Ni huzuni kutazama Kanda hii alipo Mwalimu kibaso lakini ni imani na matumaini kwamba tutakutana Paradiso, sote pasipo na huzuni wala kifo, milele na hata milele....
Around 20 Years listening your songs from Burundi. God bless you so much. You dress code is "evangelism by itself" , you sing to teach not to entertain or just make money. I love You so much!
Mbarikiwe sana waanjilishaji kwa njia ya uimbaji....Mungu azidi kuwapa neema na mibaraka tele kupitia nyimbo zenu zinatukumbusha ukuu wa kristo pale msalabani..
Listening to latest compositions for Kibaso..all points to his readiness to meet his creator.. Fare thee well mtumishi You fought a good fight and finished the race
I grew up knowing Kurasini. My dream was that I would meet you all singing Najivunia Yesu while the great humble Kibaso leading. Unfortunately, his time came so early.... Love Kurasini, never stop your singing spirits and the discipline in it. God bless you all. May we meet in paradiso...
Amina, Mungu awabariki Poleni pia kwa kuondokewa na Mwl Kibaso Mungu aendelee kuwa faraja ya pekee kwenu na kwa Familia yake na Familia ya music wa injili
So sad to see mr Kibaso singing may he rest in peace and Thanks to Almighty God who sent Jesus to die for us. For God so loved the world, that he gave his only son, that whoever believes in him should not perish but have eternal life.John 3:16🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💓🥰😍💖
Amen amen amen amen amen amen
Ni huzuni kutazama Kanda hii alipo Mwalimu kibaso lakini ni imani na matumaini kwamba tutakutana Paradiso, sote pasipo na huzuni wala kifo, milele na hata milele....
Jitahidini msiige mihemko na midundo ya kisasa,,,,tunawategemea mno kurasini kwa nidhamu ya uimbaji,
Ujumbe ulioko kwenye wimbo huu ni nzito sana. Ni ombi langu, mioyo yetu imkubali Yesu Kristo kwa maana alitupenda sana.
Mwalimu kebaso mpaka Yesu arudi
One of the greatest songs with pure art, touching message, and so emotional. I always have the song on repeat mode. May God bless you 🙏
Nawaombea Mungu ainue Roho ya Kibaso maradufu,,,,songeni mbele waungwana wa Baba!!!
My favourite song of All time hasa kuhusu upendo wa Yesu kwetu, mubarikiwe sana. Injili isonge mbele kwa Nguvu za Yesu
Nyimbo tamu sana...play it all time...RIp mwalimu kibaso
WanaKurasini kwaya wote Mungu wetu awasaidie. Asanteni kwa nyimbo tamu. Nipo Kwenye Njia asubuhi huu.
Wasabato mpo juu sana kiuimbaji
Bwana Mungu awabariki sana, awape ushujaa zaidi. Nawapenda sana.
Pumzika kwa amani mwal kibaso tutaonana asubuhi njema
Huwa nawafuatilia Kwa karibu sana.hakika mnatisha
mbarikiwe wana wa na binti za Mungu
Mungu azidi kuwainua nawapenda sanaaaa
Injili imehubiriwa ktk huu wimbo
Kurasini kiukweli mnatisha kwanza mnazingatia maadili hakuna mtu aliyesuka wote mko smart Mungu awabariki sana
Nahisi hii ni moja ya kwaya chache zilizobaki bila kuiga mitindo ya kidunia ..proud Adventist choir😍 be blessed
Vp ww umebaki kama zamani au ndo tunatoa sifa kwako hku Sisi tukiwa tumeshapoteana🤔🤔🤔
Mungu wetu mwema, Mungu wa miujiza tenda kwa Mtumishi wako Kibaso..... MGUSE BWANA APONE!
Siku zote mtabaki kuwa choir bora kwangu na wakristo wote wanaopenda kusikiliza ujumbe na si makelele na midundo🙏
Barikiwa!
@@kurasinisdachoir keep on spreading the message to the world
Exactly
Mimi wa 16 ku-comment! Barikiweni wana na binti za Mungu, muwe na sabato njema!
Oh! God rest in peace brother Kibaso
Amani ya Bwana,ikamuangazie nuru ya MILELE,,Amina
Sauti tamu, hongereni wana kurasini
Around 20 Years listening your songs from Burundi. God bless you so much. You dress code is "evangelism by itself" , you sing to teach not to entertain or just make money. I love You so much!
Mungu awaongoze na kuwaongezea uwezo zaidi ya hapo mlipofikia
Joyce Idafa unasauti ubarikiwe frm msa kenya
kuimba katika roho na kweli kunapelea nafsi kuinuliwa na kukutana na uwepo wa Mungu...
Wimbo huu unagusa moyo,nimejaribu kuzuia MACHOZI lakini nikashindwa.Mungu awabariki kwa ujumbe huu.
Wimbo huu ulinitia kwenye mizani nikitafakari juu ya ujio wa Mungu. Mimi ni mavumbi tu.
poleni kanisa la kurasini kwa msiba huu mkubwa.wa Mwl kibaso!!!tutaonana ile Asubuhi njema
I love this piece of music
Naiskiza Mara kwa Mara
Pumzika kwa Amani Mwalim kibaso
Your the best kwaya in my christian life.God bless you Kurasini SDA
Poleni sana wana Choir kwa kumpoteza mwezenu
Wimbo mzuri Sana Mungu aendelee kuwatia Nguvu muendelee kutuimbia nyimbo nzuri.
