JIONGEZE MWANANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 417

  • @thengejunior8180
    @thengejunior8180 ปีที่แล้ว +27

    Sijawahi kuomba like leo naomba like watu wangu namcheki joti nikiwa Saudi Arabia 🇸🇦 💯💯💯

    • @bryanlimbi326
      @bryanlimbi326 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo like ukishaipata inakusaidia nini , pumbavu wewe..!

  • @stinaismail846
    @stinaismail846 ปีที่แล้ว +20

    Nakukubali sana wangu jot evevy Friday its must to watch your video ❤️❤️😘 team joti gather here ♥️♥️ I am from Kenya 😘 we love you

  • @abuusirleh8196
    @abuusirleh8196 ปีที่แล้ว +65

    Huyu mzee joti usimuache anajua😍

    • @Mimy_keys
      @Mimy_keys ปีที่แล้ว +7

      Anajuwa Kitambo sema wanapendeza sana na Joti 😊🤗👌

    • @dianerditto
      @dianerditto ปีที่แล้ว +1

      Yuko vzr sanaaa

    • @ibrahimadam8623
      @ibrahimadam8623 ปีที่แล้ว +3

      I agree, huyu Mzee is a great actor!

  • @nyembomajid1262
    @nyembomajid1262 ปีที่แล้ว +7

    joti mzee amesema doze doze yaani subiri subiri lakini wewe bado walaa 😂😂😂

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 ปีที่แล้ว +18

    Baba kapitia kula vyuku sehemu nyingine Joti wewe kula Chip's kavu zinakutosha sana🤣🤣🤣.Jot is a best

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 ปีที่แล้ว +79

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Weka kachumbari ,weka tomato ,weka ukwaju , weka majivu , weka na mate wee shika adabu yako. Bro Jotiii hukosei😂😂😂👌🏼👌🏼👌🏼

  • @cadettemwangaza1959
    @cadettemwangaza1959 ปีที่แล้ว +99

    Wakwanza naomba like🎉🎉

  • @marleybyams
    @marleybyams ปีที่แล้ว +4

    Naskiya luwa yangu apo kbs
    Lingala Langues la plus belle Du monde 💥❤️❤️❤️💥💪 Drc mon pay🇨🇩🇨🇩🙏🙏

  • @totoozebingwatshumani4642
    @totoozebingwatshumani4642 ปีที่แล้ว +2

    Naloba Nini eeeeh!!! niseme Nini eeeeh!!!! Tujuane basi ,🇨🇩🇹🇿🇨🇩🇹🇿

  • @Seifbrown
    @Seifbrown ปีที่แล้ว +7

    😅😅😅😅😅joti 😂 na mzee wake 😂😂best 😊❤

  • @lydiacharles5966
    @lydiacharles5966 ปีที่แล้ว +7

    I just laugh like idiot dammm jot just started your own Netflix🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿

  • @kondonassoro26
    @kondonassoro26 ปีที่แล้ว +15

    Joti unatisha hauna mshindani Ze best comedian in Tanzania Br. unajua hahaha

  • @bantkmaca5756
    @bantkmaca5756 ปีที่แล้ว +13

    Joti jamani mbavu zangu ,, yaani kabla kucheck vidio uwa nacheka kichizi, wallah natamani ungekuwa uku Kenya siku Moja ningetaka kukuona live

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +6

    Hehehehe mbona wateja🤣🤣🤣🤣🤣wa chips kavu🤣🤣🤣

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 ปีที่แล้ว +15

    Kama unakubaliii joti ni mwamba nione like 259hapa

    • @ramadimbegu7996
      @ramadimbegu7996 ปีที่แล้ว

      Nimepofya mara nyingi lkn zinapungua like

  • @venturecollen1315
    @venturecollen1315 ปีที่แล้ว +15

    Huyu jamaa anaweza Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mary2615
    @mary2615 ปีที่แล้ว +41

    Absolutely stunning 👋🏻💖👋🏻

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uyu mzee uwagaa na mpendagaa anafurahisa ajaab,,joti bhana mzee mkongwe huyu anagaa baya kabis 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ibrahimuselemani4076
    @ibrahimuselemani4076 ปีที่แล้ว +17

