ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wa kwanza kutoka CONGO🇨🇩 nipeni likes zangu jamani😂😂
Upewe Maua yakoo
From kenya with love..Nipewe likes Alafu December naja Tanzania kwa mara ya kwanza hope ntaenjoy
Habib welcome to Tanzania
@@mkundeferuzi8186and I🎉🎉🎉a time to meet
Hii ni comedy na mtu amefikisha 1m mwogope sana huyoo mtu congratulations 🎉big boss
Nimekutaime, salale. Wanaonunuwa like, leteni pesa basi.
Ila joti eti mtoto umempata dakika ya tisini Nini😂😂😂😂😂
Unajua sana we kaka hamn wa kukufikia
Leo mimi ni wa kwanza kama unampenda joti shusha comments ya makopa kopa hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Leo naenda kununua ya Mia tano mpaka nimesikia harufu ya machungwa ndani ya shuka😂😂😂😂
Mungu wa mbinguni akufikishe mbali joti , Ur the best comedian, we ni mbunifu sana , hauigizi Yan unafanya kitu kweli, Ila uyo Kaka kondakta nampendaga😂😂😂😂😂
Nitafute nikupe namba zake, na uwe serious
Hii noma naombeni like
😂😂😂😂😂😂😂 huu msimu umenijia vibaya, me nashangaa machungwa tuu yanakuja upande wangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mambo lilian
Hongera sana Joti for 1M subscriber s
Creativity kudadadekii , nishai is in the car 🔥🔥
Dah naamin leo nimekuwa wa kwanza au wa pili joti wee piga kazi bro please like 👍 ndio muhim zaid
Jamani Wawooooo nilimiss sana Kanyinyi nimefarijika kumuona yani Kanyinyi apewe maua yakee😅😅
One million subscribers tumpe mauwa yakeee joti tv💥💥💥💥💥💥🌍🌍🌍
Nakubali double impact,hahah hongera Kwa legend
Nilimmic kanyinyi
Ani kainogesha sanaa leo
👌👌wa kwanza Leo 😅😊
😂😂😂😂hiyo style ya joti ya kumove anaslide katisha 😅😅😅
Joti is number one comedian in Tanzania ❤️
Wee inaonekana ujamuona clam vevo ebu mfatilie😂😂
Clam is namba 1 tz
Nawakbal sanaaa asee mmechaza na mind zetu
Subscribers 1 Million Hongera
Respect my brother 😂😂😂😂❤❤❤
Haha first to view this from USA jm
Joti kanyinyi anajua sanaa ani kama konda kweli sielewi kwanini humpi nafasi Kwa sasa ni msanii mzuri sanaa! Kwenye Team yakoo
KAKA JOTI HUTUTENDEI HAKI MASHABIKI ZAKO KANYINYI TWAMTAKAA
Wapi like ❤❤ am watching from kenya🇰🇪
Napenda sana ukiigza kama mtoto
Msim wa machungwa mi nashangaa yanakuja tu upande wang hahahaaa jotiiiii
Nimecheka kifala sana asubui subui😂😂😂😂.
Wa kwanza leo jaman like basi
Tunaosubiriaga ijumaa kwa hamu tujuane hapa kwa like❤😂😂😂
Wa kwanza naomba like zang
Kanyinyi unapotea sana, wapi mwamba
Ani sielewi kwanini joti hampi nafasi wakati ndo msanii anaweza sana kwenye Team yakee
Uko vizuri sana kaka,big love from Dubai.
Daah kweli Hapo Mkwajuni..au hii clip ya zamani jmn
Good one....
1M subs😉❤️ hongera mate❤️🔥🔐
Zito Kawa na siku m'baya sana
Wew niatali sana jot
Wa kwanza leo mnipe like zangu
😂😂King joti 🤣🤣🤣🤣🤣
Napenda sana hayo mazingira jamani sokoni nikiwa naona miti hiyo yani nafurahi 😊
Huyo mwizi nendeni nae tu ghetto mkamalizane nae🤣🤣🤣
JOTI NI MBUNIFU SANA
Wat hamlali aseeeh😂😂😂😂😂
Tuweke za hami j kila siku andunje na kiboga
kama umepaona kwa wajeda maji chumvi gonga like😀😀
Tunamtaka hami j
JOTI HUYU KANYINYI ULIMPELEKA WAPI MWANA ANAWEZA SANA KUCHEZA UHALISIA KAUA SANA😄😄 KONDA
Wewe combi hatariiii😃😃😃😃
Number 1😂😂
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😂🤣
Never disappoint jotiiii 😂😅🎉
Mwamba huyo hapo Sasa. Hajawahi kufelii yani😂😂
Cbhh
Naona wanaenda naye gesti! hehehehe
Umm, muaenda level juu nigine
Watu sijuw mnalala umu jmn kaah😂😂😂😂
Joti ww jaman 😂😂😂
Jot is the best kwangu
Uy jamaa ASA ni creative kwel
Noma sana 😂😂😂
First one
Joti njoo actie uku boko
😊😊😊😊😊twende nae ghetto
😂😂😂andunje
Hiii ni kali bt mmedisclose secret ya wanaume cjapenda 😢😅😅
Toba yariii hii ni hatariii😂😂😂😂😂
Joti bhanaa daaaah
Huyu konda na muuza machungwa mbna wanafanana Sana au ni ndgu nini
Mipia huwa nawafananisha sana
Watakua ndgu
😂😂😂😂😂Joti bhana
Mtoto wako wa ngama nin
Hiii imeeendaaa
Haya wale tunaosubili kuangalia jumamosi tujuane
Msimu wabalaa huo😆😆😆😆🏃
Joti WA wote...,,,wap like zake🎻
Nipeni like zangu,wa kwanz leo😂
Hahaha uwiiiii
daaah ila Nishai😂😂😂
Msimu wa machungwa umemponza abiria
mnaomkubali Joti gonga like
Mapeeema jmni like ata tano tu
Dah...Sina hata 50 - TZS 😅#Blessed #Lucas #Tanzania
Hatima jot kafikisha subscribers 1m
number 1
Usitaz 🎉
Creativity
Nimechelewa kdg
😂😂😂😂😂😂😂ila joti😂😂😂kwani chungwa sh.ngapi😂😂😂
Anajua
🔥🔥🔥🔥
you always make me happy,and forget my trouble thank for that❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Andunje 😂😂😂😂
Nnimewahi kidogo na mie
🌹🌹🌹
Joty ana mpinzani
Nishai on the one and two
😅😅😅 jot kama nishai
Msimu wa machungwa niatar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🔥🔥🔥🔥😂
Wa kwanza kutoka CONGO🇨🇩 nipeni likes zangu jamani😂😂
Upewe Maua yakoo
From kenya with love..Nipewe likes
Alafu December naja Tanzania kwa mara ya kwanza hope ntaenjoy

Dah...Sina hata 50 - TZS 😅
#Blessed #Lucas #Tanzania