Mbarikiwe sana waanjilishaji kwa njia ya uimbaji....Mungu azidi kuwapa neema na mibaraka tele kupitia nyimbo zenu zinatukumbusha ukuu wa kristo pale msalabani..
Barikiwa mpendwa!
barikiwa sd choire..love u so much❤️
May God bless you kurasini
Amen and powerful message
Really good song I love it ❤❤❤
Mungu awabariki sana wapendwa
Huu wimbo km vile ulikuwa unamuaga mwalimu samsoni kibaso , tuonane asbh njema mwalimu kibaso
Hongeren sana
Mungu wa mbinguni awajalie afya njema ndg zang tuzid kumwinua Bwana
Amen. Mbarikiwe sana
Yesu kabeba msalaba
huu wimbo umenigusa moyo kabisa, kila siku najipata nikiisikiliza na machozi yakinidondoka
Mungu azidi kuwabariki kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya
Amina
Mungu awabariki na awaongoze
wimbo unachoma moyo sana.
Kibaso hunitoki akilin 😭😭😭😭😭
This is one of my all time song. I listen to it like 5 times a day
Amen
nahitaji wimbo usemao ninaye rafiki wa dhamani anipendaye tena mlinzi mwema
Listening to latest compositions for Kibaso..all points to his readiness to meet his creator..
Fare thee well mtumishi
You fought a good fight and finished the race
Ni mzuri Sana
Mbarikiwe sana kurasini kwaya
Amina
Deep music, thank you Jesus for dying to SAVE me.
So many Choirs have come and gone but Kurasini is still going strong. And have never lost course like the others.
Amen 🙏
May the soul of mwalimu rest as he awaits for that day when we shall not know death again
Comrade KB
I grew up knowing Kurasini.
My dream was that I would meet you all singing Najivunia Yesu while the great humble Kibaso leading. Unfortunately, his time came so early....
Love Kurasini, never stop your singing spirits and the discipline in it. God bless you all. May we meet in paradiso...
Mbarikiwe Sana kurasini sda choir. Mungu azid kuwainua kwa ajili ya utukufu wa jina lake
Amina..
I love this song! I listen to it more than 5 times a day.Habari njema ni kwamba neema ni bure kwetu sote..... we kenyans loves you
Likewise
Nilikua nausubiri huu wimbo...mbarikiwe Kurasini
Barikiwa..
Mbarikiwe sana na sabato njema kwenu
Ahsante, Sabato njema na kwako pia
Ooh my God,sda sings well
Nawapenda sana. Mungu awabariki wote
Asante sana
Aminaaaaaaa
Mbarikiwe wapendwa ktk imani
Amina
Je loue l'Éternel Dieu. Soyez toi bénis pour cette mélodie incroyable
Pumzika kwa Amani Samson. Ulimtumikia Mungu nenda salama!
Mbarikiwe .. neema juu yetu kweli
Akumbukwe Sana Mwl KIBASO 😭😭😭😭😭
RIP mwalimu Kebasu...
Heavenly bliss we shall meet.....
My heart aches....Death stings! Thanks to Jesus who has conquered death for us. May God uphold Kurasini choir
Tunapo tafakari njia kuu ya kalvary tuchukue muda kidogo tumuombee sir Kibaso
Barikiwa..
Nimeumia Sana😭
yan nikimwona mr kibaso duuu juzjuz tu tulikuwanae!
Wow! Kurasani choir nawapenda saana. Huu wimbo umenigusa saanaaaa mbarikiwe saaana
Amina
Kweheri Cheupeee...lala salama.
So painful watching Mwalimu Kibaso 😭. We shall dearly miss him but his legacy and love for God will keep us going. Tutaonana tena 🙏🏾
Habari njema ni kwamba neema ni bure kwetu sote
I can't stop playing this song,,reminds me how Christ delivered us
Mbarikiwe
Wonderful songs we hope some days we will meet him when he appears in heaven
Nimerudi kuangalia huu wimbo baada ya Mwalimu Kibaso kutuaga leo😥
Mwalimu kibaso we will miss you RIP
Blessed indeed
Amina, Mungu awabariki
Poleni pia kwa kuondokewa na Mwl Kibaso Mungu aendelee kuwa faraja ya pekee kwenu na kwa Familia yake na Familia ya music wa injili
Ooow am touched
Amen Amen
Kurasini my best choir.. Today a sad day to have lost mwalimu Kebaso. It should be known that we will miss you brother. Meet you in the morning.
Our thoughts and prayers are with the family and friends of mwalimu Kebaso.
May his soul rest in peace
Rest in paradiso sir kibaso we wll meet again in new bright mornng
He was humble and became obedient to death even the death on the cross. Nimekombolewa na damu ya Yesu. Thank you wanakwaya. Love you all.
We love you
My all time message. Blessed voices my prayer is we all meet in heaven serving our maker with this beautiful voices❤️🙏🙏
R.i.p KIBASO 😭so sad
Wow mice solowing apo kwa Joy na uyo harmonizer wa tenor so blessing
Asanteni ndugu zangu kwa wimbo huu, nawapenda saaaana
So sad to see mr Kibaso singing may he rest in peace and Thanks to Almighty God who sent Jesus to die for us. For God so loved the world, that he gave his only son, that whoever believes in him should not perish but have eternal life.John 3:16🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💓🥰😍💖