MATAPELI WAIBUKA KUMTAPELI MFANYABIASHARA WA KARIAKOO WAKITUMIA KIVULI CHA WAZIRI MKUU AWABAINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • MATAPELI WAIBUKA KUMTAPELI MFANYABIASHARA WA KARIAKOO WAKITUMIA KIVULI CHA WAZIRI MKUU AWABAINI
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
    🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 189

  • @malkiamariamvuga3342
    @malkiamariamvuga3342 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana kakaangu MUNGU akupe ulinzi naamini kwa uwezo wake MUNGU utashinda

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 2 ปีที่แล้ว +7

    Pole mzee Allah qarim, Asbbuna Allah waallah nemalwaqil 🤲🤲

  • @rosenyato8729
    @rosenyato8729 2 ปีที่แล้ว +10

    Matapeli hawakujui wewe kuwa hudanganyiki. Ushapitia mengi. Pole sana

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 6 หลายเดือนก่อน +1

    M/mungu ailaze royo yako pema TRA wameamua kukupa deni la milion 500,000,000 mpaka kuamua kujitoa uhai pole sana kaka kiukweli imeniuma hasa pale ulipokua unapita nyumabi unaonga na Baba

  • @MamaMolin-oq7pz
    @MamaMolin-oq7pz ปีที่แล้ว +1

    Najua unamauvivu wa peds zako ila uku uliko fikia achana nayotuu apo akuna msaada wakuutegemea babaangu muambe mungu nawalio wema pia tunakuombea kwamungu akiako utalipwa AMINA

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 2 ปีที่แล้ว +5

    Mzee wangu nakushauri achana na hizo hela ,Mungu atakulipa ,naona jambo kubwa sana laja mbele yako,take care my dad!

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaee

    • @jasminegabriel4247
      @jasminegabriel4247 2 ปีที่แล้ว +1

      Una jua pesa ina tafutwaje wewe?

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว

      @@jasminegabriel4247 watamuua huyo asipokuwa makini.tangu 2019 jpm yupo hai anapambana hajapata hata senti unadhani utawala huu atafanikiwa?😎

    • @emmadominic9601
      @emmadominic9601 ปีที่แล้ว

      Hapana,nakataa kabisa,wacha mzee apambane,aifie haki yake,mbona ktk vitabu vya dini watu waliifia imani yao?Na sasa ni watakatifu huko Mbinguni?!

    • @emmadominic9601
      @emmadominic9601 ปีที่แล้ว

      @@ahz6907 Bro.simple arithmetic answer nikwamba,waliomdhulumu haki huyo mzee ni wateule wa.......malizia.

  • @user-cl2jr3re4s
    @user-cl2jr3re4s 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mzee wangu mm nilikua nataka nijue unadai shiling ngap hivho mbona ulitoa dau la milion hamsin fifty milions unadai kiasi gani.
    Alaf nakushauri kama ulipiga kz ukapata hio acha kuliwa liwa pesa zako muombe mung simama imara utapata zingine fanya kama ulikua na gari likatumbukia wam unalisahau kbs nakuanza upya utashida usije ukapotezewa maisha na vipofu ambao hawawezi kutafta za kwao mungu ni mkuu .

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 ปีที่แล้ว +10

    Duhh kaka umepitia magumu sana sana.ila mungu yuko nawe Mr ramadhani.yani haki yako inapotea ivi ivi. Kweli jamani

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว +2

      Ndio tujue hii nchi hakuna haki ni watu wa dhulma tu .Wanajali maisha yao na familia zao kula kodi zetu tu.

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaaani sijui kama selikali ipo au haipo uyu baba ishu yake ya siku nyingi sana ila bado awajamsaidia maskini

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu yangu katika Imani, haki ya mtu haipotei, ipo siku Allah atajibu maumivu yako kivyovyote vile inshallah 🙏

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 2 ปีที่แล้ว +2

    Binadamu hawana Imani wallahi ukatili ndio walio nayo Inshaallah mungu akusaidie.

