SAFU MPYA WA UONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA 2024-2027,RAIS,MAKAMU NA KATIBU MKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 34

  • @matiredms917
    @matiredms917 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni Mlutheri lakini namshukuru Mungu sana kwa ajili ya Kanisa Katoliki kwa ushujaa ujasiri na uthubutu wa kuwaambia Watawala ukweli kinyume na uongozi wa kilutheri ambao unakubali ubabe wa Serikali hii dhalimu dhidi ya Wananchi kwa madai eti Askofu hakulelewa kueleza Serikali ukweli wa hali mbaya ya wananchi. Mungu awabariki sana TEC.

  • @PriscaGasper-fu6ky
    @PriscaGasper-fu6ky 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu bariki uongoz wa TEC Mungu bariki kanisa katoliki

  • @matiredms917
    @matiredms917 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni TEC kwa kujipanga upya ili kutetea Wanyonge dhidi ya huu Utawala uliokengeuka na ovu.

  • @KennedyChaula-ny9mu
    @KennedyChaula-ny9mu 6 หลายเดือนก่อน

    Asante MUNGU kwawingi wa Baraka unazotumiminia

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awalinde Baba zetu wa Kiroho na awajalie Afya ya mwili na Roho 🙏🙏

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Bariki Kanisa lako Catholic na viongongozi wake pamoja nawa umini wake

  • @alexiamatewa6274
    @alexiamatewa6274 6 หลายเดือนก่อน

    hongera sana Baba Askofu wetu wa Jimbo la Mpanda Askofu Euzebius Nzigirwa Kwa kuchaguliwa kuwa makamu wa Raisi wa TEC Tanzania

  • @lucimwica647
    @lucimwica647 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabarki na awaongoze katika utume,

  • @jonaskweyamba9747
    @jonaskweyamba9747 7 หลายเดือนก่อน +3

    Najivunia kuwa Mkatoliki, Nawaombea wote viongozi wa Balaza la Maaskofu TEC

  • @jenisiamlandali-e2y
    @jenisiamlandali-e2y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awasaidie sana ❤

  • @gabrielsabudema-uw3sd
    @gabrielsabudema-uw3sd 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante, mababa askofu

  • @yungeelias9339
    @yungeelias9339 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu awe kiongozi wenu Mkuu, Mkono wake uwe juu yenu

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu awaangazie na kuwasimami katika Utume wenu na majukumu yake🙏🙏🙏

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu undelea kuliongoza kanisa

  • @albertmaneno
    @albertmaneno 7 หลายเดือนก่อน +1

    Majukumu mema Maaskofu wetu

  • @jumannebasesa1100
    @jumannebasesa1100 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awasimamie viongozi wetu

  • @mariamtepa1740
    @mariamtepa1740 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pigeni Moyo konde viongozi wetu na Mungu awajalie ujasiri wa kulilinda kanisa lake. Hizi mbambamba zisiwatishe

  • @jameskagulu4228
    @jameskagulu4228 6 หลายเดือนก่อน

    Najivunia kuwa mkatoliki

  • @workmantiktok
    @workmantiktok 7 หลายเดือนก่อน +1

    mnajifanya watu kumbe ni zaidi ya shetani

  • @ezrashauri414
    @ezrashauri414 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi na sala

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 7 หลายเดือนก่อน

    Mkaue Albino nanyinyi

    • @philbertrobert1084
      @philbertrobert1084 7 หลายเดือนก่อน

      Na wewe kalawiti watoto kama ulivyozoea

    • @paulrwechungura4284
      @paulrwechungura4284 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni wa vibanda ,wala hamna kanisa ,kanisa ni moja tu katoliki

    • @philipinaawe736
      @philipinaawe736 6 หลายเดือนก่อน

      Km unavyofanyaga?

    • @philipinaawe736
      @philipinaawe736 6 หลายเดือนก่อน

      Hongereni sana viongozi wetu. Mungu awabariki sana

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 7 หลายเดือนก่อน

    Mnajificha kwenye kimvu cha dini ila siyo ninyi mnamakubwa ya kishetani utabiri wa yohana uko sawa mnakiti cha shetani vatcan

    • @GeraldMichael-tg4zd
      @GeraldMichael-tg4zd 7 หลายเดือนก่อน

      Unajielewa unachokiongea wewe au umepagawa na Imani yako ya kishetani huko

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 7 หลายเดือนก่อน

      Ohoooooo😂😂😂😂😂😂😂

    • @philbertrobert1084
      @philbertrobert1084 7 หลายเดือนก่อน

      Yaani wewe kwenye page ya kanisa la watu unafanya Nini? Kitu usichokipenda na unaendelea kukifuatilia tafsiri yake ni kwamba una msongo unahitaji tiba.
      Chukua hatua msongo unaua

    • @andrewdukho8795
      @andrewdukho8795 7 หลายเดือนก่อน +1

      Majini yamempanda huyo

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 7 หลายเดือนก่อน

      Na wewe unakiti kipi kwani umeyashinda yote ya Duniani hapo Tu umetenda dhambi ya kuhukumu