MAGUFULI Akerwa, Amgeukia MAKONDA Laivu - "RUDISHA Hizo PESA Haraka, Wewe Sio MASKINI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 49

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +1

    Litakufa jitu🔥

  • @christophermakunzo4232
    @christophermakunzo4232 4 ปีที่แล้ว +6

    Makonda Rudisha pesa za TASAF haraka mzee anasema ukichelewa utatumbuliwa ooohooo!!!

    • @mokhimji
      @mokhimji 4 ปีที่แล้ว

      Atumbuliwe nani? Issue ya kontena nae Mzee alim save! au mmesahau? Alibidi atumbuliwe lakini mzee kasema alipe! Leo tena amefanya makosa lakini kaambiwa arudishe! Sijui kuna nini lakini naona Mzee anampenda saaaaaaaaana Makonda

    • @mabulaoneamosy1281
      @mabulaoneamosy1281 4 ปีที่แล้ว

      Hii MKUU NAKIRI MCHANA KWEUPE KUWA MHESHIMI AMEKIRI MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI WAKO CCM MZEE MAGU HAGU UKO WAZI

    • @abdulatifmoxamed8047
      @abdulatifmoxamed8047 4 ปีที่แล้ว

      Jamaa ana bahati sana hatumbuliwi huyò bado atapewa muda achape kazi

    • @laylasuliman5805
      @laylasuliman5805 4 ปีที่แล้ว +1

      😅😅

  • @jamilapaulo7238
    @jamilapaulo7238 4 ปีที่แล้ว

    Naona raha sana kwa raisi wangu Nampenda mpaka naumwa

  • @sameerlema9954
    @sameerlema9954 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndo Rais wangu am very proud of this guy hana mambo ya chama huyu anakupa live mambo yanaenda .

  • @philipomanguli762
    @philipomanguli762 4 ปีที่แล้ว +5

    Hivi huyu mzee atafanya na Nini Ndio mumuelewe mbona mnampa majukumu magumzu zaidi ( ujanja ujanja hataki acheni ASANTE RAIS WETU MUNGU AKUJALIE ,

  • @mudasina900
    @mudasina900 4 ปีที่แล้ว +3

    Wewe jembe letu Mwenyezi Mungu akulinde na kila mabalaa

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 4 ปีที่แล้ว +3

    Upuuz mtupu! You play'n a move! Yan huyo kapangwa aje kuongea upuuz wake! Mheshimiwa aje kumuumbua! Hizo sinema kawachezeen wattp

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 4 ปีที่แล้ว +3

    😁😁😁😁 rais ana burdani sometimes. Inawezekana 34 yule ni makonda 😁😁😁 nimecheka sana tu wallah

  • @kahemachowdry7346
    @kahemachowdry7346 4 ปีที่แล้ว +2

    NA WAFANYAKAZI WA TASAFU WALIOSHIRIKI UFISADI WAMECHUKULIWA HATUA GANI

  • @jakobokajanja8987
    @jakobokajanja8987 4 ปีที่แล้ว

    Hakika. Jembe. Letu. Liko Powa. Muheshimiwa. Rais. Mm. Nakukubali. Kwakila. Kitu

  • @lusanamlima2389
    @lusanamlima2389 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe ujasili kila sku mkuu wetu🙏🙏🙏

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 ปีที่แล้ว +4

    Makontena ya makonda yaliishiaga wapi jamani au ilikuwa ndio funika kombe mwanaharamu apite!!?

  • @khalfanabass4564
    @khalfanabass4564 4 ปีที่แล้ว

    HAPO NDONNAPOKUPENDEA TU J.P.M KWAKILA ALOFANYA MAJIPU YOTE PAMOJA NA MALENGELENGE UNATOWA USAHA WOTE HADI MOYO.HAYA WEEEEEEEEEEEE MAKONDA NA MDREVA WAKE REJESHENI HIZO HELA KAMA MUMECHUKUA.