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 2 ปีที่แล้ว +2

    Wallah huyu Mzee anapitia mitihani sana,Tangu 2019 hadi leo hawajafanya kitu

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli una haki ya kuchanganyikiwa Allah Ailaze roho yako Mahali pema peponi.inauma Sana umezungukwa kwa jasho lako Ila damu yako itatembea na kila Aliyehusika kwanamna moja ama nyingine vizazi 7

  • @ip_header
    @ip_header 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mzee umesumbuka sana, Na uhakika 95% Mama Samia akisikia suala lako kipindi hichi atakupatia haki zako.

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +1

      Mhh ndugu yangu sidhani maana kuna matukioeeeengi yametokea mama sijamskia akitoa kauli yake ya mwisho ya kusema kuwekea mkazo mkubwa adi watendaji wake waogope wajue hili jambo tukichukulia poa kazi hatuna sio sasa ndugu yangu

  • @rosekaiza2716
    @rosekaiza2716 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka yangu watu unaodili nao ni watu wazito sana mungu akutangulie upate haki yako pia hongera sana unajua kujieleza vizuri sana

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mimi nilitapeliwa 450,000.

  • @zamzamabdi5279
    @zamzamabdi5279 2 ปีที่แล้ว +1

    Wali walio kuteza Kwa jasho yako mungu atawa angamiza wao na vizazi you Insha Allah ntafanya dua Kwa mungu awalipe haraka sana.kabla mwezi wa wa ramazani.

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 2 ปีที่แล้ว +8

    Msipotoshe watu. Issue kubwa hapo si matapeli kuibuka bali ni mfanyabiashara kutotatuliwa kero yake na serikali na kuyaweka pabaya Maisha yake. Hao matapeli ni muendelezo tu wa dhuluma dhidi ya mfanyabiashara huyo

    • @ufalmekz4998
      @ufalmekz4998 2 ปีที่แล้ว

      Mbona unakwepesha maana???

    • @AthumanDauda
      @AthumanDauda 2 หลายเดือนก่อน

      Tra ndo wanachesha mambo haya

  • @sadasaid7212
    @sadasaid7212 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nilikua najiuliza siku nyingi, aliamuaga kuyaacha au vip?? Kumbe bado anaendelea tu!! Aisee mungu akusimamie babaangu!
    Usikibali kudhulumiwa, kwa sababu hata Dino nayo haikibali kudhulumiwa kibwegebwege!
    Na wakikuua in Shaa Allah..damu yako haitakwenda bure!
    Allah atakulipa tuu!! Endelea kupambana mzee wangu

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole Sana kaka . Polisi wa nchi hii hawaeleweki hata Mimi dadako nilishatendewa hivohivo na OCD wa Chunya Mwaka 2018

  • @justamarrymanga2500
    @justamarrymanga2500 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama. Yetu samia see mwenyezi mingu akupe wepesi umsaidie ramadhani

  • @nditihamisi186
    @nditihamisi186 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kk

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +3

    daaaaaaaah hii kwel ndo tanzania aseeee, ivi kwel kumbe kuna mambo mengi yanafanyika na vyombo vya ulinzi kbsa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Sio hayo tu ukizunguka Tanzania nzima utalia

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว

      Ili uishi vizur unatakiwa uwe maskini

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 2 ปีที่แล้ว

    Heeee!! Hii kesi bado tu?? Mmh!! Iam speech less kwa kweli!! Dah Mungu akupe wepesi!!

