JAMAA KAONESHA JEURI MBELE YA WAREMBO WOTE/ SABABU WAMEMKATAA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- Usikose kutazama HELLO MR RIGHT kila jumamosi ifikapo saa 4 kamili usiku kupitia @stbongotv ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (Antena) CH 401 (Dish) #HelloMrRightShow2 #Mara100Zaidi
Safi sana una akili kubwa umetoa jibu ambalo hakuna aliyelitegemea honestly hao wabibi huendani nao wanaonekana screpa sana😜😜
😂😂😂😂
Siyo kisa wamemkataa..... ni kwa sababu naye hajaona kama wana vigezo vyake, PERIOD!!
Safi sana leo umewaumbua
Nimecheka kwa sauti hapo kamtafute iyobo, shikamoo aunt 🤣🤣
Kakaetu msabato kwan imekuaje, 😢😢😢😢😢😢 wanawake tulivojaa uku makanisan mweee😂😂😂😂
Hao mademu wengine ni wezi tu wasumbufu tyu wamedangaa wamechoka sasa hpo nikuuza suraa🤣🤣🤣🤣🤣
hahaaha umeona eeh, wote wadangaji hapo hakuna kitu
Na wanaume.waliopo hapo je?
Umelaya mambo leo
Vitu kama izi mm uona haibu umeosha uje kusimamisha mwili hapo haibu
Sawa sawa mbuzi hao wanajikuta wazuri mikundu hao mzr pesa tu hapa duniani mbuzi hao wanajiona wazuri hafu watoka uchafu/
Wote wakubwa kwake
Kali bro 😍
Safi sanaa mashauzi yaishe pumbav
Congrate San January umefika mbali
dah! ingekuwa mimi hapo ningechanganyikiwa sijuwi ningemchaguwa yupi. manake kila unayemtizama ana smile. but bro umewalet down warembo wanajihisi vibaya sana kwa kusema hakuna unayemuona anakufaa.
Kamtafte mose iyob umenifurahish aunty🤣🤣🤣🤣🤣
Bora ujisemee ukweli
madanga hao wote wamechoka mitaani sasa wanataka kubemenda watoto wa watu
Dawa ya jeuri kiburi
Nipeni mie uyo, niko nje ya nchi naweza kushiriki hiki kipindi
Aunt mgomvi
Karibuni kuangalia tamthilia nzuri inaitwa nani mkamilifu pamoja na film yetu inaitwa Asha chaudele.
hapo gal b agines naye atoke hy show inaonekana mnacheza dada hahitaji mme mama naye aende nabindi yake kwan nilazima mume achague hp mr right
Toba Mose tena hahahahaha
Anty 😀😀🤭🤗🤗
Daaa nakubal san kaka
MTETEZI SAFI UNAFANYA KAZI YAKO KWA USAHIHI NA USANIFU MKUBWA MNO MUNGU AKUSIMAMIE Na Penda Unacho Fanya
Samahan kwn mabinti wa kiislam hawaruhusiwi, maan naon wt wanakuj wamevaa nusu uchii, hii imekaaje , samahan lkn au ndo utaratibu wenu
Kwani mupka aondoke namwenye kucheza ukiridhika unaondoka nae tu kupata muchumba silazima awe anagari ama pesa ama nyumba upendo nkitu kingine muhimu sana naupendo nkuvumiliana kwashida naraha mm hata nkapata mwenye analala chini yamutu bora maisha natuwe tunapendana bs nitamuvumilia kwa shida naraha akipata tutakula akikosa tutalala bs nimm mrembo natagea nkiwa kenya nabambika tu sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mmh
Je,nikimpenda akose kunipenda ,?
Show ya kibabe sn.big up sn
Ubaya yahawa wasichana wanatamaa mutajua hamjui
Yuko sahihi uyo kijana saizi yake apo akuna sasa mnamfosi kwanza kijana mzuri sana alafu mzuri kama yeye apo ata akuna
Chechee ayah
🤞
Niqweli kabisa🤣🤣🙏
Ameongea ukweli 🤣🤣🤣🤣
Haha
Anti weee,, to,umenishinda tabia
Ila janjeezy dah
Kwani hii nimuvi au nikweli
❤️❤️❤️Aunt 😂😂
nataka kuoa lakini mi bado mkubwa kwani ukitaka kuoa uwena umri gani hiyo eti
kipind hiki sjakielewa
Good
Hata mm nawakataa wanawake wakuwapata kwa namna hakuna kitu huyo ant mwenyewe kashaliwa mpaka namkataa anaanza kuchezea watoto wadogo halafu kimekaa hapo fyoko fyoko nn bibi
Poa sana dogo kawakata, kweli jeuri dawa yake kiburi
iyo inaitwa MPISHANISHANO🤣
Jaman hiki kipindi kinaonyeshwa kwenye chaneli gan nasangapi
Mimi napenda sana kutizama ila Mimi Niko mbali sana nigilikuwa nakuja kutizama ila naomba bukuwe naisha
unajiungaje
wakomeshe wanajikuta
Kweli ni siku za mwisho ole wenu ole wenu msibotubu ovu wenu
Swa pastor
Huyu hajaendaga tandika eeeh
Hao KWANZA malaya wanakuja kutangaza biashara zao za kuuza K mbuzi hao sura zime wakomaa kama mknd/
mmmh
That's game dogo amefanya la maana
Jamn nichukue mm t kaka
🙄
chukua unyama
Mh hata hivyo bado mdogo
Si mdogo ana mwili mdomo ndio machoni anatazamika kama ni mdogo
Kweli
@@Mpakauseme miaka 23 kwa mwanaume kutafuta mke hapo si kuoa ila nikusindikizana tu bila malengo
@@franciscaaugustino4305 🤣
😁😁😁
This chanel is not in kenya
Watu wafupi wanasifaa🤣🤣
Sasa hapo sifa zimetokea wapi na wakati kasema ukweli
Minimempenda kweli January nitapataje namba yake wadau
Kamekosa mbilikimo kama kenyewe
Shida mnaweka fupi sana
😂😂😂😂😂💥💥💥
Sikia hiii 👇👇👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
DUDU BAYA AWACHANA MAKAVU MASHOGA WOTE BILA UWOGA
th-cam.com/video/NW7ySZ0fixE/w-d-xo.html