MAKONDA AMPIGIA MAGOTI MABEYO, BASHE AMNONG'ONEZA MAKONDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 182

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 11 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda ni mnyenyekevu na hii yote ni malez Bora Kwa wazazi walio mlea big up comred makonda mungu akuzidishie hekma na busara na azid kukupandosha darja insha Allah.

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 11 หลายเดือนก่อน +9

    Mwenyezi Mungu akulinde sana Komredi Makonda
    Pokea salamu nyingi sana kutoka mtaani kwetu

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 11 หลายเดือนก่อน +36

    UKIMUONA MABEYO, UMEMUONA MAGUFULI

  • @kalolontungo8476
    @kalolontungo8476 11 หลายเดือนก่อน +11

    I love Bashe. He is my hero

  • @Gabby-jm8
    @Gabby-jm8 11 หลายเดือนก่อน +19

    MAISHA MAREFUUUU KWA UNYENYEKEVU WAKO MHESHIMIWA MAKONDA💯🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 11 หลายเดือนก่อน

      Ebu mshauri huyo Mwenezi wenu ajifunze jinsi ya kuvaa sehemu zingine zisizokua za mambo ya ki chama. Yaani amechafua hayo mazishi kwa hayo macazi yake! Kwanini hajifunzi? Kila siku anachafua shughuli za watu. Mazishi ya Zelothe Steven alikua amevaa hivyo hivyo wajari asikimia 95% ya watu walikua wakitoa heshima zao za mwisho kwa mavazi nadhifu kama suti nakadhalika! Ni kwamba hajui dress code kwenye mazishi makubwa kama ya Lowassa ingekua ipi? Naamini kabisa ana suti nzuri tu! Why so casually dressed to such a State affair of farewell to such a leader? This is disgusting 😡

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf 11 หลายเดือนก่อน +18

    Makonda nakuelewa sana wewe nikamanda mchapa kazi rais wetu ujae

  • @abdallaahabdallaahibrahim6719
    @abdallaahabdallaahibrahim6719 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana bashe nakupenda sana kwa juhud na ubunifu wako Allah akulinde

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 11 หลายเดือนก่อน +41

    Makonda Mungu akupe kibali Zaid Kila sehem in Jesus name🙏🙏

  • @noelngereja8971
    @noelngereja8971 11 หลายเดือนก่อน +13

    Big up sku zote ukikutana na wakuu ni vyema kujishusha

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 11 หลายเดือนก่อน +11

    SO MUCH LOVE ISHI MILELE BRO HUNA BAYA

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 11 หลายเดือนก่อน +5

    BASHE JEMBE langu Saanaa! Hakuna Waziri kama BASHE Rafiki Yangu namkubali sana

  • @kelvin7ithuiumwasamaki987
    @kelvin7ithuiumwasamaki987 11 หลายเดือนก่อน +13

    Mobeyo mwambaaaaaa

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii adabu iwepo na mitaani vijana hawana adabu kwa wakubwa kabisa kama wamejizaa tu. Bigup makonda safi sana. Iyo inatoka moyoni.

    • @bugybuster5788
      @bugybuster5788 11 หลายเดือนก่อน

      Hawana adab na ela hawana

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy 11 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu umulinde makonda.

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 11 หลายเดือนก่อน +9

    Mabeyo komando ❤

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 11 หลายเดือนก่อน +4

    HAPO NCHI IMETIMIA bado MIMI TU💪💪🇹🇿 NAONA VIONGOZI WAkuu wa NCHI wote Wako Hapo, BADO MIMI TU NCHI ITIMIE🇹🇿🇹🇿💪💪

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde mh

  • @tukuyutours2457
    @tukuyutours2457 11 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu ampe maisha marefu

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 11 หลายเดือนก่อน +11

    MZALENDO WA CHAMA NA NCHI MAKONDA

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambarik Makonda siku zote niko kukuangaliaa macho 2. Huyu kaka na atafika zaid ya alipo ilaa tu nifikishieni Salam Unene unamyima aman na utulivu ilo tu bc ..

