Yaani mm nikiletewa mkamwana ana kipini puani . Mimi Kama mama mkwe simkubali mkamwana mwenye kipini puani. Ila kijana akimpenda wa hivyo pia sina namna.
Anaonekana muhuni flan hiv mwenye kujielew,na atakae kuwa nae kipind hiki atapendwa mpk ajione Kama qeen maana atataka amuoneshe mwanamke wake kuwa kashapata
Wahehe juuuuuuuuuuuuuuuu
Wahehe hoyooooooooooo
Wahehe mikono juu 😁😁😁
Sana tuko juu zaid na pia naomba uniambie hivi inakuwaje mpaka mnaingia huko na mm natafuta mchumba naona miaka inaenda
Ata mimi nimemuelewa uyu kaka jamani😂❤️❤️❤️
Akiitaji mke wapili minipo Ata Sina shida mie🤗
Namimi nimekuelewa wewe
😂😂😂😂🙌🙌🙌
Njoo kwangu
ata mimi jamani sema akitaka watatu nipo ila napenda mwanaume mweus mref
😂😂😂
Wahehe tupo romantic bana
Wahehe tukopoa sana dada hongera sana utapa mhehe wachaguo lako
Dada asante sana umenigusa
Wahehe mpaka mawinguni🤣
Wao sifa kwetu wahehe safi wifi
Wahehe tujuane hapa😋🥰
Tupo
Tulibaha
Wahehe tupewe maua yetu bn😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani nimempend huy kaka 😍
Aaaaweeeeeh naenda TZ 😂😂😂😂😂
Wahehe tupo juu
Wahehe tupo vzuri
umeona ee
Wahehe tunapenda ukituletea ujinga tunakunyonga
Nimepanda
ndo ivo
Tutamnyonga kweliii🤣🤣🤣
😀😀😀😀
Hikipindi kinamaana yake nini
Hatariiiii sana
Kidogo mnaanza kunivutia engezeni sipid kidogo msitupie vipisi
mr nawapata vip
Aliyesikia ajakosea ajakosea yupo sehem sahihi gonga like
Mademu wakishaona frusa bana wee
Watakup sifa zote
Kwenye wahehe umetisha piga kelele kwa wahehe wakeeeeee
Wahehe wanajua kupenda sana
Nime mwelewa uyu kaka jamani siaje kwangu me mpambanaji kama yeye na mimi nimesha tendwa tunge farjiana sote
Yaani mm nikiletewa mkamwana ana kipini puani .
Mimi Kama mama mkwe simkubali mkamwana mwenye kipini puani. Ila kijana akimpenda wa hivyo pia sina namna.
Wahehe wanavigezo vingi ila hasira jaman hasira mweee
😂😂😂
Kumbe sie wahehe tuna sifika hivo
Jaman tunawapataje
Mmmmm!!!! Huyo mkaka mzur kweli mashallah
Nimekupenda kaka jaman
Mnaanda vizuri jameni ila tatizo nivufupivufupi
Wahehe ni luos wa uko ama?
Yule Jack yuko wapi
Huyo wa mwanajeshi aje hapa 😂😂😂 bana
Hata ingekuwa Mimi ningechukua Sadah..
Mbona tunashindwa kwerewa jamaa mbona alimchukua sadah imekuwaje amchukue mwengine
naitaj jiko jmn
😀😀😀👏👏👏💕
wahehe
Jmn mzr uuuuiiii 😭😭
Wahehe wallah tunamahaba
mademu mnapenda mali nyiye pumbavu zenu wadangaji nyiye
Noumaaaaaaaa sana🔥🔥🔥
Hiinikwel jaman?
Wewe riziki ww 😂😂😂
Ndiyo wahehe nifire
Hawa mademu ni malaya sana yan hawana chakufanya mbwa hawa kazi kudanga mbuzi HAWA/
Kwakweli wahehe wakipenda wanapenda kweli
Hata me nmezima taa uku Kwan amuon jaman🙄
Kamwene mwanaweee
Anamvuto huyu kaka jamani
Wamalay t hum mnatafutan wa malay
A. We kamwene. M
Chezea mhehe wewe
Anaonekana muhuni flan hiv mwenye kujielew,na atakae kuwa nae kipind hiki atapendwa mpk ajione Kama qeen maana atataka amuoneshe mwanamke wake kuwa kashapata
Very right
😂 😂 😂 😂 Atampiga tukio mtakuja tena kwny kipindi kutoa ushuhuda
@@rickierunyota3613 🤣🤣🤣🤣Yani mpaka ataita maji mma
@@happytz hahaha nmecheka kwa sauti mweee
@@happytz 🤓🤓🤓🤓mbavu zangu jamani