@joti unafany kaz nzur sana ila naomb nikushaur kua jarbu jitahid kazi iendeee hata bila uwep wko yaani tafuta mrith wako tengenez team iltakayowez kuendeleza kaz hii, ili mungu akikuchukua uache atakaeshika kiti chako watu wazid kunufaika na channel hii na kukukumbuka
Dah huyu madam kanikumbasha mbali sana nilishafundishwa na teacher kama huyo anavibe siyo powa ukifanya kosa shule nzima itajua na usiombe kikanuka assemb utajuta kwenda shule😆
King 👑 Of Comedy Joti love you my Brother God bless you 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️🙌🙌🙌🙏
mashabiki wa joti naombeni likes hata 10 familia from kenya🇰🇪🇰🇪
likes unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
Mm nakupa usijaliiiii 😂😂😂❤❤❤
@@umalqasimalhamhami6707 Asante 😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@@officialkamdudu duh🤣
Mie nakupa dislike 👎
🤣🤣🤣🤣 Wangapi tulimmiss Jotiii weka like yako hapa Jotiii ni Genius 😂😂
likes unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
@@officialkamduduwaomba like leo baba umewapania😅😅😅
Hana kazi ya kufanya,ufahamu wake anajua like ni za kupeleka sehemu
@@emanuelngonyoka871 aweke makalio yake tu like.
maana cha ku like ni nini au yeye ndiye ka upload content?
@@officialkamdudu 🤣🤣🤣🤣🤣
King of comedian…likes for Joti⚡️❤
Always here for Lucas ( Joti) ❤️❤️
Nice Job Mr Joti With Your Team
Wameruka wakapitiliza😂😂😂😂😂meeehn talent ni talent for sure,
Eti mi ntaweza kweli mwalimu😂😂😂
Mwalimu umenifraisha sana hapo mwisho mwishooo karuka kakuacha uko speed ...😃😁😁😁😁.waliompenda mwalimu nipeni like kama zote
This is a best talented man I ever see in east Africa
Dada mwalimu ni🔥🔥🔥🔥anajua,anajua na anajua tenaaaaaaaa
From 254 joti is the best comedian in East Africa
Kalembo... 🔥 🔥 Fev fem actor
Dada uli igiza mwalimu ume vaa uhusika kabisa hongera
Asante
Kama wewe ni yanga gonga like hapa tujuane
Ungesema tu kma we n CCM
likes unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
Uyu dada kama mwalimu kweli😆😆😆🤣🖐
Dada mwalimu umetisha sanaa 👌
Huyu Demu anafaa sana kuwa Teacher 😂😂.. au ni Teacher Nini??
Aisee inawezekana ni teacher huyu!!
kweli kbca
Sana amekaa kimwalimu mwalimu
Kwelii kabisa hadi nikawa nhisi ni mwalimu kwelii
Atakuwa ni mwalimu
This is beautifully acted
From East congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩Jotti never disappoint 🔥✊✅
Thanks, from Kenya
Mwalimu:Simba mwenda pole
Andunje:Nimzee huyo😂
Good job
Good
Love from zenji❤❤❤
1 Mlewa kafanye kazi yangu sitaki kubishana na Memkwa😁
2.Mlewa uko fresh? Uko poa? Daka begi😂😂😂
Hhhhhhhhhh
These are the real comedians😂😂😂
From Kenya wapi likes zenu
likes unazipeleka wapi kenge wewe ?
peleka ushamba Kenya huko 😏
Very funny 🤣🤣
😂😂😂😂😂 jot never disapoint madam umeweza
injinia wa comedy jot tumengoja sana video mpya ijumaaa wadau wako ila bro mie nakukubare sana unajua sana broo
Ata uyo jamaaa ana faa kuigiza kama teacher💪💯
Mantule apa
Thank you Mr Joti but I didn't see anything from you last Friday!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Never disappoint jotiiii
Joti... Mr Bean of Tanzania
Welcome back 💃💃💃💃
Kwakwer walimu Wana kaz ngum sana asee😢😢
N hatr..
