MKUU WA MKOA CHALAMILA AWAVAA WAKRISTO AWAKATAA WASIMZIKE | NI PAGANI NIZIKWE KAMA WAISLAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 วันที่ผ่านมา +1

    Aaaseee awa ni kina. Yuda eskaliote tuulionao Tanzania 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @DiannaMboka
    @DiannaMboka 4 วันที่ผ่านมา +8

    Kwa nn unasubiri ukifa ,,nenda kasilimu na kama kuzikwa ni njia ya kwenda mbingun 😂😂😂😂

    • @CadiaOnesmo
      @CadiaOnesmo 4 วันที่ผ่านมา

      Diannamboka umepgaje hapo

    • @fatumahamisi-m1e
      @fatumahamisi-m1e 3 วันที่ผ่านมา

      Toa jibu sio makosiriko

  • @DawoodDawood-e8p
    @DawoodDawood-e8p 4 วันที่ผ่านมา +4

    Hajaukana ukiristo,amesema asizikwe ndani ya Sanduku Bali azikwe Kama waisilamu wanavyo zikwa Kama alivyozikwa Yesu. Chalamila bado ni mkristo

  • @nickluckmakundi
    @nickluckmakundi 4 วันที่ผ่านมา +4

    Kwan Mungu alisema wapi watu walale kitandani au Mungu alisema wapi tujenge magari. Kasha tupa Dunia tuitawale sasa kuzikwa kwenye sanduku sodhambi au siyo kosa chalamila kwanzia leo asipande ndege kwasababu Yesu akupanda ndege chalamila anacho tafuta hapo nisifa tuu

  • @savinosalamba9174
    @savinosalamba9174 2 วันที่ผ่านมา

    Yesu ndio njia ya kwenda kwa mungu soma Quran 4:171

  • @antonymakule7423
    @antonymakule7423 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu anaokoa! Uzikwe kwenye jeneza au uchi, haitakusaidia. Only Jesus saves us from eternal condemnation of God

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ridhika na hicho cheo ulichopewa na mungu na baada ya shibe usijekufulu maana kumchokoza mungu hakutakupa utukufu bali utadhiliwa kama walivyodhiliwa wenye mioyo iliojaa kibuli na majivuno walivyoshushwa hata mavumbini na majina yao kufanywa jaa milele

  • @reubenbegashe2372
    @reubenbegashe2372 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ukisomea Dini kwenye hatua ya awali tu unaweza kuchanganyikiwa kabisa na ukawa mchawi
    Mtu yoyote aliesoma Dini vizuri hana mzaha kwenye Neno la Mungu Kwa sababu anatumia Akili yake kufukiria sana ili hasije akapotosha watu wa Mungu
    Kwa sababu kuna madhara makubwa sana kupotosha kweli ya Neno la Mungu
    Ila tumuombe huyu kiumbe wa Mungu awe na mwisho Mwema

  • @jeoffreyamis3782
    @jeoffreyamis3782 4 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa ni mpagani kama wapagani wengine walivyo! Hotuba zake nyingi zinatukuza upagani. Ukitaka Kujua zaidi moyo wa mheshimiwa, soma Zaburi.14:1 na 51:1 kuwa na vyeo katika dunia hii hakumaanishi wanajua kila Kitu. Mungu amewapa nafasi, lakini badala kumpa Mungu shukurani, wanamgeuzia kisogo na kumfedhehi! Ni hatari sana.
    Waebrania 10:31 : Ni jambo la kutisha kuanguka katika mikono ya Mungu aliye hai.
    LAITI KAMA MHESHIMIWA UNGEJUA, UNGEOKOKA! HUIJUI KESHO YAKO.

  • @MashakaKalamba
    @MashakaKalamba 3 วันที่ผ่านมา

    Believe it or not - Never ever had God been mocked and someone left free !!

