Yaaani hakunaga kwenu wimbo mbaya, halafu mbaendaga na nyakati, sura mpya mpya zenye mvuto huwa zinapatikana kurasini, na nyimbo zenu zenu zenye muanzo wenu wenu. Huku ndiko kuenzi waanzilishi hata kama hawapo. Mbarikiwe sana.
Kurasini nawapenda buree jamani hiyo song ya gombo la isaya naweza skiliza siku nzima AF sichoki Kaz nzur nabarikiwa Sana na huduma yenu nawapenda ❤️❤️
Aminaaaa kubwaa. Mm n muanglican lkn uniambii kitu na hii kwaya jaman,wananipa nguvu mnoo na nyimbo zao,huu wimboo ndio nitakaoingia nao ukumbin cku ya ndoa ya kijana wng,Mungu wa mbinguni anipe uzima na afya
Thanks Kurasini SDA Choir. You have ministered personally to me for the last 20 years ever since I became an SDA. God bless your ministry and all Glory to Him🙏🏿
Nimefika uku nikachanganyikiwa kidogo kumbe kurasini ziko branches mbili ii ni kurasini SDA Choir original na ile ya Kurasini New Biblos Singers na wakati wa kibaso nlikua naona izo faces hapa
Yaaani hakunaga kwenu wimbo mbaya, halafu mbaendaga na nyakati, sura mpya mpya zenye mvuto huwa zinapatikana kurasini, na nyimbo zenu zenu zenye muanzo wenu wenu. Huku ndiko kuenzi waanzilishi hata kama hawapo. Mbarikiwe sana.
Kudos l thought kibaso alifariki na kurasini choir! Asanteni
HAKIKA NI FURAHA ILIYOJE KUSIKILIZA WIMBO HUU.... BIG UP KURASINI
Kazi nzuri sana,malizeni album yote tupate habari njema zaidi.
Kazi safi baraka tele in the foot steps of mwalimu kibaso
Amina Amina nyimbo zenu ujumbe mwafaka barikiwa saana wana kurasini
Kurasini nawapenda buree jamani hiyo song ya gombo la isaya naweza skiliza siku nzima AF sichoki Kaz nzur nabarikiwa Sana na huduma yenu nawapenda ❤️❤️
Mmeachilia mkwaju mwingine siyo!,Asanteni Sana!
Kwakweli hata mm condoki nyumban mwa Bwana mbarikiwe Sana kwa Kaz ya baba.
Kurasini hizo nywele za wanawake zinaonesha uhalisia wa Waadventista Mungu awabariki wasiwepo wa kuanzisha mioto migeni.
Gombo la Isaya lina somwa pale...
Amen amen amen nimebarikiwa sana
Ameen mmenibariki sana watu was baba
Thanks for bouncing back, still waiting for more. Much blessings
Amina Mungu Awabariki Awazidishiye
Kwaya yangu pendwa kabisa
I love you so much. Blessings ❤
Kazi nzuri Wana SDA Kurasini. Watching from Washingyon DC.
Bwana asema usowako utakwenda pamoja nami, nami nitakupa raha. Mbarikiwe kwa injili yakuvutia na yenye kubariki.
Amen, yani nyinyi ni mbaraka! Gombo la Isaya linasomwa pale
Mnanibariki mno
Amen
Amina great music be blessed
Mnaimba vizuri sana,sauti nzuri,ila mmeanza lini kucheza?? Kumbukeni mapito ya zamani wakati tuko pamoja Kurasini SDA choir
Mungu awabariki wapendwa
Amen amen nawapenda sana
Aminaaaa kubwaa. Mm n muanglican lkn uniambii kitu na hii kwaya jaman,wananipa nguvu mnoo na nyimbo zao,huu wimboo ndio nitakaoingia nao ukumbin cku ya ndoa ya kijana wng,Mungu wa mbinguni anipe uzima na afya
Oooh! Hats mie siondoki nyumbani mwa Bwana
Thanks Kurasini SDA Choir. You have ministered personally to me for the last 20 years ever since I became an SDA.
