VILIO MWANANYAMALA: MJUMBE AGEUZIWA KIBAO, MJENGO WAUZWA MILIONI 90 “WASIOJULIKANA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 458

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 หลายเดือนก่อน +30

    Mjumbe mjumbe jmn dah!!! Uyu kaka mbona ana roho mbaya hivo

    • @MahamuduAbasi-o1n
      @MahamuduAbasi-o1n หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo kama mtendaji ameshiriki bila kukushilikisha unaweza kukuta kuna mkubwa mzito anayetaka kuinyanganya.

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 หลายเดือนก่อน +17

    Mjengo mashallah mwanamke wawatu alipambana kuwaachia watoto wake kivuli

    • @bestcodetz
      @bestcodetz หลายเดือนก่อน

      aiseee yaan nataman afufuke

    • @MaryTomito
      @MaryTomito หลายเดือนก่อน +1

      Dah kweli mama alipambana

  • @FaridaSalum-l5w
    @FaridaSalum-l5w หลายเดือนก่อน +3

    Poleni sana ,tunamuomba mama Samia msikilize huyu mama hata km hatokua na haki angalau utu uwepo,udhakilisgaji cio mambo ya kubajwa tu au kulawitiwa jamani jamani,mwenyezi mungu awafanyieni wepesi.

  • @felistercharles
    @felistercharles หลายเดือนก่อน +9

    Ee mungu 😭 huyu dada mpaka anamkumbuka mama ake jamanii 😭😭

  • @asinahussein2176
    @asinahussein2176 หลายเดือนก่อน +13

    Yani nimeuia sana km ni ndugu yangu

  • @edgercyprian964
    @edgercyprian964 หลายเดือนก่อน +7

    Daaah inauma sana ila huyo kaka ake aliye chukua mkopo Mungu anamuona atashughulika nae ajafanya vizuri kabisa Nyumba ya familia utachukuliaje mkopo😢 😢😢inaumiza sana

  • @MariamAbduly-g6v
    @MariamAbduly-g6v หลายเดือนก่อน +15

    Iv hawa watu wanaojifanyaga kutumia pesa zao hili kudhulumu haki za wenzao wanatoka wapi n a wanajiamin nni aswaaa kushindwa kumuogopa ata mwenyezi mungu😢😢😢 walah inaumiza sana Mungu pigana nao wote walioshiliki kumuumiza huyu dad kupitia hili mmi sipeendagi kabisa dhuluma ktk maisha yangu😢😢😢😢Nashtaki kwa mungu walah tena

    • @Ajijji12
      @Ajijji12 หลายเดือนก่อน

      Hao mjumbe ndio huwa wanahongwa

    • @magembesitta5657
      @magembesitta5657 หลายเดือนก่อน

      Subr Mwisho utafka 2

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 หลายเดือนก่อน +14

    Tanzania nchi ya ajabu sana leo siku ya tatu viongozi wamekaa kimya kama hakijatokea kitu 😭😭

  • @mirajiabdallah1339
    @mirajiabdallah1339 หลายเดือนก่อน +6

    Jerry slaa kwanini ameondolewa ...tunaumia kwa haya aisee😢😢

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 หลายเดือนก่อน +11

    Pole sana mpenzi. Staki kuwaza huo mtihani unao pitia.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 หลายเดือนก่อน +3

    Samia hoyeeeee! Na bado mtateseka sana na huyu mamaenu! Sasa hivi bongo kila mtu anafanya anavyotaka kama enzi za kikwete! ( Mpo hapo?)