  • @khalfanabass4564
    @khalfanabass4564 4 ปีที่แล้ว

    inaniuma sana maana mimi hadi niende nkasokotane na mwitu nikate kuni nakama sjaenda basi siku hiyo nalala njaa mgekuwa mnatugaiya na sisi huku

  • @robertkayombo8416
    @robertkayombo8416 4 ปีที่แล้ว

    Daaaa president leo nimekukubali

  • @khalfanabass4564
    @khalfanabass4564 4 ปีที่แล้ว

    hee mnawashaaaa kwa kuponda mali na ndomaana mkistahafu wadhifa huu basi hamkubali mnaenda kutafuta wazifa mwengine ilimradi hawakinai

  • @kahemachowdry7346
    @kahemachowdry7346 4 ปีที่แล้ว

    MH.RAIS WOTE WALIO KULA PESA ZA TASAFU WAZIRUDISHE SIO MAKONDA PEKE YAKE

  • @rehemalazaro1617
    @rehemalazaro1617 4 ปีที่แล้ว

    Arudishe tu hakuna namna

  • @florafilimon6686
    @florafilimon6686 4 ปีที่แล้ว +2

    Makonda anaumasikini gani kama sikuwadhurumu masikini

  • @venerandemiburo9039
    @venerandemiburo9039 4 ปีที่แล้ว +1

    Hamna lolote hapo yote kitu kimoja ccm bana tutaona mengi

    • @wilsonkimaro6375
      @wilsonkimaro6375 4 ปีที่แล้ว

      Mdomo wa Bure tuu hutasikia karudisha wala kafanywa kitu, ccm raha kweli yani hizo kaya kibao hewa nahela imeshatufunwa nikinanani? Watajwe wakamatwe watupwe ndani hapo ndotujue wako serious

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว +3

    Makonda arudishe pesa

  • @janekikoti2179
    @janekikoti2179 4 ปีที่แล้ว

    Me sijui kama ni kweli maana shetan anaweza kumfanya mtu aaibike bila kosa lolote ili afedheheke mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe sana

  • @mussakiula7481
    @mussakiula7481 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu kibaya kitakachomtokea makonda katika utawala huu , niamini mimi

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 kaya ya 34 Makonda mzee baba hana huyana mwendi wa kuchana tu Big up Magu ukopeshi nakuelewa, Tena Makonda uzirudisha haraka kabla kutumbuliwa 🤣🤣🤣

  • @joevang4685
    @joevang4685 4 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa wengine wanatumbuliwa lkn huyu anarudisha ela

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว

    Makonda umechezea sharubu za magufuli 😂😂😂😂😂🤣

  • @deobenedictakyoo3140
    @deobenedictakyoo3140 4 ปีที่แล้ว +1

    Makonda mwamnf , ebu pelelezen kwanza

  • @laulianmeneja2079
    @laulianmeneja2079 4 ปีที่แล้ว

    Atarudisha ila hawezi kutumbuliwa

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen475 4 ปีที่แล้ว

    Makonda mkuu wa mkoa yeye na hela za tasaf shilika to faut wapi na wapi

  • @frankoguta9792
    @frankoguta9792 4 ปีที่แล้ว

    makonda ananjaaa sio?

  • @hamisomarykumba5877
    @hamisomarykumba5877 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.paul Makonda turudishie fedha zetu ili ziende kwenye kaya zenye vigezo stahiki(masikini) Kutoka kwny mfuko wetu wa TASAF.😄

  • @wisdomuta1039
    @wisdomuta1039 4 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @nelsonkazaura6954
    @nelsonkazaura6954 4 ปีที่แล้ว

    Ni Unafiki Tu.

  • @josephemmanuel9278
    @josephemmanuel9278 4 ปีที่แล้ว

    Kwan izo pesa makonda kapewa na nan?

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 ปีที่แล้ว

    Makonda tapeli kubwa anajulikana sana

  • @anthonymgogo2651
    @anthonymgogo2651 4 ปีที่แล้ว

    Duh!

  • @dominicchalz4538
    @dominicchalz4538 4 ปีที่แล้ว

    🤔

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 4 ปีที่แล้ว +1

    FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE

  • @stevphonenetwork5082
    @stevphonenetwork5082 4 ปีที่แล้ว

    Makonda rudisha pesa

  • @josephemmanuel9278
    @josephemmanuel9278 4 ปีที่แล้ว

    Kwan izo pesa makonda kapewa na nan?