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 11 หลายเดือนก่อน

    Mh PM katibu muenez salut

  • @malandojohn1528
    @malandojohn1528 11 หลายเดือนก่อน

    Iam just smiling, i love my country,i love my leaders, Mungu ibariki Tanzania,dumisha amani.😊

  • @BoscoDominick-uf6ih
    @BoscoDominick-uf6ih 11 หลายเดือนก่อน +15

    Much respect makonda. Keep up the good work

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 11 หลายเดือนก่อน

      Ebu mshauri huyo Mwenezi wenu ajifunze jinsi ya kuvaa sehemu zingine zisizokua za mambo ya ki chama. Yaani amechafua hayo mazishi kwa hayo macazi yake! Kwanini hajifunzi? Kila siku anachafua shughuli za watu. Mazishi ya Zelothe Steven alikua amevaa hivyo hivyo wajari asikimia 95% ya watu walikua wakitoa heshima zao za mwisho kwa mavazi nadhifu kama suti nakadhalika! Ni kwamba hajui dress code kwenye mazishi makubwa kama ya Lowassa ingekua ipi? Naamini kabisa ana suti nzuri tu! Why so casually dressed to such a State affair of farewell to such a leader? This is disgusting 😡

  • @peterkanza2207
    @peterkanza2207 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna mshua kawaweka sawa Bashe na makonda,kawaambia fanyeni kazi ninyi bado vijana,msichukiane na kurushiana vijembe.

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 11 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda anaroho ya Chuma yaani viongozi walivyokaa alafu kunawenye wanampenda alafu kuna wanafiki alafu kuna wengine wanamuchikia sanaah na wameka kwenye kiti kimoja alafu Chuma anawapita kirahisi tu na anacheka nao wote 😂😂😂 kweli Makonda ni kiboko yao

  • @emanuelwilliam8834
    @emanuelwilliam8834 11 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda hongera kwa unyenyekuvu nimfano mzuri kwa viongozi

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 11 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda Mungu azidi kukulinda...Mungu azidi kukutangulia...unatutetea sana wanyonge na wajane tuliodhulumiwa haki zetu mchana kweupe...
    Tunatendwa na wale watu tuliwaamini na kudhani wangetulinda.😭🙏

    • @ezekielmabwai482
      @ezekielmabwai482 11 หลายเดือนก่อน

      Ajabu watu wanapendaa jizi, fisadi, dhulumati, tekaji, killer! Duh, wa TZ IPO KAZI. Shida hapa NI umbumbumbu! Elimu ni muhimu, nendeni hata MEMKWA BASI!!

  • @boazyisraeltv4099
    @boazyisraeltv4099 8 หลายเดือนก่อน

    May God grants you dally

  • @hamadgwebe2100
    @hamadgwebe2100 11 หลายเดือนก่อน

    My future president

  • @edwincain849
    @edwincain849 11 หลายเดือนก่อน

    NAKUOMBEA SANA Mh Makonda nakufatilia Sanaa tangu mkuu wa wilaya ya kinondoni huna baya Japo wanajaribu kukuchafua lakini tupo pamoja na wewe MUNGU AKUWEKE ,AKUTUNZE KWA AJIRI YETU..!tunakuombea Sanaa🙏🙏

  • @chai_r
    @chai_r 11 หลายเดือนก่อน +3

    God is watching…

  • @msafiripascal2757
    @msafiripascal2757 11 หลายเดือนก่อน +3

    makonda mnyenyekevu sana pokeya baraka toka kwamungu

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 11 หลายเดือนก่อน

    Daah makonda mrith wa magufuli

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa anajua kucheza na akili za wa tz😂😂😂 ndani anawaumiza nje anawaonyesha drama bas wa tz roho nyeupeee😂😂😂😂😂

  • @MussaLyahanze
    @MussaLyahanze 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli ndani ya Mabeyo namuona Hayati Magufuli : kila lilo njema viongozi wetu Mungu awatangulie

  • @boazyisraeltv4099
    @boazyisraeltv4099 8 หลายเดือนก่อน

    Kwenyee hii duniaa iliikufanikiwa nikuwana heshimaa(Mungu.wanadamu) tuu na kufanyaa kazii yako properly 😢, the secret of success

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 11 หลายเดือนก่อน

    Bashe, safi sana. Pia Makonda uko sawa. Sio kama wale wanasema tukishindwa kuishi TZ tukaishi B.