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda หลายเดือนก่อน +23

    Kaka yenu mbaya sana naUongoz ulioshiriki

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x หลายเดือนก่อน +11

    Ingeuzwaa zaidi ya hapo wakapewa kilichobaki wakawapa , jamanii watoto. Wakiume fanyeni kazii

  • @aluneanthony3468
    @aluneanthony3468 หลายเดือนก่อน +11

    Huyo kaka duh😭😭😭kuwazunguka ndugu zake jmn duh

    • @rerisamba
      @rerisamba หลายเดือนก่อน

      Halafu pesa kala na wanawake

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 หลายเดือนก่อน +36

    Mama Samia ingilia kati swala ili mama etu ni mama Samia ❤❤❤❤❤

    • @FrenkMushi-i7f
      @FrenkMushi-i7f หลายเดือนก่อน +3

      Mama Samia awezi ingilia katiii watu wanakufa Kila cku

    • @danieljoseph1610
      @danieljoseph1610 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo mama samia kawatuma kuvamia nyumba za watu? Kama unaweza mshauri mwambie ajenge kwake

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v หลายเดือนก่อน

      Achana na samia makonda tuvdaki 20

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v หลายเดือนก่อน

      Hiyo mjumbe hahitAmbui alitakiwa kuona vigezo vyakuhanisha vimetimia. Mjumbe Hana akili hajui alivhokifanya. Baada ya kujiridhisha wanavibali vyote alitakiwa kuona notice. Vinginevyo asingaliruhusu kuhamisha watu

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v หลายเดือนก่อน

      Makonda sense hapo

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 หลายเดือนก่อน

    Unajua qinapomquta mwenzio unalia sio qama qwa ajili ya tuqio hilo, mtu unawaza vp ingequwa qwangu ningejisqiaje inaumiza qwaqwel watoto hawa hasa waqiume wanawaonea sana ndugu zao jmn m,mungu tunusuru na vizazi vyetu

  • @MariamKisuguru
    @MariamKisuguru หลายเดือนก่อน +4

    Nmempenda rafiki❤

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 หลายเดือนก่อน +14

    Mama samia mrudishe waziri jerry slaa JAMANI alikua ana tatua matatizo ya wananchi

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 หลายเดือนก่อน +4

      Ndo maana walimtoa maana wanaofanya hivi sio watu wadogo ndugu kuna kitu wanajivunia

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 หลายเดือนก่อน

      Na sijaelewa kwanini alimtoa

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 หลายเดือนก่อน +1

      @@hamisaally968 kabisa dear mana jerry slaa alikua mtetezi wa wanyonge

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 หลายเดือนก่อน

      @@dianajohnson7268 acha tu my dear jerry slaa alikua yuko shapu dk tu huyo kaka angekamatwa

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e หลายเดือนก่อน

      Na alipaweza san

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 หลายเดือนก่อน +24

    Milioni 90 ni mchicha? Janaume xima badala litafute vyake ladhulumu dada xake.

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 หลายเดือนก่อน

    Waziri Jerry arudishwe huku 😢 kuna mauza uza sana 🙏🙏

  • @modestamodesta3940
    @modestamodesta3940 หลายเดือนก่อน +3

    😭😭😭😭mama angekuwepo daaaah mama sikia kilio Cha mwanao

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz หลายเดือนก่อน +4

    Uyo kaka yenu atakufa kifo kibaya sana siyovizuri nirahana tu

  • @HERISALAMA
    @HERISALAMA หลายเดือนก่อน

    Pole dada yangu kama Hyo haki yako utaipata

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania ni nchi ya hovyo sana mwenye Hela anakuwa kama Mungu mdogo !!!!

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 หลายเดือนก่อน +4

    Makaka ni miyeyusho nyie bora dada😊

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 หลายเดือนก่อน +29

    Duh angekuwepo Jerry Slaa ingekuwa simple.

    • @JitihadaRashidi
      @JitihadaRashidi หลายเดือนก่อน +4

      Yan vile nataka niandike Tu Jerry Slaa nakutana na comment yako KWELI JERRY SLAA NI MWAMBA serikali ifanye KAZI yake Haki ipatikane

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ambaye mama amempa uwaziri wa ardhi kama hayupo sioni hata kazi yake

    • @ZumrahIdrissa-j6l
      @ZumrahIdrissa-j6l หลายเดือนก่อน

      ​@@philemonmagesa5548Cjui hata Yuko wap na jina lake silijui

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana Mungu aingilie kati haki ipatikane🙏🙏

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 หลายเดือนก่อน +2

    Jerry Slaa, was the best to overcome such injustices, Tunamuomba Mama yetu Mh.Dr.Samia amrudishe J.Slaa,huyu wa sasa kanyamaza tu.

