KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR/TOYELELOO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Karibu ushiriki nasi baraka za Mungu katika wimbo huu kutoka Kwaya Ya Uinjilisti Kijito.
    JINA: TOYELELO
    Video ya wimbo huu, ilirekodiwa katika ibada maarufu ya sifa (MSIMU WA PILI) ijulikanayo kama:
    SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA.
    Ni matumaini yetu kuwa utakwenda kubarikiwa na kumsifu Mungu kupitia wimbo huu.
    Tunakusihi upatapo baraka za wimbo huu, basi shirikisha na wengine pia.

ความคิดเห็น • 76

  • @marianandisi1641
    @marianandisi1641 2 ปีที่แล้ว +7

    I came here because of a tiktok video,, Wakenya Mpo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏

  • @ogadamesoesq.6917
    @ogadamesoesq.6917 2 ปีที่แล้ว +21

    I am a Kenyan and never before have I seen such a band that sings so passionately for God. Kijitonyama mumenitoa mbali enzi hizo za nyimbo ya 'Hakuna Mungu Kama Wewe'. The consistency is unmatched. Tunzo zenyu za hivi punde hasa kwenye hii Album ya Siku Ya Mbingu Kujaa ziko katika nyanja nyingine tofauti kabisaa.

  • @puritymukhebo2258
    @puritymukhebo2258 4 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Barikiweni sana kijitonyama

  • @belindagiliard8977
    @belindagiliard8977 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awabariki sana.
    Tanzania kusifu kwafaa wanyofu wa moyo

  • @godsministry1249
    @godsministry1249 2 ปีที่แล้ว +9

    Salute to the guitarists,Mungu awabariki nyote

  • @victoriasanga7704
    @victoriasanga7704 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sana kijitonyama you guys are good

  • @gloriabrigittekivanda5761
    @gloriabrigittekivanda5761 2 ปีที่แล้ว +9

    Hallelujah Mungu azidi kuwapandisha viwango vya juu. Mbarikiwe sana my all time favourite and best choir

  • @davidb.assumani3390
    @davidb.assumani3390 2 ปีที่แล้ว +8

    Yesu akiti apamboli
    Tumekuja kukwinua mokozi wa wote🙏
    Seriously, this is a best choir ever In Tz
    Tume zaliwa tumesha komaa but you still on high level 👏
    Nzambe apambola bino🙏

  • @evanskatunzi6729
    @evanskatunzi6729 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee ananibariki sana nimeanza kumckia wakati nipo mdogo na mpaka now bado yupo vile vile hata azeeki aiseeee kwa Yesu ni kuzuri nyieeee..

  • @mlokolevince
    @mlokolevince ปีที่แล้ว +3

    the bassist aaaaaaah nice bro

  • @oswardmjujulu1737
    @oswardmjujulu1737 ปีที่แล้ว +1

    I can't stop watching this video, this Choir is very fantastic-Since I was born till now 35+ still is doing good.

  • @timothyyeswa3069
    @timothyyeswa3069 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah

  • @aiyasageo2572
    @aiyasageo2572 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi na familia yangu twabarikiwa sana na nyimbo zenu. Naomba Mungu anipe uwezo niweze kuja kuwa sikiza LIVE in TZ all the way from Mombasa

    • @augustinombogo7469
      @augustinombogo7469 2 ปีที่แล้ว

      MIMI NI MSHABIKI KINDAKINDAKI WA KWAYA HII TANGU NILIPOISIKIAA MWAKA 2000 MPAKA LEO HADI UMAUTI WANGU

  • @ALEX_FF92
    @ALEX_FF92 2 ปีที่แล้ว +2

    This is Kijitonyama bwana, hapo ndo chimbuko la muziki wa injili, nyie watu hamjawahi tuangusha mbarikiwe sana