  • @bobjulieoneheartband
    @bobjulieoneheartband 10 หลายเดือนก่อน

    Asee Millard the background music imenifanya nijue kuna msiba flani ama kitu cha kuhuzunishaaaa so work on that mkuu soundtrack huendana na tukio ama video inahusu ninii...... Thanks 🙏

  • @JumaMarwa-g6n
    @JumaMarwa-g6n 11 หลายเดือนก่อน

    makonda i can see Tanzania in your hands

  • @ZuberiSaidi-g9r
    @ZuberiSaidi-g9r 11 หลายเดือนก่อน

    Muachen makonda rais ajaye🙏

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 11 หลายเดือนก่อน

    Allah mlinde HUYU mjawako

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 11 หลายเดือนก่อน

    Nampenda Sana mabeyo na makonda na jpm hayati kijazi polepole bashiluali kakulwa saimoni silo viongozi nisio lizikanao kwautendajiwaowakazi ni 1makamba 2nchemba 3makala4umi mwalim masauni 6makame mbalaw nawengineowengi akiwemo aliekuwawazili wamambo yannje mwanama wkwanza

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa na drama zake mpaka msibani😮hivi sisiem kweli walikosa mtu,bora hata Steve nyerere😅

    • @benignatairo4722
      @benignatairo4722 11 หลายเดือนก่อน +1

      We mgonjwa wa akili ukatibiwe mirembe

  • @Lashymreal96
    @Lashymreal96 11 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda anapenda attention sana

  • @nyandajr
    @nyandajr 11 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda ❤❤❤❤

  • @excellogicpro
    @excellogicpro 11 หลายเดือนก่อน +1

    KAZI NZURI MH MAKONDA

  • @SamweliKirua
    @SamweliKirua 11 หลายเดือนก่อน

    🎉makonda ❤❤

  • @zachariahariohay359
    @zachariahariohay359 11 หลายเดือนก่อน +3

    Great makonda

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 11 หลายเดือนก่อน

    Maigizo kama bongo movie

  • @GodfreySteven-cv9bd
    @GodfreySteven-cv9bd 11 หลายเดือนก่อน

    Nime furahi sana unyenyekevu wa hali ya juu kwa mh paul makonda

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakutabiria Makonda ninamuomba Mungu uwe Rais ajaye unayo roho ya Baba wa wanyonge Hayati Magufuli

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni msanii tu

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 11 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda kwa asili anaadabu,na anaheshimu Mtui,au watu,Mungu akujaaliye safari yako yakujali chama chetu,piga kazi watanzania wako nyuma yako

  • @WAKRISTOKANISALAMUNGU
    @WAKRISTOKANISALAMUNGU 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kwakweli mtu anaemtukana makonda hajitambui kabisa, makonda wangu Mungu akutuze, wewe pekee ndiye mtetezi wa wanyonge. Nikisikia jina makonda roho inafurahi moyoni.

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 11 หลายเดือนก่อน +5

    Prezda

  • @calvinshirima2654
    @calvinshirima2654 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wamepatanishwa kiainaaa

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 8 หลายเดือนก่อน

    Kiki mbaya sana

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 11 หลายเดือนก่อน +7

    Humbled...God bless you Makonda

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 11 หลายเดือนก่อน

    Great honor

  • @allenelias2804
    @allenelias2804 11 หลายเดือนก่อน

    Indeed Makonda you so submissive

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 11 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu nmemsoma😊😅

  • @franklinmziray9110
    @franklinmziray9110 11 หลายเดือนก่อน

    😂 😂😂😂😂😂 kuwa uyaone

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 11 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kuacha kusema Makonda anafaa toka nimjue katika uongozi na bado namkubali sana. Vijana wa kitanzania bila adabu hufiki popote badilikeni acheni matusi mitandaoni kwa kuwatukana viongozi wenu ndio ambao wanaangaika kukuwekeeni mazingira mzuri japo changamoto nyingi mno.

  • @stelasanga1121
    @stelasanga1121 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda❤❤❤❤❤

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 10 หลายเดือนก่อน

    Makonda nakukubari

  • @SHEMSASELEMAN
    @SHEMSASELEMAN 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ zote zako makonda,kiongozi wetu wanyonge

  • @mr.lawimagupa3914
    @mr.lawimagupa3914 11 หลายเดือนก่อน

    Aah! Kuna wamba mafundi wa kiki

  • @peterrichard9644
    @peterrichard9644 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda ana Neema inaitwa Favor huwezi angusha mtu mwenye hii kitu

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni kiongozi bora sana

  • @erickmuli1030
    @erickmuli1030 11 หลายเดือนก่อน

    Janja janja wa town makonda,ukizaliwa town tayar n fom 6! Wanyooshe mpaka wanyooke.