    • @FaridaSalum-l5w
      @FaridaSalum-l5w หลายเดือนก่อน +1

      Yani huyo ndo alikua malaika wa mwenyezi mungu tulipewa,atakupa aliwagusa matajiri pabaya huyo.

  • @theodorythobius3965
    @theodorythobius3965 หลายเดือนก่อน

    Dada Mungu yupo upande wenu, nyumba ya urithi huwa haiuzwi hadi wote mkubaliane, ni kinyume na utaratibu kuuza nyumba ya marehemu kwa maamuzi ya mtu mmoja, fatilieni kwenye ngazi za juu msikae kimya ,pigeni kelele bila kuacha bila kukata tamaa hata ifike miaka 1000, Huyo mnunuzi mtu wao.

  • @farahali6041
    @farahali6041 หลายเดือนก่อน +16

    Ndio mana sipendi nyumba zauridhi kabsa ndugu sisi tunatabu sana

    • @VictoriaZakaria-d3n
      @VictoriaZakaria-d3n หลายเดือนก่อน

      Kwakweli

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk หลายเดือนก่อน +3

      Faraha upo sahihi tafuta chako yani hamuwezi wote mkawa sawa mmoja lazima atakua chizi

  • @GraceMadukwa
    @GraceMadukwa หลายเดือนก่อน +1

    Daah inaumiza sana serikali jamani msaidieni huyu dada analia kwa uchungu mkubwa mno uwiii hadi huruma

  • @yusuphmakhahala6570
    @yusuphmakhahala6570 หลายเดือนก่อน

    Sema huyo brother cjui ndio devi kazngua sana

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน +2

    Wewe kaka una hatari mdogo wako analia mpaka anamkumbuka marehemu ungekuwa mimi ndo mdogo nikimaliza machungu nakupiga kitu kizito dunia uione chungu sote tutaabike sasa kwa nini hiyo pesa usiwape na wao wakakodi vyumba vya giza wangeshazoea na maisha kuliko hiyo surprised uliyompa😢😢

  • @gastonamnon7005
    @gastonamnon7005 หลายเดือนก่อน

    KUMBE NYUMBA ILIKOPEWA MKOPO😢 MUHIMU ATAFUTWE HUYO KAKA ALIYEKOPA

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 หลายเดือนก่อน +20

    M 90 ela ndogo ukilinganisha na thamani ya eneo

  • @FelistersMejumaa-xi2ge
    @FelistersMejumaa-xi2ge หลายเดือนก่อน +6

    I feel your pain , my sister duuh poleni kwa kweli 😭😭 sisi masikini wallah hatuna sauti isipokua Mungu tu ndie hakimu wetu basi 😢😢

  • @Laputani
    @Laputani หลายเดือนก่อน

    Masela tufanye kazi tuweke mari zetu sio kutegemea mari ya urithi aibu sana kwa jamii

  • @selinakatega6691
    @selinakatega6691 หลายเดือนก่อน

    Kwa mambo haya kazi ni kuzaaa vingine watatafuta wenyew pumbavu😢😢

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน +6

    Wasiojulikana warudishiwe Hela zao sasa hiyo familia itaishije? jamani..Serekali angalieni Kwa jicho la pili.

  • @swalehaltooq5233
    @swalehaltooq5233 หลายเดือนก่อน +14

    Haya mambo Mbona kila mara yanatokea serekali iko wapi kwenye mambo kama haya lazima viongozi wajipange kwenye maswala kama haya ya urithi mtoto mmoja wa familia hawezi kuuza nyumba ya urithi ikiwa wengine wapo bila wao kutidhia na sahihi zao na wajitokeze siku ya mauzo

    • @CristinLyanga
      @CristinLyanga หลายเดือนก่อน

      Shida ni hawa wenyevit wa mchongo..

