Best Naso - Nipe Nafasi (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 153

  • @esterNzella
    @esterNzella 5 หลายเดือนก่อน +20

    Tunaoangalia mwezi huu wa saba 2024 tujuane, naupenda sana huu wimbo

  • @AbdurBonge
    @AbdurBonge 29 วันที่ผ่านมา +2

    Leo tarehe 1 mwenzi 12 mwaka 2024 naangalia hii video nakumbuka papaso enzi hizoo na djaro arungu tbc fm

  • @ShannyPatrick
    @ShannyPatrick 11 หลายเดือนก่อน +50

    2024 still watching👀

  • @mtewasteven7103
    @mtewasteven7103 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah ila hiii nyimbo,,, ukiiiwaza sana melody yake inaweza kukutoa machoz

  • @minzamichaiealmayuma5675
    @minzamichaiealmayuma5675 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hata mm nakushauli ungeuludia upya huu video ungekuwa bonge la Ngoma kaka angu

  • @aloysiusrwehumbiza2229
    @aloysiusrwehumbiza2229 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hii verse ya kwanza iko very deep, bahati mbaya Naso ailiinyima nyama sana hii. ✊

  • @susankareri8507
    @susankareri8507 4 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani miaka kumi yote bado napenda huu wimbo 25 August 2024

  • @petermaroaofficial
    @petermaroaofficial ปีที่แล้ว +9

    2023🎉🎉😂❤ tunawakilisha kwa mpigo 💪💪

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 ปีที่แล้ว +13

    iih Ngoma ungeishoot upya ingekamata namba moja trending ni bonge la ngoma

    • @samirnasr5571
      @samirnasr5571 ปีที่แล้ว +1

      nakuunga mkono

    • @deusmasasila4404
      @deusmasasila4404 8 หลายเดือนก่อน

      Hata angeludia mara kumi bado 0 au upo kanda ya ziwa eeee hakuna msanii hapo

    • @jema2140
      @jema2140 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @RoseAkinyi-c8n
      @RoseAkinyi-c8n 5 หลายเดือนก่อน

      Exactly

    • @RoseAkinyi-c8n
      @RoseAkinyi-c8n 5 หลายเดือนก่อน

      Exactly

  • @paulmutoro2687
    @paulmutoro2687 10 หลายเดือนก่อน +3

    Shoot upya huu mziki ni bonge la ngoma mkuu

    • @Matimila_Boy
      @Matimila_Boy 7 หลายเดือนก่อน

      Point sana hii ashuti upya

  • @konderaeriasi6251
    @konderaeriasi6251 หลายเดือนก่อน

    Yan best naso ninoma sana huu wimbo naupenda sana naomba urudie video

  • @Richielubua
    @Richielubua ปีที่แล้ว +21

    Ungei shoot upya hii ngoma🔥🔥🔥

    • @Mumbere-yk4sg
      @Mumbere-yk4sg ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabsa

    • @harsondickson9628
      @harsondickson9628 7 หลายเดือนก่อน +1

      WAZI KABISA NA INGEKUMBIZA BABU @Bestnasso Fanya Kweli Basi Mkuuuuu TAFADHALI

  • @MasanjaAnthony-m2u
    @MasanjaAnthony-m2u หลายเดือนก่อน

    Kabla mademu hawajajua elaaaa

  • @TitusWaita-y8p
    @TitusWaita-y8p หลายเดือนก่อน

    Woow !sauti zuri ya kutoa nyoka pangoni,jane from kenya, big up bro keep up

  • @indiansonglomanticlove8493
    @indiansonglomanticlove8493 ปีที่แล้ว +6

    Daaa hii ngoma inanifanya Nakumbuka enzi hizo ukijua kuimba Basi lazima upate dem

    • @medanedward2781
      @medanedward2781 ปีที่แล้ว +1

      Dah achakabisa hinyimbo madem nimepitanaosana 😂😂 bestinaso ujengewe Sanam Dodoma ikulu