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Brother K ,Mungu yupo

  • @kul1512
    @kul1512 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka rama yaabi ninavyo kuona hua naumia ulivyo tendewa muombe mungu tu akusaidie

  • @teddytedy248
    @teddytedy248 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akulinde

  • @EmmanuelKigola
    @EmmanuelKigola 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢hiii serikali ngumu sana ukitapeliwa ndio utaijua serikali yetu ikoje

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka uko vizur sana nchi hii inawatu wapuuz mpk shetan akasome

  • @OmanState-e6p
    @OmanState-e6p 5 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia tunaomba uwafatilie Hawa watu wanao husika na hili maana huyu Babu kaacha familia

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 2 ปีที่แล้ว +7

    Jamani kumbe huyu baba bado anateseka.....serikali hawasikii kilio chake ni muda mrefu sana akisumbuliwa

    • @jumakalukule5312
      @jumakalukule5312 2 ปีที่แล้ว

      Aisee mwenyewe nimeshangaa tz kweli hakikwamungu

    • @fatimahants1526
      @fatimahants1526 2 ปีที่แล้ว

      @@jumakalukule5312 muda sana akilalamika kuhusu uhuni anaofanyiwa, 2020 clip zake naziona kwenye vyombo vya habari

    • @fatimahants1526
      @fatimahants1526 2 ปีที่แล้ว

      @@jumakalukule5312 Magufuli aliagiza alipwe haki zake na TRA

  • @JosephSimiyu
    @JosephSimiyu 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole Kaka Mungu akupiganie

  • @eliamwasomola578
    @eliamwasomola578 2 ปีที่แล้ว +1

    Genge la wahuni limekuwa kubwa Sana na viongozi humohumo ndani duuuhuu Mungu utuvushe watu wako

  • @nurububa6691
    @nurububa6691 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde kwakweli

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 ปีที่แล้ว

    Mzee ninamashaka na malipo yako kama utalipwa kweli dhuluma imekuwa kubwa sana na pesa kila kukicha inachukua uhai wa watu, ukiona mtu aliyetaka kushughulikia swala lako baada ya kulivalia njuga akahamishwa kituo, hapo situka mapema tu, ushauri wangu ikiwezekana achana tu na hii ishu Mungu atakupa zaidi ya hizo walizokudhurumu, pesa zinatafutwa tu ila uhai huwezi kuutafuta. MUNGU akutangulie.

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว

      Kweli aisee.maana hao polis wanauwa watu kabisa. Huko mtwara wameua watu na kuchukua pesa zao.ajiangalie aisee.

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 2 ปีที่แล้ว +2

    Aisee pole sana

  • @lucaslabowa5054
    @lucaslabowa5054 2 ปีที่แล้ว +4

    We jamaa HATARI SANA KWA kujieleza alidai sana HAKI zake KIPINDI cha JPM. NAAMINI atalipwa na SAMIA

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน

    Commissioner general wa tRA kipindi hiki cha huyu M/Bisashara alikuw Charles Kichere ambaye sasa ni CAG. nashindwa kuelewa huy CAG japo anafumbua shida za corruption lakini yeye pia sakasaka hili lilikuwa chini yake jmni

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 2 ปีที่แล้ว

    Polesana nimyaka mingi tangu magufuli unasumbuliwa tu ila naamini hakiyamtu haipotei utaipata kwanjia anayoijua m/mungu

  • @loveremedy5348
    @loveremedy5348 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa hvi ukikamata mwiz Ni kuuwa tu polic n upuuz mtu... Niliwah kuibiw naenda kuripot polic askar ananiuliz unakaki moja hpo!? Hyo Ni akili kwel au useng

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie wewe baba una mtihani mkubwa sana ni wa muda sasa ila upo makini mungu akusaidie sana n

  • @user-dc4ts5uf7x
    @user-dc4ts5uf7x 10 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa kuona mpaka Leo hii hujafanikiwa Allah akufanikishe.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +3

    Interview yako
    Nimesambaza magroup5
    Mzee pambania Aki yako

  • @modestersalmon7764
    @modestersalmon7764 2 ปีที่แล้ว +2

    Angalia Kaka wasije wakakuua

  • @OmanOman-fb8mj
    @OmanOman-fb8mj 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe kauli thabeet 😢duh umefanya uamuzi mbaya

