SAYANSI YA KUMUELEWA MWANAUME SEHEMU YA 1 | PR. DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @DeWisdom.233
    @DeWisdom.233 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana pr.MUNGU azidi kukutumia vyema unapo kuwa unatuelekeza wengi kwa KRISTO
    🙏🙏🙏

  • @HappinessAhia-ey1lq
    @HappinessAhia-ey1lq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen pastor.
    You are blessed to bless us.
    Mimi unanisaifia sana ma mafundisho yako.
    Ashukuriwe Mungu kwa ajili yako mchungaji.
    From Washington USA.

  • @JOYDANFAMILYSINGERS
    @JOYDANFAMILYSINGERS หลายเดือนก่อน

    Amen pr kwa mafunzo mema

  • @Kablizasekanabo
    @Kablizasekanabo 2 หลายเดือนก่อน

    Asante tena kwa mahubiri mazuri sana tena Zaidi . Napenda sana unavyo hubiri

  • @MagdalenaAgust
    @MagdalenaAgust 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Mchungaji

  • @raphaelmuiris7517
    @raphaelmuiris7517 2 หลายเดือนก่อน

    Tune from Kenya 🇰🇪

  • @Kablizasekanabo
    @Kablizasekanabo 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Mmbaga

  • @MasungaMabula-tl2tx
    @MasungaMabula-tl2tx 2 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa nikiwa shyinyanga lakini na changamoto niombee

  • @asgricie5230
    @asgricie5230 2 หลายเดือนก่อน

    Amina, asante mchungaji. Barikiwa na Bwana. Nawafuata kutoka Lubumbashi DRC.

    • @habilichenza1721
      @habilichenza1721 2 หลายเดือนก่อน

      Lubumbashi 1

    • @habilichenza1721
      @habilichenza1721 2 หลายเดือนก่อน

      Nime shangaa kumbe lubumbashi niwengi tuna mfatilia

  • @emmaanthony5730
    @emmaanthony5730 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sorry nina swali ambalo kidg ni out of context kwa hili somo,Hv shetani alijua kwamba ilimpasa Yesu kufa(tena kwa kusulubiwa msalabani), ikiwa ni hvo maana halisi ya 1Corinths 2:8 ni ipi,Msaada pls🙏🙏

  • @HappinessAhia-ey1lq
    @HappinessAhia-ey1lq 2 หลายเดือนก่อน

    Kosa la Vashti hakutii kwa mume wake.

  • @RodgersFadhil
    @RodgersFadhil 2 หลายเดือนก่อน

    Pastor mbona kwa karne hii wanaume tutapata tabu sana

  • @nguvuyamaalifa5191
    @nguvuyamaalifa5191 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mawasiliano ya mtu wa njombe anayeuza naziwa ya soya

  • @Elichab-dj1lk
    @Elichab-dj1lk 2 หลายเดือนก่อน

    Jambo mchungaji? Mi ni m Moja Kati ya machabiki zako, niliomba unielekeze namna yaku soma mambo ili niweze ku elimuka kama wewe.

  • @Elichab-dj1lk
    @Elichab-dj1lk 2 หลายเดือนก่อน

    Jambo mchungaji? Mi ni m Moja Kati ya machabiki zako, niliomba unielekeze namna yaku soma mambo ili niweze ku elimuka kama wewe.