  • @aminashayo9263
    @aminashayo9263 11 หลายเดือนก่อน

    Mhh hicho kibali cha Makonda sio cha kawaida ni kile kitokacho mbinguni moja kwa moja

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 11 หลายเดือนก่อน

    Kwanza hapo ni wapi! Tuanzie hapa Kwanza 😅😅

  • @simonpure109
    @simonpure109 11 หลายเดือนก่อน

    Sister majaribu hayo,yaani unawakuma majenerali wapishe njia😂😂😂 millennials hata pengine hawajui,wakati bashite yupo magotini bila wasiwasi😂😂😂au mgulani lugalo ulipasikia ukiwa IST😂😂😂

  • @james_romanos_tz
    @james_romanos_tz 11 หลายเดือนก่อน

    makonda mjanja sana anafanya vitu ambavyo kesho anajua vitakua headlines

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 11 หลายเดือนก่อน

    HAKIKA KIFO NI FUMBO 😢😢😢 KUBWAA

  • @MatimaJR-q9k
    @MatimaJR-q9k 11 หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa paul makonda naomba utusemee huyo waziri wa maji. Kwanini maji ni shida hivi jiji la dsm. ? Hlf tunawapigia cm wafanyakazi wa dawasa wanatujibu zalau eti maji kwa sasa tusahau. Na cc watz weng ni wanyonge tunaomba utusaidie hili. Hatuna pa kushitakia

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni muuaji jambazi shetani anastahili kunyongwa

    • @jacksonkabaata6011
      @jacksonkabaata6011 11 หลายเดือนก่อน

      Nenda kamnyonge! unajua sana kuhukumu kwakusikia eee? Save my comment huyo atakuja kuwa Rais au Waziri mkuu,,, nilichogundua jamaa anachukiwa sababu ananyota KUBWA sana ndio maana hata ww umekuja kumuangalia hapa 😂😂😂😂

    • @ezekielmabwai482
      @ezekielmabwai482 11 หลายเดือนก่อน

      @@jacksonkabaata6011 Maviiii BASHITE ? Awe waziri mkuu, rais?? Pengine APEWE Uenyekiti WA UWT maana wanaomshangilia na kupiga vigeregeteb ni wamama maskini wanaoishi uswekeni. Wanahongeka kwa chumvi tu ya sh 500, halafu wanasota miaka mitano mingine!!

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu akupe hekima hivyo hivyo

  • @shekhaahmed3961
    @shekhaahmed3961 11 หลายเดือนก่อน

    Gentelman ❤

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 11 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda rais ajae

    • @giztony2009
      @giztony2009 11 หลายเดือนก่อน

      Jitahidi kuficha ujinga wako urais cyo matak. Kila mtu anàyo

    • @musakihama7205
      @musakihama7205 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@giztony2009acha kuleta ukuma kwenye maoni ya mtu.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 11 หลายเดือนก่อน

      Labda rais wa wapiga punyeto

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 11 หลายเดือนก่อน

      @@musakihama7205 ukuma unao wewe na wanaokufila kuma wewe

    • @JoyceSarufu
      @JoyceSarufu 11 หลายเดือนก่อน

      Nyie wote achen ujinga angalieni kilichopoooh😊😊😊😊

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 8 หลายเดือนก่อน

    ila nchi inahitaji maraisi wakiwa bado vijana

  • @saulostephen197
    @saulostephen197 11 หลายเดือนก่อน

    hiyo ala ni ya ukweli, jina la wimbo na mwimbaji tafadhari

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 11 หลายเดือนก่อน +1

    povu ruksa makonda moja kwa moja urais

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mwamba anajua hao n baba zake wazee wake

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 11 หลายเดือนก่อน

    Sema huyu makonda Sometimes anaonyesha kama hazimo kichwani sifa nyingi alafu kujipendekeza kwa wale anao waponda mtu wa hivi kichwani hayupo sawa kabisa

  • @J4UPro
    @J4UPro 11 หลายเดือนก่อน

    Hakuna ubaya

  • @ahadibuge5246
    @ahadibuge5246 11 หลายเดือนก่อน

    The Govt... the Team is there.