  • @abiudkarume938
    @abiudkarume938 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu muha nimshamba sanaaa nakajiuwa kwaajili ya ujinga wake unaishi mjini naunafanya biashara bado mjinga

    • @zakariasengo8930
      @zakariasengo8930 6 หลายเดือนก่อน

      Ishi milele wewe mwenye akili,,kitakukuta kitu Cha kijinga kuliko ujinga wa uyo Muha na kitakuua

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 6 หลายเดือนก่อน

    Nchi ya dili.
    Duh jamani.
    Mungu akulaze mahali pema peponi

  • @wananchitv8690
    @wananchitv8690 2 ปีที่แล้ว +8

    Mbona unatapeliwa kiboya hivyo? Yaani uambiwe utume hela ya ticket ya ndege kwa mtu usiemjua?

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 2 ปีที่แล้ว +3

    Kitengo cha cyber wanasumbua sana ukipeleka kesi ya kum Truck mtu unapelekea ulaji maana huwa wanapewa dau kubwa na mshitakiwa kuliko mlalamikaji hakuna maana ya cyber yao inawasaidia wao tu

    • @emmadominic9601
      @emmadominic9601 ปีที่แล้ว

      Hiki kitengo ni muhimu sana,hivyo basi Rais alitakiwa akasim mamlaka hayo kwa kwa Detective of Tanzania People's Decenc Force.(DTPDF).Basi,kusingekuwa na magumashi yoyote.

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kajitokeza, je walio kimya wangapi.....
    Mungu atahukumu kwa haki. TRA ni kichaka cha shetani.

  • @meshakieliya1983
    @meshakieliya1983 2 ปีที่แล้ว

    Wew mzee mwachie mungu tu yasamehe

  • @ilankundastationery5886
    @ilankundastationery5886 2 ปีที่แล้ว

    pole sana ila kwa ushauri wangu bora uachane nayo ili kuokoa maisha yako

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka ukitaka uonekane mbaya dai chako😭

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani hii serikali inamsikiliza nani kama sio.wananchi wake? Dhambi hii itawasumbua kwakuwa mmepanda mbegu hiyo

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa Mbona Inaonesha Kama Watu Wenyewe Sio Wazawa Hata Sura Zao Uyo Mwenye Kikofia Uyo Mbona Kama Mtu Kutoka Congo Au Naijeria

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 2 ปีที่แล้ว

    Acha MUHA aitwe MUHA💪💪💪💪💪

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 ปีที่แล้ว

    Kwaio ungependa ufanyiwe ama usaidiwe vipi... mama naada ya malalamiko wht way forward na wht ur pray..

  • @edwardlyoba4909
    @edwardlyoba4909 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyumtu akifa wa Tanzania mtatua bia nin

  • @monerexshowz5200
    @monerexshowz5200 ปีที่แล้ว

    Pole Sana kaka tatizo lako la muda

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe utaliwa pesa na kudanganywa wameshaona wewe hauna kisomo ni rahisi kudanganyika halafu wameshaona kuna ushirikina
    Kwa nini usiweke camera na kuwakamata. Pesa za serikali hupati, leo miaka 5 , umekosa wakati wa Magufuli sahao na shukuru mungu.

  • @PelleSamky
    @PelleSamky 6 หลายเดือนก่อน

    Hakuwa na mtu wakaribu mbona mbona matapeli wanamshambulia saaa waziri wa feza anahusika nni na jinai?

