Bwana Yesu asifiwe, naitwa Edson William Bandiko napenda kutoa shukrani kwa vipindi vingi vinavyotolewa kupitia You tube. Napenda nielendelee kujifunza zaidi kupitia vitabu vinavyoandaliwa na Mtumishi wa Mungu ikiwa ni sehemu ya kukuwa kimaandiko na kuweza kuchanganua kwa baadhi ya maandiko ambayo kwa muktadha wa ufafanuzi niweza kuelewa zaidi.
AMENI UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA BWANA KITABU HIKI YESU ATUPE NEEMA YAKUKIELEWA NA KUYATENDEA KAZI TUNAYO YASIKIA 👂👂,,JESUS IS COMING SOON OOH JESUS HELP US TO COME INTO UR PRECENCE 🙏
Wow jmn nyie rahaa wanasema et urithi wa maana ni elimu aweee hauzidi huu jmn urithi wamaana ni Yesu na mbingu mwanangu jiandae ntajutahid kukuachia upako wa kweli
Bwana Yesu asifiwe... naitwa Edson William napatikana Dodoma naomba utaratibu wa kupata cha kitabu cha Uamsho na Matengenezo, Kitabu cha Somo la Siku za Mwisho na nk
Bwana Yesu asifiwe, naitwa Edson William Bandiko napenda kutoa shukrani kwa vipindi vingi vinavyotolewa kupitia You tube.
Napenda nielendelee kujifunza zaidi kupitia vitabu vinavyoandaliwa na Mtumishi wa Mungu ikiwa ni sehemu ya kukuwa kimaandiko na kuweza kuchanganua kwa baadhi ya maandiko ambayo kwa muktadha wa ufafanuzi niweza kuelewa zaidi.
Amina mbarikiwe kwa kazi ya Bwana
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
AMENI UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA BWANA KITABU HIKI YESU ATUPE NEEMA YAKUKIELEWA NA KUYATENDEA KAZI TUNAYO YASIKIA 👂👂,,JESUS IS COMING SOON OOH JESUS HELP US TO COME INTO UR PRECENCE 🙏
Naomba kuja nami kujifunzi kbs. Niko Rwanda
Baba yangu MUNGU akuongezehe wingi wamiaka una nibariki sana hacha huyu MUNGU wambinguni akulinde na akubariki amen
MUNGUUU AMTUNZE MZEE WETU AMBAYE TUNAMJITAJI.
MOSES MAGEMBE BABA YETU MUNGUU ATUTUNZIE HUYU PASTOR SANAA NI FAIDA KWANGU SANA
Baba Mchungaji Mungu azidi kukutenda mema zaidi na zaidi
Asanteni wote
Mungu a tendenawewe
Mungu awabariki sana watumishi
🎉🎉Baba Mungu akubariki sana nafata nyao zako mzee wangu
Sawa Baba tunakuelewa sana
Naiona katika Mozambique-Nampula
Mungu Akibariki Baba Yetu
Time for revival is now😇
Amen amen 💖
Akisanti Rév Moses Magembe kwa Maono hayo roho Mutakatifu ameweka ndani yako
Wow jmn nyie rahaa wanasema et urithi wa maana ni elimu aweee hauzidi huu jmn urithi wamaana ni Yesu na mbingu mwanangu jiandae ntajutahid kukuachia upako wa kweli
MUNGU mkuu akuongeze miaka ya kuishi. DUNIA bado inahaja nawe.
Amen
Tuko tayar Mtumishi wa Mungu
Wow what a blessed family God thanks for this man of yours
Asante mutumishi
Bwana Yesu asifiwe... naitwa Edson William napatikana Dodoma naomba utaratibu wa kupata cha kitabu cha Uamsho na Matengenezo, Kitabu cha Somo la Siku za Mwisho na
nk
🙏
Kwa nin wengi ni wanawake na watoto ndo hujaa makanisan
Mzee Rev. Moses Magembe ubarikiwe sana.
Team ya sound system fanya kazi vyema, maana ina kaa iko poor Kabisa.
Mimi nitatoa Baba angu
Nataka nidownload lkn mmeifungia
Nawafuatilia nikiwa loliondo
Wakati wa utawala wa YESU duniani,je wale waliotwaliwa watashuka au watabakia hewani au utukufuni?
Nimebarikiwa kabisa Kiko mkoa gani?
Kipimo sanifu ca wokovu ni utakatifu