  • @yeirikitholebonny4322
    @yeirikitholebonny4322 2 ปีที่แล้ว +5

    Honestly am so happy seeing you people again after so many years of not hearing from you...my joy is unexplainable...just How God has kept all of you together to re-do these songs is wonderful...what is the name of the other guy that has ft Morgan in this song?I love his way of singing and would love to meet him some day to tap that anointing...Mungu awabariki sana...hizi nyimbo huponya moyo wangu na kunijaza furaha tele

  • @user-zv4ic2mf4g
    @user-zv4ic2mf4g 9 หลายเดือนก่อน +1

    Am so blessed

  • @JosephKaluwaji-e4p
    @JosephKaluwaji-e4p หลายเดือนก่อน

    La Finale de l'Euro 2024

  • @user-ms8zy7wh5i
    @user-ms8zy7wh5i 7 หลายเดือนก่อน +1

    My favorite choir

  • @ngolofwanablessings4019
    @ngolofwanablessings4019 2 ปีที่แล้ว +3

    Glory be to Jesus 🙏🏻🙏🏻🔥🔥 such a good choir. God bless you Mr Modest Morgan

  • @alicegyunda8053
    @alicegyunda8053 ปีที่แล้ว +2

    🎉🎉marry Christmas 🎄 my beautiful people…Walai mmenitoa mbali kuanzia Mbegani Bagamoyo 🎉❤❤❤

  • @josephojuma6546
    @josephojuma6546 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda nyimbo zenu sana. Mungu awabiriki sana,, tangu utoto wangu nimependa nyimbo zenu😍

  • @ciliapaul3845
    @ciliapaul3845 3 หลายเดือนก่อน

    Solo guitar ❤

  • @N..Johnes
    @N..Johnes 11 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful❤💯

  • @doothymbuere4797
    @doothymbuere4797 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo ni mzuri Sana wanchanganyiko Lingara na Kiswahili Safi Sana mbarikiwe Sana Kichitonyama Choir.Super Gospel singers Oyeee.I Love you peoples.

  • @petronilaingonga2364
    @petronilaingonga2364 ปีที่แล้ว +1

    Waaa this is such a blessing. Who can understanding the things of God with His children. Hey you choir,you have done it again.

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 7 หลายเดือนก่อน

    Mara nyingi kwaya ziko emo wa mama wanaba zinakuwaga zinafumu kuliko kwaya zawa vijana tupu Mubarikiwe

  • @user-ms8zy7wh5i
    @user-ms8zy7wh5i 7 หลายเดือนก่อน

    God bless all

  • @nsikanyigwinshimpinga9132
    @nsikanyigwinshimpinga9132 ปีที่แล้ว

    Since simba wa yuda maintaining status up date keep up brethren heaven is yours

  • @eyalamaellen9651
    @eyalamaellen9651 9 หลายเดือนก่อน

    Such glorious music with no language barrier to God be the glory forever and ever amen

  • @samweldaudi545
    @samweldaudi545 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana

  • @winfridamkoba3220
    @winfridamkoba3220 ปีที่แล้ว

    Kijitonyama MUNGU azidi kuwainua jamani mko vizuri sana

  • @celestin7813
    @celestin7813 ปีที่แล้ว

    Amen yesu nde mokonzi yaba konzi

  • @eyalamaellen9651
    @eyalamaellen9651 9 หลายเดือนก่อน

    Very smart servant's of God and highly anointed

  • @DBrownstain
    @DBrownstain ปีที่แล้ว

    MY ALL TIME FAVOURITE SONG EVER. GOD BLESS YOU GUYS.

  • @user-fd5ey8yt5p
    @user-fd5ey8yt5p 5 หลายเดือนก่อน

    Mung anawez kwa kila jambo❤

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 24 วันที่ผ่านมา

  • @kasakulafrank458
    @kasakulafrank458 2 ปีที่แล้ว +1

    Guys you are so smart when it comes to music . God bless you all .