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc หลายเดือนก่อน

      kaka siyo kila mambo kulaumu serekali kwani huyo kaka yao alivyoandikisha benki hiyo nyumba alishirikisha serekali

    • @barnabasimon5187
      @barnabasimon5187 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa uanakuta wanafaþilia vitu vidogo lkn vitu vikubwa kama hivi watajizinģusha

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

    Mtamkumbuka JPM!

  • @AnzeraniSalee
    @AnzeraniSalee หลายเดือนก่อน

    We mama ulietangulia mbele ya haki unakizazi chako ulichokiacha kusimamia ndugu zake dada zake leo hii anawatesa ndugu zake inauma nadhali mama kawasikia nasikizote mama hajawahi kutelekeza mtoto mama anahuruma yakutosha mama c kama watanzania tumeguswa mama inauma saaana 😭😭😭

  • @masikaboniphace3643
    @masikaboniphace3643 หลายเดือนก่อน +8

    Hapo shida IPO kwa kaka yake

  • @ZumrahIdrissa-j6l
    @ZumrahIdrissa-j6l หลายเดือนก่อน

    Hvy sahii waziri ni nan

  • @gloriapeterkamata6586
    @gloriapeterkamata6586 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania 🇹🇿 ndiyo nchi ambayo. Unatolewa nje ya nyumba yako na uongozi hauna msaada

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari หลายเดือนก่อน +8

    Jamani tufiche hati. Hakikisha unaficha hati hii itakuwa imeuzwa kwa hati kabisa

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 หลายเดือนก่อน

      ndio

    • @polycarpykavishe9001
      @polycarpykavishe9001 หลายเดือนก่อน

      Hiyo hata kama imeuzwa kwa hati bado alienunua anabanwa yani kwenye mali ya urithi kama mpo ndugu 7 mnatakiwa wote msaini sasa hapo kauza mmoja je, saini za hao wawili anazo?

  • @muhamedali3902
    @muhamedali3902 หลายเดือนก่อน

    Mama samia yup si ndoyule mnae msema vibaya kilacku leo amekuwa na umuhomu kwenu
    Si mshirikiane na wale wenzenu mnomtukana rais kla cku kurejesha nyumba yenu
    Lkn pamoja na yote shida ni kaka yenu na ao viongozi wa kjj poleni sana
    Inauma sana mungu atarejesha haki yenu

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 หลายเดือนก่อน +2

    Watoto wa kiume mara nyingine huwa ni mzigo mnoo,huwa wanauwaza pesa tuu na ndiyo maana wengi huwa mariooo😢😢😢

    • @JennyMdaki
      @JennyMdaki หลายเดือนก่อน

      Na pengine pesa kaishamaliza maana inaonyesha mara ya kwanza alifoji hati ya nyumba akachukua mkopo alivyoona deni limemkalia kooni kaona auze na nyumba dada zake wapo humo humo ndani na hapo wamezaliwa watatu tuu kaka yao kakosea sanaaa

    • @petermangama330
      @petermangama330 หลายเดือนก่อน

      Mwenye nyumba hayupo tugawane kila mtu aende kivyake

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija หลายเดือนก่อน +6

    Poleni saana duh

  • @Aisha-t2q
    @Aisha-t2q หลายเดือนก่อน +2

    Yan mimi nilivyo na hasira huyo kaka angekua kaka angu mimi. Tungegawana majengo ya serikal

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb หลายเดือนก่อน +2

    Mwenye kiti pia umekosea sana yani ufai kuwa mwenye kiti

    • @donjailer8827
      @donjailer8827 หลายเดือนก่อน

      Wenyekiti wa kupitishwa hao

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn หลายเดือนก่อน

    Poleni Sana

  • @OMARISWALEHE-b2h
    @OMARISWALEHE-b2h หลายเดือนก่อน

    Huyo,kaka,akatwe

  • @rerisamba
    @rerisamba หลายเดือนก่อน

    Watoto wakike wana onewa kweli huyu kijana alipata wapi nguvu za kuuza nyumba nzuri kama hii watu waanzishe group wamuchangie hixo million 90

