Labda Alichukua Advance yake hadi Akabakisha hela hiyo.Wamekufa vijana wengi katika mchezo huu na michezo mengine pia.Lkn kifo cha Hassan mgaya kimeniumiza sana wallah
Jaman nyie waandish wa habar msiwe mnapenda kufarakanisha watu huyu hajauwawa ila kafia kazin hayo malipo ndo hayohayo walikua wanalipwa hao mabondia wakubwa mnaowaona sasa ivi na nyie ndug wa marehem hili lishatokea mshukurun mungu basi mkiwasikiliza hao waandish wa habar mnaweza mkashawishika hadi kwenda kufungua kesi kumbe nivitu vya kawaida tu na siomar yakwanza kutoka 😎
mchezo wa ngumi ni mbaya sana, ndio maana huwa wana sainishwa mikataba ya kuwa wanajua adhali zake na wanajua wanauwezo mkubwa wakufa, kuumia wakati wanapigana. kwa nini huu chezo tanzania unafanyika kihovyo hovyo hivi, elfu sabini kweli?
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Elfu 60 si bora ukalime
Poreni sana wafiwa ira mbona pesa ndogo hivyo jaamani
Labda Alichukua Advance yake hadi Akabakisha hela hiyo.Wamekufa vijana wengi katika mchezo huu na michezo mengine pia.Lkn kifo cha Hassan mgaya kimeniumiza sana wallah
Jaman nyie waandish wa habar msiwe mnapenda kufarakanisha watu huyu hajauwawa ila kafia kazin hayo malipo ndo hayohayo walikua wanalipwa hao mabondia wakubwa mnaowaona sasa ivi na nyie ndug wa marehem hili lishatokea mshukurun mungu basi mkiwasikiliza hao waandish wa habar mnaweza mkashawishika hadi kwenda kufungua kesi kumbe nivitu vya kawaida tu na siomar yakwanza kutoka 😎
jamani mchezo mmbaya sana uhunu mkubwa huu malipo kidunju sehr sad
mchezo wa ngumi ni mbaya sana, ndio maana huwa wana sainishwa mikataba ya kuwa wanajua adhali zake na wanajua wanauwezo mkubwa wakufa, kuumia wakati wanapigana. kwa nini huu chezo tanzania unafanyika kihovyo hovyo hivi, elfu sabini kweli?
Hapo ndo utakuja kuona umuhimu wa Azam mediaaa,maana mabondia walikua wanalipwa vzr sana lakin toka wamejitoa mchezo wa ngumi unarud kule kwa mwanzo
Umeongea point Sana
PROMOTER MWIZI HUYO .TAFTENI NA MUUWE HUYO HANISI