God bless your ministry and all Glory to Him🙏🏿
Kwaya yangu pendwa. Thanks for the best item
Kwaya bado ipo imara, sifa kwa Yehovah @Joseph Oola
Nilikua namtafuta Joyce nimekuona n some old members still progressing from the singing mwalimu is alive Kenya tunawapenda
Wimbo mzuri sana napata amani kilaninapo usikiza mbarikuwe sana
Amen mubarikiwe
Kazi nzuri Mungu awabariki sana, baki hekaluni Gombo la Isaya linasomwa.
Nimefurahi kumuona Rita
Mnanibariki sana
Aminaaaa ujumbe mzuri mungu awabariki
Kazi Nzuri Mwenyezi Mungu Azidi Kuwa Bariki
Barikiweni Sana
Nyumbani mwa baba siondoki kamwee moyoni ni Amani🙏👏
AMINA.Mbarikiwe sana watumishi.Blessing my soul all through, each and every rendition.Asanteni sana.
amen amen amen
Mungu awabariki Sana napenda nyimbo zenu
Happy Sabbath it's beautiful listening to powerful song ...God bless Kurasini choir
Aminaaa kurasini my ever greatest inspiration
Good music
Amina nilisubilia hii kwa hamu, Mungu ibariki kurasini
Amen.Mbarikiwe watumishi wa Baba
Happy to see madam Rita
Sifa na Utukufu ziremjelee Mwenyezi Mungu. Hongereni kwa kazi nzuri ya utume wapendwa.
Good luck
Mbarikiwe
Happy Sabbath
Nice to see my personal persons @Neylin and Ann doing it 💗
Great piece..it calm me a lot
Haya Ndo Mambo Sasa!
Kurasini mbarikiwe saaaaaaaaaana. The best choir since zamaniiiii to present 🎉😊❤
Amina, sabato njema Wana na binti za Mungu
Kazi iendelee 🇹🇿🙏🏿🥰
Mbarikiwe sana kazi nzuri
Amen,from kenya
Kila siku nautazama wimbo huu. Gombe la Isaya....💪🔥🔥🔥🔥
Mungu awabariki kwa kazi nzuri sana.
Amina!!!
Gombo la isaya
Wimbo Mzuri sana
MUNGU awabariki mno
What a nice song. Kurasini the best choir
We r here to stay. Nyumba Mwa Baba hatuondoki Kamwe 🙌
Amena
Kurasin haijawah chuj sauti hongereni❤️
God bless
Ameniii
Mmbarikiwee
Amina
Kazi mzuri sana
Wonderful masterpiece here. Hongereni
Missing the one kibaso
Be blessed
Ameeeeen
Vous êtes vraiment génial et que le seigneur vous bénisse richement en Jésus Christ 🙏🙏🙏🙏 je suis Au Congo RDC
Hongera sanaaaaa
Will there be any other choir like kurasini...
Amen.
amina
Be blessed i like your songs
Injili tamu hii🥰🥰🥰
I'm very happy to see Kurasini back and Stronger.Amen.
Amina
Good work..,...Mungu awabariki sana!
Amen amen amen the message is home and I am blessed thank you for the beautiful piece God bless you in abundance
Amen🙏🏼... One of the Best choir of all times 🥰❤️❤️🙏🏼🕊
Amen 🙏 keep it up
Woow Wonderful song I am blessed
Ooh so wonderful! Gombo la Isaya !!!! Be blessed, always great to see Gibson Nguru!
Nimefika uku nikachanganyikiwa kidogo kumbe kurasini ziko branches mbili ii ni kurasini SDA Choir original na ile ya Kurasini New Biblos Singers na wakati wa kibaso nlikua naona izo faces hapa
Ooooh hata Mimi nilikua nimeanza kuchanganyikiwa nimeelewa
My best song
Happy Sabbath
❤️❤️❤️
Amen. This the original kurasini that i knew. To God be the glory. i can mwalimu's touch in you
Amen and Amen be blessed for Gombo la Isaya
What a song 😍😍😍
🙏🙏🙏 AMEN&AMEN
Mnapendeza sana be blessed and have a peaceful Sabbath. Watching you from Saudi Arabia.
Continue following us in this page,you will being blessed .
Continue following us in this page,you will being blessed .
God bless you abundantly,to God be the glory for the new item. I love you so much!