    Best Comedian likes kwako brother 🙏🇹🇿🇹🇿JOTI

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +3

    Nimewahi leo like zenu wadauu wa tunaompenda joti🥰🥰 joti temea na mate🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rag17tv2
    @rag17tv2 ปีที่แล้ว +40

    Kama unamkubali joti tujuane kwa like

  • @AaAa-tb2zw
    @AaAa-tb2zw ปีที่แล้ว +9

    Joti hujawai kuniangusha 🤣🤣🤣...napenda kazi zako 🥰🥰❤️..nakutazama nikiwa Qatar

    • @abdallahibrahim13
      @abdallahibrahim13 ปีที่แล้ว +1

      Qatar wazima huko

    • @AaAa-tb2zw
      @AaAa-tb2zw ปีที่แล้ว

      @@abdallahibrahim13 Alhamdhullilah nipo salama

    • @dianerditto
      @dianerditto ปีที่แล้ว +1

      @@abdallahibrahim13 🤣🤣🤣🤣

  • @Dysmedia254
    @Dysmedia254 ปีที่แล้ว +6

    Joti huyu mzee namkubali sanaaa tunataka uendelee nae

  • @mohamedefranciscoxavier9130
    @mohamedefranciscoxavier9130 ปีที่แล้ว +9

    From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤝

  • @rukiasultan716
    @rukiasultan716 ปีที่แล้ว +3

    Kati ya wale top 100 Nami nipo 🤣🤣🤣🤣🤣naombeni like zenu

  • @paulshibhiti9584
    @paulshibhiti9584 ปีที่แล้ว +3

    Daaaah nimechelewa tena basi hata like 50 naomba

  • @thengejunior8180
    @thengejunior8180 ปีที่แล้ว +5

    Alafu pia tu subscribe kwa wingi joti afikishe 1 million 💪💪💪

  • @mawaidhatv8557
    @mawaidhatv8557 ปีที่แล้ว +18

    Mtu wa 100 like kwangu please

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mzee anajua sana aisee

  • @ishimwemurenziange7609
    @ishimwemurenziange7609 ปีที่แล้ว +1

    Joti wenoma kabisa anae kubali joti anipe like tafadhali 🙏🙏

  • @munirahamid6947
    @munirahamid6947 8 หลายเดือนก่อน +1

    Never disappoint😂

  • @juniorwilliam6338
    @juniorwilliam6338 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂uyu mzee jaman jot is so creative

  • @abdullahalmahruqi7158
    @abdullahalmahruqi7158 ปีที่แล้ว +29

    So happy to see such a legend in this project. Keep it up

  • @sirmwangangi4497
    @sirmwangangi4497 11 หลายเดือนก่อน

    Natazama kutoka hapa Kenya, aisee huyu mzee amefanya hii comedy inoge kabisa,,,

  • @marianakamb-fg7sk
    @marianakamb-fg7sk ปีที่แล้ว

    We umekuja saa ngp mmh wamenileta wasamaria wema hawaapa😂😂😂😂

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto mwehu baba mwehu ni majanga tu 🤣🤣🤣 eti tia na majivu mtoto weka na mate baba koma wee hahaha

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 ปีที่แล้ว

    Joti huyu mzee usimuache ako Sawa maskini wazee wenzake wote waliaga, king majuto, small

  • @princejchassama1776
    @princejchassama1776 ปีที่แล้ว

    im praying for you my brother @mlewateamfis. Mlewa uzidi kufika mbali kupitia kipaji chako

  • @aresdadu
    @aresdadu ปีที่แล้ว +3

    Weka na mate,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 love from Rwanda 🇷🇼

  • @russia1253
    @russia1253 ปีที่แล้ว +2

    Joti huyu mzee anafaa kufanya nae kazi 💯🫶

  • @phoebena4ty
    @phoebena4ty ปีที่แล้ว

    Jmn uyu baba nampenda bure anajua Lingala 😃 kwani anatokea wapi

  • @maulidi_abdalah1351
    @maulidi_abdalah1351 ปีที่แล้ว

    Duuu! nishai anani pigia kiepe kavu kavu leo umeingia chakikike 😂😂😂😂😂😁😁😁

  • @ZainabuHussen-h7d
    @ZainabuHussen-h7d 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂 temea na mate

