba Yemen na yeye alikuwa ni mwarabu wa Yemen na mpaka sasa makumbusho ya kiti chake Cha enzi na mji aliokuwepo IPO yemen

  • @aliabdallah8686
    @aliabdallah8686 ปีที่แล้ว

    Yani mjomba hii stori kwenye upande wa uislamu umeipindisha sana mtaalam nibora uhadithie storizako kwenyeupande unaouweza zaidi

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 5 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana mwamba 🙌🙌🙌🙌🙌

    • @StanleyMalugu-gi2hl
      @StanleyMalugu-gi2hl หลายเดือนก่อน

      Safi sana kaka Bundara,endelea kutupa vitu

  • @RemmyWilliams
    @RemmyWilliams 4 ปีที่แล้ว

    SAUTI YAKO HUWA NINAIKUBALI. WOW.

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 5 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @zahorsuleyman7617
    @zahorsuleyman7617 9 หลายเดือนก่อน

    Unasimulia vzr,ila huskmulii kwa uhakika,kwani alie kileta kitabu si jini,bali ni mtu mwenye elimu ya kitabu/mcha mungu,tena alikileta hata kabla ya mpweso wa jicho.

  • @isayaalfred8515
    @isayaalfred8515 5 ปีที่แล้ว +4

    (SimuliziNaSauti) Usitusahau katika Simulizi za namna hii Bro Unanifanya nikumbuke {HANDAKI LA KIFO,HUKUMU YA MBUNGE n.k}So Pls smtms Do this kind of documentary I love GUYS u Peace.

  • @mustayoo
    @mustayoo 5 ปีที่แล้ว +6

    Soma quran suratul namli kisa Allah amekieleza

  • @sadikathumani1003
    @sadikathumani1003 5 ปีที่แล้ว

    Safi sky worker!

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 5 ปีที่แล้ว +2

    achen uwongo nabii sureyman akuwa natabiya izo munazo zisema nyinyi kasomen kwenye Qur'an mutajuwa kila kitu munamkashifu nabii wa Allah kuhadithi zenu zakutunga subuhana llah nabii sureyman akuwa mnyaudi bali n mwislamu piya nabii waAllah anae pokeya wahi kutoka kwaAllah achen kumchafuwa

    • @nurumuna7297
      @nurumuna7297 5 ปีที่แล้ว

      kuhusu tabia kweli wameongopa '

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 5 ปีที่แล้ว

      @@nurumuna7297 sana t

    • @joelmilendo4705
      @joelmilendo4705 5 ปีที่แล้ว +1

      Solomon alikuwapo kabla ya uislam ndugu yangu (alikuwa myahudi kwa kipindi hicho) acha kupotosha. ..

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 5 ปีที่แล้ว

      @@joelmilendo4705 nini amepotosha mimi au kama mimi sijasema kuwa soromon alikuwepo au ajakuwepo bali nilicho sema kitu kumuingiza nabii surehmani kwenye uchafu ndiy nilicho wabishiya nabii surehnan awezi kuwa mfanya zinaa wala ajawai fanya zinaa abadani

    • @nurumuna7297
      @nurumuna7297 5 ปีที่แล้ว

      @@joelmilendo4705 eti myahudi #akili ni muhimu sana ..okay tuonyeshe evidence ya kua Solomon alikuwa myahudi Angalau ya andiko tu ili tuone kuwa wewe sio muongo '

  • @AlvesiSiwelwa
    @AlvesiSiwelwa 7 หลายเดือนก่อน

    POa sana mzee

  • @rachellebahati7512
    @rachellebahati7512 5 ปีที่แล้ว +13

    nakupenda bure. wewe na family yako yote

  • @allyshabani8680
    @allyshabani8680 5 ปีที่แล้ว +1

    Walio ikubali hio beat like

  • @asiaasia-pl4fl
    @asiaasia-pl4fl 5 ปีที่แล้ว +1

    Umeticha san👏👏👏👏👏👌

  • @chazkoillah2652
    @chazkoillah2652 2 ปีที่แล้ว

    Vyanzo vingine vinadai Malkia wa Sheba alikua nusu mtu nusu jini.. lakin bado kuna vyanzo vinasema Solomon alkua na majesh adi majini so queen of Sheba history yake inatatanisha maana kama Solomon aliongoza adi majini iweje uyu nusu mtu nusu jini amsumbue adi kumwasi Mungu hellow wanawake wana nguvu

