Allah mwingi wa Rehma,Allah mjuzi atakusaidia kwavile jasho ka MTU halipotei hata kama miaka dahari ataipata inshallah endekea kuwa jasili na mungu akulinde,kila mwenye kutaka kukufanyia kibaya basi Allah amdharirishe na amteketeze inshallah Aamin
Asante sana Ayo naendelea kuifatilia na nimeipenda sana hii habari namuitaji au kumuomba uncle Ramadhani anishike mkono na mie kibiashara ili nifike mbali Asante sana Millardayo
GENIUS, natural ability, SUPER MAN,MJUBA, Muisrael Yote majina yako ayo mzee unaakili sana yaani unafaa uandae simulizi heshimaa yako mzee, ila pigana upate chako one day kila kitu kitakua ok
absolutely genius!!! " angesomea sheria ilikuwa bravooo sana. Mzee anaongea facts sana. Ndio maana kabarikiwa mali, hapendi kuchuma wala kupanda rushwa. Big up Ntunzwe mjenga hoja# Genius
Mzee ungejua ungetoa tu hiyo rushwa au u-bargain uwalipe 1 m. Haya yooooooote yasingetokea na pengine usingekatisha uhai wako mwenyewe kwa kujipiga risasi.
Hafu watu ambao wamezoea vya bure huwa wasumbufu kweli wanapenda vya bure hayajui watu tunahangaikaje mpaka kufikia hatua ya zur vikwazo vyote kwako daaah pole sana
Kama Brother K,vile. Naam salaam na malalamiko yako yamfikie Mh.Raisi Dr. John Pombe Magufuli 🇹🇿 maana "Mavuno ni mengi lakini Watenda Kazi ni Wachache" Ee Mungu msaidie mlipa Kodi huyu mzalendo na wengineo wenye kadhia Kama ya ndugu yetu huyu.
Genius sio jini Mzee una degree ya mtaani ndio nguzo Kuu kuliko master au Phd ya makaratasi umewakalisha wasomi wote waliokuwa wanapata hesabu zote class ila hesabu ya mzigo wako wameshinda kupiga hesabu
Ebanaeee dingirai ni zaidi ya wasomi wengi wa vyuo vikuu mana ana IQ kubwa sana Allah akufanyie wepesi jambo lako liishe kwa kheri mana unapambana na party of gaverment sio kazi ndogo mana wana tabia ya kulindana hao
Magu - tibua hawo wote wa TRA wa eneo hiyo pamoja na baadhi wa ofisa wa polisi kwa jumla iwe mfano kwa waizi hawa kwenye TRA kwani imekuwa chombo ya kujitajirisha ya wafanyakazi wa TRA na chombo ya kufilisi wa Tanzania
TRA ni Wezi na Wapokeaji wakubwa wa Rushwa. Takukuru ilipaswa kuwa karibu na hawa watu. Tukisema ukweli mnatupoteza. Ila Polisi, Tra, Mahakama ndio sehemu zinazoongozwa kwa Rushwa.
Tz inauchafu huo yan mm mama mwenye nyumba kudai elfu thelasn tu ananichukulia barua kw mwenyekiti anitimue serikari inadaiwa na mha mmoja inamzungusha hvyo balaa hilo
Dah hivi vitu vya msingi sana kujifunza hapo lazima kuna rushwa inafanyika kwa maofisa wa T.R.A ILA leo nimeamini kufeli shule sio kufeli maisha mzee anaelezea full mkanda bila makosa. genious
@@ashamwandu3781 vipi waniongelea kwa ukali na ubaya? Kwani hujamsikiliza muhusika mbona kasema mwenyewe alikuwa na mkopo access bank? Nakushauri kuacha tabia ya kusoma vichwa vya habari na kuanza ku comment.
