Nakumbuka 2009 na 2010 huu wimbo ukipigwa hakuna mtu atakae kaa kipind cha kiangazi kwenye maharusi kahama vijijini ngogwa1 hyo daaaaa watu tunatoka mbali…?
Mimi Kama Maber Wa Best Naso Naomba Niliweke Sawa Hili Lakuhusu Uzipandisha Hizi Ngona Zote Za Zamani Mwanzo Hazikua Kwenye Account Ya Best Nasso Zilikua Kwenye Channel Zingine Ko Kaamua Kuziweka Kwenye Kituo Chake
Wanaosikiliza wimbo huu leo 15/01/2024 like please
21/01/2024
Metishaaaaaa
Asee umetsh🤣🤣🤣🤣🤣🙃🙃🙃
04/06/2024
Leo 11 des nasikikiza hii nyimbo ila nasso ww hujawahi feli mziki wako unaujumbe mtamu sana
Rudi mze baba kazi zako nazikubari 2024 me 10
2023 tupo? Gonga likes tujuwane 🥰
2024 mwezi wa 12 tareh 9 😢🎉nimekumbuka vi2 roho imeuma had machozi daah 😢😢 bc2 lakin congratulations BEST NASO 🫡🫡🎉
nomaaaaaaa
Wakina shabani wille 08/05/2024
Like kwa wanangu wa best nasso
Nakumbuka kipind hicho ikipgwa disco hatareee
Naumia sana nikisilikiza huu wimbo nakumbuka mbali❤
Yaan napenda nyimbo za best naso sana kwanza n nyimbo zenye mafunzo na zina uhalisia wa maisha watu wanayoishi kwa sasa😢
Hanifa uko sahihi kabisa kumuekimiaha mdogo wako ❤❤❤nawapenda Sana .
Huyu ndo star wangu
Nakumbuka mbari sana mpaka naumia niiskiriza😢😢😢😢
tulio zaliwa kabla ya huu wimbo tujuwane🥰🥰🥰🥰
Tunaosikilza hili Ngoma 10.10.2024 tujuane
Nakubali. Nasikiliza. Huu wimbo. Tarehe. 19.12.2023
Leo Nov 12 ,2024.
Daaah hii nyimbo ipo
KAZI zuri sana huwa napenda nyimbo zako sending love 🥰🥰 from Kenya
Kitambo kilee natrokaga nymban kuanalia ngomazako
Na mjomba mjomba mtukule nilikuwa napapenda hapo😂😂😂
Huu wimbo haupo audimack pleease Uwekeni basi ❤❤❤❤
Possible mistari mdigu
Huu wimbo naupenda sana jamam❤❤❤❤
Mungu aliumba kipaji juu ya kichwa cha huyu mtu aiseee ❤❤❤❤❤
Tupo 2024
Shuwa boy naupenda san huu wimbo
Nasikiliza hii nyimba 21.12.2024
Mi nasikilizia Leo tar 10-04-2024
Daaah mwamba hyo
Naipenda sana❤❤
My légende mziki wako aupoteaki
Nakumbuka mbali sana
napendasana
Poa sana kk
🎉🎉🎉🎉🎉
Leo nasikiliza 07/09/2024 wimbo mtamu sana
Kaka una weza kweli
Leo 23.8.2024.laanaaa mzee baba
Wimbo mzuri
Noma xannn broo
Kitambo sn unapenya kwenye skio❤
Daah sanaa
13-12-2024 tupo apa
naso msoma moja
Nakubari Sana members wa Mason nakumbuka Sana Nope nafasi pamoja na tuna pale busurwa kwa oyata guest long time a go
Une musique que j'aime beaucoup mon frère courage !!
Wanaosikiliza mwezi 5 2024 tujuane
Nakukubali xn my friend
Date 01/01/2025. Duuuuh mapaka leo mungu yupo pamoja nasi
Ngoma ambazo zinaishi muda wte
Nyimbo zakoo hazichuji kwangu nakukubali sana
Oi meu amigo, está música e muito bom sei que e de a muito tempo, mais valeu brow já deixou a mensagem para nossas mulheres 🇲🇿🇲🇿👍🇲🇿🙏🏾☝️👍🏾
Huyu jamaa ni mwamba wakongwe tunajua.
Wanao sikiliza goma hii 21/6/2024
Kazi nzuri
🥰🥰🥰❤❤❤❤God bless you
Bloo nakubali hii song 🎵 ni long time ago nikiwa buhemba...salute sana nakubali kazi yako
2024 like kama tupo pamoja
Kwakweli wanawake hugeukageuka kwa kuangalia pesa bila kujali penzi la dhati
enzizile
Nipo naisikiliza mda huu 10.10.24 siku yangu ya kuzaliwa
Good
Nasso
Leo tar 01/12/2024 mbal sana nmekumbuka
Date 16/3/2024
Tbt
j'aime cette song
Nakumbuka 2009 na 2010 huu wimbo ukipigwa hakuna mtu atakae kaa kipind cha kiangazi kwenye maharusi kahama vijijini ngogwa1 hyo daaaaa watu tunatoka mbali…?
😢😢😢
2023😍😍😍 Back days 😊😊
Sana mkuu nakukubali San
Brow eu queria ti pedir que fizemos mix de essa música!
mm naiskliz leo 16|4|2024
2023❤
2023
Pig like kama tupo pamoja 9 -6 2024
11/06/2024
Hii leo 20.08.2024
Mimi Kama Maber Wa Best Naso Naomba Niliweke Sawa Hili Lakuhusu Uzipandisha Hizi Ngona Zote Za Zamani
Mwanzo Hazikua Kwenye Account Ya Best Nasso Zilikua Kwenye Channel Zingine Ko Kaamua Kuziweka Kwenye Kituo Chake
muurizeni uyo mutot namukumbuka anitafute
Wanao sikilizia wimbo huu Leo tarehe 16/01)2024 like zenu jaman
@@annahmussa8181 mm nasikiliza Leo 24/1/2024 wimbo Mzuri sanaa huu