  • @DillisWanyonyi
    @DillisWanyonyi 10 หลายเดือนก่อน +4

    My favorite Nasso 🥰🥰🥰

  • @godlovephilemon5626
    @godlovephilemon5626 หลายเดือนก่อน +2

    Niko hapa Leo 2024😅

  • @Mohamed-l2g4t
    @Mohamed-l2g4t 10 หลายเดือนก่อน +11

    2024 watch in Tabora

  • @marcelmworia
    @marcelmworia 24 วันที่ผ่านมา

    pande za mo town namkubali mwamba ile sanaah tu:"

  • @PaulKadikilo
    @PaulKadikilo หลายเดือนก่อน

    Heshma kwa kazi nzr

  • @SameerMohamed-m7g
    @SameerMohamed-m7g หลายเดือนก่อน

    Kaka huyoooo

  • @komelepeter7595
    @komelepeter7595 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ifanye remix,mueke Joh makini af video moja kali

  • @SpackMagafu
    @SpackMagafu 3 หลายเดือนก่อน

    ah zamani sana kaka Ngoma Kali hii

  • @ZuwainaG
    @ZuwainaG 7 หลายเดือนก่อน

    Nakukubari sana Nasso fanya urudie tenaa aisee huwa sichoki kabisa kumsikiliza hizi nyimbo zako na ule wimbo wa Mamu wa dar

  • @kalumunakalumuna7403
    @kalumunakalumuna7403 2 หลายเดือนก่อน

    Bonge la wimbo

  • @francismwasi5381
    @francismwasi5381 ปีที่แล้ว +15

    When music was a really music.
    Hii ngoma n Tamu .....listening 2023

    • @ANNADENYA
      @ANNADENYA ปีที่แล้ว

      That's true

  • @NeemaOnsama
    @NeemaOnsama ปีที่แล้ว

    Neema onesmo naso wewe ni bonge la super staa.kwakweli nyimbo zako ni darasa Tosha uko tofauti sana na diamond big up sana kaka usibadilike nakupenda sana

  • @rachelmashauri1562
    @rachelmashauri1562 3 หลายเดือนก่อน

    This song mweee ❤❤❤ naupate sportfy

  • @EvanboyMnyama
    @EvanboyMnyama 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tamu hadi sasa

  • @JUMANNEMBILI
    @JUMANNEMBILI หลายเดือนก่อน

    ❤ nasso king music in africa

  • @exestusidaudi7385
    @exestusidaudi7385 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kitambo Sanaa Nyakati Zinaondoka Aisee😢😢

  • @paulgitau7781
    @paulgitau7781 8 หลายเดือนก่อน

    i say hii Ngoma kali..mashairi na Mistari iliyokwenda shule..Nitajisifu kwa watu Nyota yangu kali..❤❤❤

  • @CésarBuuma
    @CésarBuuma 2 หลายเดือนก่อน

    Courage Big Brother

  • @emanueljerady
    @emanueljerady 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwezi wasaba 2024

  • @reubesfinest8252
    @reubesfinest8252 3 หลายเดือนก่อน

    BEST NASO TUNAOMBA URUDIE HUU WIMBO .🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MsafiriAsende-bg9ec
    @MsafiriAsende-bg9ec 11 หลายเดือนก่อน +3

    2024 but still 🔥🔥🔥

  • @happynation4759
    @happynation4759 ปีที่แล้ว

    Nataman nikuone ila ndo haiwezekan ila kiukwer me nakukubal sana we❤❤❤❤🎉

  • @RenathaJohn-y6b
    @RenathaJohn-y6b 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka imetisha sana
    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @emanuelemanuel5350
    @emanuelemanuel5350 11 หลายเดือนก่อน +1

    Uwakikaaaa

  • @DaybreakCharity
    @DaybreakCharity 3 หลายเดือนก่อน

    Nani alikua na walkman ,haungekosa kuskia hii kwa Kijiji ❤

  • @MariamSalim-s7g
    @MariamSalim-s7g ปีที่แล้ว

    Nyimbo saf ishoot tena itawaka sana

  • @dalmasleina3501
    @dalmasleina3501 11 หลายเดือนก่อน +1

    wow what a song much love from Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jema2140
    @jema2140 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri biti lake tuu yani matata