  • @youthmechanics6167
    @youthmechanics6167 4 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu hakufukiwa,alizikwa kwenye pango.Siku za wiki,kalenda ni mifumo ya Kikristo.2024 ni mipaka ya Yesu. Uislsmu unaishi ndani ya Ukristu

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 3 วันที่ผ่านมา

      Uelewa wako mdogo soma utajua ukristo ni upagani mengi yanayofanywa na wakristo yesu hakufundisha mfano mazishi ndoa mirathi tolaka mlevi akilewa anaingia kanisani mavazi lakini waislam umefundisha Kila Kitu mpaka kula kwa kulia si kushoto

    • @youthmechanics6167
      @youthmechanics6167 3 วันที่ผ่านมา

      @IjumaaIjumaa Hakuna dini isiyo na vielementi vya kipagani.kwanza wengi na wewe hamielewi upagani.Upagani ndiyo imani ya asili kuweo duniani zaidi ya miaka 3500 kabla ya Yesu.upagani.Paganism ni imani inayosmini ngubi za asili,ambapo kila kitu kilichoumbwa kuna ngubi na wao huweza kuzituma ngubi hizo.mwezi na nyota ni vitu vinavyotumiwa na wapagani.Je nyinyi hamtumii nyota na mwezi?

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 2 วันที่ผ่านมา

      @@youthmechanics6167 upagani ni kuacha kupokea amri za mungu sahihi na Ili ujuwe ni sahihi lazima zitokane na malaika zimfikiye mtume na mtume aseme hii ni ibada siyo matayo aseme aseme yesu aseme mohamad swllah mfano yesu aseme jengene kanisa na nyinyi mtajengewa nyumba peponi kwenye
      Quruani mungu anasema misikiti ni nyumba za mungu silimu Ili wiokowe nafsi Yako na jahanam na familia na jamaa zako

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 4 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu anataka kuzikwa bila sanduku au anataka kuzikwa Kiislamu? Kuna wakristo wengi sana wanazikwa bila sanduku, kwahiyo wanakuwa wamezikwa Kiislamu?

  • @olesiara308
    @olesiara308 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ujaelewa maana ya kuzikwa kwa mwili wa mwanadamu,ni kuifadhi isije kuleta madhila kwa walio hai kimwili.kwa hiyo sio imani.
    Wakristo ni wale walioamini katika YESU KRISTO na kutumika katika KRISTO.
    Kwa taarifa iliyo sahihi,aliye wa KRISTO,hafi wala hazikwi.

  • @nth3512
    @nth3512 4 วันที่ผ่านมา

    Kama kuna jambo ktk maisha unaona haliingii kwenye akili yako basi usikubali kulifanya mpaka akili yako ipate uelewa, hii ni sababu akili yako ndo muongozo wako na utaulizwa ulichokifanya kwa mujibu wa akili uliyopewa, Hivyo dini ni maisha, kama kwenye dini yako huelewi basi soma utafute ukweli, kila mtu atabeba mzigo wake. Na ukipata ukweli basi ufate, ata kama maamuzi ni magumu mfano kubadili dini n.k

  • @herijaphet
    @herijaphet 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ukuu wako wa mkoa usifikiri unaweza badili maandiko. Wewe ni mtu tu km watu wengine.

  • @herijaphet
    @herijaphet 4 วันที่ผ่านมา

    Hana hoja ya msingi. Mzee una tofauti sana na Makonda. Toka ukae madarakani napima hoja zako naona ni za hovyo.
    Unataka ukifa UZIKWE. Unaonaje ukifa UJIZIKE MWENYEWE mana ushajiona mtu na nusu siku hz.

  • @RapaFata
    @RapaFata 2 วันที่ผ่านมา

    Mabeno ya wafitini tu. Utajua tu wanafiki wanasubiri ukristo utukanwe. Pole ndaro kwa akili zako mgando. Unadhani mbinguni ni kaburini. Ukifa hata uzipozikwa kama huna utakatifu ni bure. Pole sana

  • @edwinmanji74
    @edwinmanji74 4 วันที่ผ่านมา

    Hayo yote hayamsaidii mtu lolote katika imani no desturi tu za watu na mataifa yao,watu watahukumiwa kwa kutokubali kile ambacho Yesu amefanya na sio hayo mambo ya kuzikwa n.k hayana msaada wowote na hayakusaidii lolote kama haujamwamini Yesu na Kile alichokifanya basi wewe jiandae tu moto utawaka hata kama ungezikwa hewani uwe na dini au hauna dini wote nì sehemu moja tu endeleeni kupoteza muda na mambo yasiyo na msingi katika imani haya.