    • @gracelema4849
      @gracelema4849 ปีที่แล้ว

      Uongo uo.Kurani ni uongo mtupu

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว

    Queen of sheba,hiyo ni yemen na alikuwa ni myemen na hiyo sheba ni yemen inajulikana na kiti chake cha enzi kilikuwepo sheba in yemen alitawala eneo kubwa la bara la arab na eneo kubwa la africa

  • @rehmadamian8020
    @rehmadamian8020 5 ปีที่แล้ว

    Nyc

  • @dirayaduniageneralviews312
    @dirayaduniageneralviews312 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimekusikiliza sana lakini kwa historia ya suleyman kwa huyo malkia umedanganya kabixa

  • @sarahdanny9568
    @sarahdanny9568 4 ปีที่แล้ว

    Sounds ya nyuma itoee

  • @samuelm6928
    @samuelm6928 3 ปีที่แล้ว

    Tafazali tuleteye historiya ya #romanempire.

  • @peterkingili5305
    @peterkingili5305 5 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba mwendelezo plz bro sky.

  • @ibrahrich4807
    @ibrahrich4807 5 ปีที่แล้ว +2

    Hivi ndo vitu mimi napenda

  • @kibukilaalfred4816
    @kibukilaalfred4816 5 ปีที่แล้ว

    Penda sana story hii

  • @hoseamgema9107
    @hoseamgema9107 5 ปีที่แล้ว

    Ndege woodcok aliridhika namna gani wakati hakuhudhulia sherehe..🤔

  • @jeygelgerald674
    @jeygelgerald674 5 ปีที่แล้ว +1

    Follow Instagram kama NAHITAJ mkopo wa riba nafuu @jacquirine_lowasaa @jacquirine_lowasaa

  • @hassan_ibungu
    @hassan_ibungu 5 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa

  • @ziadazidi2658
    @ziadazidi2658 5 ปีที่แล้ว +7

    Hamna kitu hapo isome Qur-an utaijuwa hadithi hiyo vizuri sana

    • @jabirbinjabaar7864
      @jabirbinjabaar7864 5 ปีที่แล้ว +2

      hivi ipo kwenye surat gan hii kwenye Qur an

    • @a.y.a.kmwamba26
      @a.y.a.kmwamba26 5 ปีที่แล้ว

      @@jabirbinjabaar7864 naml ya 27

    • @casttraining1575
      @casttraining1575 5 ปีที่แล้ว +5

      Huu ndio ugonjwa wa wa Islam kuwa kila habari nzuri imeandikwa vizuri kwenye quiran. .

    • @othmaniddi9458
      @othmaniddi9458 5 ปีที่แล้ว +2

      @@casttraining1575 nawe pia.yawezekana kuwa ni ugongwa wako, hakika Qur'an imeieleza kisa hicho kwa ufasa mkubwa

    • @othmaniddi9458
      @othmaniddi9458 5 ปีที่แล้ว +1

      @@casttraining1575 Qur'an ni.kitabu kisicho na shaka ndani yake, hawawezi binaadamu yeyote kukibadilisha

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 ปีที่แล้ว

    Ktk qur an sio jini aliekileta kiti cha mslkia balqis aliekileta kiti cha malkia ni binaadamu mwenye elimu apo umekosea mchambuzi fatilia vizuri

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 หลายเดือนก่อน

    Jini anasema atakipeleka lkn mwenye elimu katika viumbe anakileta yy na sio jini

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 5 ปีที่แล้ว +5

    Wazungu wabaya sana. Kwani queen of sheba alikuwa mweusi, sema wakatubadilishia stori 😏😏😏

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Alikuwa mwarabu kutoka Yemen queen of Sheba hiyo Sheba ni Yemen inajulikana na utawala wake ulikuwepo huko na alitawala eneo la bara la Arab pamoja na eneo kubwa la africa.ila warabu wa Yemen pia asili Yao ni dark colour sio weupe kama wazungu

  • @ZionTZ09
    @ZionTZ09 ปีที่แล้ว

    hivi kwanini hadhithi za quraan lazma zihusishe majini zaidi hata ya malaika?

