KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA & JOSHUA MLELWA | MUNGU ANAKUPENDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Unapoukaribisha mwaka mpya, tambua kwamba ni kwa sababu MUNGU ANAKUPENDA, sio kwamba wewe ni mwema ama unafaa sana, ni mapenzi yake Mungu Baba yetu.
    Joshua Mlelwa Na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama wakiimba wimbo wa MUNGU ANAKUPENDA. Katika ibada maarufu Siku Ya Mbingu Kujaa Sifa Season 2.
    Karibu usikilize Ujumbe wa Neno la Mungu.

ความคิดเห็น • 123

  • @user-zw4dx4go8o
    @user-zw4dx4go8o 9 หลายเดือนก่อน +1

    Iive, performance good song

  • @lilianboimanda7443
    @lilianboimanda7443 2 ปีที่แล้ว +14

    My lovely song ever.... Wakati mnakuja Njombe kihuduma.... Mamayangu alifarijika sana na nyimbo hii alikuwa ktk last minute kuitwa Mbinguni😭😭😭alikuwa anapenda kusikiliza nyimbo hii

  • @user-uo6gg5yy9q
    @user-uo6gg5yy9q 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekumbuka nyimbo ihi mu 2000 nimekuwa mudogo sana witching from Angola 🇦🇴!!

  • @righitkileo
    @righitkileo 10 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ Namna hii ndo nyimbo zinaimbwa za kumsifu Munqu.Unasikia Uwepo wa Munqu. Na ielewekehivyo.❤❤❤❤❤❤

  • @mwitarajab2249
    @mwitarajab2249 ปีที่แล้ว +5

    Aisee huu wimbo nimeuona wasafi tv,imebidi nije kuuona vizuri,what a beautiful gospel song.🥰

  • @eliahmgina8350
    @eliahmgina8350 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo inanikumbusha mbali sana, mwaka 1998-2000 kwenye bus la Lupelo from Dar to Njombe🙏🙏

  • @modekaikivamba1191
    @modekaikivamba1191 10 หลายเดือนก่อน

    Oooh nimebarikiwa sana na huu wimbo

  • @georgedinda7400
    @georgedinda7400 ปีที่แล้ว +5

    I LITERALLY LISTENS TO THIS SONG EVERY OTHER TIME BECAUSE IT IS ONE OF THE VERY BEST ARTWORKS OF THIS CENTURY. THE LYRICS, THE INSTRUMENTATION, THE VOCALS BLENDS SO WELL TO AN EXTENT OF TOUCHING SOULS LIKE MINE. KUDOS TO BROTHER MLELWA.

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 9 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri saaana

  • @PreciousMsamila-lu2jv
    @PreciousMsamila-lu2jv 9 หลายเดือนก่อน +1

    What a lovely touching song

  • @upendokambenga1677
    @upendokambenga1677 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu,Asante Kwa Upendo wako,najua sistahili lakini unanipenda hivyohivyo,nakupenda Mungu wangu na ninaahidi kukutumikia mpaka mwisho wa maisha yangu

  • @davidmuthoni624
    @davidmuthoni624 11 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen pasta 🙏

  • @user-fe6tw8uh3d
    @user-fe6tw8uh3d 8 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana sana

  • @paulsamuel6265
    @paulsamuel6265 ปีที่แล้ว +4

    Huu Wimbo ni shukrani yenye unyenyekevu Mkubwa,tangu miaka 2000 tulikuwa tunausikiliza kijijini na Baba Yangu,rest in peace my sister Rachel

  • @happycharles3153
    @happycharles3153 ปีที่แล้ว +3

    Sio kama mm ni mwema sana baaba nikushukuru Mungu wang 😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @TheAgneso
    @TheAgneso 2 ปีที่แล้ว +5

    Mbarikiwe Kijito!Mnahudumia dunia nzima,mtafsiri hizi nyimbo

  • @NassoroSalehe-u7x
    @NassoroSalehe-u7x ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @denismaanga
    @denismaanga 2 ปีที่แล้ว +2

    Can not waiting 😋😋😋😋😋😋

  • @mariamdamian8392
    @mariamdamian8392 2 ปีที่แล้ว +1

    Sound nzuri, ujumbe mzuri. Mungu awabariki watumishi .