Hii nchi ni ngumu sana kuiongoza. Watu waliongozwa kwa mda mrefu bila ya nidhamu. Kulikuwa hakuna mahali pa kupeleka malalamiko yao. Wafanya kazi wa TRA walikuwa ndiyo wenye serikali wakikusajya kodi na kuweka mifukoni mwao. Mtindo huu walizowea kwa mda mrefu, ndiyo maana kwa serikali ya Rais MAGUFULI wengi bado wanapigana nayo kichini chini. Rais MAGUFULI ana kazi kubwa sana. Kupigana na Hawa watu waliozowea kuchitajirisha kwa kodi za Watanzania. Sio watu wengi wana nguvu za kupigana na hawa wahalifu kama alivyopigana huyu jamaa, wengi wangekata tamaa.
Kweli nimeamini mkuki kwa nguruwe ni mchungu,wakati nadai chenu mna zunguka na maspika barabarani Sasa Leo limewageukia mnarukaruka Kama bisi😆😆😆😆,uzuri Ni kuwa hii awamu ya tano haina figisu pambana mzee hakiyako utapata baba Alisha sema upewe utapewa tu.
Waha wako vizuri ndo wamejaa tabora boys vipaji. Na hakuna muha anayerudia ama kufeli shule. Wanapiga kazi bila kuchoka.kumbuka hata mjerumani alitumia manamba tokea kigoma huko tanga kwa mashamba yake ya mikonge. Waha wako Poa sana.angalia siasa,usanii na dini wapo vizuri na wameshika hatamu . huwa muha hayumbishwi wanajua ubishi na kujielezea wapo Poa sana
nakubaliana na wew!...tuna mwlm wetu chuo flan...n mfupi afu muhaa ana misimamo yake yey pekeakeee hata akipingwa na walimu wenzie woteee hayumbishwi hata kdogo yan!
Pole baba umepitia magumu kwa Kweli mbwa hizi zinataka kutufilisi zina Vaa suti za wafanya biashara na kulea family zao halafu bado Wanatusumbua imeja raana tupu Tra hakuna tofauti mwizi au mchawi😏😏
Huyu jamaa ni hodari sana anakumbukumbu ya hali ya juu kichwani mwake.mm ningemuomba muheshimiwa raisi wetu magufuli.alitolee maamuzi maana hao watendaji wake wote sio watu wazuri kwa huyo mfanya biashara.
TRA mlipeni huyu bwana anachoongea kina mantiki na ana kumbukumbu ya mambo yote mliyomfanyia. Ila nikuonye ndugu yangu usizoeane sana na watu walioko chini ya Magufuli. Huyu anabadilikaga kama Kinyonga. Magufuli akiona tu hiyo pesa inaweza ziba pengo mahali utakiona cha mtema kuni ndugu yangu. Chukua chako mapema usepe. Akitoa tu maagizo kichwa chako kikatwe huna bahati.
Wenzangu tuoneshe ushaur wa kumwambia atoe sadaka kwa sana kwa ku like ktk comment hi kwani km una dini vizur utafaham sadaka inamfany vp mtu ktk mali yake
Tatizo la TRA ni elimu ndogo. Tunaweza kudhani kwamba kusoma kodi tu inatosha. Hapana! TRA Ni injini ya mapato, haikustahili kuwa na watu waliokusanya vyeti vya hapa na pale. Hawana 'thinking'. Hawajawahi kujenga hoja za maana. TRA ni wizi na ufisadi tu.
nahakika wewe unaakili kama mziraili manake felia wa darasa la saba unawashinda wasomi walio na madgree na phd na masters hahahaaha hawamjuwi magu atawatumbuwa wote nakuaa jela hao
uzalendo mwingi mara nyengine haufai, wanaukwambia usitoe rushwa ndio wala rushwa. Ungetoa million mbili ungesave billion nzima na usumbufu usio wa lazima. Hili ni funzo kwa wengine kuwa bila Rushwa hakuna mafanikio
Sasa waziri umetoa maelekezo kwamkuu wamkoa sasa mkuu wamkoa hapokei cm msitoe matamko ikiwa hamuwezi kufuatilia Sasa kwanamna hii makonda kakudharau wazir mkuu
sasa sisi watu wahali ya chini kama tunakutana na mtihani kama aina hii twende wapi tukimbilie wapi tumweleze nani kama walishapata talifa toka kwa lahisi wa wanyonge mpendwa wa wengi na haya bado yanaenderea
Anaehisi kwamba uyu ndg yetu tunzwe uenda anaundugu na brother k agonge like.
