*DJ DIS BOY 255TZ BRAND NEW BONGO MIX VOL.24 2022* Habari ndugu mzikilizaji wa mix zangu nimekusogezea vol 24 ya brand new ngoma zote Kali zipo Apo gusa link kusikiliza na ku download👊 *hearthis.at/djdis-boy-tz/dj-dis-boy-255tz-brand-new-bongo-mix-vol.24-2022* Kusikiliza na ku download kupitia audiomack hapa🫡👇 *audiomack.com/Dj-Dis-Boy-255tz/song/dj-dis-boy-255tz-brand-new-bongo-mix-vol-24-2022* Listen like and comment
Kiukweli bado tunakuitaji sanaa kwenye game sema ndo ivyo tena game imebadilika watu cku iz ni mapiano tu ila kwa sisi tunaojua umuhimu wako bado tupo p1 na wewe tunaeshimu sana talent yako na tunakupenda pia one love ❤ brother from another mother
2024
Bado nyimbo zako nazikubali bro man maji 👏👏👏
Eeiiiiiii man much lovee from Kenya 🇰🇪 😍😍😍😍😍
Remmy One Was here....this Gai...stil on the game, , Mkali wao
Chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Thanks for this,I have been waiting for it
*DJ DIS BOY 255TZ BRAND NEW BONGO MIX VOL.24 2022*
Habari ndugu mzikilizaji wa mix zangu nimekusogezea vol 24 ya brand new ngoma zote Kali zipo Apo gusa link kusikiliza na ku download👊
*hearthis.at/djdis-boy-tz/dj-dis-boy-255tz-brand-new-bongo-mix-vol.24-2022*
Kusikiliza na ku download kupitia audiomack hapa🫡👇
*audiomack.com/Dj-Dis-Boy-255tz/song/dj-dis-boy-255tz-brand-new-bongo-mix-vol-24-2022*
Listen like and comment
Kiukweli bado tunakuitaji sanaa kwenye game sema ndo ivyo tena game imebadilika watu cku iz ni mapiano tu ila kwa sisi tunaojua umuhimu wako bado tupo p1 na wewe tunaeshimu sana talent yako na tunakupenda pia one love ❤ brother from another mother
Shukrani sanaaaa
oya kaka chapa nyimbo zake zote unajua 🎉🎉🎉🎉🎉 tupe mix kk
Noma noma asiliami ishirini salatute bro😘😘😘
Huna mpinzani kaka rudi kwenye game ya mziki wako mzuri sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua yako kaka
Rudi kakA utupe maoni
Pamoja sana bro
Twenty salut San
Tunakuitaji 20% sana sana
Alishaka enda wapi?
Cool bro
20% my fav
Heshma yako kaka
Wewe daaa Yan mwamba upewe maiwa tu😢😢😢😢
good mix , kaz nzuri
S3mjey ms. Q 4se
Miaka 100…!❤wachache sana watu Kama nyie🙏🙏
Tuko pamoja sana kiongozi
Maro from Rock city Mwanza Kwa sasa nasikiliza Ngoma zako nimefarijika Sana .I like your idea of Rihims in bongo flava
Yes follow me on Instagram @ *dj_dis_boy_255tz* down load my on hearthis DJ dis boy 255tz
20 ni mwamba sana 06/09/2023 bado nakusikiliza mwamba heshima kwako kaka mkubwa 🤝🤝🤝💯💯💯
nakubalisana
20%/ mwamba
Bado tunasikiliza migoma hii jombaa
Noma thana
Oy unyama sana mwamba kula 👊👊
Rudi mchezoni kaka tutakusaport
🎉
Old is Gold
Siopoa.hiimeenda
Noam
Mkaliii uko juu mbona 20% amepotea sana
Kbx
11,8,2023😢😢😢 kukusau ningumu
Alishaka enda wapi ?