BOSS LADY - PART 03 [ MWISHO ]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2024
  • Maisha yaliendelea nilizaa watoto wengine wawili wakike nikiwa na rakim,sikuwa na mahusiano na familia ya masunga zaidi ya jack ndio alikua ananitafuta na kumjali mdogo wake.kim asivo na haya aliendelea kunitaka kimapenzi tena na mm niliendelea kumchinjia baharini shenzi zake.

ความคิดเห็น • 224

  • @Tinnahmtuya

    Ni wai Leo naomben likes jaman

  • @yusrambodze3804

    Wa 20 leo naomba like moja 😊

  • @ruthwaithera2650

    Mwanamke akipenda anapenda kabisa.ila wanawake wangi matajiri huumizwa moyo kisa mapenzi...huyu kijana nikana kwamba anamtumia vibaya.OBBY NI MHUNI

  • @daazuu4608

    Wamwisho leo naombeni like zangu❤️❤️❤️❤️

  • @sarahhagai8191

    Watu wa like mko wapi niwapeeee🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤,,Lisa my love hongera sana kwa kazi nzuri, big up 😂😂😂❤

  • @ninahussein5033

    Wakwanzaaa Leo nipemauwa yangu!

  • @Shadia544

    Leo nimekuwa wa 60 haya tujuwe huyu aliempigia simu ndiyo mwenyewe chupi yake 😂😂😂😂LIKE 10 kama unamawazo kama mimi 😂😂😂

  • @zuenahz5514

    Kujeni kujeni kitu moto kwa hewa nishawahi kama kawaida yangu chezea kulala you tube kwenye simulizi za anko Jay 😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-fk1io4yp3j

    Nmekuwa wa kwanza aloooooh, full raha

  • @user-ub7jo2mu1p

    Mwendelezo wa lissa please 🙏

  • @MoshiMoshi-qy8dq

    Woooooyo na mm nimewahi leo jaman nawapenda sana wanafamilia wenzangu 🎉🎉🎉 makopa yako ankojay ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BeathaJulianus

    Hayo majina yawaderla kibokooo😅😅😅

  • @user-ye4gk4we3u

    Saaaant saana ❤❤❤❤❤

  • @user-vn6tj6wl3r

    Nimekuwa wamwisho jamn 😢😢 Ako jay vizur san 🎉🎉🎉🎉

  • @user-lx3bs3iq8t

    ❤❤❤nzur san

  • @laweluagustino6703

    Yaaan honey ni zuzuuu wa mwisho

  • @UmmyDaudi

    We anko jay ww mungu akupe maisha marefu

  • @fransiscafransisca3883

    Asantee sanaaa kipenzi chetu anko jay ❤❤❤🎉🎉 tunaomba tuletee Binti Lisa part 11

  • @NeemaSamwel-oj4zf

    Anko jay ahsante kwa simulizi hii tam❤ anko jay tunaomba basi ututumie na binti lisa🎉

  • @user-tn3jb2vb8f

    Jamani story nzuri na nimejifunza kitu ansate uncle J