Haaaahaa
Haswaaaaa
Nahisi kuwa wanatoka wote sehemu moja. Kigoma
Exactly hujamaa anakumbukumbu atar alafu anakitaji chakuwa na uvumilivu
ndio@@innocentmchome4460ndio huyu jamaa ni mkigoma
This guy is brilliant..I have been following him..He deserves some place in TRA though without papers in curbing down such evils #sorry boss
Allah mwingi wa Rehma,Allah mjuzi atakusaidia kwavile jasho ka MTU halipotei hata kama miaka dahari ataipata inshallah endekea kuwa jasili na mungu akulinde,kila mwenye kutaka kukufanyia kibaya basi Allah amdharirishe na amteketeze inshallah Aamin
Jamani dunia ni mapito! Dhuluma mbaya!! Laiti km mwenyezi mungu
Hatudhihirishie mabaya yetu tungekimbiana!! Tumuogope mwenyezi mungu!!
Watu kama hawa wanafaa kuongoza nchi wanauchungu na taifa pia niwazalendo piga keleleeee kwa john............👏👏👏
Kama unakubali #Father Ramadhan anaipata aki yake gonga like. Na tuseme neno la #Ya_Allah_Mnusuri ndugu yetu Ramadhani Kwa uweoz wako apate aki yake🙏
mtihani jamani pole jaka
pole sana kaka
Zidisha maombi yako kwa Mungu, Kila Jambo utakalofanya mungu akulinde ndugu yangu
Kesi hii sio ya kitoto
Kama na wew unafatilia story hii saa sita uck kama mm tujuane kwa like inaskitsha saana
Sehemu ya tatu
boston
Yaani !! Kuna watu dhuluma!! Mwenyezi mungu anawaona!
This man he’s too smart and clever chaiii🤗🤗
Iposiku tu jasho lako utalipata, Allah akufanyie wepesi inshallah, dhuruma mbaya Sana mtakula usaa .watanzania wanamuombea mno huyu baba apewe chake.
Asante sana Ayo naendelea kuifatilia na nimeipenda sana hii habari namuitaji au kumuomba uncle Ramadhani anishike mkono na mie kibiashara ili nifike mbali Asante sana Millardayo
Unakaribishwa ofisini kwetu
Msifuni Muyava wapi hapo ndugu yangu na hapo office ndio anapatika baba Ramadhani
0755376373 ndipo anapopatikana
Msifuni Muyava asante sana ndugu na hii ndio number yake?
Ndio
Mzee anaakili balaaa daaaah Mungu akutetee upate haki yako
Huyu mzee nna wasiwasi hata kufeli kwake alibadilishiwa matokeo
GENIUS, natural ability, SUPER MAN,MJUBA, Muisrael Yote majina yako ayo mzee unaakili sana yaani unafaa uandae simulizi heshimaa yako mzee, ila pigana upate chako one day kila kitu kitakua ok
absolutely genius!!! " angesomea sheria ilikuwa bravooo sana. Mzee anaongea facts sana. Ndio maana kabarikiwa mali, hapendi kuchuma wala kupanda rushwa. Big up Ntunzwe mjenga hoja# Genius
Allah akusimamie Upate haki Yako Ramadhan,Muendelezo Plz naomba.
Mungu akulinde zidi ya wabaya wako
Magu anawasoma hapo TRA muda siyo mrefu mtasikia watu wanatumbuliwa, afu mseme Magu dikiteta kwa uzembe wenu
Mwendelezo wala inasikitisha pole baba mungu akutie wepes kwahayo unayopitia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mzee ungejua ungetoa tu hiyo rushwa au u-bargain uwalipe 1 m. Haya yooooooote yasingetokea na pengine usingekatisha uhai wako mwenyewe kwa kujipiga risasi.