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 ปีที่แล้ว

    Asant Nilikua nasubiri nisikilize sauti yako tu! Kwamana mmmh

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว

    Hili lipo wazi na limehadithiwa kwenye bible na quraan,huyo anaitwa queen of sheba hiyo ni yenen.hiyo sheba ni yemen na yeye kiti chake cha utawala kilikuwepo huko sheba yemen lakini alikuwa kiongozi shupavu na mwenye hekima na akili sanaa.alitawala maeneo ya Arab na Africa

  • @aishaaisha2957
    @aishaaisha2957 5 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @sawbaa6332
    @sawbaa6332 5 ปีที่แล้ว

    Alie leta kini ni bina ada siojini acha kupotosha

  • @fedricklubigisa139
    @fedricklubigisa139 5 ปีที่แล้ว

    💪💪💪

  • @ajuuraaneu4279
    @ajuuraaneu4279 4 ปีที่แล้ว

    Kingdom Solomon Muslim

  • @rubbymassawe788
    @rubbymassawe788 5 ปีที่แล้ว +1

    tam sn simulz

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว

    ✔✔

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 4 ปีที่แล้ว

    Daaaah ... yani inamaana nabii alizini? Maneno machafu tena zaid ya uchafu kwa kisingizio cha fikra za watu.

  • @aimanjohn3972
    @aimanjohn3972 5 ปีที่แล้ว

    Unaiga sauti ya millard au ndio sauti zimefanana!!!

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 4 ปีที่แล้ว

      Wewe huyu kaka hii ndo sauti toka alivokuwa radio freee afrikaa hawz mwiga Ayoo

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 2 ปีที่แล้ว

    Sky umetuibia izo billion apo tuache 🤣🤣🤣

  • @lucylyuki4852
    @lucylyuki4852 10 หลายเดือนก่อน

    Kisura balaaaa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️

  • @mhthesamemh7303
    @mhthesamemh7303 5 ปีที่แล้ว

    Hivi najiulizaga mwenzenu kuuusu huyu malikia wa sheba mfano wa swali mojawapo huyo malikia alikuwa hana mme? Maana mm kwauelewa wangu mdogo cheo cha malikia lazima awe na mme sasa huo siniuzinzi? Mbona hilo uwa linafichwa na huwa halizungumzwi?

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 5 ปีที่แล้ว

    Dini iliyoanza ni ya kiislam au kikristo mnatachangnya sky

    • @kassimulugajo6512
      @kassimulugajo6512 5 ปีที่แล้ว +1

      ukristo sio dini bali ni ufuasi wa kristo

    • @fatma2496
      @fatma2496 5 ปีที่แล้ว +2

      Dini ni moja ya tangu enzi za Adam, labda uulize Jesus yani Nabii Issa na Nabii Mohammad nani alikuja mwanzo, alie kuja mwanzo ni Jesus [Yesu] ila dini yao ni moja kwani walitumwa na Mungu Mmoja kusambaza neno moja la Mungu... Sasa haya matabaka sijui ukristo, uyahudi ni zama tu ambazo wamezifanya kuwa ni dini na kubadilisha neno la Mungu.. lakini hii story sijawahi kuisikia kwenye Quran ntaifanyia uchunguzi

    • @estherkoya8410
      @estherkoya8410 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂 eti dini ya uislam ilianza, mtume mwenyewe anasimulia kuhusu YESU inamaana amemkuta mnaosema uislam ulianza mnamaana gan maana mpka YESU anakufa mtume hata ajazaliwa halaf et uislam umeanza, vtu vdogo vdogo simple vya kufikir tu wala haiitaj ubish

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 4 ปีที่แล้ว

      @@estherkoya8410 uislam ulianza toka mmungu kaumba adam wa kwanza na mitume wakee walikua wanamuabudu yy ila mtume ndio wa mwishoo alie kamilisha dinii ya kislaaam na kristo wazungu walimbadilisha kivyao mana hata ukiangalia isa yupo katika quuruni na kuruani haijabadilishwa na ukrito ni masihi kwa wana esrael hata ukiangalia mitume wote hawapo kwa wazungu fikiria hata wayahudi wamempinga wana dini yao ya kiyahudi isa musa ayob sulaiman wote wako nchi za kiarabu abrahim na ismail wapo wapii but wazungu wameigeuza bibilia agano la kalee halipo na waislam wanamini injili zaburi tourat na furgan ndio guruani mmelala amkenii isa anasali kama waislam sio masanamu ambayo walichonga wanadam dhambi selemani yahaya musa misri angalia misri si kiarabu na waislam wengi israel ni nchi ya wapaletina ila wasirail wamelaaniwa kwa kumpinga mmungu masihi isa hawamwamini kaja kwa ajili yao na mwisho atakuja tena duniani kupinga kua yy sio mmungu na atamuua mwenye jicho moja

    • @estherkoya8410
      @estherkoya8410 4 ปีที่แล้ว +1

      @@eastafrica6858 sisi hatumjui issa tunamjua YESU, hatumjui yobu tunamjua Ayubu, abraham tunamjua baada ya agano na MUNGU aliitwa ibrahimu halafu biblia inatuambia kua Ishmael alikua mwana wa kijakaz na alifukuzwa, lakini mwana wa agano ni Isaka ambaye ndo chimbuko la ukristo. Mtume wenu amezaliwa amekta historia ya YESU na sisi imani yetu ni YESU, sasa nan kamtangulia mwenzake hapo