  • @rebecakigutu
    @rebecakigutu ปีที่แล้ว +1

    Joti umenichekesha et au tuongeze mtaji wa chipsi 🤣🤣🤣... et na hakili za kuvukia barabara 😅😅

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 ปีที่แล้ว +3

    Joti hapa tz huna mpinzani wakitaka wasitaki ww best comedy in tanzania%

  • @ericarugabandana4888
    @ericarugabandana4888 ปีที่แล้ว +1

    Nice joti, lakini kiukweli unapendeza sana sana ukiigiza kama dada kiboga ...kuna namna kwa dada kiboga unavaa uhalisia kabisa...

  • @collinsbella8360
    @collinsbella8360 ปีที่แล้ว +5

    Weka na mate 🔥😂😂😂😂

  • @tiagopeter3634
    @tiagopeter3634 ปีที่แล้ว

    Uyo mzee ni kipaji sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว +2

    Jot mzee huyo mkongwe wa fram usimwache❤❤❤❤🙏🙏🙏

  • @azizally5283
    @azizally5283 ปีที่แล้ว

    Hapa nina akili za kuvukia barabara tu🤣🤣😂😂😂😂

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣Mzee bhn et chakula gan wakat anaona nimaji🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 ปีที่แล้ว +1

    Joti mbwaa kabisa ndomana kamezaliwa pipiroo😂😂🤣🤣🤣

  • @ed3ezekiel388
    @ed3ezekiel388 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah et wamenileta wasamalia wema hao hapo🏃

  • @mosesindiri7562
    @mosesindiri7562 ปีที่แล้ว +2

    Peace love and blessings from me in Kenya

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 ปีที่แล้ว

    Nalobakaning yoyo teuoo 😁

  • @olicej7837
    @olicej7837 ปีที่แล้ว

    Ati weka na mate🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dominickbisharo1661
    @dominickbisharo1661 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka kipindi hivyo mambo nayo, :jailed sanaa group huyu mzee aliigiza igizo akiitwa mashaka

  • @mohamedomarrashid7810
    @mohamedomarrashid7810 ปีที่แล้ว +5

    Nimeskia vibaya vipi naskia ata kwa ben manjiwa🤣🤣🤣🤣

  • @giressentumwa6906
    @giressentumwa6906 ปีที่แล้ว +1

    Sisi wakongomani tunawasapoti sana. Tunawafurahiyaga tukisikiya munaimba nyimbo za lingala

  • @r33c3r3
    @r33c3r3 ปีที่แล้ว +3

    Wapi Sopa?
    Wapi Kanyinyi?
    Hawa jamaa wanachangamsha sana shows...

    • @ummyirembe6145
      @ummyirembe6145 ปีที่แล้ว

      Joti anaboa sana tunamtaka kanyinyi

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys ปีที่แล้ว +3

    Eeh Hamna Mbuzi 😜😩 Mme FAIL 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashatybella8641
    @ashatybella8641 ปีที่แล้ว

    Babu we m congo bana 😂😂😂😂😂

  • @AbdulhakimAbdala-qc5pj
    @AbdulhakimAbdala-qc5pj ปีที่แล้ว

    Aliefaham dozee dozeee

  • @mustapherkassimu9202
    @mustapherkassimu9202 ปีที่แล้ว +4

    😂Temea na mate..we shika Adabu yako

  • @hemmedyrizz7449
    @hemmedyrizz7449 ปีที่แล้ว

    Kanileta wasamaria wema.😁😂😀😂😂

  • @innocentmushi4675
    @innocentmushi4675 ปีที่แล้ว

    Unajua Babu kibongo bongo ww number 1

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 ปีที่แล้ว

    Mzee namkubali sana

  • @katembomuhiwa9956
    @katembomuhiwa9956 ปีที่แล้ว

    Kkkkkkkkkkkkkk jamani nafurahi kusiya lingala mimi ni mkongomani

  • @rahmahussen4030
    @rahmahussen4030 ปีที่แล้ว +1

    Yote tisa kumi ivyo vichipsi vimeni toa udenda🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @abdallahibrahim13
      @abdallahibrahim13 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 nitakutumia kama vimekutoa udenda

