Mch Moses Magembe - KUMUONA YESU KATIKA UTUKUFU WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Ibada ya Jumapili asubuhi katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG Majumbasita Ukonga - Dar es salaam chini ya Mch Moses Magembe.
    Ujumbe: KUMUONA YESU KATIKA UTUKUFU WAKE
    Andiko: UFUNUO 1:13-16
    Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
    Tarehe: 27.08.2023

ความคิดเห็น • 31

  • @MeltonkarisaKahindi
    @MeltonkarisaKahindi 16 วันที่ผ่านมา

    Neema ya mungu itoshe na huku kenya ututembelee mchungaji ubarikiwa

  • @frankjulius6271
    @frankjulius6271 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki sana mchungaji namwamini MUNGU ntavaa viatu vyako vya Injili

  • @user-ew9ur5rs7h
    @user-ew9ur5rs7h 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu

  • @frankjulius6271
    @frankjulius6271 7 หลายเดือนก่อน

    Baba yaani viatu vyako vya Injili lazima nivivae uko unatuandaa Baba mchungaji

  • @aime6186
    @aime6186 11 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Mungu kwa pata ibada ya Leo napenda niwe Na Mungu na Yesu nipokeye kabisa nisiludi nyuma tena na niachane Na yalio mabaya yote niachane nathambi kabisa maana sipendi kurundia huko kabisa
    Maana Leo nimejazwa kabisa

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 7 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa sana

  • @mack_B.
    @mack_B. ปีที่แล้ว +8

    Baada ya kupitia ibada zote za live Kila page ndio nmekuja kukutana na Madhabau inayoshusha Uwepo wa Mungu wa Mbinguni really kbsaa Asee huko ulimwenguni Kuna ukame mzito ibada zote Giza tu yaaan ni drama tu na ahimidiwe Mungu wa Mbinguni kwaajil yako Mwana wa Mungu Moses maghembe

  • @ommykibona8026
    @ommykibona8026 7 หลายเดือนก่อน

    Amen ubalikiwe Sana 🙏

  • @user-ww7zr2op8z
    @user-ww7zr2op8z 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera Much Moses magembe nakufahamu Toka 1984 ukiwa iringa,kihesa Assemblies misimamo Yako ni ileile hongera mchungaji

  • @amonimwampamba1243
    @amonimwampamba1243 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mtumishi watufundisha mengi Sana 👏👏👏🙏🙏🙏🙏

  • @samjapheth8411
    @samjapheth8411 ปีที่แล้ว +2

    Bwana Yesu apewe sifa

  • @ShukuruHangi-re3gs
    @ShukuruHangi-re3gs ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🇦🇺 baba tuko pamoja baba

  • @mack_B.
    @mack_B. ปีที่แล้ว +2

    Awee kinywa kinanena maneno matraaam hiki hakika Yuko Mungu juu yako Baba yngu kipenz nampenda sana Yesu wako yule Jana Leo na hata milelee3eeee

    • @leticialaulian6391
      @leticialaulian6391 ปีที่แล้ว

      Baba ukija Kamachumu ufike Nkwenda Kyerwa .
      MUNGU akubariki

  • @robertsilington-cu4dz
    @robertsilington-cu4dz ปีที่แล้ว +1

    Kalibu huku Tunduma Bab magembe

  • @n.dvillagirl3272
    @n.dvillagirl3272 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe umri mrefu zaidi katika kizazi mtumishi nakupenda sana Baba🙌🙌

  • @user-do5nk9up1k
    @user-do5nk9up1k ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongezee miaka mingi ya kumtumikia.

  • @mack_B.
    @mack_B. ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂 tumepokea Salam kutoka kwa Mama Hilda tumemiss sana Shujaa wa Bwana huko jmn 😂😂😂😂 aseee we Baba ni kichaaa wa Mungu aseeeee Yesu anama tingatinga Dunian jmn heshima kwake mzee wa siku kijana wa zamani jabari la ma jabari nyie Yesu mtammmmmuuu cmwachiiii ng'oooooo❤❤❤❤❤❤

  • @medicusmerchades4988
    @medicusmerchades4988 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana baba kwa Kazi kubwa unayofanya natamani ufike Bukoba Vijijini

  • @fatumaremy
    @fatumaremy ปีที่แล้ว

    Amena Bwana yesu apewe sifa na shukurani 🙏🙏👏👏🤲🤲🇺🇸

  • @robertsilington-cu4dz
    @robertsilington-cu4dz ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKUBALIKI SANA KWA HUDUMA ZAKO

  • @cornelgwarda3849
    @cornelgwarda3849 ปีที่แล้ว

    Omungu wangu nimefurahi kuhusu kutuombea tulioko mtandaoni naisubiri hiyo siku kwa hamu

  • @husseinjohn532
    @husseinjohn532 ปีที่แล้ว

    Amen baba ubarikiwe

  • @pastormajaliwawissa8461
    @pastormajaliwawissa8461 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mch kwa kazi kubwa unayoifanya

  • @user-do5nk9up1k
    @user-do5nk9up1k ปีที่แล้ว

    Mungu akubark man of God.

  • @robertsilington-cu4dz
    @robertsilington-cu4dz ปีที่แล้ว

    Heheee Aisee Kwa Yesu sihami shetani ajipange

  • @user-un2td1no5f
    @user-un2td1no5f ปีที่แล้ว +1

    Ameeen mtumishi wa Mungu yaani nabarikiwa na kupona kwa viwango vya juu sana

  • @rubensokoine6647
    @rubensokoine6647 11 หลายเดือนก่อน

    Baba mbona Arusha Hauji

  • @StephenButotoMbarato
    @StephenButotoMbarato ปีที่แล้ว

    Asanteni Mungu Awabariki kwa kazi hii. Ila hatuwapati kwenye Whatsapp. Tafadhali mtupe line yenye iko wazi ku Whatsapp

    • @StephenButotoMbarato
      @StephenButotoMbarato ปีที่แล้ว

      tumeipata number ya mahusiliano. jameni tunasubiri sana iyo online school, sisi hatuna uwezo wakuja somea huko. ila hiyo online school utatusaidia sana.Bwana Yesu Kristo awabariki mutekeleze mipango yote mulio isema kwa utukufu wake.