  • @TatoTato-t7s
    @TatoTato-t7s หลายเดือนก่อน

    We mjumbe mshenz tuu

  • @TinnaT.Mathube
    @TinnaT.Mathube หลายเดือนก่อน

    Aisee dada kaonewaa sheria ishike mkondook

  • @ANNAMBENI
    @ANNAMBENI หลายเดือนก่อน +2

    Maskini jmn nyumba zaurithi niukumbusho wakizazi chako kilipoanzia na ktk maish cio wote mtafanikiwa kujenga utawastir ambao maish yao magum mnauzaje sasa

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 หลายเดือนก่อน +15

    Uridhi huu ni shida sn kk mkorofi sn afungwe

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile หลายเดือนก่อน

    Mama Samia angamiza hawa wahuni Mungu atakuelewa

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada ana mikono mizuri mashaallaah

    • @FatmaMatenga
      @FatmaMatenga หลายเดือนก่อน

      😂😂 jamani wenzio wanaongere nyumb we unangaria mikono😂😂

    • @DoriceEdward-l6s
      @DoriceEdward-l6s หลายเดือนก่อน +1

      @FatmaMatenga 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @msakadoobongeladada-uh3sk
    @msakadoobongeladada-uh3sk หลายเดือนก่อน +13

    naamini waziri wa ardhi yuko vizuri ktk kesi km hizi na akipata hii taarifa atamaliza kwa haki

    • @ReyuuAli
      @ReyuuAli หลายเดือนก่อน

      Apo ingekuwa yule slaa lingekuwa limeisha hili mbona

    • @PrincessMaryam-c1r
      @PrincessMaryam-c1r หลายเดือนก่อน

      Kwani uyo sila kwa xx yuko wapi I?

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi หลายเดือนก่อน

    Inabidi alieuza na mnunuzi wote wachukuliwe sheria

  • @SINADATITO
    @SINADATITO หลายเดือนก่อน

    Masikini jamani mbona hivi😭😭😭

  • @SalumMohamed-x6g
    @SalumMohamed-x6g หลายเดือนก่อน +8

    Huyo aliyenunua nae jau alunanunua nyumba yenye mgogoro

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 หลายเดือนก่อน

      Alinunua kwa mnada wa benki

  • @pancrasmalamla9799
    @pancrasmalamla9799 หลายเดือนก่อน

    Nchi nyingine mjumbe angechukuliwa hatua Kali tena na kufungwa kabisa hii ndio Tanzania ila ipo siku Mungu ATAWALIPA

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 หลายเดือนก่อน +1

    Ayo Tv mtafuteni waziri apo mtupe mrejesho please maana tv yenu hii kubwa please mtihani huu kila cku. Wahuni wameingiya tena kazini jerry silaha kaondoka

  • @JanethDunduri
    @JanethDunduri หลายเดือนก่อน

    Mjumbe atolewe kabisa cheo yani anaongea huru kabisa 😢😢😢😢😢sijapenda

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt หลายเดือนก่อน +4

    Hapo hamna tatizo mwambieni devi arudishe pesa ya watu

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri หลายเดือนก่อน

    Jamani tuwe makini na ma kaka zetu wenye tamaa angalia alichokifanya huyu kaka ni jambo la kikatili mama amefariki kwa roho kunjufu amewaachia wanar stara leo hii watoto wanakwenda kuadhirika laana ya m,mungu iwe juu yake huyo hafai hata kuwa ndugu pesa ameshatumia hana snti tano sasa kapata faida gani machozi yenu hayawezi kwenda bure m,mungu huwa analipa hapahapa duniani na atalipwa tu mshenzi mkubwa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 หลายเดือนก่อน +3