  • @Son_TV_Online
    @Son_TV_Online ปีที่แล้ว +7

    Nguvu moja twende sawa 💪😂

  • @MaulidiAlly-d1i
    @MaulidiAlly-d1i หลายเดือนก่อน

    Jamani baba umetisha

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu ปีที่แล้ว +2

    Wa 90 Mimi nimechelewa
    Nataka like kwa wote wenye roho mbaya wenye roho nzuri sitaki like zenu🙏

  • @peterstanslaus2477
    @peterstanslaus2477 ปีที่แล้ว +3

    Joti jamani 😂😂😂😂 eti hatujamchafua mtu

  • @TheZepporah
    @TheZepporah ปีที่แล้ว

    Mzeee mjanja sana kwa kweli

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 ปีที่แล้ว

    MBAVU yupo WAP yupo vzr Sana mnamsaau sana

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 ปีที่แล้ว

    joti mshenzi amempiga bonge la dole ktk kitovu baba ake 😁😁😁😁

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂ali iyo chips kavu je mngeagiza na iyo nyama ingekuwaje

  • @Yves61
    @Yves61 ปีที่แล้ว

    Mzee mbembe noma xana

  • @IddyJuma-q4k
    @IddyJuma-q4k 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubari sana jotii

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 ปีที่แล้ว +4

    Joti na huyo mzee metisha 🤣🤣🤣

  • @eliyajohn4388
    @eliyajohn4388 9 หลายเดือนก่อน

    Doze doze 😂😂😂😂

  • @isackmabanza4937
    @isackmabanza4937 ปีที่แล้ว +3

    Wa kwanza leo naomba like zenu 😅😅😅😅

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 ปีที่แล้ว

    Joti Leo mzee wamjini kakuwezaa

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 ปีที่แล้ว

    Wote wapo vizuri sana sana

  • @noelydembe5040
    @noelydembe5040 ปีที่แล้ว +3

    Joti ur the best naombeni like jaman

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mzee anajua sana 😄😄😄😄

  • @meshackaloyce9662
    @meshackaloyce9662 ปีที่แล้ว +3

    Jott jamani hahahahaha 🤣🤣

  • @BenMtweve4
    @BenMtweve4 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye doze doze🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 ปีที่แล้ว

    Hii tabia ya kuomba likes Sasa imekuwa ugonjwa. Mimi sitaki mtu alike comment yangu. Kama nawe unakerwa na wanaoomba like, ebu gonga like hapa

  • @ridhiwanikhalifa9036
    @ridhiwanikhalifa9036 ปีที่แล้ว +1

    baba anasema wewe haukusoma code😂😂

  • @veroslaa1041
    @veroslaa1041 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha aaaaaaaaaa jamani jamani joti

  • @AshulaSelemani
    @AshulaSelemani ปีที่แล้ว

    Pamban broo unaweza

  • @yohanatulito1182
    @yohanatulito1182 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂 Jiongeze hahahahaha

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 ปีที่แล้ว +6

    Baba una mikono michafu 😂

  • @ramadhankhamis2825
    @ramadhankhamis2825 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwanza ngoma like zenu wadau

  • @eliaskavishe2762
    @eliaskavishe2762 ปีที่แล้ว

    Mpeni maua yakeee😂😂😂😂

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 ปีที่แล้ว +2

    Et wamenileta wasamalia wema🤣🤣🤣😂😂😂

  • @slimpeewee1426
    @slimpeewee1426 ปีที่แล้ว +1

    hii inafaa kwa watoto wasumbufu

  • @teacherkaligodottonjige
    @teacherkaligodottonjige ปีที่แล้ว

    Nishai kazi nzuri

  • @babaswaggaboy2442
    @babaswaggaboy2442 ปีที่แล้ว

    Nimekubali mwimbo 😂😂 atasielewi ❤❤