  • @rukiakishar1155
    @rukiakishar1155 ปีที่แล้ว

    Naomba ushuti upya bonge la song sana❤❤❤

  • @cletusdeusdedit6740
    @cletusdeusdedit6740 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂ngoma kali sana like kwa nasso 2024❤❤❤

  • @DEOGRATIUS.745
    @DEOGRATIUS.745 4 หลายเดือนก่อน

    ❤ nasso wear together 2024

  • @IreneNdoloma
    @IreneNdoloma ปีที่แล้ว +1

    Naso for Life

  • @EMANUELNGANGA
    @EMANUELNGANGA 3 หลายเดือนก่อน

    Nice song❤❤❤

  • @JaphetYona-lt3hh
    @JaphetYona-lt3hh ปีที่แล้ว +1

    Nakuomba best nasso ushoot upya hii ngoma itapendeza Xana by japhet nikiwa Mozambique

  • @AdolpheMuhindo-mz1sr
    @AdolpheMuhindo-mz1sr ปีที่แล้ว

    Shoot tena the best ❤naso

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 11 หลายเดือนก่อน +5

    Whose here 2024

  • @manase_fast_courier
    @manase_fast_courier 5 หลายเดือนก่อน

    kaitolee upya hii video...utapata viewers wengi sana

  • @UshindiRigober-wf5xr
    @UshindiRigober-wf5xr ปีที่แล้ว

    J'aime beaucoup vraiment félicitations monsieur best

  • @TambaHamisi
    @TambaHamisi 11 หลายเดือนก่อน +2

    2024 tamba kama tamba

  • @barnabasasl
    @barnabasasl ปีที่แล้ว

    Mbona Ngoma unazipandisha saiz alaf za MDA izo zingepanda wakati huo Saiz ungekua mbali Sana ila big up Sana broo

  • @izoomwangena2080
    @izoomwangena2080 ปีที่แล้ว

    Aminia 2 zile wakati Sana 2 best💯😀

  • @RajabSimeo
    @RajabSimeo หลายเดือนก่อน

    Enziizo nilikuwa mama ananiosha rakuni et saiv nina demu na mimi jamani miaka inasepa

  • @mbarakasaidi8243
    @mbarakasaidi8243 29 วันที่ผ่านมา

    Enzi za dj arungu

    • @AbdurBonge
      @AbdurBonge 29 วันที่ผ่านมา

      Papaso enzi hizo hatareee

  • @EmmanuelDaud-hc5wc
    @EmmanuelDaud-hc5wc ปีที่แล้ว

    I really appreciate this song ❤️ big up Best Nasso

  • @PiliSelemani-bq1qg
    @PiliSelemani-bq1qg 7 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana kaka ❤😅😅😅

  • @makumboproduction
    @makumboproduction 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka 2009 ngoma inaishi sana😢

  • @DenisNtori
    @DenisNtori 4 หลายเดือนก่อน

    👍👍 tupo

  • @JayOfficialca
    @JayOfficialca ปีที่แล้ว

    Ungeirudilia naku ishoot upya mana nyimbo ya taifa 🫡 @best nasoro ❤️

  • @mumukinga8327
    @mumukinga8327 11 หลายเดือนก่อน +1

    2024 nauckliza mziki ulkua mtam kpndi hicho

  • @ngongopaul4417
    @ngongopaul4417 8 หลายเดือนก่อน

    Hizi nyimbo kama anaweza naso azirudie,,

  • @fatumajuma7821
    @fatumajuma7821 ปีที่แล้ว

    Nyimbo yngu pedwa kabisaa😍😍

  • @johnnyamase7662
    @johnnyamase7662 ปีที่แล้ว

    Ungerekodi upya hii nyimbo kali Sana 🔥🔥

  • @chedpayo
    @chedpayo ปีที่แล้ว

    Diamond wa zamani 🙏🙏🙏

  • @Netpreneurementor254
    @Netpreneurementor254 4 หลายเดือนก่อน

    Would like to have a revised video of the same. This song is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lichilasalumu7983
    @lichilasalumu7983 ปีที่แล้ว

