Kwenye mjengo huu tunaye msimuliaji mashuhuri mwenye sauti nzito nzuuuur,inayokoga mioyo ya wasikilizaji wake na kuwafanya teja wa simuliz zake sio mwingine ni kijana mdogo machachar sana ANKO J,na nwandishi mwenye akili zake timamu LISA MWALA
Kumbe ma MC ni wako iyo kama ma DJ wauni sana, sawa ankooooo wetu kipenzi tuko pamoja tunaisubiri hiyo part 3 Kwa hamu zote congratulations 👏👏👏 my wetu kipenzi anko Jay pamoja na Lisa mwala mungu awabariki ❤❤❤🎉🎉🎉
Aisee anko jay simulizi nzuri sana Mungu alibariki ❤
Imenigusa loo!
Wanaume kwa uwongo na tamaa za kutaka kuonja kila mdada ovyo ovyo,na ubembelezi wa udanganyifu,shikamooni 😂😂😂😂
Aliyempata mwanaume wa kweli ni huyo mzee aliyekufa hakuwa mdanganyifu
simulizi ni nzuri sana ❤❤❤
Wow lisa mwala uwanjani❤ na sauti ya boss mihela😂 burundi tunakupata à100%
❤❤❤
Anko jay nakupenda tu bure♥️♥️
Present.big fun from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂hv mnaocomentigi makopa❤❤ huwa niesabab ya story au anaesimulia
😂😂😂ila wew
achana na mtoto wa baba angaliya obby❤❤ ndiye Ana weza kuwa na ww siku zote lve goz to obby
Asante anko jay kwa simulizi nzuri sana love you anko jay mwaaaaa 😘❤️🌹
Jamn anko Jay sehem ya mwisho bas dah inzr San kweli❤❤❤❤❤❤❤
Kwenye mjengo huu tunaye msimuliaji mashuhuri mwenye sauti nzito nzuuuur,inayokoga mioyo ya wasikilizaji wake na kuwafanya teja wa simuliz zake sio mwingine ni kijana mdogo machachar sana ANKO J,na nwandishi mwenye akili zake timamu LISA MWALA
Anko jay ukifa uwoz😂Maokoto yko yanakusubi fanya kama umezaliwa mara mbili kwa mwaka🤣🤣
Top 5 leo asnte sana anko jay kwa muendelezo
Kumbe ma MC ni wako iyo kama ma DJ wauni sana, sawa ankooooo wetu kipenzi tuko pamoja tunaisubiri hiyo part 3 Kwa hamu zote congratulations 👏👏👏 my wetu kipenzi anko Jay pamoja na Lisa mwala mungu awabariki ❤❤❤🎉🎉🎉
Sister Lisa mwala umetisha sana na anko jay penda shana❤❤❤
Wa mwisho Kama kawaida yangu
😂😂😂 wamwisho kma kawaida yko
Acha tu😂😂@@rizmwMwriz-mf2cu
Hongera kuwepo
Daa,Honey ndiyo kwanza anaanza kuijua dunia ya mapenzi maskini,baba yake alimtendea uovu hadi akawa kama hivyo pole sana Honey
Aaaaah,aliathirika kweli
Waoo♥️♥️♥️💐💐💐💐💐🪴🪴🪴🪴🪴🪴🌺🌺🌺🌺🌺🥀🥀🥀🥀🌺🌺🌺utamu kolea
We mama wewe, sijuwi kwa nini nakupenda saaaana, comment zako siwezi kuzipitiliya bila kuisoma
@@cadeaualizahata mie pia sijawahi pita coment zake
Anko jay shukuran sana hapa nilikuwa mnyonge❤❤❤
Kweli. Akojjei. Kipochimanyoa kamaulikuwepo. Alafu. Wakati. Huuu. Wabaridi unaniuwaaaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaani wewe una uchu Wa muda 😂 Kama baridi njoo kwangu
❤ata ukiachwa kwa stor fresh tu mana zina kuliwaza iseyyy 🎉
😂😂😂
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤ jamn harah tuu
❤❤Anko jay chukua mauwa yako🎉🎉kipenzi chetu n kazi nzuri hongera,,wakwanzzz nipen likes
Sasa kama umemkubali Oby na mlishapekechana na mwanao utafanyaje,ndio chanzo cha kugonganisha watu na kuwagombanisha
Yaaan ankj simuliz zako zote nzuriiii jamn khaaa❤❤❤
Khaaaaaa
🎉🎉🎉❤❤❤nasikia tu utamu wow❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉kazi njema anko jay🎉
Sauti. Ya. Ako. Jei😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ linki. Jamaniiiii❤❤❤❤❤
Haya. Lete. Mwendelezo. Akowetu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
❤❤❤❤
Nimewai leo Anko pongezi sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Akojei. Kwaraha. Unazonipa. Nakupenda. Buuureee🎉🎉🎉🎉😢🇮🇹❤
Nimekua wa Kwanza leo jaman ❤❤❤🎉🎉🎉
Mambo ni moto❤❤❤
Wakwanza jameni nipeni like zenu wadau ❤❤❤❤❤
Ambao tumetoa machozi tujuane😭