Hafu watu ambao wamezoea vya bure huwa wasumbufu kweli wanapenda vya bure hayajui watu tunahangaikaje mpaka kufikia hatua ya zur vikwazo vyote kwako daaah pole sana
Kama Brother K,vile. Naam salaam na malalamiko yako yamfikie Mh.Raisi Dr. John Pombe Magufuli 🇹🇿 maana "Mavuno ni mengi lakini Watenda Kazi ni Wachache" Ee Mungu msaidie mlipa Kodi huyu mzalendo na wengineo wenye kadhia Kama ya ndugu yetu huyu.
Waache kukusumbua mzee wetu "mnyonge mnyongeni lakini chake mpeni" Magu naamini anafuatilia kwa karibu ayo Mahojiano tusubiri utumbuaji
kweli haiendelei..wafanyabiashara wanapata tabu..wa TRA wanaenjoi tifa diamond hotel
Mungu anatenda miujiza Mungu ni mkuu siku zote utafanikiwa baba haki ya mtu haipotei bure
Genius sio jini Mzee una degree ya mtaani ndio nguzo Kuu kuliko master au Phd ya makaratasi umewakalisha wasomi wote waliokuwa wanapata hesabu zote class ila hesabu ya mzigo wako wameshinda kupiga hesabu
🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu atakufanyia wepes insha allah🙏🙏
Ee Mungu ulieumba mbingu na nchii mtetezi wawanadamu msaidie mzee huyu apate haki yake.
Ramadhani Hamisi Ntunzwe - Allahuma Ghifirllahu Warahmahu Waskanhu Filjanna
Mzee Rudi kwa Magufuri plz au kwa wazir mkuu upate msaada wako Mungu atakusaidia baba
Jamaa Anawadai TRA, Mimi Sijala Mpaka Muda Huu. #Hatufanani
🤣🤣🤣🙌
Pole sana.hujakula lakini pesa ya bando unayo
Ndo wabongo tulivo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿
@@venstonvedasto hahah
Oyaa. Ayo mtafute tupate mwendelezo....japokua anapambania haki ake,lakin anajua kuhadithia..asahau ni point kwa point..mungu atamsimamia
Komaa muha haki yako ipatikane wajifunze kutaka rushwa maana wamezidi hao uonevu tu ndio maana nchi yetu haiendelei
Mungu akuongoze vyema upate haki yako ila kwa kipaji mungu alichokupa ni noma ! Hukosei hata point moja!
Daaa mh magufuli kwann usimsaidie huyu Raia wako jamani
walijua utakufa,au utachanganyikiwa kwa upotevu wa,mali zako ili usiwadai kweli haki ya,mtu haiend bure mungu.mwema jmn😭👏
Ebanaeee dingirai ni zaidi ya wasomi wengi wa vyuo vikuu mana ana IQ kubwa sana Allah akufanyie wepesi jambo lako liishe kwa kheri mana unapambana na party of gaverment sio kazi ndogo mana wana tabia ya kulindana hao
@Shube Bunyesi hicho kilichopo manake hata mkuu wa mkoa anapigiwa hapokei, anatumiwa sms hajibu....hapo kuna sintofahamu.
Jamaa anataja milioni mia nane kama mimi ninavyotaja elfu tano.
