KAJALA agoma kuongea na HARMONIZE kwa hasira ,nina mchukia sitaki kumsikia kabisa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @zai3644
    @zai3644 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nyie watu wa media ni wabaya sanaa

  • @raiyasaid2866
    @raiyasaid2866 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kwahyo hapo mlienda kumuangalia K tu khaaah 😂

  • @SilaMinanda
    @SilaMinanda 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hahahaha! Jeshi ni mmoja

  • @achiaamina3773
    @achiaamina3773 4 หลายเดือนก่อน +10

    Tatizo la nyinyi Wana habari niwa mbea wambea Sana ,,

  • @Starbrunodg
    @Starbrunodg 4 หลายเดือนก่อน +5

    Sijuwi anajikutanani naiyopara😂

  • @salumuomari
    @salumuomari 4 หลายเดือนก่อน +7

    Nimegundua kajala anampenda jesh

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 4 หลายเดือนก่อน +5

    Armo bado anampenda kajala, shida yake walipoachana aliongae mengi pamoja na kuwa na mwenye mahisp lakino bado anamlilia kajala, wow kajala ni kijala upo hapo

    • @twaibuiddy6851
      @twaibuiddy6851 4 หลายเดือนก่อน

      Ss hapo aliyepanik kajala alaf unasema harmonize tena siku zote mkiachana anaeumia zaid ni mwenye upendo kwa mwenzie

  • @Dianaf774
    @Dianaf774 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda sana kajala❤

  • @mussangalawa2403
    @mussangalawa2403 4 หลายเดือนก่อน +2

    Daah anajikaza mama wa watu laken kiukwel moyo wake unamlipuka akimuona Rajabu dah

  • @pmfalila
    @pmfalila 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hoshen lod, saplaizi, jifunzeni matamshi hii ni aibu kubwa sana

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 4 หลายเดือนก่อน

      Ati nao ni watangazaji 🙄

  • @salimanguzo5553
    @salimanguzo5553 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kazingumu 😂😂

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa wote bado wanatakana 😅then kajala huwa simuongeaj Sana na n mshy ,hii haimansh kamchukia harmo au kumuogopa ,tunajua watu wa media huwa na upuuz tu

    • @zenabali568
      @zenabali568 4 หลายเดือนก่อน

      huwa hawananga cha kuongea,so wanatafuta kiki kwa fitna

  • @user-zg5vp9xq1y
    @user-zg5vp9xq1y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakubali bado anampenda

  • @zamdabatezi3766
    @zamdabatezi3766 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hawa waandishi niwasenge sana mm ningepasua hiyo kmera amonaizi nahz mambo wap na wap

  • @amanduspanema3443
    @amanduspanema3443 4 หลายเดือนก่อน +18

    Bado anampenda mwambaaaaa!!!,

    • @babalao910
      @babalao910 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wanawake ndio walivyo, Bado anampenda.

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 4 หลายเดือนก่อน

      Toka ameachana na amo ajapata kama amo so laziama amkumbuke

    • @AbdallahMsangi
      @AbdallahMsangi 4 หลายเดือนก่อน

      Mwamb akuachie nding usimpend kweli😂

  • @innocentmgaya5688
    @innocentmgaya5688 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ustar jau kichiz Yan

  • @esterstaphord5184
    @esterstaphord5184 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nyieee waandishi ni wanafkiii tena masnichiii .... wagombanishi looooh

  • @user-vy3wi4pp8u
    @user-vy3wi4pp8u 4 หลายเดือนก่อน

    Hahahahahah kajala pole mama

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi mnakazania Kajala na Harmonize hamjui kuwa walisha achana? Mnataka waseme nini sasa

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kajala ata muonekano wake umepotea kbsa... alivyokua na harmo... sura ilikua imejaa nuru....lakin xai ako kmya masikin anaugulia pole pole.....😢😢

  • @victoriakapele8682
    @victoriakapele8682 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mtoto wa masanja

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waandishi Vilazaaaaa

  • @user-bn6zl6ol6y
    @user-bn6zl6ol6y 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wa media mhhh

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wapumbavu sana hawa kazi yao ni uchonganishi

  • @farajaamon9101
    @farajaamon9101 4 หลายเดือนก่อน

    Happy women’s day Mtangazaji

  • @user-gw1cy6vd6r
    @user-gw1cy6vd6r 4 หลายเดือนก่อน

    Hii shughuli ni ya lamata au kajala

  • @rashidhamis5320
    @rashidhamis5320 4 หลายเดือนก่อน

    Bado ❤❤❤❤❤❤

  • @user-fg8hg9fe1w
    @user-fg8hg9fe1w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Saà hii anakula ugali na dagaa la mbilimbli sheènzi😂😂😂

