hilo jengo la posta dudu hilo lillikuwapo muda mrefu sana, kabla ya benjamin ya mkapa madarakani,hata vikao vya bunge vilisha wahi kufanyika humu kwenye jengo lao freemason, freemason imeeanza kupata umaarufu zaidi baada ya social media kuingia kwenye jamii, hao walikuwapo miaka mingi
DUDU HIZI MEDIA ZINAKUHOJI ZIWE ZINAKULIPA MAANA WW UMEBARIKIWE SANA KUONGEA VIZURI KUWA NA CONTENT NA WATU TUNAPENDA SANA KUKUSIKILIZA. WW NI ASSET SI DHANI KAMA UNAJUA ILO?
Dudu kweli wewe ni mwamba ,toka unamtia mista nice makonde jukwaa nilijua unamwonea kumbe ulikua unampa disprini kwasababu ulimwona kabisa huyu ni mjinga shetani mpenda dezo,hata leo mkenda amajifanya anavihela vya kichawi siku akijichanganya mvimbishe tena pamoja na vipesa vyake
Dudu Baya, you are very smart and understandable about Freemason. Please keep faith in God dont believe in Fremason and l am sure God will bless in anyways. You are a guy too
Hapo Mimi ninachokiona ni kukatisha vijana tamaa ya kumtafuta mbona mnawasema Sana wakinga Mimi naona umaskini unawasumbua ndiyo maana muda wote kuwasema wakinga tafuta hela siyo kufurahia umasikini Ili usisemwe na mara nyingi maskini ni kuwachukia matajiri
Huyu kaka mkubwa Dudu Baya kila nionapo anapohojiwa na vyombo vya habari lazima nimsikilize cwez kumpita anaongea point tupu❤❤❤❤❤❤❤❤
Hipo siku watakuhelewa wewe
Ata mimi aisee😂
😂😂😂Uhakika
Mwambaa anajielewa ABARIKIWE SANA na Bwana YESU KRISTO
Huyu dudu angekuwa msemaj wa vijana Tz wangejifunza mengi sana
Nakukubali sana dudu baya❤🎉
Dudu you are real u talk you're self
kweli kabisa ❤
nime kukubali sana konki
Mungu akubaliki sana mtumishi
Dudu Baya Nakukubali bro Asante kwa ushauli mzuri ❤
Umenena ukweli Kaka usiwe na tamaa shetani ashindwe
HuYU JAMAA NI MTU WA DINI HAKIKA.Anamwamini Alla! Ubarikiwe sana broo.
Amina YESU KRISTO akusaidie
hilo jengo la posta dudu hilo lillikuwapo muda mrefu sana, kabla ya benjamin ya mkapa madarakani,hata vikao vya bunge vilisha wahi kufanyika humu kwenye jengo lao freemason, freemason imeeanza kupata umaarufu zaidi baada ya social media kuingia kwenye jamii, hao walikuwapo miaka mingi
Duh
Kipind cha bunge liliitwa jina hilo kwani?
Mimi nko Nairobi 🇰🇪 ila itoshe kusema wasukuma ni magenius + Magufuli
Braza nakkubali sanaa"tamgu enzi za nakupenda mpnz song"ongera
DUDU HIZI MEDIA ZINAKUHOJI ZIWE ZINAKULIPA MAANA WW UMEBARIKIWE SANA KUONGEA VIZURI KUWA NA CONTENT NA WATU TUNAPENDA SANA KUKUSIKILIZA. WW NI ASSET SI DHANI KAMA UNAJUA ILO?
Kwa macho utamukumu lkn ana kitu anasema
😂😂😂 Ni kweli Kaka tamaa mbaya
😂😂😂😂 napenda speech za huyu jamaaa
Watu wa matangazo za kibiashara, tukiskiza Dudu Baya mngoje amalize alafu mweke matangazo zenyu za
kibiashara.
Amen..God bless you brother....
Dudu kweli wewe ni mwamba ,toka unamtia mista nice makonde jukwaa nilijua unamwonea kumbe ulikua unampa disprini kwasababu ulimwona kabisa huyu ni mjinga shetani mpenda dezo,hata leo mkenda amajifanya anavihela vya kichawi siku akijichanganya mvimbishe tena pamoja na vipesa vyake
Unataka aende jela tena
Broo DUDUBAYA Naamini sana story zako,,umefika Hadi STARIKE Ndugu yangu;!? Duh!! Mbali sana.
Am from Kenya... Dudu Baya unahitaji kukua mhubirii 😊🙌💪
Konki master aka Dudu BAYA, brother unaongea facts sema masikio ya wengi hayapendi ukwl.
Ukweli mchungu
Usiogope kusema ukweli mahana usiposema ukweli mungu atakudai vizuri mwenye masikio nahasikie
Duh, hakika BWANA MUNGU amejisazia mabaki yake hapa duniani. Ambayo yataubeba utukufu wake katika siku za mwisho.