  • @ConfusedChicken-ze9fz
    @ConfusedChicken-ze9fz 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hata kama Yesu akuzikwa kwenye sanduku na wafuasi wake wanazikwa kwenye sanduku hakuna chochote kinacho badilika kwasababu hakuna mahali popote maandiko yanakataa mtu kuzikwa kwenye sanduku kwaiyo mi nadhani huyo mkuu wa mkoa aidha hajui maandiko au anacheza na akili za waislam kwasababu huyo ni mwanasiasa

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 3 วันที่ผ่านมา

      Sio tu kwamba hajui maandiko. Huyu jamaa huwa ana misifa kinoma...mfatilie tu vzuri utamjua.

  • @AbeliIrikaeli
    @AbeliIrikaeli 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmmmm
    Ila Mimi na nyumba yangu Nita mtumikia bwana

  • @JosefNgulinzila
    @JosefNgulinzila 2 วันที่ผ่านมา

    Mwamba Yuko sawa bwana safi Sana

    • @willykomba8376
      @willykomba8376 2 วันที่ผ่านมา

      Yuko sawa Kwa Mawazo Yako wewe

    • @JosefNgulinzila
      @JosefNgulinzila 2 วันที่ผ่านมา

      @willykomba8376 we uelewa mdogo Sana tusilazimishane we kama uko kwenye mfumo ingia mwenyewe na uelewa wako mdogo

    • @JosefNgulinzila
      @JosefNgulinzila 2 วันที่ผ่านมา

      Kifo ni Shelia ya asili shida Imani zenu za hofu zinawadanganya Sana utumwa wa dini.

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 4 วันที่ผ่านมา

    Huyo ni sawa na Yuda, sababu ya cheo na pesa tu Hata Mungu anamtukana

  • @GastoneAlinda
    @GastoneAlinda 4 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmhhh!!!
    Huyu naye!!¡

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 4 วันที่ผ่านมา

    Aha! Kumbe na ukuu wa mkoa una kazi ya kuhubiri na kupinga dini zingine🙈🙈🙈

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naakatae vyote vybia dunia sio tu uzikwe kama waisalam nyumba nzuri gari zur hata vittu vizur vya ndan tusiwe. Navyo kuona mbingu tukatae anasa zote

  • @SolomonMwankuga
    @SolomonMwankuga 4 วันที่ผ่านมา

    Kama njia pekee ya kupona adhabu ya Mungu baada ya kifo ni kuzikwa bila sanduku, basi mnaheri waislamu na baadhi ya wakristo mnaozika bila sanduku. Mimi nitazikwa na sanduku tu.

  • @MankaTansaniya
    @MankaTansaniya 4 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani...tumieni akili,huyu ni mwanasiasa,anasoma mazingira yupo eneo gani kwa wakati huo lazima aongee cha kuendana na mazingira hayo,hiyo ni comedy tu

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 4 วันที่ผ่านมา

    Asipotoshe yeye kama anataka kuwa muislamu aende kimyakimya. Asiwe na maneno mengi
    .

  • @PaschalCharlesLunemhya
    @PaschalCharlesLunemhya 4 วันที่ผ่านมา

    Viongozi muwe mnajiandaa na kuaanda hotuba kabla ya kuzungumza na wananchi mengine mnazungumza kwenye mihadhara wanapaswa kuambiwa wanafamilia

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc 3 วันที่ผ่านมา

    Haina maana yoyote kwetu atajuana yeye na udongo huko arching. Kwanza yeye si mtaalamu wa Theolojia kwa hiyo hana lolote ajualo asituchanganye ktk imani wakristo.

  • @GraceSadalla
    @GraceSadalla 3 วันที่ผ่านมา

    Anajifananisha na yesu alafu unasema point zenye maso

  • @user13375
    @user13375 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anajuwa kuendana na hazdhira ,ila imani haihitaji mbwembwe😮😮😮😮😮

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 3 วันที่ผ่านมา

    Uchawa jamani!!!