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 11 หลายเดือนก่อน

    Bashe nimeona akirekebisha tisheti kwa nyuma kulia naona kamguu ka kuku

  • @dgt6303
    @dgt6303 11 หลายเดือนก่อน

    Uchawa anauweza

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 8 หลายเดือนก่อน

    jamaaa anajuaa kuutafuta upepo cdf ndio kiti cha raisi

  • @theinnocentignas
    @theinnocentignas 11 หลายเดือนก่อน

    Nini hiki???

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda hauna baya

  • @underratedspirit
    @underratedspirit 11 หลายเดือนก่อน +19

    2:56
    UNDERRATED INTELLIGENCE
    Ukiangalia vizuri huyo dada aliyevaa nguo nyeupe anasimama kwenye kiti anaanza kuzunguka kutoa information kwa Intellegencia wenzake kwamba Mkuu wa majeshi mstaafu Mabeyo anahitaji ulinzi baada ya Makonda kukaa muda mrefu akiongea na Mabeyo,kama tunavyojua mkuu wa majeshi yoyote yule maana yake yeye ndiyo anaetunza siri zote za nchi,
    Huyo dada baada ya kuzunguka sehemu zote na kutoa info {tazama macho ya hao waliokaa karibu na Mabeyo wanavyochulia nyuma baada ya huyo dada kuamka}
    Mwisho wa siku unaona wanajeshi wanakuja wanazingira camera na video inaishia hapo
    Sitaki Likes nataka Subscribes tu,

    • @shaurimtanda8285
      @shaurimtanda8285 11 หลายเดือนก่อน +7

      Jamaa Kwa kamba umetisha

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅​@@shaurimtanda8285

    • @amirikhalifa9543
      @amirikhalifa9543 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@shaurimtanda8285huyu msenge akizeeka ataitwa mzee wa fix

    • @shafiiwajad457
      @shafiiwajad457 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂
      We nae sasa umepanik hii ni tz mzee😂😂😂 sio usa

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 11 หลายเดือนก่อน +1

      Umbea tu amna lolote

  • @deoprosper556
    @deoprosper556 11 หลายเดือนก่อน +1

    N Mungu pekee wa kupigiwa magoti c mwanadamu mwenzio huo ni unafiki tu anafanya na drama tu hata Magufuli mwenyewe alikuwa hataki watu wampigie magoti

    • @ErickRichard-l5n
      @ErickRichard-l5n 11 หลายเดือนก่อน

      Ila kuheshimu mamlaka ya dunia ni shart kwasababu imewekwa na Mungu

  • @Masterkadebe-k2g
    @Masterkadebe-k2g 11 หลายเดือนก่อน

    Hapo utakuta Wanamainda Kijana Wetu mchapakazi

  • @2116-n
    @2116-n 11 หลายเดือนก่อน +1

    VIONGOZI WANGU PENDWA NA WENYE HOFU YA MUNGU(MABEYO&MAKONDA) WAMEKUTANA HALAFU WOTE WALIKUWA MAJEMBE YA MWAMBA (MZEE MAGU)

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiona unaongozwa vibaya inabidi ujiongoze
    Huwezi kwenda kukaa bila kuwasalimia wale waliosababisha ufike ulipo huyu ndo Makonda sasa

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 11 หลายเดือนก่อน

    Hata ingekua mimi ningepiga goti kwa heshima ya huyo mwamba. (Mabeyo) mimi ni nani mbele yake maana kwa aliyoyafanya nchi hii bado mm ni kijana mdogo sana.

  • @davidpallangyo114
    @davidpallangyo114 11 หลายเดือนก่อน

    Nabaki nashangaa tuu!
    Tafadhali wenye kufahamu Itifaki ya Nchi atuelimishe wale tusioifahamu.
    Hivi Katibu Mwenezi wa Chama Tawala na Waziri wa Serikali au Mkuu wa Majeshi ni nani anastahili kutangulia kwenye tukio lolote na kumpokea mwenzake!?

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda jembe la ma jembe