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 5 ปีที่แล้ว

    ndo raha ya dini izi tatu

  • @salimshalifu9293
    @salimshalifu9293 5 ปีที่แล้ว

    story nzuri ila haipo ivo hiyo story mzee ndege alikuwa ni mtumish wa solomon

  • @fahadnassor9367
    @fahadnassor9367 5 ปีที่แล้ว +1

    Tupeni habari mpya sio za manabii wa zaman maana ikiwa sasa hivi baadhi ya wakiristo wanajiita manabiii hv hamna haya nyinyi historia ni ya wale wanaoheshimu ukweli sio wanaoamni tuliaombwa kama nyani... Kitabu cha kweli ni quran sio agano jipya linalobadilishwa kama mke kila wakati

  • @chadiaalfani4906
    @chadiaalfani4906 5 ปีที่แล้ว

    iyi turu haukutwambia yote kusu hudhud kilico sababishwa adhibiwe haikuwa iyo

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 4 ปีที่แล้ว

      Amechambua kupitia VITABU VINGINE isipo kuwa kor an. Na kama angechambua kupitia kor an ni raha zaid.

  • @habibutengezatengeza231
    @habibutengezatengeza231 5 ปีที่แล้ว

    Malizia hadithi yako kuusu malikia sheba alikuwa mtu wa asiri gani mweupe au mweusi

    • @babuayubu6215
      @babuayubu6215 5 ปีที่แล้ว

      Mweusi...hawa wayahudi pia hawakuwa weupe,,,mzungu ndo aliwachora weupe..

    • @babuayubu6215
      @babuayubu6215 5 ปีที่แล้ว

      Malkia alikuwa mtu mweusi bila shaka,hata hawa wayahudi walikuwa weusi ,enzi za warumi ,ndio walianza kuchora kila kitu kizungu(cheupe) na kumchora shetani kuwa mweusi kupitia wasanii wa enzi hizo akina Michelangelo na Leonardo da Vinci..kama njia ya kumdhaliliha mtu mweusi na kumuinua mzungu...loh.!

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwan huyo malkia si alitokea Ethiopia jmn sio mweupe sema uweupe alokuwa nao niwa kiafrica kama hili kabila la wairaq nchini Tanzania ambapo hata weusi wapo sana tuu coz kwa asili ni waethiopia

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Acheni upotoshwaji au kupotosha wengine huyo alikuwa mwarabu wa Yemen ndo maana historia zote zimemuekeza queen of Sheba,Sheba ni Yemen alitawala eneo bara la Arab na eneo kubwa la Africa

  • @tuonhfhgf1605
    @tuonhfhgf1605 5 ปีที่แล้ว

    Malkia sheba alimtibu mahaba suleiman

  • @famitoissanawanda6295
    @famitoissanawanda6295 5 ปีที่แล้ว

    Ipo poa ila sio dini ya kiyahudi ni yakiislamu selemani ni muislamu

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  5 ปีที่แล้ว +3

      Kama umesikiliza kwa makini umesikia Solomon/Suleiman amesimuliwa katika dini tatu, Kikristo, Kiyahudi na Kiislamu

    • @famitoissanawanda6295
      @famitoissanawanda6295 5 ปีที่แล้ว

      Ok asante kwa kunifungua zaidi
      Nimejifunza kitu hapa umakini wa kusikiliza jambo sio kukurupuka asante

  • @bizabishakasamir8674
    @bizabishakasamir8674 5 ปีที่แล้ว

    😅😅

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 5 ปีที่แล้ว

    Na hako kamziki kama ka clam tz

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 6 หลายเดือนก่อน

    Ila vingine hawawezi kuibadilisha ardhi na vilivyo kua vya ukweli kwanza mitume wote ni.kutoka madhariki ya kati na msikiti wa al aqsa upo wa sulaiman mpaka leo upo phalestina

  • @YasiniHasani-og4hc
    @YasiniHasani-og4hc ปีที่แล้ว

    We broo unatisha sana unpokua kwenye sectar ya kazi yako huitendea haki

  • @christopherdavid7660
    @christopherdavid7660 5 ปีที่แล้ว

    Allah,anangia wap,false story

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 6 หลายเดือนก่อน

    Hajatokea sheba mnapinga mmungu ni kutoka yemeni sabaa anaitwa nilgis ndio sulaiman hao wazungu wLibadilisha

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