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 4 หลายเดือนก่อน

    Kitambi kuisha kaz mazoez yt kajala lakin bado

    • @user-wd2bc7bf5x
      @user-wd2bc7bf5x 4 หลายเดือนก่อน

      hafanyi mazoez kwajili yakutoq kitambi anafany kuimarisha mwili

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani mmekuja kumfatilia kajala tu mbwa nyinyi

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน +3

    Waandishi au hawa wenye hizi media za kipuuzi ndo maana Magufuli alizipiga marufuku. Yaani mmekaa kuongea habari za hao watu badala ya kuwaelimisha jamii mambo yanayohusu tukio

  • @christinagervas2134
    @christinagervas2134 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ss hoshen lodi ndio nn jmn

  • @user-iw8yv6zq6q
    @user-iw8yv6zq6q 4 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi hua hayaishi bana' wanapendana

  • @ARIELLAMITCH
    @ARIELLAMITCH 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @majutoeliasi
    @majutoeliasi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Moyoni anafura kumuona mume wake wa zamani

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน

      Mume wake? Walioana?

  • @sumasullesulle85
    @sumasullesulle85 4 หลายเดือนก่อน

    Jeshiiiiiiii

  • @user-jo8sb8ud2h
    @user-jo8sb8ud2h 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Media jamani mwanisinya umbea mtupu

  • @user-gi9cx2qq5y
    @user-gi9cx2qq5y 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa huyu shush hermo anamtakia nini

  • @joyRozy-xb9qj
    @joyRozy-xb9qj 4 หลายเดือนก่อน

    Kajl bad anampends

  • @user-iy1ux3sy7j
    @user-iy1ux3sy7j 4 หลายเดือนก่อน

    Ugumu mnauleta wenyewe mnakuwa kama wase maisha yaendelee nyie mnauleta UK wenu

  • @user-ic4ov6kb6u
    @user-ic4ov6kb6u 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @gregory6165
    @gregory6165 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmezidi umbea na nyie😅😅🤣🤣😂😂

    • @amedeuskimario8895
      @amedeuskimario8895 4 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha lakin ndo vzr watupe maukuda na ndo Kaz ya mwandishi

    • @HappywWilibrodi
      @HappywWilibrodi 4 หลายเดือนก่อน

      Sanaa😂

  • @user-rl9pt6fm8e
    @user-rl9pt6fm8e 4 หลายเดือนก่อน +5

    Muwe mnaangalia wakudate nao sio wapumbavu kama harmonyoko

  • @laurarashid9153
    @laurarashid9153 4 หลายเดือนก่อน

    Mna usenge sana waandishi wa tz...mpaka aibu dah.Kwahyo tukio lote hilo mmewaona hao washenz wawil mbwa nyie

  • @PINKBALAA-mx2fz
    @PINKBALAA-mx2fz 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉😅😅😅😅❤

  • @GracieuseMbinga
    @GracieuseMbinga 3 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi mubaya kabisa

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kuma mamazenu

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @JulianaOduor-dn9ry
      @JulianaOduor-dn9ry 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @GuezBoy
    @GuezBoy 4 หลายเดือนก่อน

    Lakini wakosawa

  • @MBAmir-bl9sd
    @MBAmir-bl9sd 4 หลายเดือนก่อน

    Shinda yenu umbea ndo mwingi

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 4 หลายเดือนก่อน

    Mwandish kumanyoko tunataka elimu umekomaa na kajara nyoko

  • @user-yl3ty1od2p
    @user-yl3ty1od2p 4 หลายเดือนก่อน

    Bila Wana habarikuwa wambea habari izi mngezipata wap nyie vp

  • @user-ji9wf9dh8h
    @user-ji9wf9dh8h 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani nyie watangazaji ni wambea tn wajinga sana

  • @user-fg8hg9fe1w
    @user-fg8hg9fe1w 4 หลายเดือนก่อน

    Sura imekomaa kama mchimba kokoto 😂😂😂

    • @user-ih2kc7ie1e
      @user-ih2kc7ie1e 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan amekwambia haja komaa jaman pia ww utakoma

  • @Angie-sr8ln
    @Angie-sr8ln 4 หลายเดือนก่อน +1

    Harmo na kajala bado wanapendana si eti

  • @Ontuzu
    @Ontuzu 4 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 4 หลายเดือนก่อน

    tattoo walizochorana shingoni zinawagharimu

    • @gregory6165
      @gregory6165 4 หลายเดือนก่อน +1

      sijui huo ujasiri wanatoaga wap