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😢
😁😁😁Aise nikwel yaan 😊
😃😃
😂😂😂😂😂😂👌👌👌👌
M. Mungu atasimama na wewe na haki yako utaipata Insha allah
Insha Allah Wata'Alla
ALLAH ATAKUPIGANIA HAKI YA MTU HAIPOTEI
Ramadhani Mungu akulitente
Tulokuwa tukisubili part 2 gonga like twende kazi💃💃💃💃
Unaakili sana baba mungu atakupigia sana baba
Brilliant 💪
Magu - tibua hawo wote wa TRA wa eneo hiyo pamoja na baadhi wa ofisa wa polisi kwa jumla iwe mfano kwa waizi hawa kwenye TRA kwani imekuwa chombo ya kujitajirisha ya wafanyakazi wa TRA na chombo ya kufilisi wa Tanzania
Kibongo bongo sidhani kama kunakulipwa hela mungu akusmamie baba.... Lkn Kwann makonda hakutaka kukupa ushirikiano kuna kitu hapo
Naomba ajira mzee ww una mkwanja sana 😁😁😁
Mzee walipishe mpaka kiwembe awo, mafala sana TRA
God bless you inshaAllah
Jamaa ana akili balaa....yani anakumbuka hadi majina ya mtu yote matatu....na hela hadi nzima nzima anazitaja kama hajasoma sehemu
Yap
Wanasemaga mateso yakizidi ujue wokovu umekaribia, haki yako itachelewa sana kaka lakini haitazuiliwa, Mungu mwenye enzi yote yupo nawewe,
Kwani huyo Magu hajapata hii habari mpaka sasa?
TRA ni Wezi na Wapokeaji wakubwa wa Rushwa. Takukuru ilipaswa kuwa karibu na hawa watu. Tukisema ukweli mnatupoteza. Ila Polisi, Tra, Mahakama ndio sehemu zinazoongozwa kwa Rushwa.
Mungu ni mwema haki utaipata
Maafisa hawa wachache hawawezi chafua kazi nzuri unayofanywa na serikali ya tano chini ya Rais wetu JPM na Waziri wetu mkuu Kassim Kassim..
Serikali nzima imejaa rushwa, trion 1.5 ziko wapi? Report ya prof.Assad
Mwenyezimungu mkubwa
Duh Pole Sana kaka watu hawana huruma kabsaaa
nilicho gundua ni kwamba viongozi wa juu siku zote Huwa Hawana shida tatizo lipo chini huku Kwa watumishi wadogo wadogo pole sana RAMADHAN
Tz inauchafu huo yan mm mama mwenye nyumba kudai elfu thelasn tu ananichukulia barua kw mwenyekiti anitimue serikari inadaiwa na mha mmoja inamzungusha hvyo balaa hilo
Dah hivi vitu vya msingi sana kujifunza hapo lazima kuna rushwa inafanyika kwa maofisa wa T.R.A ILA leo nimeamini kufeli shule sio kufeli maisha mzee anaelezea full mkanda bila makosa. genious
Namshauri huyu ndugu yangu aachane na mikopo ya riba anayoichukua benki huenda Allah anamrudisha nyuma kupitia TRA kwa sasababu hiyo
Wewe unakwepo anapokopa?wivi unakusumbua kaa na umasikini wako mjinga mkubwa.
@@ashamwandu3781 vipi waniongelea kwa ukali na ubaya? Kwani hujamsikiliza muhusika mbona kasema mwenyewe alikuwa na mkopo access bank? Nakushauri kuacha tabia ya kusoma vichwa vya habari na kuanza ku comment.
Part 3 millard ayo please 👏👏👏
Hii nchi ni ngumu sana kuiongoza. Watu waliongozwa kwa mda mrefu bila ya nidhamu. Kulikuwa hakuna mahali pa kupeleka malalamiko yao. Wafanya kazi wa TRA walikuwa ndiyo wenye serikali wakikusajya kodi na kuweka mifukoni mwao. Mtindo huu walizowea kwa mda mrefu, ndiyo maana kwa serikali ya Rais MAGUFULI wengi bado wanapigana nayo kichini chini. Rais MAGUFULI ana kazi kubwa sana. Kupigana na Hawa watu waliozowea kuchitajirisha kwa kodi za Watanzania. Sio watu wengi wana nguvu za kupigana na hawa wahalifu kama alivyopigana huyu jamaa, wengi wangekata tamaa.
