MWIJAKU Atema CHECHE "DOTTO MAGARI Laana ZINAMTAFUNA/Alikuwa MWIZI"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- DC wa Instagram Mwijaku anasema kuwa Dotto Magari hawzi kupata mafanikio makubwa kama aliyopata yeye na Baba Levo kutokana na maisha yake ya nyuma ya wizi na ukabaji
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Mmmh mwijaku upo sawa
Dotto magari mtoto wa mjini zaidi yako bhanaaaa
🤣🤣🤣🤣 Mwijaku Umeyakanyaga kwa doto magari ngoja tuone 😂😂
Mwijaku watakukaba ukiwa unatoka kazini mana wanajua una milioni5+
kisaikolojia hauko sawa ubaya uliofanya unakutafuna ata uso wako unajieleza , ila pole sana kk
aisee dotto magari amesababisha machawa wawe na akili
Eti ulinikaba 😅😅 9:01
Mzungu wa reli😂
Kizungu jamani don't dicribe a book 😂 (Don't judge a book)
Varsity hiyo 😮
Usikariri maisha ndugu
Sasa ku judge na ku describe Kuna shida Gani
Acha kukariri ndio ukakosoe watu
Mungu akuepushe na usuda😅😅😅
Umbea t kuoga aaaa😅😅😅
Haya sasa Masoud Kipanya Anataka Billion 5 utazicheua??
Qweli dotto adi msami ana nung'uniqa nayeye alimuweqa ndani qwa tuhuma za mauaji
Daah eti ulinikaba 😂😂😂😂
Huyu jama akiona pesa 😅😅
Hivi huyu jamaa ana akili kweli ipo siku atayamunya
Mzungu wa reli hahah
Dont judges a book but its cover
Don't judge a book by it's cover ni grama english
Don't judge a book according to it' s cover
Don’t judge a book by its cover Tanzania English ni lugha ya kigeni🇰🇪
Sio Luka ni Lugha
Nyooo eti luka 😅😅😅bado hujasema
Mpaka SSA English ya Kenya na Swahili ya Tanzania 3-3
@@davidlaiser8174Bora uelewe nachokisema
@@annaphi2427Afadhali English Swahili ni kule Tanzania tu
Very true lugha ya kigeni.A degree holder can't construct a grammatically correct sentence.sad!!!
Mwijaku ndo chawa tajiri saidi
Hata wanaosahihisha English ya M baado changamoto
Don't describe a book by its cover....Iyo sentensi iko sahihi...Sema watanzania wamekariri walio fundishwa dont judge a book by its cover.....wanafaa wajue English is very rich in words ....you can change a word but still the meaning ikawa sawa
Hili jamaa lina akili
Utaheshimiwa kwa kulamba viatu vya watu?? Unauza mke wako bado unajisifia pumbavuuuuuuuu
Duh