    Wenye pesa wanamoto wao.maalumu

  • @SimonSaguda
    @SimonSaguda หลายเดือนก่อน +1

    Nyieeeeee kuna Mungu mpeni huyo binti nyumban yake jamani na hawa viongozi wetu kwa pesa tu na huyo mkaka yke jimpu

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 หลายเดือนก่อน +2

    Wee mtangazaji nae kwani notice atapewa mjumbe si wanapewa wanaoishi ndani ya nyumba

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 หลายเดือนก่อน

    Mjumbe unamatatizo sheria lazima notice iwekwe kabla ya utekelezaji wa zoezi ili kama kuna mtu anapingamizi aende mahakamani.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 หลายเดือนก่อน +3

    Duh bora kupambana kutafuta vyako

  • @mlipanolatifa
    @mlipanolatifa หลายเดือนก่อน

    Mjumbe juzi tu tumekupisha kweli

  • @neamusic2601
    @neamusic2601 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu hapo huwezi uza nyumba kiholela namna hvyo nyumba ya familia lazima kuwe na vikao na mnunuzi hanunui nyumba hadi warithi wote wasaini na awaone mnunuzi katapeliwa.

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 หลายเดือนก่อน +1

    Mjumbe mwenzangu ungetumia hekima tu zambi kabisa mali ya yatima

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 หลายเดือนก่อน +4

    I hl cjui itaishalini tzd jmn yn imekuwa tatizo sn kwa wananchi

  • @makondorshimora5017
    @makondorshimora5017 หลายเดือนก่อน

    Mjumbe umejichanganya na umeyakanyaga!! Hukutenda wajibu wako kwani umesimamia zoezi la utoaji watu na mali zao bila kuwa na uhakika kamili wa zoezi lenyewe!

  • @martinmuyinga7606
    @martinmuyinga7606 หลายเดือนก่อน

    Wamekosea hata mjumbe anausika amepewa kitu kidogo pesa we pesa sijui kwa nn ulikuja ulimwenguni ona wanavyosumbua watu

  • @EstherElias-u8o
    @EstherElias-u8o หลายเดือนก่อน +4

    Tatizo la kuzaliwa na ndugu mmojawapo kichaa mvuta bangi hatari sana yani naona kabisa huyo kaka ni mshenzi sasa kama unauza si mgawane iyo ela ili kila mtu afe na chake sasa hapo uyo kaka inamana ananufaika peke yake pumbavu zake

    • @JennyMdaki
      @JennyMdaki หลายเดือนก่อน

      Na pesa ya dhuruma huwa haifiki popote hiyo kaka kajitafutia milaana tu

  • @OMARISWALEHE-b2h
    @OMARISWALEHE-b2h หลายเดือนก่อน

    Haiwezekan huyo kaka akamatwe asiwatese,wenzake serekari itende haki nahuyo mwenyekiti hajui sheria inaumasana jaman

  • @SaidMwendabwillah-v3z
    @SaidMwendabwillah-v3z หลายเดือนก่อน

    Mwenyekiti kilaza

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips หลายเดือนก่อน

    Mama samia alishasema Ametia pamba masikioni hasikiii

  • @JosephJackson-f1s
    @JosephJackson-f1s หลายเดือนก่อน

    Binadamu ni mnyama mbaya sana

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo tafteni vyenu tuu hiyo kesi ni ya kifamilia😢

    • @merinachillonwa6646
      @merinachillonwa6646 หลายเดือนก่อน

      Acha hayo maneno. Muda huu solution ni kupata haki yao

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo mjumbe kazi yako kukaa pemben😢😢😢

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt หลายเดือนก่อน +7

    Hapo jamani sio samia,mda mwengine tupunguze mizigo kwa serekali,ALO WEKA RAHANI NYUMBA NI KAKA WA FAMILIA.MSHIKENI DEVI ARUDISHE PESA YA WENYEWE TATIZO LIPO WAPI?pesa mshazitumia kula chapati sasa mwalia