Millard ayo fanyen chap m2tumie Prt3
Kweli nimeamini mkuki kwa nguruwe ni mchungu,wakati nadai chenu mna zunguka na maspika barabarani Sasa Leo limewageukia mnarukaruka Kama bisi😆😆😆😆,uzuri Ni kuwa hii awamu ya tano haina figisu pambana mzee hakiyako utapata baba Alisha sema upewe utapewa tu.
Yan huyu baba ana akili nyingi sana aiseee
Sio yeye tu ni Mungu anamuongoza
Mungu Ni Mkubwa {Allahu Akbar}…
@@aishadaba7045 .
. ... .
Waha wako vizuri ndo wamejaa tabora boys vipaji. Na hakuna muha anayerudia ama kufeli shule. Wanapiga kazi bila kuchoka.kumbuka hata mjerumani alitumia manamba tokea kigoma huko tanga kwa mashamba yake ya mikonge. Waha wako Poa sana.angalia siasa,usanii na dini wapo vizuri na wameshika hatamu . huwa muha hayumbishwi wanajua ubishi na kujielezea wapo Poa sana
nakubaliana na wew!...tuna mwlm wetu chuo flan...n mfupi afu muhaa ana misimamo yake yey pekeakeee hata akipingwa na walimu wenzie woteee hayumbishwi hata kdogo yan!
Isitorisyantunzee😂❤
Pole baba umepitia magumu kwa Kweli mbwa hizi zinataka kutufilisi zina Vaa suti za wafanya biashara na kulea family zao halafu bado Wanatusumbua imeja raana tupu Tra hakuna tofauti mwizi au mchawi😏😏
Pole sana kwa matatizo.
Ina maana huyu manager anawatukana waTanzania kuwa hatuna akili?
Kwa hiyo waTanzania ndio wa kudhulimiwa 🙄.
Duuuuu jamani inauma Sana tunaomba part 4 tuone hao maafisa wote was T R A wanaachia ngazi na bwana ramadhani anapokea haki yake
Mi naisubiri kwa ham
Dah pole Sana kaka angu kwa yote yaliyokupatà,aisee ila wewe ni geneus
Hii story inasisimua kwa kweli yote hii ni kwa sababu ya mtu kudai haki yake
Muha mpambanaji....big up sana
Daah nilizan ntakua wakwanz kumbe wa2 mko active kuliko#Siombaya niko 40 bora🔥
Huwezi miliki Zaid ya mil 300 alafu ukawa zuzu , ila wana Bahati saaana Hao alitakiwa atafute wakili mzuri alafu aww charge Zaidi ya Bilioni 300
Huyu jamaa ni hodari sana anakumbukumbu ya hali ya juu kichwani mwake.mm ningemuomba muheshimiwa raisi wetu magufuli.alitolee maamuzi maana hao watendaji wake wote sio watu wazuri kwa huyo mfanya biashara.
Mungu atakusimamia inshallah na haki yako itapatikana kwa uwezo wa Allah
TRA mlipeni huyu bwana anachoongea kina mantiki na ana kumbukumbu ya mambo yote mliyomfanyia. Ila nikuonye ndugu yangu usizoeane sana na watu walioko chini ya Magufuli. Huyu anabadilikaga kama Kinyonga. Magufuli akiona tu hiyo pesa inaweza ziba pengo mahali utakiona cha mtema kuni ndugu yangu. Chukua chako mapema usepe. Akitoa tu maagizo kichwa chako kikatwe huna bahati.