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 2 ปีที่แล้ว +4

    Hivi kwanini Rais asimsaidie huyu baba mbona anateseka sana ewe ALLAH watingishe viongozi wasiotenda Haki kwa wanyonge hata wapalalaizi kabisa iwe fundisho

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Hii kesi mbona ilienda mpaka huko mpaka kwa Waziri Mkuu wapi wote ni hali moja

  • @willykyando5647
    @willykyando5647 ปีที่แล้ว

    Pole mzee hii ndio Tanzania

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 ปีที่แล้ว

    Baba yangu Usiwe na shaka Waswahili wanasema
    " Anaetamba mpe Muda "

  • @user-zc2ms4wl6r
    @user-zc2ms4wl6r 6 หลายเดือนก่อน

    Ndio kazi ya ukolo

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 2 ปีที่แล้ว +1

    Weka CCTV kila anae kuja ale kodiwe na picha mpigeni usikate tamaa

  • @user-ez7lk3it5s
    @user-ez7lk3it5s 6 หลายเดือนก่อน

    Rait.mwenda.zake.angekuwepo.hiiii.wangekipata.mha.huyu.asijiua.ona.sasa.watu.wasivyo.samini.uhai.wawandam.wenzao.utaza.yenyewe.hayatakufa.sote.razima.tunje.umauti.haijarishi.we.nani.

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 2 ปีที่แล้ว +2

    Maovu niyakusema kwa sauti kubwa kabisa ..
    Tupaze sauti kama mzee wetu huyu ili kufichua maovu haya wazi wazi ..!!

    • @fatimahants1526
      @fatimahants1526 2 ปีที่แล้ว +1

      History ya toka mwaka jana akilalamika kwenye vyomb vya hbari huyu baba inasikitisha sana namna binadamu wanvyo mtenda na serikali haijafanya s maamuzi mkp leo Pole sana, lkn majozi ya mweny kudhulumiwa yana malipo.

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 2 ปีที่แล้ว +2

    Bashiru na polepole hawapo sasa ni.
    Shaka na chengelwa.

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 6 หลายเดือนก่อน

    Umetumia nguvu nyingi maskin.ktk ichi hii

  • @Kayaka_Family97
    @Kayaka_Family97 ปีที่แล้ว

    Aki ya mtu aipotei kizembe hivyo mungu hatokutupa ndgu akiyako utaipata mungu Yuu nawe kila mda nijambo la mda xana

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba Pole saana hii ndio ndio Tanganyika

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 6 หลายเดือนก่อน

    Wamekusumbua mpaka umeamua kujiua.. Hakika damu yako itaondoka na watu wengi sana..

  • @rosenyato8729
    @rosenyato8729 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ulituma hela tena oooh!

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe alitapeliwa awamu ya tano.maana kawataja bashiru na polepole

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 6 หลายเดือนก่อน

    Haya ni maisha tuu, yote yanapita.

  • @user-zc2ms4wl6r
    @user-zc2ms4wl6r 6 หลายเดือนก่อน

    Kwaishu kama hiyo ww ndio mshamba kweli , waziri vidiri kama hivyo aanze kupoteza mda walikuona mjinga wakwanza kwenye hii mjitaidi kujua mazingira mpate kupona,,hilo swala nenda mahali husika

  • @bigboys016
    @bigboys016 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mzee wangu

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani amejiiua. Mungu waadhibu wote waliomtendea mtu huyu

  • @mussamalick1045
    @mussamalick1045 5 หลายเดือนก่อน

    Dawa ni kuwasomea alalbadiri wataangamia wote

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 2 ปีที่แล้ว

    Duhh huyu mzee anateseka kweli kweli

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 6 หลายเดือนก่อน

    ila naamin kna viongozi
    wamejitakia hukum ya ajab san

  • @wilsonmikate7570
    @wilsonmikate7570 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm sipati picha kama huyu ndg kesi yake ilifika kwa rais bado amekuwa akiyumbishwa je wakina cc likitokea la kutokea itakuaje.

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว

      Hata hivyo ana bahati Sana angekuwa kasha nyongwa kitambo,kwani kuna maslah ya watu yapo hatarini

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 ปีที่แล้ว +1

    Fedha inaweza kunyamazisha haki kwa nchi yetu imezoeleka sana !!