You're Real bro! Keep it up man! God bless you all the time
Dudu Baya, you are very smart and understandable about Freemason. Please keep faith in God dont believe in Fremason and l am sure God will bless in anyways. You are a guy too
Dudu baya ni Mtu muhimu sana
Mwambaa anajielewa ABARIKIWE SANA na Bwana YESU KRISTO
Tumtumikie yesu
Yesu tena
Hipo, siku watakuhelewa ndugu yangu
Huyu ni nima safi xn
Pat two iko wap
Amina Mungu akupiganie.
Mungu azidi kukusimamia brother uzidi kuwa na misimamo iliyo impala.
Kaka Dudu baya,ni samehe kaka nilikua nakuona kama huna akili, kumbe wewe ni noma sana .unaufahamu wa Hali ya juu. Mungu aendele kukulinda.
Amen
Mwamba dudu baya nakukubali sana mwamba ❤❤❤
Mungu atuokoe na ilo
SAWA KAKA NJIAULIOCHAGUA NISAHIHI
Pamoja sana dudu baya
Unaongea point ila apo penye wakinga umefeli mzee unakadilia
Hapo Mimi ninachokiona ni kukatisha vijana tamaa ya kumtafuta mbona mnawasema Sana wakinga Mimi naona umaskini unawasumbua ndiyo maana muda wote kuwasema wakinga tafuta hela siyo kufurahia umasikini Ili usisemwe na mara nyingi maskini ni kuwachukia matajiri
Yupo sana jamaa vijana matajiri achaneni na pesa za kichawi nimaisha ya presha kama ilivyo pesa za kausha DAMU
Waambie baba yangu
😂😂😂😂Akamwambia
Toka na ujinga wako
Hii Kali sana Mzee Godfrey
Nakuelewa sanakaka
😂😂😂Leo mtu mhim ee sawa ngoja inyeshe tujue panapo vuja
nakukubali sana konki una hof ya mungu❤❤❤❤
Konki nakukubali sana
Kitogo kitutoshe
Safi Sana mbaba Mungu wa mbingu na nchi akutunze sana
Safi sana kaka
Ila dudu mbaya umenifurahisha sana 😂😂😂😂😂
Konki master
Kwan nn uvae sweater wakati unakata jasho hvyo jamani
jamaa weweee😂😂😂
Ukiwanae karibu ukamuuliza utajua ana shida gani ila usizani kwamba ni mshamba ana sababu za kiafya
Nakubali sana dudubaya
I am the dudu nimekuelewa vzr sana port funguka
Hii ndo oil amabayo huwezi kuichafua
Dudu zuri big up Sana , tupo pamoja mkubwa
Mtani humung'unyi maneno big up sana
Dar joto Kali nn mh
Yesu atakuokoa
Dudu baya Wewe ni mwamba
Seja louvado o nosso senhor Jesus Cristo ❤🙏🙏Dudu
Huyu Nkoki ana akili kubwa.
Dudu on the points
PART 2 TAFADHALI
Konki master 🙌
Nakukubali sana kaka
Mr Nice hana chochote hapa 🇰🇪
RESPECT MWAMBA WANGU TUNAYAONA MPAKA UKU UGALIBUNI 🙏
Dah mzee mwezangu nakubali safi sana❤❤❤❤❤❤❤ waache wadogo zako wkageuzwe wanawake huko frimason 😂😂😂😂😂😂😂❤ bgp sana kaka mkubwa.sema usisahau kumuombea Agata muegea kaka.like you brother ❤❤❤❤👍
😂unatisha bana
Kweli kabisa hakika
Tamos juntos big ❤❤❤
𝑨𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒆
😂😂😂😂😂😂😂😂
jengo lilikuwepo ila halikua nikitumika na fremason kipndi hicho limeanza kutumika wakat wa mkapa mwelewe konk bas
ILE SONGI YAKO "NAKUPENDA TU, VILE ULIVYO NAKUPENDA TU, PUA KAMA NGUMI😆😆MENO KAMA NGIRI😅😅
Ukweli kabisa
Safi xn kk
Kama umefanikiwa kusoma ii comment Mungu akupe afya njema na akubariki kwenye shughuli zako za kila siku
Safi nimateso.jehanam.itawatafuna
Dude baya
Mungu atuokoe na ilo
Si huongo
Unajitambua
Ntamuuliza juma lokole kama anapigwaga miti baharini
Dudu baya uwa na kufuatilia xna tena xna kalibia kila cku napnda nifatilie speech zako ,big hp
Tamaa mbaya
Kutu mkenya nimekupenda bure, black and beauty
Nakupenda bure dudu baya
Mungu akulinda kabisa isaya 45-20
SAFI SANAA MDOGO WANGU DUDU BAYA. HUO NI UAMUZI WA BUSARA SANA. MUNGU AKUBARIKI NA AKUSIMAMIE.
Nondo hizo kaka ishi bila masharti baba aka❤🎉 mauwa yako
Kavaa sweta lakn anafuta jasho dudu vp mamba
Wewe na hao freemason's hakuna tofauti Rudi kwa Allah sio yesu umeruka mkojo ukakanyaga mavi
Acha usenge ana akili yake timamu anajua aabudu nn
❤❤❤ Dudu sikuzote unatoa point tu...