    Kaka ngoma shoot tena hii

  • @EmmanuelKamaka
    @EmmanuelKamaka ปีที่แล้ว

    Mwanangu shootupyangomahiibongeyakitu

  • @AnordErio
    @AnordErio ปีที่แล้ว

    Bonge ngomaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @faithjunior7993
    @faithjunior7993 ปีที่แล้ว +2

    Always my favorite jam💥

  • @muambolymz
    @muambolymz 6 หลายเดือนก่อน

    noma sana

  • @knourisgalis199
    @knourisgalis199 ปีที่แล้ว +1

    Woow My fav Nasso😋😋😋🥰🥰

  • @GreatballersEver
    @GreatballersEver 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa askie kilio na acheze his ngoma upia

  • @sbchris2277
    @sbchris2277 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka utotoni

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani haya maisha acheni tu
    😂 nakumbuka miaka 15 iliyopita nilikuwa namaisha yakawaida sana wakati huo nilikuwa nikiangalia watu wanaweka cd kwenye gar nakuplay nyimbo naishia kutamani tu lakini sasa namiliki ndinga yangu Jamani jamani haya maisha ni fumbo kubwa sana anayejua ni Mungu tu 😊,

  • @lauxzayzubhakwa2147
    @lauxzayzubhakwa2147 ปีที่แล้ว

    Hotest one I like it,I appreciate you 🕊️

  • @LudeofficialXworldwide
    @LudeofficialXworldwide 4 หลายเดือนก่อน +1

    I'm Still watching in this year 2025 👀👀

  • @nsumbaboy3549
    @nsumbaboy3549 ปีที่แล้ว

    Nyimbo mzuli sana

  • @BarakaYusuph-wv9ub
    @BarakaYusuph-wv9ub ปีที่แล้ว

    bonge la ngoma kat ya ngm zk zktmb naz zkbli ni ikwem na hii bg up my bro👍💥By bk fro tz mara

  • @2002ago
    @2002ago 10 วันที่ผ่านมา

    December 2024 likes zenu jamani

  • @Matimila_Boy
    @Matimila_Boy 7 หลายเดือนก่อน

    Ngoma ya karne

  • @stevenmushi6538
    @stevenmushi6538 ปีที่แล้ว

    That is best Song of my life ❤

  • @AmosDaud-z1b
    @AmosDaud-z1b 5 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @nsumbaboy3549
    @nsumbaboy3549 ปีที่แล้ว

    Itolee video nzur

  • @fredyjames4327
    @fredyjames4327 4 หลายเดือนก่อน +1

    2024 still watching

  • @ZuenaAmri
    @ZuenaAmri 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @sabrinasarakikya1578
    @sabrinasarakikya1578 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @sylvesterjoseph4575
    @sylvesterjoseph4575 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma nikali miaka yote haichuji

  • @streetconatv100k
    @streetconatv100k ปีที่แล้ว

    Tunaomba hii nyimbo ushoot upya mkuu

  • @jeremiahmussa2178
    @jeremiahmussa2178 ปีที่แล้ว

    Nyimbo kali

  • @bibe6969
    @bibe6969 ปีที่แล้ว

    My favorite 🥰🥰🥰

  • @AgathaAndrew-j8s
    @AgathaAndrew-j8s 7 หลายเดือนก่อน

    🥰🥰🥰

  • @gracemwacha3254
    @gracemwacha3254 11 หลายเดือนก่อน +1

    2004😂😂❤🎉

  • @MakenziKiruru-f8y
    @MakenziKiruru-f8y 4 หลายเดือนก่อน

    Iimbuluchangula

  • @paulwanyoike9269
    @paulwanyoike9269 ปีที่แล้ว

    HUMBLE REQUEST:kindly redo this music,or make a remix of it,its sweet but quality ya audio na video balaa

  • @lioneldanford9652
    @lioneldanford9652 10 หลายเดือนก่อน

    ❤ 2024

  • @nefesmoses2026
    @nefesmoses2026 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤❤❤