😂😂😂😂 huyo. Obbi. Niankojei. Nini. 😂😂😂😂 ❤❤❤❤❤❤
story nzuri jmn❤❤
Nataka uwe boss lady wangu
maneno yako iwe funguo ya mafanikio kwangu 🙏
@@rebeccazagabe njoo kwangu basi jimbo si lipo wazi tuyajenge
usijali
@@rebeccazagabe upo pande gani
Ankojay mapesa wetu much love 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉
Hakika mapenzi hayana huruma kwani humdhulumu hata mtu anae jiheshimu
shukrani Anko Jay na lissa mwala kwa kazi hii safi
Asante anko j mambo ni moto
Anko huna baya 😍😍😍
Alipate wapi kijana wa watu,mambo yake ni ,🔥🔥wakat wote
Mambo ni moto kweli 😂😂😂😅😅😅
Jamani Obi utabadilika lini
Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jmn nzuri
Jamani mm ndio wa kwanza nataka lk zenuu
Waoooo ❤❤❤❤,pamoja sana anko y🇴🇲🇴🇲🇴🇲🔥Daah imeishia patamu hp natamani km iyendeleevile
Na pande hizo za Oman
Wooow ❤❤❤🎉🎉🎉 gongen like wadau wangu 😊😊😊
Tunakuomba ako jay tafazali tuletee bint lissa part 10 😢😢😢😢😢
😢😢😢😢 hata mm Nangoja hiyo lisa 10
Nimewai leo ❤❤❤
Nice anko jay l iove you ❤❤❤ lisa nime misisana please weka ako
Nakupenda sana Lisa mwala🎉🎉🎉
Kiukweli,, hapa anaeachwa ni yule mwenye viporo,,, anko tuko sambamba bila kuchoka❤❤❤
Wakwanzaaa ❤❤❤❤❤
Tunasikiliza hili tujuwe huyo BOSS LADY ✌️✌️✌️🌹
Niliwahii lkn❤❤❤❤😂😂😂
Aah ila anko j ww ninoma unatuwezeea
Kiboko ya wote ni muuza kuku
niliudumiwa kinyaji
Asante Anko Jay simulizi zuri ❤❤♥️🇨🇵🇨🇵
Wakwanza Leo nipeni like zangu
Wa ishirini mie
Mhmm hili ni balaa,😂😂😂😂 wanaume wote wawili walikasirika sasa watarudi wote,sijui itakuwaje,haya ni majanga,sijui itakuwaje jamani😁😁😁
Hongera saana Kaka Anko jeyi ma pesa❤
Jmn hii story pambe
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mm nmecheka😂 pombe mbaya kawaza yupo na obby kumbe yupo na mwanae
Nzuri sana
Mambo ni fire 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
Akoj unatukosha mulioko oman 😂😂🎉🎉🎉🎉
Wow,Leo nimewahi likes zenu,kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much ❤
Ankojay pamoja sana nice job utamukamautamu🎉🎉🎉🎉🎉
Saut yako tu mhh😅😅
Lisa bana noma sana Salut sana❤❤❤❤
Me nimechelewa kidogo 😂😂😂
Asante anko jay ♥️♥️♥️
Je suis le numéro 1 aujourd'hui
Honey jua ya kwamba huyo mtangazaji wako huyo hajakupenda ila amefata pesa zako tu,,,ni Bora uangalie mtu mwingine.
Ameshajichanganya na mwanae mtoto wa mumew angetulia akitafakar cha kufanya asijichanganye atajiharibia mwenyew
Dah mbona ime noga jamani! Natamani azae na Kim basi😊 walivo fanya yao lakwanza m kule kuli rowa😁🫣
Simulizi hiii mdada anahonga vibaya
Leo nisiku ya kwanza kuto skiza story kwa ninacho pitia wapezi nimefiwa nakipenzi changu nikiwa mbali na home i hope mko poa lakini
Pole mwaya
Pole sn dear be strong yatapita 😢
@@magrethjohn4929 asante mpenzi
@@SHARIFASALUM-n3w shukran mpenzi
Pole sana kipenz
Hii simulizi alikuwa iendelee tuone patrisha na maisha ya wazazi wake hasa mamake na roho yake mbaya
Nzuri sanaaaaa ❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ nc
Hamlali duh mamaaaaaa tupo pamoja mjengoni❤❤❤
😂😂😂🤣🤣 manina kwahy mfanya kazi wandani ananin😏
🎉🎉Mie wangapi jamani mbona rahaaa 🎉❤❤
Wanawake kwa kweli mungu anawaona🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Jaman kujeni hukuuu Kwa kasi ❤❤
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Waooo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Wow..thanks Ankojay ❤❤❤
Tnx ancojay kwa muendelezo wetu we miss❤❤❤❤
Simulizi nzuri kweli kweli
Nmewahii like zangu❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂we jay una utani na sisi watu wa nje
mutupe muendelezi kwa haraka jamani
Wololo 🎉🎉❤nko hapaaaaa