  • @hilmialjahdhami9787
    @hilmialjahdhami9787 2 ปีที่แล้ว +2

    BABU RAMA TUNAOMBA UTUELEZE JINSI GANI ULIIPATA ILE NYUMBA YA MTAA KONGO NA UHURU
    TUELEZE KAMA UNAVYOTUELEZA MATOKEO HAYO YANAYOKUSIBU

    • @kungurukingunge2761
      @kungurukingunge2761 2 ปีที่แล้ว

      Mhh kanunua kama walivonunua wengine acheni wivu babu ni mfanyabiashara kma una tatizo nae fungua mashtaka

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 ปีที่แล้ว

    Kuna shida mahali ndyo maana hupati ushirikiano, kila mtu anataka hela ushirikiano utautoa wapi baba jamani.

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii kesi kubwa mno alitaka kuiweka vizuri magufuli

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 2 ปีที่แล้ว +2

      Ikawaje?alishindwa sio kuiweka vizuri na

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe baanA kuwa makini kweli watakuua hao sio watu

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 6 หลายเดือนก่อน

    Ungejua ungehama kbs,rip

  • @user-no4ny7ox2d
    @user-no4ny7ox2d 6 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwaamani bro 😢😥

  • @user-zc2ms4wl6r
    @user-zc2ms4wl6r 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe nimrundi warumonge au Bujumbura

  • @DominicKani-ri9le
    @DominicKani-ri9le 6 หลายเดือนก่อน

    Shida ya mali bila Elimu kama ninyi mtapigwa sana tuuu

  • @raphaelmchilo-kx4tt
    @raphaelmchilo-kx4tt ปีที่แล้ว

    Hiyondoselikaliya ccm juakwamba huoulikuwanimpango wawakubwa wakukutapeliwewe chakufanyahapo ungana nawapinzani watasaidia kukupigia kerere

  • @user-fw1ku3od7r
    @user-fw1ku3od7r 6 หลายเดือนก่อน

    Mmeiona nchi yetu ilivyo???

  • @andrew29468
    @andrew29468 2 ปีที่แล้ว

    Daaaa aisee huyu jamaa katasbishwa sanaaa
    Kuna mtandao mchafu sanaa
    Kuna haja ya rais kuingilia jambo hili

  • @modestersalmon7764
    @modestersalmon7764 2 ปีที่แล้ว

    Wote hao mataperi baba jichunge

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 ปีที่แล้ว

    Mh Rais asipokulipa unachosema ulnadai, Je bado utamsema kwa wema?

  • @agreyanyimike4700
    @agreyanyimike4700 6 หลายเดือนก่อน

    Yanafugwa mateperi

  • @jacksonjonathan2262
    @jacksonjonathan2262 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu bba kwa nn jaman asipewe haki yake

  • @geraldtarimo2550
    @geraldtarimo2550 2 ปีที่แล้ว

    Mzee achananazo hizohela watakuua

  • @hilmialjahdhami9787
    @hilmialjahdhami9787 2 ปีที่แล้ว +1

    NAVYOSIKIA HUYU BABU RAMA ALIKUWA MGANGA WA GOLO KWAHIYO INAVYOSEMEKANA KADHULUMU NYUMBA ILIOPO MTAA KONGO HAPO K.KOO HICHO NDIO CHANZO YA MAUGOMVI
    ALLAH IPO SIKU ATADHIHIRISHA UKWELI
    MAANA BABU RAMA MAHAKAMA ZIPO KWANINI ULALAMIKE KWENYE MITANDAO

    • @frednandnsakuzi7584
      @frednandnsakuzi7584 2 ปีที่แล้ว

      Mahakama ipi unayodhani itampa haki nchi hii?

    • @hilmialjahdhami9787
      @hilmialjahdhami9787 2 ปีที่แล้ว

      Nawewe unavyodhani mitandao itampa haki?

    • @johnmasungansolezi576
      @johnmasungansolezi576 2 ปีที่แล้ว

      Huelewi kitu

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว

      Wewe kama amedhulumu nyumba kkoo asingeachwa...lazima angenyang'anywa na serikali