  • @clemencelamberti1911
    @clemencelamberti1911 11 หลายเดือนก่อน

    My best song ..miaka yangu yotee ya humu duniani

  • @blessednassary8432
    @blessednassary8432 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe mno na Bwana hakika huduma yenu imetukuka, God bless you again

  • @justusndubi4325
    @justusndubi4325 2 ปีที่แล้ว +1

    Kijito hii kazi nzuri sana wapendwa
    Hakina niko kwa ajili ya kupendwa na mungu

  • @MWALUJEJE
    @MWALUJEJE 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah🙌🙌🙏

  • @buberwadeus3158
    @buberwadeus3158 ปีที่แล้ว

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wangu tusaidie kuzihesabu siku zetu....hakika unamakusud na maisha yetu leo hii kuwa hai.....libarikiwe sana jina la Yesu Kristo....amen

  • @chrissmmajani4778
    @chrissmmajani4778 ปีที่แล้ว +1

    This kijitonyama huwa na watu wa vibawa vya uimbaji sana!

  • @michaelsostian
    @michaelsostian ปีที่แล้ว

    Among of favorite song thank lord Jesus for this blessing song of all time

  • @G7RHPK
    @G7RHPK 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimefurahi sana kumwona tena kaka mlelwa katika kwaya ya uinjilisti kijitonyama kkkt. Sifa na utukufu kwa Bwana YESU KRISTO

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu unabariki moyo wangu siku zote za maisha yangu

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni

  • @irenekatambe1090
    @irenekatambe1090 2 ปีที่แล้ว

    Uwiiiii huu wimbo ni fireeee

  • @happinesseliab1568
    @happinesseliab1568 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki

  • @jeofreymsomba7200
    @jeofreymsomba7200 7 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @nestoromari6119
    @nestoromari6119 ปีที่แล้ว

    2

  • @emmanuelshilagi3302
    @emmanuelshilagi3302 3 หลายเดือนก่อน

    nikiwa nimetoka Maombi ya alfajiri nakutana wimbo huu nasikia kusisimka jamani kwa Yesu amani ipitayo amani zote

  • @MjungumabebaNyamuko
    @MjungumabebaNyamuko ปีที่แล้ว

    Kwa kweli brother Joshua Mungu amempa kipaji sana ktk uimbaji

  • @rutarutahindurwa2080
    @rutarutahindurwa2080 9 หลายเดือนก่อน

    Original version ya huu wimbo naweza kuipata wapi?

  • @timothymikola2317
    @timothymikola2317 ปีที่แล้ว

    Old school gospel of all time since 2000 year

  • @meshackkyando5722
    @meshackkyando5722 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka nikiwa kijijini kwetu isimani iringa ....Dada yangu alituletea kanda za izi nyimbo na radio ya mbao, nakumbuka betri zinaweka jumapili tu
    Basi tu enzi izo kweri Watu walikuwa wana sifu
    Ata ukisikilza nyimbo ya dini kweri unasklza kwa hisia Nguvu za Mungu zinashuka ,
    Mungu atusaidie jamani
    Mana sikuizi nyimbo wanazialibu melody zote wanaharibu ...
    Nyimbo za dini zilkuwa zamani
    Jamani nawakumbusha tumludie Mungu Dunia imeisha
    Kama haumini angalia
    Vitu vya zaman vyote sasa vinathimika kuanzia fashion kote ...
    Vipya vimeisha, manabii ni wengi
    Ndio mwisho wa dunia upo karibu
    Yesu yu karibu kuja Muda mchache ...kila siku naota mwisho wa Dunia basi ni dalili zinaonesha
    Naomba sana tumludie Mungu Tutubu Mungu qna samee saba mala sabini ...
    Tubu kabla haijafika nafasi ya kutawala shetani ikifika autopata muda wa kutubu kwani wakati huo utakuwa wa dhiki tabu na njaa
    Tubu wakati ni sasa, tubu ili unyakuliwe usifike wakati huo wa tabu
    Nakuombea kwa Mungu uanze hapo ulipo utubu.