Wenzangu tuoneshe ushaur wa kumwambia atoe sadaka kwa sana kwa ku like ktk comment hi kwani km una dini vizur utafaham sadaka inamfany vp mtu ktk mali yake
Pole sana kaka angu mwee yaani TRA watakuja kuuwa watu na presha
Anafuturisha kila Ramadhani,hyo nisadaka kubwa mnoo
Mitihani hii anayoipata ya kutaka kudhulumiwa huyu bwana huenda inatokana na uovu wa kuchukua mikopo ya riba anayoifanya
@@mamavero4004 sio wataua wanaua
Yani huyu baba anatakiwa awe kiongozi ana confidence ya hali ya juu na uelew mkubwa na mawazo ya mbali sana 🙌🏻🙌🏻
Tatizo la TRA ni elimu ndogo. Tunaweza kudhani kwamba kusoma kodi tu inatosha. Hapana! TRA Ni injini ya mapato, haikustahili kuwa na watu waliokusanya vyeti vya hapa na pale. Hawana 'thinking'. Hawajawahi kujenga hoja za maana. TRA ni wizi na ufisadi tu.
Duuu big up sana mzee una akili sana Mungu azidi kukupigania
Viongoz wa nchi wapo wanacheki hi movie, ngoja tuone litaishaje...
Ningekua Nina Uwezo wa kuongea na Rais ninge mwambia uyu mzee Ampe cheo TRA Uyu ni mzarendo wa kweli
Millard ayo, please tunaomba kama story iko full muweke vipande vyote, tunaweza sahau kufwatilia tena, huu mfumo sio mzuri
Ila binadamu wabaya sana!
Mungu atakupigania!
R.I.P RAMADHAN HAMIS NTUNZWE NDUGU YANGU KABISA JAMANI UMESIKIA KIFO CHA KAKA YAKO NA WEWE UMEMFATA KIFO NI FUMBO KUBWA SANA
Nakwel unaakili kama waiziraelo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila anko unajua sana kujielezea yan unaakili kuliko kawaida ww ni g niaz👏👏👏👏
genius and bright yaani Allah amsimamie wacje wakamzuru kwa kudai haki yake
@@zuleikhakhamis3303 amiin
nahakika wewe unaakili kama mziraili manake felia wa darasa la saba unawashinda wasomi walio na madgree na phd na masters hahahaaha hawamjuwi magu atawatumbuwa wote nakuaa jela hao
Duu jamaa anajua kuweka kumbukumbu kichwan utazan kompyuta hasahau hata neno moja
Mwenyez Mungu akutangurie😥🙏
Ramadhani komaa Kwa Mhe. Rais Na Waziri Mkuu. Hawa wengine walishagawana hela yako. Vingenevyo twende Kigoma tukamuone Mzee Kamchape.
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Big story and big seance
Ft
uzalendo mwingi mara nyengine haufai, wanaukwambia usitoe rushwa ndio wala rushwa. Ungetoa million mbili ungesave billion nzima na usumbufu usio wa lazima. Hili ni funzo kwa wengine kuwa bila Rushwa hakuna mafanikio
Full genius
Makonda hujinasibu kua mtetezi wa wanyonge haya mnyonge huyo upokei cm
Duuh,muha anaongea kama anasoma risara ubongo wa.kutosha inaonekana!!
Ee mungu uonnae haya anayotendewa baba huyu nakusii simama mwenyewe umtetee pia muondolee vizuizi vilivyombele yake I'll haki yake ipatikane
yasni muha hana tofaut na magufuli
Brother k part too nakubal sana jinsi unavyo ongea kwa ujasiri
Sasa waziri umetoa maelekezo kwamkuu wamkoa sasa mkuu wamkoa hapokei cm msitoe matamko ikiwa hamuwezi kufuatilia Sasa kwanamna hii makonda kakudharau wazir mkuu
Usikute makonda nae kanyamazishwa na hao TRA mi binafsi makonda simuamini hata robo
Mungu yupo haki yako utaipata ingawa kwakuchelewa
sasa sisi watu wahali ya chini kama tunakutana na mtihani kama aina hii twende wapi tukimbilie wapi tumweleze nani kama walishapata talifa toka kwa lahisi wa wanyonge mpendwa wa wengi na haya bado yanaenderea
Huyu Tunzwe anajua anachokidai,mpeni chake....Mungu yupo nawe