  • @danielasangalwisye6203
    @danielasangalwisye6203 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani editor kanibania nimeonekana kiduchuuuuu 🤣🤣🤣🤣 well done our best choir 🔥🔥🔥

    • @UinjilistiKijito
      @UinjilistiKijito  2 ปีที่แล้ว

      Mbingu ya Mwaka huu usikose ,
      Tutaongea na Camera man

  • @beatricekamamaa209
    @beatricekamamaa209 2 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Nipherlamu
    @Nipherlamu 2 ปีที่แล้ว +2

    My beautiful choir😍🤗

  • @EnockMusonda-oy1ot
    @EnockMusonda-oy1ot 8 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah Jesus Christ is lord

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Ameni 💃🏼💃🏼💃🏼🤲🏽🤲🏽🙏🙏🙏

  • @jenifervenis6878
    @jenifervenis6878 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana watumishi wa Bwana

  • @levinakyakimwa-mx1vv
    @levinakyakimwa-mx1vv 11 หลายเดือนก่อน

    To God be the glory worthy to be praised

  • @mariammake5298
    @mariammake5298 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏🙏 utukufu kwake mungu pekee

  • @bablayboy803
    @bablayboy803 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri 💕

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana hii kwaya siku zote mnaimba vizuri Mungu awainue juu sana mnanibariki

    • @UinjilistiKijito
      @UinjilistiKijito  2 ปีที่แล้ว +1

      Amina mpendwa tunapokea salamu hizi za Upendo , Mungu azidi kukubariki Kwa kuendelea kututia moyo

  • @user-lw9wx8ge9w
    @user-lw9wx8ge9w 11 หลายเดือนก่อน

    Am blessed amen 🙏

  • @annkim2690
    @annkim2690 ปีที่แล้ว

    Mbona kwaya hii inatamanisha mbinguni Yani kila siku huu wimbo nausikiza nawala sijawahi choka

  • @delphinnkoma5757
    @delphinnkoma5757 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen 🥰

  • @emmanuelkweka9729
    @emmanuelkweka9729 2 ปีที่แล้ว

    Waooooooo...mwokoz na bisooooo

  • @carolinehillary8240
    @carolinehillary8240 ปีที่แล้ว

    This choir is romantic 🎉🎉

  • @nenosanga3649
    @nenosanga3649 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Mungu awabariki sana
    Audio tunaweza ipata audiomack na boomplay?

  • @EliakimuRodrick
    @EliakimuRodrick ปีที่แล้ว

    Yesu awabariki sana

  • @faithmtua9681
    @faithmtua9681 2 ปีที่แล้ว

    Naipenda hii kwaya sana

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mzuri jamani aiiii

  • @nyemongambusu5367
    @nyemongambusu5367 2 ปีที่แล้ว

    Nawapendaaaa

  • @jacquelinemayala3269
    @jacquelinemayala3269 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana

  • @livingstoneadigola439
    @livingstoneadigola439 2 ปีที่แล้ว +1

    My fever right

  • @marytonda3157
    @marytonda3157 2 ปีที่แล้ว

    Nice👏👏👏👏

  • @lenahlennar5374
    @lenahlennar5374 2 ปีที่แล้ว

    Awww Beautiful

  • @barakachristopher2504
    @barakachristopher2504 2 ปีที่แล้ว +1

    Guitar zinaimba yaan hapo ndipo ninapowakubali Kijitonyama

  • @faithrehema4767
    @faithrehema4767 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed guys

  • @japhetnzagule2929
    @japhetnzagule2929 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @jacquelinekitale8209
    @jacquelinekitale8209 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @ruthmmambwe5244
    @ruthmmambwe5244 2 ปีที่แล้ว

    Anyone to translate the song for me in English 🤲

    • @nemesmakanza3708
      @nemesmakanza3708 2 ปีที่แล้ว +4

      We have came to exalt the Lord Jesus the Savior of all

  • @mikamakungu6745
    @mikamakungu6745 2 ปีที่แล้ว

    Jamani filimbi haijapigwa kabisa🤦

  • @JosephKaluwaji-e4p
    @JosephKaluwaji-e4p หลายเดือนก่อน

    Angleterre vs Espagne

  • @eunicezephania4921
    @eunicezephania4921 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