Hakika nafasi kungali...Yesu Kristo ameteseka kwa ajili yetu wapendwa, tufanye matengenezo ya busara mioyoni tusije tukapotea mwisho wa safari. Barikiweni watumishi kwa nyimbo nzuri.🙏🙏🙏
Wimbo mzuri, maudhui mazuri ujumbe mzuri, hongereni nashauri kinanda kingepigwa live nahisi wimbo ungetoka mtamu zaid ya hapa beat ina vitu vingi imeharibu wimbo
Ujumbe mzuri. Mungu awabariki 🙏
Aminaa... My mentor choir ever.
Tafuta uso wa Bwana kungali mapema hujachelewa. Mbarikiwe na Mungu aendelee kuwanyenyekeza miguuni pake siku zote.
Barikiweni, next kambi la Mbinguni
Mungu awabariki Sana wapendwa.
Aminaaaaaaa na aminaa tena....❤❤❤
Thank you for this
7777777❤
KAZI nzuri mno
Mungu azidi kuwaongoza
Mbarikiwe sana kurasin nawapenda
Amina saaaanaaaaa❤
Wimbo huuu kwa kweli
Happy preparation sabbath day mmenibariki sana wana kurasin
On 🔥 amen,kazi nzuri,hatuboreki,mnaifanya dunia kuwa na amani Kama hivi,nasikiliza kurasini.
Mungu akubariki sana
Ahsante sana kurasini
Thank you that song is sung well
Mungu Bado ameshikilia, pepo zisivume pande zote.🙏
Amina. We Mungu mjalie mja wako Gipson Ngulu afya njema ya mguu wake.
Nikiwa mombasa Kenya 🇰🇪 good bless u all wimbo mtamu kweli kweli
Amina.Kweli Mungu bado ameshikilia pepo.May God bless all of you abundantly.
Huuu mzigo balaa lingine daaa
Amina Amina Amina
Waoooh…Mwenyezi Mungu na aendelee kuwapa Maisha marefu…hakika Mnanibariki sana Kurasini❤
Amina! May the Almighty bless your ministry. Naomba maandishi ya utafisili yawe makubwa.
Amina// God Bless You
❤❤❤ Aminaaa
Mungu atukuzwe; Hongereni kwa Wimbo mzuri
Ujumbe mzuri sanaaaa Mungu azidi kuwabarikii
Nawapenda sana kurasini kwaya!! Hakika amjawai chuja!! Hakika nafarijiwa na nina barikiwa sana
Praise be to GOD, Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri mnayoifanya.
Amina. Mbarikiwe
Mbarikiwe sana,Bwana aendelee kuwategemeza kwa ajili ya kazi yake,
Amina. Mbarikiwe sana wapendwa. May the Lord keep and hold you always.
Mbarikiwe watu wa Mungu. Good job
Karibuni mbarikiwe kwa wimbo mzurii
Tafuta uso wa Bwana
such a song
Tafuta uso wa Bwana kungali Mapema
Asante sana kwa wimbo huu uliobeba ujumbe mzito
Amen 🙏🙏🙏🙏
Mzidi Kubarikiwa Na Mwenyezi Mungu Wa Mbinguni Kwa Kazi Kubwa Mnayoifanya Shambani Mwake
Thanks for reminding me about the judgement day
God bless kurasini choir and team biblos.they are a blessing to me.but I still moan mwalimu kebaso😢
Tunawaombea
Amina
Amen Amen 🙏 am blessed
Hakika nafasi kungali...Yesu Kristo ameteseka kwa ajili yetu wapendwa, tufanye matengenezo ya busara mioyoni tusije tukapotea mwisho wa safari. Barikiweni watumishi kwa nyimbo nzuri.🙏🙏🙏
Amen
Back to back new track 👏👏
This is great, God bless you
Ameen
Happy sabbath be blessed 🙌 kurasini
Wooow goood music
AMINA
Nce song
Wimbo mzuri, maudhui mazuri ujumbe mzuri, hongereni nashauri kinanda kingepigwa live nahisi wimbo ungetoka mtamu zaid ya hapa beat ina vitu vingi imeharibu wimbo
Maana ya kutengeneza beat ni ili kuwe na vitu vingi ambavyo kwenye live huwezi viweka
Ahsante kwa maoni tumefanya na profesionals naamini kila kitu kilizingatiwa. arikiwa
Nawapenda sana kurasini mungu azidi kuwainua zaidi
Bwana awabariki sana ....kila mtu mbele za Mungu
Amen, Glory be unto the Most High🙏🙏
Nafarijika moyoni. Asante kwa nyimbo tamu
Be blessed men of God,
🎉🎸🎸🎸📣📣
Nasikia kuna watu wamejitoa@ kwamba wanafikili wanakomesha kumbe kazi ya Mungu inafanywa na waliyo tayari❤ mubarikiwe wana wa Mungu
Still going strong
BWANA ATUKUZWE SANA, NA ATUSAIDIE KUKALI KABLA HATUJACHELEWA
Waooooooo
Wow! What a wonderful song. GOD bless you all
Blessed and highly favoured
God bless you kurasini choir this is a very powerful song 🎵 Aminaaaa
Good Kurasini choir. ❤❤ From Kenya
Mungu atubariki kwa kazi nzuri
Happy sabbath...Amen..watching from Jetview SDA
Happy Sabbath
Barikiweni MUNGU AWAPE NGUVU MNANIONGOA KILA IITWAYO LEO
Amen and all the glory to our Almighty God
Be blessed always❤
Mungu atusaidie kufanya matengenezo Kila Mmoja wetu
Kazi ni njema mbarikiwe, kwa kubariki watakatifu wa BWANA
Amen. Kurasini anytime. Looking great 👍
Aminaaa Nimebarikiwa kurasini nawapenda sana
Now here is kurasini! We give Glory to God
To God be the glory
Always a blessing to me 🙏🙏Nawami sana jamani
Amen tutafteni kwa bidii muda hautoshi
Amen , Glory be to God
Well presentation. " From Jamuhuri International show ground Ngong Rd Nairobi Kenya.
Always a blessing to me
Barikiweni Wana wa Mungu.
Bwana awabariki sanaaa, hii mmejaza
❤ always My best. Sermon on it's own
Mbarikiwe na Bwana wapendwa.
Be blessed 🙏
Be blessed
Nawapenda Sana.God bless you immensely
Mbarikiwe sana Kurasini
Asantee yesu kwa wimbo huu
Mungu awabarik muendelee kufanya makubwa
Message ❤❤❤❤
Video ????????
Aweeeeee, I just love you. Enjoying the music here❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Happy Sabbath, Nimrod Adawo and his family watching from Mombasa-Kenya
Congratulations to the Kurasini sda choir family ❤
Maombi yawe nguzo kuu nawapenda saana , kungali mapema tumtafute
Amen Amen keep the fire burning
Amen,,the song is insightful...