  • @romes-tz7323
    @romes-tz7323 2 ปีที่แล้ว +3

    👍Mungu anakupenda live music,live performance , mziki sanifu ladha zakipekee🎻💯

  • @creeper6057
    @creeper6057 2 ปีที่แล้ว +1

    This song reminds me of my childhood

  • @lupakisyopeter2009
    @lupakisyopeter2009 ปีที่แล้ว

    Ahsante Mungu wangu kwa kunipenda mimi nisiyestahili.

  • @jovianjoel331
    @jovianjoel331 2 ปีที่แล้ว +1

    Merry Christmas Kijito...

  • @jacklinenungu5746
    @jacklinenungu5746 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu, Mungu awabariki sana kwa huduma nzuri

  • @magogelameck1501
    @magogelameck1501 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Mungu kwa upendo wangu kwako na familia yangu kwa ujumla

  • @felisyanifelisyani1539
    @felisyanifelisyani1539 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda

  • @Febianoskeptic
    @Febianoskeptic 4 หลายเดือนก่อน

    Elishabanda

  • @simas.a1003
    @simas.a1003 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda mno huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu nzuri.

  • @lizzybethmayengoh9624
    @lizzybethmayengoh9624 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu kwa Upendo wako

  • @leokadiapius8413
    @leokadiapius8413 ปีที่แล้ว

    mbarikiwe watumishi wa mungu❤❤❤❤❤❤

  • @kelvinmatita1516
    @kelvinmatita1516 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli mko juu Mungu awaweke juu said kiroho kwani mko vizuri sana

  • @irenekatambe1090
    @irenekatambe1090 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana jamn

  • @herirehema3554
    @herirehema3554 2 ปีที่แล้ว +1

    Halleluya Halleluya...
    Mbarikiwe wapendwa!

  • @angelmkini1508
    @angelmkini1508 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni kubwa kabisa kweli Mungu ananipenda ndio maana naishi mpaka leo hii

  • @mapendomonique9719
    @mapendomonique9719 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki Sana waimbaji wazuri

  • @KagaboJR
    @KagaboJR 2 ปีที่แล้ว

    Napenda nyimbo zenu mbalikiwe sana❤🙏

  • @mayombosuzanna7696
    @mayombosuzanna7696 2 ปีที่แล้ว

    Alléllua alléllua asente Mungu wa maisha 🙌🙌🙌🙌🙇🙇🙇🙇🙇

  • @davidmuthoni624
    @davidmuthoni624 11 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙌🙏🙌❤

  • @irenekatambe1090
    @irenekatambe1090 2 ปีที่แล้ว

    Muamze kuweka matamasha kila mkoa wajameni tumewamiss nyimbo za zamani hizi zilikiwa fire

  • @mwambantwa5550
    @mwambantwa5550 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante, JEHOVA kwa kunipenda

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 2 ปีที่แล้ว +1

    MRS MAFWENGA ELIWINJUKA NAKUONA HAPO KIJITO,KAZI YAKO NI NJEMA SANA.MUNGU AKUINUE KATIKA HUDUMA HII.

  • @dicksonjustine2557
    @dicksonjustine2557 2 ปีที่แล้ว

    Ame,KIJITO vs MLELWA mbarikiwe sana

  • @jacksonsaugah9120
    @jacksonsaugah9120 2 ปีที่แล้ว

    Uwepo wa Mungu wetu upo duniani ndio maana naishi hivi kwa Neema yake

  • @bilechaasukulu992
    @bilechaasukulu992 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeen

  • @josephkiteleja5102
    @josephkiteleja5102 ปีที่แล้ว

    May lord keep you safe Joshua

  • @paulmsengi7883
    @paulmsengi7883 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema sana

  • @aiyasageo2572
    @aiyasageo2572 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana wana Kijitonyama . Kwakweli asante sana Mungu kwa kunipenda na kuniweka hadi sasa .