1 million followers soon, keep it going bro 🎉
Hatar sanaa andunje
Hii Kali wallah😂😂
from Burundi joti number one
Joti you should know kuna hizi socks na kuna shirt ya collar tu. But hiyo collar unavaa kama uko na sweater.
Umenikumbusha mbali😂😂😂🙌🏽🙌🏽
From USA 🇺🇲🇺🇲🇺🇲
Nakubali kazi yako kaka
sema uyu dada mwalimu
nae yupo vizuri
Madam unajua sana, umeitendea haki
Mwalimu ongera sana.Umetisha sana yaan.😁😁😁❤❤👍👍
🔥🔥🔥
Anduje ihi style yake ni kali
Moja
Hahaa kawimbo kangu pendwa kadarasa lapil, nikikasikia 😂 najua mida yakwenda hom , boma ilala iyo hahaaa joti ume nikosha 😂
pita na kwangu uone vichekesho vyangu uenjoy maisha
Hatali sana
🙌🏼🙌🏼🙌🏼
🤩🤩🤩🤩🤩
Nic minaji
🎉🎉🎉
😂😂😂❤❤ nawakubali sana 😅😊
Asante
Last week umetuangusha joti nini tatizo? Ila Leo nimeleta cheka kifala sana😂😂😂😂😂.
Leo wakwanza nipen like ata10
😊😊😊😊😊
Dah! we hatar xanaaaaaa!
Mpo vizuri sana
Hii imeshawahi tutokea secondary 😂😂😂... joti umenikumbusha mbali
@joti unafany kaz nzur sana ila naomb nikushaur kua jarbu jitahid kazi iendeee hata bila uwep wko yaani tafuta mrith wako tengenez team iltakayowez kuendeleza kaz hii, ili mungu akikuchukua uache atakaeshika kiti chako watu wazid kunufaika na channel hii na kukukumbuka
Kwamba Mungu akimchukua😂😂
Daka begi🤣😂😂😂
Dah huyu madam kanikumbasha mbali sana nilishafundishwa na teacher kama huyo anavibe siyo powa ukifanya kosa shule nzima itajua na usiombe kikanuka assemb utajuta kwenda shule😆
Genius
Wiki ile niliumia sana baada ya kukosa kumuona jot
Alikuwa bungeni
Joti huna akili hata chembe😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌
Joti nafulai sana kazi yako
ni mimi kabisa tulimtesa sana kilua na kachinga mkoma tulitesa sanaaa 🤣🤣🤣😂🙌🙌🙌
Bro unapotea sana katika kutoa kazi zako
Joti fala sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwalimu Suzi umetisha
Nimekumbuka mbali sana 😂😂😂
Wamenkumbusha mbl kwel kpnd nikiwa secondary nilrka dirishan nimefka chn t mwalimu mkuu mbele yangu bahat nzr akuniona sura yangu nlkimbia atar
Joti comedian mzuri sana
Una hatar sna.
Huyu dada anajua sana kuact ualimu huko vizuri sana
Huyu ni mwalimu.angalia vizur alvokimbia
Oe
Kijana naona uko rada siku izi..umejikomboa😅
Nimeku miss jmn❤️❤️❤️
Nan kaona taiti ya mwalimu gonga like hapa ❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
😂😂
Tanzania 🇹🇿🔥🔥🔥
🎉🎉
Nomaaa
Soksiiiiiiii za andunje ni OG😀😀😀
Soks kata k😃😃🏃
🔥🔥🔥🔥🔥
Napenda crew ya Joti.Naomba msiachane
Hahahahahaha ety daka begiiii😅😅🖐️
ukweli ni kwmba joti hjapata mpizani wke yni Badoo mkongwe wa comedy hyo genius
Joti anajua🔥🔥
😂😂😂 I can relate
Ulikua mtunduu😂
Motooo
Hizo socks 😃😃
😂😂😂😂hyo imeendaa hyoo
Joti love from Bujumbura
🤣🤣🤣 nimecheka kwa kweli 🙌
Mkama una mkubali joti naomben like zenu japo 50
JOT🙌🙌🙌