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 4 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo ni k-vant

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 4 วันที่ผ่านมา

    Njaa mbaya

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 3 วันที่ผ่านมา

    sijaona kama amekosea yy anataka Azikwe kama waislamu maana hamna andiko ya kuzikwa na sanduku

  • @ChristopherK4
    @ChristopherK4 4 วันที่ผ่านมา

    Tatizo mnalazimisha kusoma dini unasoma alichoandika binadamu mwenzio

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 4 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona sasa chalamila anaelekea kuwa kichaa

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 4 วันที่ผ่านมา

    Tapeli anataka aongezewe cheo hivyo lazima asifu mtawala na Dini yake Ili apande cheo, Hata kama angekuwa mtawala shetani lazima angesifu ushetani wake Ili adumu Kwenye cheo chake

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana 4 วันที่ผ่านมา +1

    Chalamila hajaelewa,yeye anataa sanduku,lakini hata shule hakuna mtume alieenda shule,hakuna mtume alie panda gari,hakuna mtume alieumwa akapelekwa hospitali, na hayo makabur yawaislam sio kama alilozikwa yesu,yesu alizikwa kwenye pango huyu wanachimba shimo,hamuon huy amewehuka

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 3 วันที่ผ่านมา

      Sio kwamba hajaelewa....huyu mwamba huwa anapenda sana misifa....anapendaga sn kujizima data..

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 3 วันที่ผ่านมา +1

      @@Anonymous-w9v-i1p anakauchiz kwa mbali,huyu angetakiwa awe mkulima na mfugaji,angekua naakili sana

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 4 วันที่ผ่านมา

    Akafie mbele huko

  • @charlesmartin-pm4bi
    @charlesmartin-pm4bi 4 วันที่ผ่านมา

    Kaslimu basi kama ndi hivyo

  • @gidionileonardi4959
    @gidionileonardi4959 4 วันที่ผ่านมา

    unataka ukifa uzikwe kama waislam sawa ni utashi wako kwani wewe ulishawahi kuwa Mkristo ? Mkristo ni mtu aliyeokoka siyo kuitwa John, Alibert, Mchungaji nk na kuzika maana yake ni kuurudisha mwili kwenye asili yake ya udongo Mhubiri 12:7 Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa na roho kumrudia Mungu aliyeitoa Wakristo hawazikwi kama punda maana mauti ya Mkristo ina dhamani mbele za Mungu Zaburi 116:15 hivyo kuzikwa na sanduku au bila sanduku siyo hoja bali tutafute kuwa Watakatifu Waebrania 12:14 hatuwezi kumwona Mungu bila kuwa Watakatifu

  • @JohnKaliagi
    @JohnKaliagi 2 วันที่ผ่านมา

    Janja janja,cheo hicho anatafuta

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 4 วันที่ผ่านมา

    Ni kanisa gani linataka wansojikomba?? Makanisa yenyewe ni makubwa na yamejaa wasomi yy atakaa wap?? Utuoneshe imeandikwa wapi ule ugali ??àu ushike kipaza saut unapoongea ???

  • @JohnKaliadi
    @JohnKaliadi 4 วันที่ผ่านมา

    Anawadanganya,huyo mkristo jumapil tupo.nae kanisan,kama anaupenda uislamu mbona aendi uislamuni mkristo ,asiependa ukristo anahama.haraka. anajua waislamu wanapenda mtu aseme kuhusu uislamu,tumia akili tu.yeye hana haja ya kusema, silimu tu hutozikwa ktk jeneza utazikwa kislamu

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi 4 วันที่ผ่านมา

    Acha upumbavu nahisi hujitambui imani yako ndio njia hata km ukizikwaaaa kiislam dhambi iko palepale km hukutbu

  • @sophianyange3655
    @sophianyange3655 4 วันที่ผ่านมา

    Maneno mengi hiyo

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa siubadili dini kabisa

  • @hildagabriel1003
    @hildagabriel1003 4 วันที่ผ่านมา

    Mh ovyo

  • @Teddy-z4i
    @Teddy-z4i 3 วันที่ผ่านมา

    Taira siku zot atabaki kuwa taira tuuu

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 4 วันที่ผ่านมา

    Ulevi wako malizia uko bar,usiuletee uku

  • @michaelsalum1037
    @michaelsalum1037 3 วันที่ผ่านมา

    Mwanzo wa anguko lako

  • @GastoneAlinda
    @GastoneAlinda 4 วันที่ผ่านมา

    Ana matatizo huyu!!!