  • @fadhilluvanda6656
    @fadhilluvanda6656 2 ปีที่แล้ว

    Kaka Joshua....umebarikiwa

  • @neemamwamengo3936
    @neemamwamengo3936 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @pasakamichael1898
    @pasakamichael1898 ปีที่แล้ว

    Best of all time🏅

  • @joshuashalla9771
    @joshuashalla9771 ปีที่แล้ว

    Waoooo glory to God❤

  • @adamuhaule7440
    @adamuhaule7440 ปีที่แล้ว

    hallelujah

  • @beatricekamamaa209
    @beatricekamamaa209 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwainuwa zaidi Kijito. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mtanzaniahalisi1213
    @mtanzaniahalisi1213 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌 hallelujah

  • @edwin_254
    @edwin_254 2 ปีที่แล้ว

    Kijitonyama is a blessing to the world

  • @goodluckjuniour3614
    @goodluckjuniour3614 2 ปีที่แล้ว

    Hakika wewe ni Mungu wa vyote ntakusifu daima

  • @jacklinebubelwa5127
    @jacklinebubelwa5127 2 ปีที่แล้ว

    Ameen Mungu awabariki

  • @bilechaasukulu992
    @bilechaasukulu992 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah 🙏 Hallelujah 🙏🙏

  • @donatilamihayo506
    @donatilamihayo506 2 ปีที่แล้ว

    Ni kwa Neema za mungu🙏🙏

  • @wilbertkyando7778
    @wilbertkyando7778 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana na hii nyimbo

    • @ceciliamwakisese8126
      @ceciliamwakisese8126 2 ปีที่แล้ว

      Hongereni kwa huduma ya kumhubiri Kristo, Mungu awainue kwa viwango vingine. Kipekee nimefurahi kuona mkiimba pamoja na akina Joshua, inapendeza mno ndugu mkikaa kwa pamoja na kwa kupendana mmenikumbusha Kijito ya zamani zile. Mungu awabariki sana

  • @viviankombe6584
    @viviankombe6584 2 ปีที่แล้ว

    Waoh, mbarikiwe

  • @RmwanashaMbeteRMM
    @RmwanashaMbeteRMM ปีที่แล้ว

    Powerful

  • @evelynejuvenary2631
    @evelynejuvenary2631 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏

  • @ellyjackson93
    @ellyjackson93 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu anatupenda

  • @ferdinandntembagara2949
    @ferdinandntembagara2949 2 ปีที่แล้ว

    Amen mbarikiwe

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Mungu anatupenda na umetukumbusha kwa ujumbe huu wa Kiroho kuhusu upendo wa Mungu Baba

  • @FestoMtumbe
    @FestoMtumbe 2 ปีที่แล้ว

    Amen; Big up sana my Brother Joshua.

  • @deliciousqueen5478
    @deliciousqueen5478 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰🥰❤️

  • @francisalcardo544
    @francisalcardo544 2 ปีที่แล้ว

    Such wonderful song

  • @asumthamanyahi5255
    @asumthamanyahi5255 2 ปีที่แล้ว

    🙏 🙏 🙏

  • @cuthbertmaro9131
    @cuthbertmaro9131 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 ปีที่แล้ว

    Sound imekaa vizuri jamani

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah..... Jesus Christ My SAVIOUR

  • @divinecherubimsmelodies
    @divinecherubimsmelodies 2 ปีที่แล้ว

    God indeed has always loved Me🙏thank you JESUS CHRIST my God

  • @henrybaraka5258
    @henrybaraka5258 2 ปีที่แล้ว

    Am blessed!!

  • @angelngoye4910
    @angelngoye4910 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 2 ปีที่แล้ว

    🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @user-ot8fp5pu9g
    @user-ot8fp5pu9g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kila nikiskiliza hii nyimbo natokwa na machozi....ukifikiria ulioyafanya afu uwambiwe MUNGU anakupenda..duh!!...acha ATUKUZWE!!

  • @edmundmbela6133
    @edmundmbela6133 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful Song!!!!