MUTALE,OKEJEFA, AHOU WATANGAZA VITA NA YANGA "UBAYA UBWELA TAREHE 8 KITAWAKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @PendoAmosi-oz9to
    @PendoAmosi-oz9to 2 หลายเดือนก่อน

    Utopolo wasenge kuandika hamjuiiii😅😅😅😅😅😅😅

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 หลายเดือนก่อน +3

    Washatoka KUZURULA, ...!

    • @sittamwigulu8395
      @sittamwigulu8395 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo tutaona na hiyo Toyota gari yenu

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@sittamwigulu8395 ....new model..🤣🤣🤣🤣

    • @leonardmwasongwe600
      @leonardmwasongwe600 2 หลายเดือนก่อน

      Huwezi kuzurula kama huna pesa, wanapesa ndio mana wanaenjoy

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tare nane mnakutana na watoa Roho haijaisha mpaka iishe🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LilianJoseph-n3f
    @LilianJoseph-n3f 2 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 หลายเดือนก่อน

    Vipi mapokezi kiduchu

  • @jumasharifu5837
    @jumasharifu5837 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona kinyonge sana

  • @subiralema
    @subiralema 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tusubiri tareh 8

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

    Ila hawa jamaa wakijaa tu kwenye mfumo watakula hata 9 bin sifuri

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 2 หลายเดือนก่อน

    Si ndo tuwataka hao..waje wakiwa wameshibaa😂😂😂

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 2 หลายเดือนก่อน

    Wanafikiri Rasta ndo zinacheza ee maana Kila mwenye Rasta wanaamini nimchezaji kwasababu kibu alifuga wakaanza kuokota marasi sasa

  • @FiniasBugobola
    @FiniasBugobola 2 หลายเดือนก่อน

    Ona tiari wameshaogopa😂😂😂

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 2 หลายเดือนก่อน

    Muwafunge kwanza Apr alafu mjipange kukutana na majasusi walioshindikana

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 2 หลายเดือนก่อน

    Njoo mtunyooshee miguu ya vyuraaa

  • @brysonjohn5306
    @brysonjohn5306 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waambiwe league ya bongo ina team 16. Siyo yanga tuu!! 😂😂😂

  • @WinfridaMarco
    @WinfridaMarco 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela❤

  • @vi3ayo1622
    @vi3ayo1622 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mim simba ila huu mwaka tutaaibika tena,, ayubu tayari kashaumia kupona kwake sio Leo wala kesho sasa sijui ndio amekimbia kiaina na kibu katutapeli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @imanmasawe749
      @imanmasawe749 2 หลายเดือนก่อน

      wewe n utopolo tushakujua

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnona hakuna mashabiki!?

  • @maikosamila7187
    @maikosamila7187 2 หลายเดือนก่อน

    Wamelala kinoma

  • @godfreykasimba6187
    @godfreykasimba6187 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa wanatoa AIBU hata mashabiki

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wasubiri kipigo tu, ubaya ubwela na nani? Wana nguvu, wao hawaogopi?

  • @Mariam-g5b
    @Mariam-g5b 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela njoon mjionee Simba day

  • @SaidShaban-zj7mc
    @SaidShaban-zj7mc 2 หลายเดือนก่อน

    Mbonaa mashabikii siwaoniii kwemaaa

    • @alitante4279
      @alitante4279 2 หลายเดือนก่อน

      Utatuona simba day

  • @HassanMussa-vk3tj
    @HassanMussa-vk3tj 2 หลายเดือนก่อน

    Simba mbona mashabiki wamekususieni timu

  • @deomakoto
    @deomakoto 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hebu nisaidieni hapo!! Mashabiki wetu waliokwenda kuwapokea wamesimama upande gani?😮😮

    • @brighlusemsomba3014
      @brighlusemsomba3014 2 หลายเดือนก่อน

      Si ndiyo hao waandishi wa habari.

    • @HadijaSwedy
      @HadijaSwedy 2 หลายเดือนก่อน

      😅​@@brighlusemsomba3014

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama beko alikuwa KAZI wakatufunga mbili moja vp kwa usajil huu watatufungia wapi?labda refa awe gsm

    • @mmewaswida
      @mmewaswida 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mkifungwa usirudi hapa mnalia. Maana mna kamdomo sana wakati hamna timu😂

    • @brighlusemsomba3014
      @brighlusemsomba3014 2 หลายเดือนก่อน +1

      Usijisahaulishe tuliwasaidia msipoteane . Tulikua na uwezo wa kuwazalilisha. Subiri tarehe 8

    • @flova7022
      @flova7022 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@brighlusemsomba3014hivi hizi akili zaa matoppeni hua mNAZITOA waapi vyura

    • @kalebphilip3426
      @kalebphilip3426 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@brighlusemsomba3014 hata mm nikicheza beki ni uhakika ushnd asilimia Mia tsa,tukifungwa na yanga naenda kulima viaz ikulu

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 2 หลายเดือนก่อน

      Trh 8 mbona siyo mbali.

  • @marrymwinuka3105
    @marrymwinuka3105 2 หลายเดือนก่อน

    Wamepoaaaaq

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน

    Niwataazalishe ile yanga msipo kaa vizuri na mkaipania mnaweza kula kipigo ambacho mjawahi kupigwa tangu ligi kuu ianze 😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน

    Simba wamejipanga mmesikia yanga?? Wanatumia nguvu nyingi ili kupambana na yanga.

    • @mmewaswida
      @mmewaswida 2 หลายเดือนก่อน

      Walitumia nguvu nyingi uturuki lkn mwisho wakapigwa 7-2😂
      Yanga ya sasa sio iliopita. Hii imeboreshwa mtapigwa 14

  • @KokoloLambinguni
    @KokoloLambinguni 2 หลายเดือนก่อน

    KRAMO na MPANZU wawepo mje muone

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 2 หลายเดือนก่อน

      Utakuwa na wachezaji wangapi mzee au uoni idadi yako

    • @JumaHija-d9g
      @JumaHija-d9g 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kumbe unapiga mikwala kwa Mpanzu na Kramo ambao hawajui hatma yao 8 zipo kuna dalili zote na mara hii tarehe kufanana na matokeo😂😂😂