    • @florangido202
      @florangido202 หลายเดือนก่อน +3

      Aliye nunua hana Haki
      Uwezi uza nyumba ya Familia au kuchukulia Mkopo.
      Ni kosa kubwa sana Kisheria.
      Dada Nenda Mahakamani

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 หลายเดือนก่อน +3

    kumbe kaka ako alichukuaaa mkopooo 😂😂😂😂😂😂bas kauzaaaa na yye nyumba ya mama ake kama wew au mim nakoseaaa jmn 😎😎😎😎

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa หลายเดือนก่อน +1

      Hiyoo nyumb kuuzwaa lazimaa watu watatuuuu wahusikeeee

    • @LuluAquai
      @LuluAquai หลายเดือนก่อน +2

      Yeah umekosea,ile ni mali ya wote,yeye kauza kama yake binafsi,amewadhulumu ndugu zake,binaadamu tonatofautiana,unasababisha dada zako wahangaike na dunia na mama aliwaachia pakujihifadhi

    • @NuruZebedayombise-ie5zb
      @NuruZebedayombise-ie5zb หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akulaani praise

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 หลายเดือนก่อน

      ​@@NuruZebedayombise-ie5zbalafu jina lake eti anaitwa atukuzwe

    • @TatuRajabu-i6y
      @TatuRajabu-i6y หลายเดือนก่อน

      Matako wewe,kwani mamaake pekeake?kwani angewashirikisha wenzake je?

  • @YonaLengai-cc6tq
    @YonaLengai-cc6tq หลายเดือนก่อน

    dah kwa kweli hakuna mnyama saidi ya mwanadamu poleni sana

  • @Faridkhalid-z3p
    @Faridkhalid-z3p หลายเดือนก่อน

    Kwanza uliona wapi wajumbe ? Ni Tanzania ya madunya ndo kuna wajumbe mitaani, kana kuna katiba nzuri na utawala wa sheria haya mambo hayatotokea

  • @JoshuaMgeni-b4w
    @JoshuaMgeni-b4w หลายเดือนก่อน

    Daah inauma sana aiseee

  • @TatuRajabu-i6y
    @TatuRajabu-i6y หลายเดือนก่อน

    Huruma sana

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 หลายเดือนก่อน

    Mjumbe jamani

  • @bettykatondo3288
    @bettykatondo3288 หลายเดือนก่อน

    Yaani huu ni unyanyasaji wa kijinsia.Watoto wa kiume hata wajukuu wa kiume wanadai uridhi wa bibi zao na babu zao wakati mtoto wa kike (shangazi) wakiwepo.Bunge letu liingalie hii sheria ya mashauri ya mirathi upya ifanye marekebisho,ni hatari kuwapa kipauwa mbele watoto wa kiume

  • @faustacosmas168
    @faustacosmas168 หลายเดือนก่อน

    Alaaniwe alomshawishi huyo Kaka kuwafanyia dada zake ivo kisa pesa,maisha ni Kama gwaride ipo cku pesa zake hazitakua chochote

  • @rayarayaq
    @rayarayaq หลายเดือนก่อน

    Hivi unapata wapi ujasiri wakununua nyumba na bila mwenyenyumba kukubali mbona Hatuna utuu jamn 😢

  • @RukiaMziwanda
    @RukiaMziwanda หลายเดือนก่อน +6

    Shida ni kaka

    • @ummukhawlah8433
      @ummukhawlah8433 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa kama ameuza angegawana na dada zake na wao wapate Cha kuanzia maisha,ukizingatia Wana watoto sijui anaroho ya aina gani jamani

  • @naomimwahosi8177
    @naomimwahosi8177 หลายเดือนก่อน

    Wamuulize kaka Yao vizuri 😢

  • @ramadhanLibenanga
    @ramadhanLibenanga หลายเดือนก่อน

    Mahakama zetu some time usikiliza mtu mwenye pesa haya mambo ndio yanapelekea watu kuchukua sheria mkononi kama ilivyokuwa tegeta mana wananchi wanachoshwa na mtukionya uonevu